Tunashukuru sana Bwa Kunyaranyara kwa kutupa ufafanuzi huo mzuri. Hata hivyo naomba nikuulize. Je Mji wa Kibaha unafika wapi maana wengine hatufahamu. Je sisi tulio na vishamba huko juu karibu na jeshi tunahusika katika hayo au ni wale wa jirani tu? Na kule Mlandizi na kwenyewe kunahusika?
--- On Thu, 7/12/12, ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
From: ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko ] NINAUZA SHAMBA To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com> Received: Thursday, July 12, 2012, 7:15 AM
Neatness na Wengineo mlio na mashamba hapa Kibaha Mjini.
Nimeona na kusoma posting zenu ambazo zinatangaza uuzaji wa mashamba katika mji wa Kibaha. Napenda kuwajulisha kwamba kwa sasa hakuna shamba hapa Mjini Kibaha. Kila eneo kama yalivyotajwa hapa eneo la Visiga kwa Kipofu na Zogowale tayari lina mchoro wa Mipango Miji. Ukinunua bila kuwasiliana na Halmashauri ya Mji wa Kibaha unaweza kujikuta unapata Hasara kubwa.
Sheria za Mipango Miji haziruhusu mtu kumiliki zaidi ya eka tatu eneo la Mjini. Kwa hiyo wote wenye mashamba, sisi tunayaita Mashamba pori wamewekewa utaratibu maalumu na Halmashauri ya Mji wa Kibaha wa jinsi ya kuendelea kumiliki maeneo wanayoyamudu. Utaratibu ni huu hapa:-
Mwenye eneo anaingia Mkataba wa upimaji na Halmashauri ya Mji wa Kibaha, Viwanja vinapimwa na anapewa bei ambayo ndiyo inatumika kwa sasa ndani ya mji wa Kibaha. Kama hakubaliani majadiliano yanafanyika na kisha anaruhusiwa kuuza mwenyewe viwanja vyote. Kwa kuwa hati ya kumilikishwa ardhi inatolewa na Halmashauri basi anailipa Halmashauri kiasi cha asilimia 10 tu ya gharama za kila kiwanja kutokana na gharama za KILEMBA.
Akimaliza hivyo lazima pia awe ameweka miundombinu ya barabara ambayo gharama yake pia hutumika kuweka gharama ya uuzaji wa kiwanja kwa kila mita ya mraba. kama maelezo haya hayataeleweka nawashauri wale wote wanaohitaji kununua viwanja na kuuza maeneo yao waje Halmashauri ya Mji wa Kibaha na Kuonana na Mkurugenzi wa Mji atawasidia sana. Utaratibu huu umeanza kufanya kazi na zaidi ya wamiliki wa mashamba makubwa ndani ya eneo la Mji wa Kibaha watano wameuza mashamba yao bila matatizo na tayari Halmashauri nyingine zimekuja kujifunza kwa Halmashauri ya Mji wa Kibaha jinsi wanavyofanikisha jambo hili.
Lengo letu ni kuwa na mji uliopangwa ikiwezekana ili kuepuka changamoto ambazo tumeziona kwa wenzetu na jirani zetu wa DSM. Ushauri wangu EPUKA KUNUNUA ENEO AMBALO LIKO NDANI YA MJI BILA KUPITIA HALMASHAURI HUSIKA.
K.E.M.S.
From: neatness msemo <nmuzeh@gmail.com> To: wanabidii@googlegroups.com Sent: Wednesday, 11 July 2012, 7:08 Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko ] NINAUZA SHAMBA mim pia nauza shamba eka NNe iko mkoa wa pwani Visiga kwa kipofu eneo la kwa mbago liko barabarani na naliuza lote kama lilivyo kwa shs M35 karibuni sana ukifika unaweza kumuulizia mama Harison anaishi karibu na hapo namb zake ni 0682490089 au 0714031301 pia unaweza kuwasiliana nami mwenyewe. 0784-869809 pia tunafundisha ujasiriamali wa ufugaji bora wa kuku wa kienyeji.tuna toa mafunzo katika ofisi zetu ambazo zipo External karibu na EPZA opposite na kanisa la KKKT Makuburi karibuni na pia tutawaonyesha mabanda bora na mbegu bora za kuku kama Malawi kilacha kuchi n.k tunauza vifaranga kwa bei ya sh 2500 wakiwa wamechanjwa malex na chanjo nyinginezo. 2012/7/5 Dr. Hamisi A. Kigwangalla <hkigwangalla@gmail.com> .....kama mnataka mali mtayapata shambani...
kaka unauza chanzo cha mali?
-- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. -- "In accepting the trusteeship of our wildlife we solemnly declare that we will do everything in our power to make sure that our children's grand-children will be able to enjoy this rich and precious inheritance."- Dr. Julius K. Nyerere -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
|
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment