Tuesday, 17 July 2012

Re: [wanabidii] AFISA SERA NA UTAFITI CHADEMA MBARONI KWA TUHUMA MAUAJI YA MWENYEKITI WA UVCCM SINGIDA

Ni upepo, utapita na kweli itajulikana. Sasa hivi tujiandae kupokea taarifa tofauti tofauti, baade tutaupata ukweli.

2012/7/17 Dismas Anthony <mba2009d@gmail.com>
kwa kweli wachochezi sasa ni wengi, Taarifa ya habaroi TBC ilikuwa wazi si kwa mauaji. Kazi tunayo wapiga debe.

2012/7/17 denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
Hi habari imetokea wapi tena? Mbona jana kwenye taarifa ya habari ITV wamesema kakamatwa kwa kosa la kumtukana Nchemba?

2012/7/16 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
Na Nathaniel Limu.

Jeshi la polisi mkoani Singida linamshikilia Afisa wa sera na utafiti
wa Chama cha CHADEMA Makao Makuu Waitara Mwita Mwikwabe, kwa tuhuma ya
mauaji ya mwenyekiti wa umoja wa vijana CCM (UVCCM) kata ya Ndago
jimbo la Iramba magharibi Yohana Mpinga (30).

Kiongozi huyo wa CHADEMA alikamatwa muda mfupi baada ya kumaliza kutoa
tamko la chama hicho kutokuhusika na mauajio ya kijana huyo kiongozi
wa CCM kwa waandishi wa habari.

Waitara, mbunge wa jimbo la ubungo jijini Dar -es- salaam Mh. John
Mnyika na mshauri wa CHADEMA na Mhadhiri wa chuo kiku cha Dar- es-
salaam Dk. Kitila Mkumbo, inadaiwa walichochea mauaji hayo kwa kitendo
chao cha kumkashifu mbunge wa  wa jimbo la Iramba magharibi Mwigulu
Lameck Nchemba.

Kwa mujibu wa Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Singida Linus Vicent
Sinzumwa, kashifa hizo zimetolewa na viongozi hao wa CHADEMA, Julai
kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vilivyo karibu na
kituo cha mabasi, pia karibu kabisa na kituo kidogo cha polisi cha
Ndago, ambapo viongozi hao wanatuhumiwa kutoa kashifa hizo dhidi ya
Mwigullu.

Sinzumwa amesema baada ya viongozi hao kuacha kueleza sera za chama
chao na kuanza kumkashifu Mwigullu, baadhi ya wananchi waliwataka
kuacha mara moja kumkashifu mbunge wao, lakini  viongozi hao
walipuunza maombi hayo ya wananchi.

Amedai kitendo hicho kilichochea kutokea kwa vurugu ambazo mwisho
wake, ulipelekea kikundi cha wanachama wa CHADEMA kumuuwa Yohana
Mpinga kwa kumpiga kwa fimbo na mawe.

Jeshi la polisi lilimkamata Waitara muda mfupi baada ya kutoa tamko
kwa waandishi wa habari kuhusu yaliyojiri katika mkutano wa CHADEMA
uliofanyika katika kata ya Ndago julai 14 mwaka huuu.

Katika tamko hilo, Afisa huyo wa sera na utafiti, amesema wakati
wanajiandaa kuanza hotuba, vijana wanane walianza choko choko kwa
kutoa matusi na punde mawe yakaanza kurushwa kutoka sehemu mbali
mbali.

Amesema kikundi hicho kiliwaogofya wananchi ambao waliondoka katika
eneo hilo, lakini muda mfupi baadaye, walirejea na mkutano uliendelea
kwa amani na utulivu hadi ulipomalizika.

Katika hatua nyingine, viongozi hao wa CHADEMA, wamelaani taarifa
zinazozidi kusambazwa ambazo zinadai kuwa polisi wanawahusisha wao
CHADEMA na tukio la mtu aliyeuawa kwenye vurugu zilizotokea Ndago.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Wasalaam
 
Denis Matanda,
Mine Supt,
Nzega - Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

Nicomedes M. Kajungu
P.O.Box 2744
Mwanza.
Cel: +255 782 315 688, +255 767 48 32 71,
      +255 719 451 850
Email: nicomedes76@gmil.com
Skype add: nkajungu

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment