Tuesday, 17 July 2012

Re: [wanabidii] Re: KWELI CCM ITANG'OKA 2015?

Shallow thinking!

On Jul 17, 2012 4:14 AM, "Omary Haruna" <omary.haruna@yahoo.com> wrote:

Una uhakika gani km waislamu walimpa kura kikwete? Msipende kuandika hoja ambazo hazina uhakika, ccm inaweza majimbo ya ubunge lakini bado itashinda uraisi kinachoitfuna chadema ni udini na ukanda, chadema nao kuna wasomi lakini bd eti mgombea wa uenyekiti na yeye na kivuli hapo si kuna siri? Nimetembea mwanza, tarime, kibaha, dodoma, kondoa na dar naona japo kuna misukosuko ccm watashinda




------------------------------
On Sun, Jul 15, 2012 11:13 PM PDT Yona F Maro wrote:

>CCM INAWEZA KUNGOKA MWAKA 2015 KAMA CHAMA MBADALA KITAWEZA KUTEKELEZA
>HAYA .
>
>1 - Chama kiwe ni mizizi yake sehemu zote za nchi na kikubalike
>angalau na nusu ya watanzania wote , katika hili kuna vyama
>havikubaliki sana baadhi ya maeneo haswa visiwani unguja na pemba ,
>Vyama vingi pia havijakomaa vilivyo tokea kwenye mizizi yake .
>
>2 - Nchi ina Gesi , Madini na maliasili nyingi sana ambayo haijawahi
>kutumika na ambayo inaendelea kutumika sasa hivi chama mbadala
>kituambie jinsi kitakavyolinda maliasili hizi na kuziendeleza kwa
>maslahi ya watanzania wote .
>
>3 - Muungano ni kati ya Lulu za Mtanzania , chama mbadala kituambie
>jinsi kitakavyoendeleza muungano huu  hata kama una shida za hapa na
>pale ili baadaye tuje kuwa na serikali moja na sio 3 au kuvunjika
>kabisa .
>
>4 - Kulinda amani na utulivu wa nchi kwa gharama zozote zile
>
>5 - kiwe na viongozi wenye historia iliyotukuka katika uongozi wa
>vyama vyao ( katika hili kuna watu tumeona wanahama toka chama kimoja
>kwenda kwingine kugombea uraisi au ubunge ) hawa hatuwataki
>hatuwaamini .
>
>On Jul 15, 10:24 pm, amour chamani <abacham...@yahoo.com> wrote:
>> Nanyaro,
>> Utafiti kila kitu basi? Mbona ni mazungumzo ya kawaida japo huyapendi.
>> Sikubaliani naye saaaana japo nadhani anachosema chaweza kuwa kweli.
>>
>> Walewale.
>>
>> ________________________________
>>  From: Ephata Nanyaro <nanyar...@gmail.com>
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Sent: Sunday, July 15, 2012 7:15 PM
>> Subject: Re: [wanabidii] KWELI CCM ITANG'OKA 2015?
>>
>> Post hii haijafanyiwa utafiti,ni ya kukurupuka.
>>
>> On 7/15/12, Abdalah Hamis <hamis...@gmail.com> wrote:
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>> > jibu la haraka ni kuwaHAPANA. pana uwezekano mkubwa wa ccm kushinda.
>> > kwa nn nasema hivi?
>>
>> > 1- ccm wanauzoefu wa kumpitisha mgombea na tofauti zao zikaisha.
>> > rasharasha huwepo lkn huwa chache sn!
>>
>> > 2- vijijini bado wana imani kubwa na ccm na hata baadhi ya miji.
>>
>> > 3- tofauti za safu ya juu ya chadema zinaweza kukipa zilzala
>> > (mtikisiko) kipindi cha uchaguzi wa mwenyekiti na mgombea urais. Hii
>> > itakua neema kwa ccm.
>>
>> > 4- propaganda za ukanda na udini zimekua mwiba kooni mwa chadema.
>> > hakikubaliki sn kwa waislamu. anae bisha apitie matokeo ya uchaguzi wa
>> > 2010 ktk tovuti ya NEC. Ataona chdm ilivyofanya ktk maeneo yenye
>> > waislamu wengi nchini.
>>
>> > 5- cuf imekuwa ikiiharibia chadema. uwepo wa cuf ni kihunzi kwa
>> > chadema. na hivi sasa uadui bungeni wa cuf na chdm ni mkubwa. Cuf
>> > itaendelea kupunguza kura za chdm.
>>
>> > 6- ili ccm ifanye vizuri, pana uwezekano ikakubaliana kuwapa cuf znz
>> > ili wanacuf wa bara wote waipigie ccm. Mpango huu unaweza kuinufaisha
>> > ccm huku bara. Ktk siasa lolote linawezekana. WANASIASA NI WANAHARAMU
>> > SANA! (ashakum…!)
>>
>> > 7- siyo siri uchaguzi wa 2010 ulitawaliwa na udini (anaekataa hili
>> > atakua na matatizo). ccm ilikua na mgombea muislamu. cuf ilikua na
>> > mgombea muislamu. chdm ilikua na mgombea mkristo. wakristo wengi
>> > walipeleka kura zao chdm. kura za waislamu wengi zilikwenda ccm na
>> > cuf. mwaka 2015, pana uwezekano mkubwa ccm watampitisha mkristo. hali
>> > hii itapunguza kura za chadema. maaskofu ambao walikuwa upande wa
>> > chdm, wakiona mgombea mkristo ccm, bila shaka watahama na wafuasi wao
>> > kwenda upande wa ccm.
>>
>> > Ikumbukwe kuwa ccm inajua KULA VIZURI na viongozi wa dini!
>>
>> >http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/292602-ili-chadema-ishinde...
>>
>> > --
>> > Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
>> > Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
>> > Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>>
>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> > ukishatuma
>>
>> > Disclaimer:
>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>> --
>> Ephata Nanyaro
>> P.o.box 15359
>> Arusha
>> +255 754 834152
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>--
>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.


--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment