Saturday, 2 April 2016

Re: [wanabidii] Magufuli na wanyonge vs UKAWA na wahisani

Mam Nkya kweli tnahitaji upinzani wa kweli; wenye uadilifu; Makini; adilifu nk.
hatuhitaji upinzani tunaoutilia mashaka kuwa una lengo la kuvuruga au hata kuvunja muungano wetu. Tumeshuhudia Tanzania ikipata shida ya upinzani wake kuvurugika, tena bahati mbaya muda mfupi kabla ya uchaguzi. Tumeshuhudia upinzani ukiingiliwa na wale waliokuwa wakiongoza yale yaliyopingwa na upinzani. wakauingilia upinzani na kuugeuza mwelekeo kama kirui kinavyogeuza seli. Tunahitaji kuwa makini kuhakikisha umakini unakuwa makini adilifu na na makini. Na ndicho kilichofanyika. kikaishia kurudia uchaguzi. Moja kati ya kazi zilizo mbele yetu ni kuujenga upya.
--------------------------------------------
On Fri, 4/1/16, 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Magufuli na wanyonge vs UKAWA na wahisani
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, April 1, 2016, 11:47 PM


Tatizo la Watanzania tunapenda sana kujidanganya na zaidi
tunadanganyika  kirahisi.
Hakika, hata kama nchi yetu ingekuwa haiitaji msaada kutoka
nchi yoyote kwa ajili ya kugharamia miradi yake ya
maendeleo, kama taifa, hatuwezi kupiga hatua kubwa ya kuleta
maendeleo endelevu yanayowanufaisha wananchi wote na siyo
kikundi kidogo cha watawala, kama  nchi haitakuwa na
UPINZANI WA KWELI, MADHUBUTI, MAKINI, ADILIFU  NA WENYE
MAONO.  Kitendo cha watawala kutaka kuuwa upinzani
Zanzibar, maana yake ni kukataa nchi isipate maendeleo
yanayonufaisha wananchi wote. Ni jipu kubwa.

Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Wed, 3/30/16, 'Ansbert Ngurumo' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Magufuli na wanyonge vs UKAWA na
wahisani
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, March 30, 2016, 10:33 AM

Huu
ni ujinga! Wakati wewe unajaribu kupotosha hoja ya MCC,
msikilize Waziri wa Mambo ya Nje, Dk. Augustine Mahiga
anavyosema:

"Kitendo
hiki ni kibaya. Unamuumiza mtu pale panapouma katika suala
la maendeleo. Kitendo hicho kinafuta imani na uelewano
kati
yetu (Marekani na Tanzania) kwa sababu suala la nishati ni
nyenzo ya maendeleo. Fedha hizo zingesaidia miradi ya
umeme
vijijini, kwa hiyo, watoto wetu wangesoma, wangepata elimu
bora na zingeboresha huduma za afya. Walitutamanisha kuwa
watatupa hizo fedha, lakini lakini wanafuta pale ambapo
maendeleo yetu yamejikita.
SWALI:
Unataka kusema kwamba Balozi Mahiga ni mwana UKAWA?
Ametumwa
na UKAWA kusema hayo? Kama hujajipanga vema, acha
propaganda. Zitakuaibisha. UKAWA hawalili misaada ya nje.
Wanasisitiza kuwa jeuri ya watawala ndiyo imesababisha
hayo.
Rais Magufuli alisema ya Zanzibar hayamhusu. Ona sasa
kinachotokea. Kinaathiri Tanzania nzima. Tulipiga kelele
dhidi ya Sheria ya Makosa ya Mtandaoni kwamba ni ya
kikatili, ni dhalimu, ni ya kikoloni. Watawala wakafunika
nyuso zao kwa viganja kama nyani. Wakaficha vichwa
mchangani
kama mbuni,, kumbe mwili mzima upo nje nje. Fedha hizi
zilikuwa zinaelekezwa katika kuboresha huduma kwa
wanyonge.
Atahri zitawapata wanyonge, si Magufuli na wenzake.
 Ansbert Ngurumo
Managing
EditorFree
Media

P.O. Box 15261Dar es Salaam
Tanzania

Mobile    +255 767 172
665www.freemedia.co.tzwww.voxmediatz.com
www.ngurumo.wordpress.com
www.ngurumo.blogspot.com

 


    On Wednesday, March
30, 2016 10:35 AM, 'lang'itomoni lokomoi' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
   

  Magufuli
na wanyonge vs UKAWA na wahisani
      Hatimaye UKAWA
wamejipambanua katika rangi yao halisi ya kutaka kuuza
uhuru
kamili wa
nchi...kwa kuwalilia na kuwashabikia wazungu!!   

Reference iko humu humu jamvini.
      Ni ukweli usio na shaka kwamba
UKAWA walipambana sana hata kabla ya matokeo ya uchaguzi
wa
Rais Nov 2015...
      Ukawa walipambana vilivyo
kuwaonesha wazungu kuwa Tanzania hakuna amani...
      Ukawa kwa mara ya kwanza Tanzania
walihakikisha kuwa
vyombo vya
habari vya kimagharibi vinaonesha Tanzania kuna tension
kiasi cha amani
kutoweka....   
Ila kwa weledi mkubwa na uzalendo uliokithiri
vyombo vyetu vya kiuongozi na kiusalama vikashinda jaribio
hilo ovu la
UKAWA na wananchi wa Tanzania wakamaliza uchaguzi kwa
amani
na ustaarabu
  kama ikivyo desturi yetu.
      UKAWA waliandaa maandamano UK
na
USA na sio Manzese,Magomeni au Tandahimba ili kuonesha
kuwa
nchi hii
haina demokrasia kisa CCM ilikuwa imeshinda na inaendelea
kushinda...huku wakisahau kuwa ndani ya vyama vyao
wanacheza
tikitaka na
  kugeuza gia za angani ili tu viongozi wao wawe wa
kudumu
yaani
wanahubiri demokrasia ambayo ndani ya vyama vyao
haipo.
      UKAWA wako tayari kuomba
majeshi nje ili tukupambana na CCM(REFERENCE: Vijana wa IT
na mabodyguard kutoka nje ya nchi)

      UKAWA inaendelea kujidhihirisha kwa
sera
zake za utegemezi kwa
mataifa ya nje...yaani UKAWA inaachana na dhana ya kutumia
resource
nyingi tulizonazo kukwamua wananchi kutoka kwenye matatizo
na badala
yake inajikita kwenye kuamini kuwa maendeleo yatakuja kwa
msaada na
hisani ya watu wa marekani.   
UKAWA inatukumbusha vikundi vya miaka ile ya kudai uhuru
...vikundi tulivyoviita vibaraka wa wakoloni.
      HII NI HULKA CHAFU YA UKAWA
iliyotubadilishia gia angani!!
      UKAWA hii ya sasa ni UKAWA inayonukia
kinyesi cha
UFISADI PAPA
baada ya kukiokota na kujipaka yenyewe karibia na uchaguzi
wa 2015.

      Hii ni UKAWA iliyopoteza agenda muhimu
za
kitaifa kama vile vita
dhidi ya ufisadi,ukosefu wa ajira,ukosefu wa
uadilifu,elimu
duni na afya
  isiyoridhisha....UKAWA inahaha kutafuta Agenda ya
kubakia
kwenye ulingo
  wa siasa kwa gharama yoyote baada ya kuvurunda
...!
      UKAWA inajitenga rasmi na hoja
za wananchi na badala yake inachukua mrengo wa kunyenyekea
wakoloni!

      UKAWA inaanzisha mapambano upya ya
sisi
wazalendo dhidi ya Ukoloni
wa kisasa na kwa nguvu zetu,adabu,uvumilivu na msimamo
tutashinda tu...!
      UKAWA haisikiki kwebye vita dhidi ya
mauaji ya albino
lakini
inataka isikike kwenye msaada wa MCC...HUU NI UNAFIKI WA
KUTUPWA!!
      SHAME UPON UKAWA ILIYOAMINIWA
NA KUJIGEUZIA GIA ANGANI...!   
KWA MAGUFULI HAKIKA MTAISOMA NAMBA....KWANI AGENDA YETU NI
KAZI TU KAZI TU KAZI TU!
     
iliwahi kusemwa kuwa 'NGUO YA KUAZIMA
HAISITIRI.....Tufanye kazi na tulipe kodi!   
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.


 
   

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment