2012/7/17 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Ndugu zangu
Nimesikia kwamba Baraza Kuu la waisilamu limeteuwa Kadhi mkuu wa
Tanganyika siku kadhaa zilizopita .
Ninavyojua mimi BAKWATA ni Baraza Kuu la waislamu Tanzania , na sio
Tanganyika , nimeshangaa kwanini sasa imekuwa Tanganyika badala ya
Tanzania nzima .
Pili mimi napongeza uteuzi huu kama masuala ya kadhi yataendeshwa na
kadhi Bakwata wenyewe kwa fedha zao na taratibu zao nyingine bila
kuathiri mfumo mwingine wa sheria Tanzania ambao upo kwa ajili ya watu
wote .
Mwisho sasa nimeanza kuhisi ni kwanini waislamu walikuwa wanataka
kipengele cha Dini katika Sensa inawezekana moja ya sababu ni hili la
ufanyaji kazi wa Kadhi .
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
--
Sent from Samsung Galaxy Ace GT-S 5830 --The future of Android Technology
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment