Angalie ktk Mtandao Country Donor evaluation reports kuzingatia by donor, ikiwa ni Danish, Finnish/Finnida; Tanzania Japan Development Support etc. zilizofanya na Independent evaluators.
From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, 17 July 2012, 10:36
Subject: [wanabidii] Re: projects FUNDED BY JAPAN
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, 17 July 2012, 10:36
Subject: [wanabidii] Re: projects FUNDED BY JAPAN
Njia ya Kwanza ni JICA na Ubalozi wa Japani nchini , wengine tunaweza
kukupa lakini tungependa kujua jinsi taarifa unazopewa zinavyoenda
kutumika na taarifa kamili kuhusu wewe maana unaonekana ni dismas
anthony Who ?
On Jul 17, 8:28 am, Dismas Anthony <anthonydism...@gmail.com> wrote:
> Habari wandugu,
> Nahitaji kujua miradi michache ambayo serikali ya Japan imetusaidia au
> kutokopesha, pia je kuna tofauti yoyote ya masharti ambayo Japan
> wanatuwekea tofauti na nchi kama Uingereza na nyingine za Ulaya au Marekani
> zinazotupa misaada/Mikopo. Sihitaji detail sana, just brief.
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment