Sunday, 2 October 2016

Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] Mnaohamia Dodoma mjitahadhari

Nimesikia kwenye taarifa ya habari kuwa procedures zote zilifuatwa!

LKK
 
                                                                              


On Monday, October 3, 2016 6:28 AM, 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:




Ndugu Baha, kama kawaida (kama Kawa) nina marefu ya kuongea kuhusu suala hili kwani nimeuishi nimeona mengi.

Samahani niseme kwamba-Nimeiona taarifa ya wataalamu wa kilimo kuchomwa Dodoma. Media ilionyesha na kusimulia kilichotokea niliona kupitia ITV saa mbili usiku. Ninasimama pande mbili zote zina makosa.

Kama waliotoa taarifa walieleza ukweli yaani watu wa serikali na media- MAKOSA YAPO PANDE ZOTE MBILI YAANI WANANCHI NA WANASAYANSI WATAALAMU WA UDONGO WATUMISHI WA SERIKALI.


Kwa wataalamu-Kosa lao ni kuingia kijijini BILA ay KUONGOZWA na viongozi wa eneo. Protocol pamoja na kupata barua Kiwizara, Mkoa, Wilaya, Tarafa, Kata, Kijiji-Mnafika kijijini na baraua ya Kata na mnawapa RATIBA ya Kazi na kuomba Escort. Msindikizaji analipwa posho ya kutwa. Kwanza mnakuwa na siku mliyopanga ya kufikia kata na vijiji vyote vya kazi yenu na mtakwenda na Mtendaji Kata au mtu mwingine atakaye mchagua. Huko atawakabidhi na kuwaelezea viongozi hapo na mtawapa Ratiba ya kazi na kila kijiji kitachagua msindikizaji mpaka mtakapoona hamumuhitaji mnalielewa eneo au wananchi wanawafahamu na kuifahamu kazi yenu. Kijiji kikiwa kikubwa mnakokwenda Vitongojini mnasindikizwa na kiongozi wa kijiji au mwanakamati aliyechaguliwa na kuwakabidhi kwa kiongozi wa kitongoji au mmojawapo wa Balozi aliyeagizwa akusaidieni kuwatambulisha kwa mabalozi wengine au katika eneo la utafiti. Kijiji kinawapa barua ya utambulisho mnatembea nayo na inapigwa muhuri wa kijini. Barua za utambulisho ni sehemu ya annex ya report yenu na wale waliohojiwa kama viongozi wa madaraka na sekta mbalimbali. Kama mnakaa vikao kijijini-majina ya waliohudhuria vikao ni sehemu appendices ya taarifa yenu kwani-wakija kukataa maamuzi yaliyofikiwa au kuwa hawakuhusishwa hawajui kinachoendelea-evidence ya majina yao na signatures zao zipo hapo na photos za vikao pia. Kama ni Valuation of property for compensation-wanampiga picha pale katika mali yake na anatia sahihi fomu mpaka ya vidole na mashaini ni majirani na kiongozi wa eneo.

Protocol ya serikali kila sekta ipo na general protocol inajulikana kwa mtafiti, mwanasiasa au mtaalamu mtumishi wa ugani, land surveyor, wildlife, forester, community development, researcher awe wa sekta yoyote hata udongo!!

Kama umeacha barua ya vitambulisho ofisini-iwe mkoani, wilayani, kijijini, kitongoji na huna escort-tegemea yatakukuta tu ya aina yoyote ile iwe kuibiwa, kubakwa, kuuawa, kuumizwa. Escort yako inategemea pia sekta yako ya kazi. Unaondoka na mtaalamu wa Kilimo kutoka Wilaya, Tarafa au Kata inakwenda naye vijijini. Hasa ni yule ambae anajulikana huko na hufanya kazi huko. Inawezekana Mtaalamu hata wa Kilimo Kata huwa hafiki vijijini, hukaa Kata Mjini haendi katika vijiji vya kata yake mpaka kuwepo na ugeni (kujifanya anafanyakazi kumbe no) au kuwe na Semina (za posho sasa zimetumbukliwa!)-hivyo-HAWAMFAHAMU! Hata ukienda naye siku ya kazi yako watakuuliza Umtambulishe huyo nani hawamjui! Atajifanya wanamjua-watamshushua kuwa-hawamuoni haendi huko anakaa makao makuu ya Kata na Kata ina vijiji 10 radious ya kijiji cha mbali kutoka Kata ni 70 km.  Hawamuoni na kuwa hana pikipiki na umbali utata, misitu, wanyama pori na sababu nyingine za kizembe sio kimazingira-hawaendi. Na kama hapendwi huko kutokana na mahusiano yake na lugha zake mbaya-ukienda naye huyo utaharibu  kazi yako. Tarafa au Kata au Wilaya itakwambia na kukushauri kuwa ukienda huko mtu gani atakufaa zaidi Kikata ai Tarafa au kijiji kati ya Wataalamu. Kijijini ukifika wanaweza wakakupa hata Muhudumu (Volunteer) kijana, Mtu Mzima au mtu tu ambaye anajulikana sana kila kona kukuongozeni sio lazima mtaalamu au mwanakamati-ni mtu maarufu anayelijua eneo na kujulikana kila kona. Hapo hamtopata utata kama huu mkizingatia protocol ya nchi hii.

Inapofikia mnakwenda eneo lenye wanyamapori hatarishi-pamoja na escort ya sekta husikana vijijini mnakuwa na Game Scout mwenye bunduki hata kama hakuvaa uniform kwa kuogopa majambazi yasiwavizie kumnyang'anya 'Bunduki' (inategemea na eneo). Bunduki ni kwa usalama kama atatokea mnyama mroho wa nyama ya binadamu SIO ya kuua watu/raia.

Communication of Information ni suala kila Mtumishi wa Ugani hujifunza shuleni-jinsi taarifa inavyoweza kubadilika-kwa uzuri kupambwa au kuharibiwa. Uzushi ukawa mwingi na kama hamna msindikizaji kama nilivyosema hapo juu-hata msafara wa viongozi unaweza ukawekewa magogo au kuvamiwa. Hata ugawaji wa Dawa za minyoo-hutangazwa vibaya (Obama analeta dawa za kuua uzazi, kuua urijali na baadhi ya wanafunzi hufungiwa makwao wasiende kwenye de-worming na wanaume wengi hawaendi ila wanawake huwa wengi mijini na vijijini). Sembuse watafiti wa udongo na uzushi wa kutaka kuiuza ardhi kwa wawekezaji na kuwahamisha wananchi wenye customary land yao! Itakuwa ni uzushi hao wanawake walioona wanyonya damu kama kisingizio zaidi!! Nadharia ya wanyonya damu au blood suckers nimeikuta toka utoto ikitufundisha kuwa wazungu au wanyonyadamu wa kigeni wakinyonya watu katika maeneo ya mapori hasa plantation economy. Na Simba Chai alikuwepo maeneo ya Tabata. Kufikia utu uzima Simba Chai wa Tabata kumbe alikuwa mtu mmoja Mbakaji  akibaka Wanawake akijificha porini kwenye misitu na mashamba ya korosho enzi zule in 1960s!

Tukiwa katika tafiti za maji North Eastern part of Igunga (1990) tumemaliza kazi tunarudi wilayani tukapotea njia kwa bahati tuliwakuta akina mama wanakwenda kuchota maji tunasimamisha gari kutaka kupata msaada watuelekeze njia. Unyamwezini na Usukumani baadhi ya maeneo unakuta miti hakuna eneo leupe unapita short cut popote pale ili mradi utatokea main road ambayo hatukuiona kwa urahisi. Ni hivi maeneo mengine degraded kama Dodoma pia. Akina mama hao kuona tumesimamisha gari wakakimbia kuingia ktk vichaka ambavyo miti yake ina miiba. Bahati mwenzetu aliyekuwa Msukuma alikuwa akiwapigia kelele kwa kiligha kuwa sisi tu watu wazuri tumepotea njia lakini hawakusimama. Hofu yetu ilikuwa jinsi walivyokimbia na kutupa ndoo na watoto mgongoni pamoja nao wakichomwa na miiba ya miti wasije wanajichoma machoni na kupofuka au kujikana na kupata tenenus! hawakusimama! Tulihangaika tukafika na kufanikiwa kufika Tabora mjini.

Ukiwa vijiji vilivyopakana na wildlife protected area lazima utapewa escort ambayo ni mwindaji haramu wao viongozi wanamjua. Huyo atawasaidia msiingie na kutumbukia katima mashimo ambayo wawindaji haram huchimba, kuweka mabanio/mitego  chini ndani ya shimo ya kumnasa mnyama atumbukie kisha anaswe asitoke ay afe kama wameweka mshale wa sumu himo au kupaka sumu ktk miti ya banio hilo. Kesho au wajapo kufuatilia mitego yao humuua au kumchinja na kutengeneza nyama ya kuuza au ya Kimoro (mambo ya vijiji nje ya serengeti). Ni hivyo mambo ya mitego ya aina mbali mbali vijiji jirani ya game reserves and national parks. Ukienda bila ya escort wewe utatumbukia na kuumia au kufa kwani shimo hufunikwa majani kiutaalamu na huwezi kulijua lipo ila wenyewe wanajua wapi yapo na hawapitishi mifugo huko au wanavijiji kupita hovyo maeneo hayo. Jifanye hutaki kuhusisha wana vijiji ili usitoe hela ya posho ya kutwa uile wewe kikanjana UFE!!


USIFUTE KIJIJI BAHA, Sio kila kiongozi wa halmashauri anajulikana katika kitongoji au ubalozi. Hata walimu wanapoadhibu wanafunzi huvamiwa kupigwa, kubakwa-utafuta vingapi TZ? Eti wazazi huvamia nyumba za walimu na kuwachapa au kumchapa mwalimu mbele ya wanafunzi kwa kuwaadhibu watoto wao kisha kesi huenda karne. Walimu kukaa mijini badala ya hapo kijijini kwa kuogopa kuvamiwa na watumishi ugani kukaa zaidi mijini. Ndio maana kwa kuogomba revenge kijijini na Mitaani mijini-mengi maovu, uchafu hayakemewi waharifu hawakamatwi kwa viongozi na extension staff kuogopa vengeance attitude ya wananchi wenzao. Kumuweka polisi na magistrate mitaani aishi na raia kumeondoa ufanisi wao bali rushwa tu ili alinde usalama wake. Polis- na Mgambo wachache kutupiwa mawe kupopolewa na kufukuzwa na wananchi kama Paka na Nyau eti na wananchi wenye Hasira (A Political Slang!) wameona wanaonewa kuondolewa barabarani kuuza bidhaa zao nao wanaganga njaa! 
Wanavamia vituo vya polisi kuua na kuiba silaha; wanafunzi wanatakiwa wanywe uji makwao ndio wapewe dawa kali ya kuua minyoo (Prazquantel) lakini wanakwenda na njaa akipewa dawa-anazimia! wazazi wanakuja na mapanga kupiga walimu na watumishi wa zahanati. Kwa sasa wakati wa deworming uji hupikwa shule wanapewa wanakula washibe ndio wapewe dawa hiyo/hizo. Watapimwa urefu na uzito ili ijulikane apewe dawa kiasi gani-wazazi wanawakataza kuwa akipimwa uzito mashine inachukua damu na atadumaa, na hizo dawa zitaua uzazi na nonino itakufa! Pamoja na elimu ya afya kwa umma kijijini, vitongoji, kamati za afya za wazazi, watoto, walimu kukaa pamoja-uongo huu bado upo. Na sasa vyama vingi ndio uzushi huu ni CCM na vibaraka wao kuhamisha tofauti za kichama kuziingiza mahala kwingine kwa visingizio ili kukomoana! Land Use Planning Dodoma wanakohamishia ofisi za Wizara kutoka DSM na wanaokimbilia kununua maeneo iangaliwe mara 2 na izingatie miongozo husika ama Land Conflicts zitaimaliza nchi hii!

1989-kijiji kimojawapo Njombe  tulikuta mabwana ardhi hawajaonekana for two weeks-walisepeshwa kienyeji. Ilitokana na wao kujiona ni wataalamu, wanafanya kazi ya kupima ardhi kwa ajili ya forest conservation wakati ule wa HIMA Iringa, Njombe, Makete. Mradi mkubwa wa kuhifadhi Catchment Forests na Soil and Water Conservation. Kilimo bora endelevu, upandaji miti, makinga maji kupigwa mashambani. Katibu Tarafa alipewa Pikipiki na extension staff wakiendesha -Yamaha from Japan kila koa bodaboda za serikali kwa watumishi tarafa, Kata, na magari kibao kwa extension staff. Kwa kutokuzingatia sheria za KIMILA pia kuwa-huingii ktk eneo la shamba au ardhi ya KIMILA bila ya Muhusika kufahamishwa; kiongozi wa mila kuhusishwa na upimaji ardhi au maeneo ya matambiko kama yataingizwa ktk misitu ya hifadhi na kukubaliana ni jinsi gani wenye matambiko yao wataingia huko kufanya mila zao au kuzika watu wa ukoo wao kama eneo litakuwa sehemu ya msitu wa Hifadhi. Uhifadhi wa misitu yote pamoja na ile ya kulinda Kihansi Dam ilitakiwa kuzingatia protocol hii ya uhusishaji ambayo serikali inaitambua WAO Mabwana Ardhi (walijiona hawaambiliki, wataalamu wasomi) hawakuzingatia MILA. Waliingia kijiji hicho kuanza kupima na kuweka beacons! Tulipofika (Mimi na Rie Ordgaard wa Denmark) tulikuta vijana zaidi ya 2 hawajaonekana for a week wanatafutwa na wenzao na ofisi yao! baada ya wahusika kuzingatia na kuwaona wazee wa Mila-waliambiwa wapi walipo wakaenda WAKAWAKUTA hapo CHINI ya MTI. Waliwakuta kama MAZUZU hawajui kilichowatokea na kilichokuwa kinaendelea. wakila nini hadi kuishi haikujulikana na ilitoa fundisho kwa sisi wengine. SIONGEI UONGO ni FIELD EXPERIENCE. Hukuti katika maeneo mengine mtu anaingia misitu ya Mila au customary ya mwingine na kuanza tu kulima au kukata miti bila ya kuomba ruhusa. Huwqezi kukuta unaingia tu kuzika mtu wako makaburi ya watu wengine ya ukoo mfano wa Maliaga Ngerengere rural pamoja na kuwa eneo la makaburi ni kuwa. Na ikiwezekana barabara itakayojengwa izunguke na kukwepa makaburi hayo kama nafasi ipo kuepuka kuhamisha makaburi kwa kulazimishwa yaondolewe mradi tu unataka barabara ipendeze isizunguke ipite tu hapo. Ndio kesho yake Mti uliong'olewa jana barabara ya Njombe-Songea unakuta umerudi umesimama kama jana hapo budi ukamlete Mchungaji-Kakobe au Gwajima!

Pamoja na kusikitika sana na vifo hivi, upumbavu wa akina mama hao waongo usiachiwe uendelee. Huenda uzushi uliozuka uliundwa baada ya baraua za utambulisho kijijini kufika wakaona wawatumie akina mama. Kama wale ambao huzua kubakwa na Game Scout au maaskari. Mchungaji akamatwe aadhibiwe, eneo lipo wazi kipara damu hiyo itanyonywa vipi. Mchugaji alidhania ardhi ya eneo la kanisa yake itachukuliwa kutokana na utafiti huo. Kama siasa haijaingia hapa kuifanya TZ haina demokrasia zaidi ya MCC kuondoa hela zake uonevu wa GVT wa demokrasia mbovu ya kupora watu ardhi watumishi wake wauawawe kinyama kuikomoa serikali ya CCM kwani ardhi sasa kuhamishia Dodoma wengi wataporwa pamoja na ya makanisa ya kilokole. Kitajulikana tu na iwe fundisho kwani magari ya serikali yana label au maandiko ya kuonyesha ni ya Kilimo ay Misitu, Wanyama Pori, Wilaya, Mkoa etc. Hata kama wakazi hawakujulishwa-angalia label pamoja na kuwa hata daktari feki huingia District na National Hospital kutibu wagonjwa-wasimamishe waulize kwanza-mbona hawana kiongozi wa eneo kama wao ni watumishi halali wa serikali? Subiri jibu, mwende ofisini au polisi SIO kuwaua!!

Fundisho lipo-usianze kazi eneo lolote bila ya kuwa na viongozi wa eneo hilo na kuhakikisha kuwa mnakuwa na mkutano wa hadhara wa eneo husika kutambulisha kazi yenu na scope yake pia kutoa mrejesho ikiwezekana kikaratasi kifupi cha kiswahili na Tangazo la kazi yenu kubandika ktk ofisi za kijiji na barua kuwafikia mabalozi na wakuu wa vitongoji wa maeneo ya kazi za utafiti etc. Kupeleka barua Kata na Kijiji hakusaidii bali kuwa na Escort. Kupoteza mawasiliano na staff wenzako ina maana hawakuwa na Kiongozi na mwanakijiji wa eneo hilo la kazi utapoteaje njia?  Kuuana TZ ipo sana ndani na nje ya familia na mpaka kwa wenye Ualbino. Kuwa na gari ya Serikali si hoja hata majambazi huweka lebo bandia ukaiona ya serikali na wengine huvaa magwanda ya FFU, Police na JWTZ waliyoyaiba na kujifanya maaskari kugagua maeneo, kuzuia magari unadhani ni askari mnaporwa!

Tujisahihishe ili kupunguza madhara pande zote za raia na serikali!!

Kama Kawa









--------------------------------------------
On Mon, 3/10/16, bernard baha bahabp2003@yahoo.com [Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com> wrote:

Subject: Re: [Wanazuoni] Mnaohamia Dodoma mjitahadhari
To: Wanazuoni@yahoogroups.com
Date: Monday, 3 October, 2016, 3:36


 



 


   
     
     
      Dr Massawe,



Ushawahi kwenye utafiti ama kazi zako kukumbana na wananchi
wenye hasira za ziada na hata hawajui unachofanya ni nini?
sasa tunapojadiliana hapo hii mifano itupe mwangaza.
Nimesikitika sana kwa wataalamu wetu hawa wa udongo kupoteza
maisha tena kwa mateso makali kama hivyo. Ndio wananchi wetu
hawa, ningekuwa Presida kijiji nakifuta usajiri na wakaazi
wote wanahama nje kabisa ya wilaya ama mkoa kwa gharama zao.
Gharama ya kutrain hyo mambo balaa na hawa wanafanya kwa
moja faida ya taifa lakini immediate beneficiaries ni wakazi
wa maeneo hayo. Sasa wamechoma wataalam na vifaa...duh back
to enzi za mifupa!kabisa hii inaingia kwenye news! 21st
Century ndio tulipo!



Ok wengi wanaohamia Dodoma tahadhari ndio ila huu ni uhalifu
ndio maana binafsi nikasema kama kijiji hakiwezi wataja
wahusika na wanajificha wapi? kifutwe...wote watajitokeza na
kusema wahusika na wakati huo viongozi wote wa kijiji ndani
sidhani kama wataalam walianza tu kupima samples bila ruksa
kwani hata sie wengine tunaripoti na mara nyingi tunakuwa na
viongozi wa Halmashauri.



B.B

--------------------------------------------

On Sun, 10/2/16, 'Dr. A. Massawe'
massaweantipas@hotmail.com [Wanazuoni]
<Wanazuoni@yahoogroups.com> wrote:



Subject: [Wanazuoni] Mnaohamia Dodoma mjitahadhari

  To: "wanazuoni@yahoogroups.com"
<wanazuoni@yahoogroups.com>

  Date: Sunday, October 2, 2016, 2:04 PM

 

 

   

 

 

 

   

 

 

     

       

       

       

 

 

 

 

 

  Yaliyowakuta wenzenu

 

  haya

  hapa:

 

 

 

 

  Maofisa

  watatu wa Serikali wateketezwa Dodoma - Habari | Gazeti
la

  ...

 

 

 

 

 

 

 

 

 

     

     

 

     

     

 

 

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048 --

    #yiv4968185048ygrp-mkp {

  border:1px solid #d8d8d8;font-family:Arial;margin:10px

  0;padding:0 10px;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-mkp hr {

  border:1px solid #d8d8d8;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-mkp #yiv4968185048hd {

  color:#628c2a;font-size:85%;font-weight:700;line-height:122%;margin:10px

  0;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-mkp #yiv4968185048ads
{

  margin-bottom:10px;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-mkp .yiv4968185048ad {

  padding:0 0;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-mkp .yiv4968185048ad p
{

  margin:0;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-mkp .yiv4968185048ad a
{

  color:#0000ff;text-decoration:none;}

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-sponsor

  #yiv4968185048ygrp-lc {

  font-family:Arial;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-sponsor

  #yiv4968185048ygrp-lc #yiv4968185048hd {

  margin:10px

  0px;font-weight:700;font-size:78%;line-height:122%;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-sponsor

  #yiv4968185048ygrp-lc .yiv4968185048ad {

  margin-bottom:10px;padding:0 0;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048actions {

  font-family:Verdana;font-size:11px;padding:10px 0;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048activity {

  background-color:#e0ecee;float:left;font-family:Verdana;font-size:10px;padding:10px;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048activity span {

  font-weight:700;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048activity span:first-child {

  text-transform:uppercase;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048activity span a {

  color:#5085b6;text-decoration:none;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048activity span span {

  color:#ff7900;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048activity span

  .yiv4968185048underline {

  text-decoration:underline;}

 

  #yiv4968185048 .yiv4968185048attach {

  clear:both;display:table;font-family:Arial;font-size:12px;padding:10px

  0;width:400px;}

 

  #yiv4968185048 .yiv4968185048attach div a {

  text-decoration:none;}

 

  #yiv4968185048 .yiv4968185048attach img {

  border:none;padding-right:5px;}

 

  #yiv4968185048 .yiv4968185048attach label {

  display:block;margin-bottom:5px;}

 

  #yiv4968185048 .yiv4968185048attach label a {

  text-decoration:none;}

 

  #yiv4968185048 blockquote {

  margin:0 0 0 4px;}

 

  #yiv4968185048 .yiv4968185048bold {

  font-family:Arial;font-size:13px;font-weight:700;}

 

  #yiv4968185048 .yiv4968185048bold a {

  text-decoration:none;}

 

  #yiv4968185048 dd.yiv4968185048last p a {

  font-family:Verdana;font-weight:700;}

 

  #yiv4968185048 dd.yiv4968185048last p span {

  margin-right:10px;font-family:Verdana;font-weight:700;}

 

  #yiv4968185048 dd.yiv4968185048last p

  span.yiv4968185048yshortcuts {

  margin-right:0;}

 

  #yiv4968185048 div.yiv4968185048attach-table div div a {

  text-decoration:none;}

 

  #yiv4968185048 div.yiv4968185048attach-table {

  width:400px;}

 

  #yiv4968185048 div.yiv4968185048file-title a,
#yiv4968185048

  div.yiv4968185048file-title a:active, #yiv4968185048

  div.yiv4968185048file-title a:hover, #yiv4968185048

  div.yiv4968185048file-title a:visited {

  text-decoration:none;}

 

  #yiv4968185048 div.yiv4968185048photo-title a,

  #yiv4968185048 div.yiv4968185048photo-title a:active,

  #yiv4968185048 div.yiv4968185048photo-title a:hover,

  #yiv4968185048 div.yiv4968185048photo-title a:visited {

  text-decoration:none;}

 

  #yiv4968185048 div#yiv4968185048ygrp-mlmsg

  #yiv4968185048ygrp-msg p a span.yiv4968185048yshortcuts
{

  font-family:Verdana;font-size:10px;font-weight:normal;}

 

  #yiv4968185048 .yiv4968185048green {

  color:#628c2a;}

 

  #yiv4968185048 .yiv4968185048MsoNormal {

  margin:0 0 0 0;}

 

  #yiv4968185048 o {

  font-size:0;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048photos div {

  float:left;width:72px;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048photos div div {

  border:1px solid

  #666666;min-height:62px;overflow:hidden;width:62px;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048photos div label {

  color:#666666;font-size:10px;overflow:hidden;text-align:center;white-space:nowrap;width:64px;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048reco-category {

  font-size:77%;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048reco-desc {

  font-size:77%;}

 

  #yiv4968185048 .yiv4968185048replbq {

  margin:4px;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-actbar div a:first-child
{

  margin-right:2px;padding-right:5px;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-mlmsg {

  font-size:13px;font-family:Arial, helvetica, clean,

  sans-serif;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-mlmsg table {

  font-size:inherit;font:100%;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-mlmsg select,

  #yiv4968185048 input, #yiv4968185048 textarea {

  font:99% Arial, Helvetica, clean, sans-serif;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-mlmsg pre,
#yiv4968185048

  code {

  font:115% monospace;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-mlmsg * {

  line-height:1.22em;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-mlmsg #yiv4968185048logo
{

  padding-bottom:10px;}

 

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-msg p a {

  font-family:Verdana;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-msg

  p#yiv4968185048attach-count span {

  color:#1E66AE;font-weight:700;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-reco

  #yiv4968185048reco-head {

  color:#ff7900;font-weight:700;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-reco {

  margin-bottom:20px;padding:0px;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-sponsor
#yiv4968185048ov

  li a {

  font-size:130%;text-decoration:none;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-sponsor
#yiv4968185048ov

  li {

  font-size:77%;list-style-type:square;padding:6px 0;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-sponsor
#yiv4968185048ov

  ul {

  margin:0;padding:0 0 0 8px;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-text {

  font-family:Georgia;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-text p {

  margin:0 0 1em 0;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-text tt {

  font-size:120%;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-vital ul li:last-child
{

  border-right:none !important;

  }

  #yiv4968185048

 



   
     

   
    __._,_.___

         
 
 

   
     

   
       
        Posted by: bernard baha <bahabp2003@yahoo.com>
       
     
     

   
                          Reply
via web post
                      •
           
                Reply to sender           
          •
           
              Reply to group           
          •
            Start a New
Topic
          •
                            Messages in this
topic
                (2)
                     

       

           
       
       
       
           
           
                Have you tried the highest rated
email app?
                With 4.5 stars in iTunes, the Yahoo Mail app is the
highest rated email app on the market. What are you waiting
for? Now you can access all your inboxes (Gmail, Outlook,
AOL and more) in one place. Never delete an email again with
1000GB of free cloud storage.
           
       
             
     
   









 




    Visit Your Group

     
      New Members
      1
   
 



 
    • Privacy • Unsubscribe • Terms of Use






   

 
 
 
 



     




     

  .


   


 

__,_._,___



#yiv1677298662 #yiv1677298662 --
  #yiv1677298662ygrp-mkp {
border:1px solid #d8d8d8;font-family:Arial;margin:10px
0;padding:0 10px;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-mkp hr {
border:1px solid #d8d8d8;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-mkp #yiv1677298662hd {
color:#628c2a;font-size:85%;font-weight:700;line-height:122%;margin:10px
0;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-mkp #yiv1677298662ads {
margin-bottom:10px;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-mkp .yiv1677298662ad {
padding:0 0;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-mkp .yiv1677298662ad p {
margin:0;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-mkp .yiv1677298662ad a {
color:#0000ff;text-decoration:none;}
#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-sponsor
#yiv1677298662ygrp-lc {
font-family:Arial;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-sponsor
#yiv1677298662ygrp-lc #yiv1677298662hd {
margin:10px
0px;font-weight:700;font-size:78%;line-height:122%;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-sponsor
#yiv1677298662ygrp-lc .yiv1677298662ad {
margin-bottom:10px;padding:0 0;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662actions {
font-family:Verdana;font-size:11px;padding:10px 0;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662activity {
background-color:#e0ecee;float:left;font-family:Verdana;font-size:10px;padding:10px;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662activity span {
font-weight:700;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662activity span:first-child {
text-transform:uppercase;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662activity span a {
color:#5085b6;text-decoration:none;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662activity span span {
color:#ff7900;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662activity span
.yiv1677298662underline {
text-decoration:underline;}

#yiv1677298662 .yiv1677298662attach {
clear:both;display:table;font-family:Arial;font-size:12px;padding:10px
0;width:400px;}

#yiv1677298662 .yiv1677298662attach div a {
text-decoration:none;}

#yiv1677298662 .yiv1677298662attach img {
border:none;padding-right:5px;}

#yiv1677298662 .yiv1677298662attach label {
display:block;margin-bottom:5px;}

#yiv1677298662 .yiv1677298662attach label a {
text-decoration:none;}

#yiv1677298662 blockquote {
margin:0 0 0 4px;}

#yiv1677298662 .yiv1677298662bold {
font-family:Arial;font-size:13px;font-weight:700;}

#yiv1677298662 .yiv1677298662bold a {
text-decoration:none;}

#yiv1677298662 dd.yiv1677298662last p a {
font-family:Verdana;font-weight:700;}

#yiv1677298662 dd.yiv1677298662last p span {
margin-right:10px;font-family:Verdana;font-weight:700;}

#yiv1677298662 dd.yiv1677298662last p
span.yiv1677298662yshortcuts {
margin-right:0;}

#yiv1677298662 div.yiv1677298662attach-table div div a {
text-decoration:none;}

#yiv1677298662 div.yiv1677298662attach-table {
width:400px;}

#yiv1677298662 div.yiv1677298662file-title a, #yiv1677298662
div.yiv1677298662file-title a:active, #yiv1677298662
div.yiv1677298662file-title a:hover, #yiv1677298662
div.yiv1677298662file-title a:visited {
text-decoration:none;}

#yiv1677298662 div.yiv1677298662photo-title a,
#yiv1677298662 div.yiv1677298662photo-title a:active,
#yiv1677298662 div.yiv1677298662photo-title a:hover,
#yiv1677298662 div.yiv1677298662photo-title a:visited {
text-decoration:none;}

#yiv1677298662 div#yiv1677298662ygrp-mlmsg
#yiv1677298662ygrp-msg p a span.yiv1677298662yshortcuts {
font-family:Verdana;font-size:10px;font-weight:normal;}

#yiv1677298662 .yiv1677298662green {
color:#628c2a;}

#yiv1677298662 .yiv1677298662MsoNormal {
margin:0 0 0 0;}

#yiv1677298662 o {
font-size:0;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662photos div {
float:left;width:72px;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662photos div div {
border:1px solid
#666666;min-height:62px;overflow:hidden;width:62px;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662photos div label {
color:#666666;font-size:10px;overflow:hidden;text-align:center;white-space:nowrap;width:64px;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662reco-category {
font-size:77%;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662reco-desc {
font-size:77%;}

#yiv1677298662 .yiv1677298662replbq {
margin:4px;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-actbar div a:first-child {
margin-right:2px;padding-right:5px;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-mlmsg {
font-size:13px;font-family:Arial, helvetica, clean,
sans-serif;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-mlmsg table {
font-size:inherit;font:100%;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-mlmsg select,
#yiv1677298662 input, #yiv1677298662 textarea {
font:99% Arial, Helvetica, clean, sans-serif;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-mlmsg pre, #yiv1677298662
code {
font:115% monospace;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-mlmsg * {
line-height:1.22em;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-mlmsg #yiv1677298662logo {
padding-bottom:10px;}


#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-msg p a {
font-family:Verdana;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-msg
p#yiv1677298662attach-count span {
color:#1E66AE;font-weight:700;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-reco
#yiv1677298662reco-head {
color:#ff7900;font-weight:700;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-reco {
margin-bottom:20px;padding:0px;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-sponsor #yiv1677298662ov
li a {
font-size:130%;text-decoration:none;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-sponsor #yiv1677298662ov
li {
font-size:77%;list-style-type:square;padding:6px 0;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-sponsor #yiv1677298662ov
ul {
margin:0;padding:0 0 0 8px;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-text {
font-family:Georgia;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-text p {
margin:0 0 1em 0;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-text tt {
font-size:120%;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-vital ul li:last-child {
border-right:none !important;
}
#yiv1677298662


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment