Thursday, 12 July 2012

RE: [wanabidii] Re: TUWE MAKINI NA VIONGOZI WA DINI WA AINA HII.

Mimi huwa nasema, na kuna wakati niliandika nadhani kwenye Majira, kwamba, ingawa tuna ombwe la uongozi na tumechoka, lakini kamwe tusiwape viongozi nafasi ya kutuongoza katika jamii yetu. Viongozi wadini wabaki kwenye nyumba za ibada. Mambo ya Kaisari ni yake yeye na watu wake; na mambo ya Mungu ni yake yeye waumini wake. Kama tunataka kuwa na vyombo mbadala wa kutetea haki zetu basi tuanzishe mashirika ya kiraia, asasi zisizo za serikali, na vyombo huru vya habari vingi zaidi.
 
Viongozi wa dini watatuletea matatizo na ni viongozi wetu ndio wanawaendekeza na sasa kuwaambukiza wananchi wachovu. Ni kosa kubwa kuwapa nafasi hii. Akisema askofu ama shehe kila gazeti linataka kuandika; hapana, hii si sahihi. Tuwaache hawa wakae huko na Mungu wao na waumini wao. Hawana lolote za ziada zaidi yetu!
 
Matinyi.
 

From: rashidtz@hotmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] Re: TUWE MAKINI NA VIONGOZI WA DINI WA AINA HII.
Date: Thu, 12 Jul 2012 20:16:07 +0300

katika watu wanao nitia wasiwasi hapa duniani ni pamoja na viongozi wa Dini, ni watu hatari sana,lakini pamoja n hayo mi ni muislamu najua jinsi gani viongozi wengi wa kidini hasa BAKWATA  wanapenda sana kuitetea serikali hata kama inahoyonga kitu ambacho ni makosa kutokana na kitabu chetu na khadithi za Mtume wetu (s.a.w)
pia ni vema waache kukurupuka kujibu hoja bila kuzipima mustakabali wake

> Date: Thu, 12 Jul 2012 18:03:14 +0100
> From: ngupula@yahoo.co.uk
> Subject: Re: [wanabidii] Re: TUWE MAKINI NA VIONGOZI WA DINI WA AINA HII.
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
>
> Dada Mary,wengi wa viongozi ni mfano wa Yuda.Dont ever trust them at all..however,uwajue na shughulika nao kwa akili kama Yesu Kristo alivyoishi na kushughulika na Yuda Iskariote.Regards.Ngupula
>
>
>
> ------------------------------
> On Thu, Jul 12, 2012 14:42 EEST Mary Nsemwa wrote:
>
> >Kaka Badi,
> >
> >Kweli habari hii inasikitisha sana! Watanzania tuko njiapanda. Kitu kimoja tunatakiwa kukumbuka katika harakati ni kwamba "kwenye msafara wa mamba na kenge nao wamo!". Changamoto ni kuwatambua kenge katika msafara huo.
> >
> >Mary
> >----- Original Message ----- From: "BADI DARUSI" <robadio8@gmail.com>
> >To: "agnes lukanga" <agnluk@yahoo.com>; "Anna Sangai" <anna.sangai@tgnp.org>; "anadoricekomba" <anadoricekomba@yahoo.com>; "Anna Kikwa" <anna.kikwa@tgnp.org>; "annagrace Rwehumbiza" <anneflo23@gmail.com>; "assenymuro" <assenymuro@gmail.com>; "Atuwene Mbelle" <atuwene.mbelle@gmail.com>; "annagracer23" <annagracer23@yahoo.com>; "Amby Lusekelo" <amby.lusekelo@gmail.com>; "annette_nara2001" <annette_nara2001@yahoo.com>; "agripina kadama" <agripinak@yahoo.com>; "Annadoris Komba" <annadoris.komba@tgnp.org>; "bainas.wamunza" <bainas.wamunza@gmail.com>; "bgaudensia" <bgaudensia@yahoo.com>; "Godfrey Boniventura" <boniventura1981@gmail.com>; "banadiranko" <banadiranko@yahoo.com>; "binamunguprojestus" <binamunguprojestus@yahoo.com>; "bonnymatto" <bonnymatto@yahoo.com>; "Claudian Ndayi" <claudian.ndayi@tgnp.org>; "deogratius.temba" <deogratius.temba@tgnp.org>; "demetria.kalogosho" <demetria.kalogosho@tgnp.org>; "dominica.kimario" <dominica.kimario@tgnp.org>;
> "dominicacosmas" <dominicacosmas@yahoo.com>; "Dorothy Mbilinyi" <dorothy.mbilinyi@tgnp.org>; "deojkt" <deojkt@yahoo.com>; "Juliet Dosi" <julietdosi@yahoo.co.uk>; "michael dalali" <michaeldalali@yahoo.com>; "Neema Duma" <neemaduma@yahoo.com>; "Enock kijo" <enock1919@yahoo.com>; "esther.william" <esther.william@tgnp.org>; "evarist kamwaga" <evaristkamwaga@yahoo.co.uk>; "Eliab Maganga" <lifefoundation15@yahoo.co.uk>; "Eliabu Mponda" <joser_eliab@yahoo.com>; "Elizabeth MKUMBO" <lizymkumbo@yahoo.com>; "elias.macha" <elias.macha@yahoo.com>; "emmanuel.mgaya" <emanuel.mgaya@yahoo.com>; "esther.william84" <esther.william84@yahoo.com>; "felister.kisangure" <felister.kisangure@tgnp.org>; "fkisyer" <fkisyer@yahoo.com>; "Geline Alfred Fuko" <geline@live.com>; "fkisyeri" <fkisyeri@yahoo.com>; "Gloria Shechambo" <gloria.shechambo@tgnp.org>; "gchambua" <gchambua@gmail.com>; "gemma.akilimali" <gemma.akilimali@gmail.com>; "glosh83" <glosh83@hotmail.com>; "haulledict"
> <haulledict@gmail.com>; "issa hamisi" <hamisi339@hotmail.com>; "hanssy84" <hanssy84@yahoo.com>; "hmaruchu" <hmaruchu@gmail.com>; "hilda.mashauri" <hilda.mashauri@yahoo.com>; "kngomuo" <kngomuo@tgnp.org>; "Lillian Kitunga" <lkitunga@tgnp.org>; "Lilian Liundi" <lilian.liundi@tgnp.org>; "lucklesiaamanzi" <lucklesiaamanzi@yahoo.com>; "lucresiaamanzi" <lucresiaamanzi@yahoo.com>; "Nasim Losai" <nlosai@thefoundation-tz.org>; "Liwile M" <liwile.alf@gmail.com>; "zaa Twalangeti" <zaajohn@yahoo.com>; "zippora40" <zippora40@hotmail.com>; "Violeth Moses" <violetzambi@yahoo.com>; "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>; "rehema.mwateba" <rehema.mwateba@gmail.com>; "Richard Mabala" <rmabala@gmail.com>; "rehema.mayuya" <rehema.mayuya@gmail.com>; "ikituu" <ikituu@yahoo.com>; "Gender Training Institute (GTI)" <gti-info@tgnp.org>; "imanimoshi" <imanimoshi@yahoo.com>; "ommygarl" <ommygarl@yahoo.com>; "Pili Msengi" <pilimsengi@yahoo.com>; "pendo_lema"
> <pendo_lema@yahoo.com>; "Mary Nsemwa" <mary.nsemwa@tgnp.org>; "Schola Makwaia" <schola.makwaia@tgnp.org>; "marjorie.mbilinyi" <marjorie.mbilinyi@tgnp.org>; "Usu Mallya" <usu.mallya@tgnp.org>; "martha.samwel" <martha.samwel@tgnp.org>; <edwin.masisi@tgnp.org>; <mjengwamaggid@gmail.com>
> >Sent: Thursday, July 12, 2012 12:18 PM
> >Subject: TUWE MAKINI NA VIONGOZI WA DINI WA AINA HII.
> >
> >
> >Salaam kwenu Wanaharakati,
> >Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa
> >kunijaalia afya njema na kuandika waraka huu.
> >Napenda kutoa masikitiko yangu makubwa kwa huyu Kiongozi wa dini na
> >katibu wa Baraza la Habari la Kiislamu Tanzania (BAHAKITA) Sheikh Said
> >Mwaipopo. Kiongozi huyu ameonyesha mapungufu makubwa sana na nawaomba
> >Wanaharakati kutoka taasisi mbali mbali kuwa nae makini yeye na
> >viongozi wengine wa dini wa aina hii. Nasema hivi kwasababu kiongozi
> >huyu ndie alikua naonekana kuwa mstari wa mbele kutaka suluhu baina ya
> >Serikali na Madaktari waliokua katika mgomo nchini. Kiongozi huyu
> >pamoja na viongozi wengine wa madhebu mbali mbali ya Kikristo nchini
> >waliitisha kikao cha pamoja na madakrari na Wanaharakati siku ya
> >Jumamosi sawa na Tarehe 7/7/2012 katika Hotel ya Traventine Magomeni.
> >Kiongozi huyu Bwana Said Mwaipopo alipata mda mrefu wa kuwasikiliza
> >Madaktari na alionyesha kwa kiasi kikubwa kuguswa na yale waliokua
> >wakiyasema. Kwa pamoja viongozi wa dini waliafikiana kuitisha kikao
> >cha Suluhu pamoja na Serikali ili kuweza kumaliza mgogoro. Na aliahidi
> >mbele ya waandishi wa habari kuwa kama Serikali ikikataa hoja ya
> >kukutana na Madaktari basi watauachia Umma uamue. Sasa leo nasikitika
> >kuona ndio amekua mstari wa mbele kwa kusema kuwa taasisi yake
> >itawashtaki madaktari waliokua kwenye mgomo mara baada ya Mh. Rais
> >(Ikulu) kukataa ombi la Viongozi wa dini la kukutana nao ili
> >kusuluhisha mgogoro uliokuwepo. Lakini pia kiongozi huyu anaelewa
> >fika mazingira halisi yaliowafanya madaktari wagome na yeye alikua
> >mstari wa mbele kuwatetea na kuahidi upatanisho kati ya madaktari na
> >Rais(Serikali). Je Viongozi wa Dini wa aina hii wanafaa kuwepo katika
> >jamii yetu? Nawausia Taasisi mbali mbali za Kiraia kuwa makini na
> >Viongozi wa aina hii kwani wanaweza wakawa ni sehemu ya kufitinisha
> >kati ya serikali, madaktari na Taasisi za kutetea haki za binadamu.
> >Kama ameweza kuyakana maazimio ya Pamoja kati yake na Viongozi wengine
> >wa dini je atashindwa kukukana Mahakamani huku ushahidi wa Video na
> >Tape record upo? Siku nyingine tukialikwa katika majukwaa ya namna hii
> >tuwe makini maana dunia imekwisha na kila mtu anaangalia Tumbo lake tu
> >badala ya Jamii.
> >
> >Mimi Badi Darusi,
> >Mwanaharakati wa Haki za Binadamu na Jinsia.
> >
> >
> >NAWAOMBA MSOME ALICHOKISEMA KIONGOZI HUYU HAPA CHINI
> >
> >
> >Baraza La Habari La Kiislamu Kuwafungulia Kesi Mahakamani Madaktari Waliogoma
> >
> >Baraza la Habari la Kiislamu Tanzania (BAHAKITA) limesema linakusudia
> >kuwafungulia mashitaka Madaktari Mabingwa wote pamoja na Madaktari
> >waliokuwepo kwenye Mafunzo kwa Vitendo (Interns) ambao walishiriki
> >katika mgomo kwenye hospitali mbalimbali nchini na kusababisha
> >wagonjwa kukosa huduma za matibabu huku wengine wakipoteza maisha yao.
> >
> >Hatua hiyo imefikiwa baada ya baraza hilo kukaa na Madaktari waliokua
> >katika mgomo na kukubaliana kuwa waiombe radhi Serikali pamoja na
> >wananchi kisha warudi kazini, lakini Madaktari hao wamekiuka
> >makubaliano hayo na kuendelea na mgomo jambo lililoonyesha kwamba
> >hawakuwa tayari kupata suluhu.
> >
> >Katibu wa BAHAKITA, Said Mwaipopo amesema wameshauriana na Wanasheria
> >wao na kuamua kuwafungulia kesi ya mauaji Madaktari hao katika
> >Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam tarehe 16 Julai
> >2012.
> >
> >Amesema, "kwa tukio zima jinsi lilivyokwenda, limeonyesha kwamba
> >Madaktari hawataki wala hawana shida tena ya kurudi kazini kwa sababu
> >ni wazi kwamba kuna mtu yuko nyuma yao wanaemtumikia. Sisi kama
> >Watanzania, sehemu ya jamii tumekaa na Wataalamu wetu wa Sheria
> >tumekubaliana kwamba Jumatatu tunakwenda kufungua kesi Mahakamani kwa
> >Madaktari wote waliogoma wakati wamesomeshwa na kodi zetu na Serikali
> >yetu imewasomesha, tutawafungulia kesi ya kusababisha mauaji pale
> >Muhimbili, kwa hiyo tunachofanya hivi sasa ni kwenda pale Muhimbili
> >kwa mganga mkuu kuchukua orodha ya watu waliopoteza maisha."
> >
> >"Sisi tuliingilia kati mgomo huu kwa nia njema ya kutapata suluhu kati
> >ya madaktari na serikali…lakini baada ya taarifa zetu kutoka kwenye
> >vyombo vya habari Ikulu ilitoa tamko la kukataa kukutana na sisi...
> >...lakini Ikulu walieleza vizuri kwamba hawajawahi kukataa kukutana na
> >viongozi wa madaktari kwa maana hiyo basi serikali imeonekana dhahiri
> >kutaka suluhu. Baada ya taarifa hizo sisi tuliwatafuta viongozi wa MAT
> >ambao tuliwaeleza kwamba kutokana na taarifa hizo wao waombe msamaha
> >kwa serikali na umma wa watanzania kwa kuendesha mgomo ambao
> >umesababisha vifo. Lakini baada ya kuwaeleza hivyo hawa viongozi
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment