Saturday, 2 April 2016

Re: [wanabidii] Kusitishwa Msaada wa Marekani Uwe Mwanzo wa Kusitishwa Mingine

Tumekuwa MASIKINI JEURI. Yaani tunasema hao Marekani waende zao! Wasitubabishe kwanza wanatuhitaji zaidi sisi. After all tupo huru! Hivi: Tujiulize kuhusu sources of capital kwa any capitalist au ili mtu atajirike anapata wapi mtaji? Angalia hata hapa mjini; masikini hatukopi, tunaishi kwa vipato vyetu.maana tunaamini kwenye KUFUNGA MKANDA na matajiri wanakopa kufanya kazi zaidi na hence utajiri zaidi na wanakopesheka. Mtumikie kafiri upate wako mtaji. Hivi tunafikiri hata wafanyakazi wanavumilia manyanyaso ili nini? Juzi amepigwa daktari mtwara na pamoja na hilo nyanyaso hataacha kazi. Unafikiri ili nini? Tusidanganyane kuwa pesa za ndani zitatupeleka mbele. Tutakuwa masikini jeuri wasiodaiwa na wanaojitegemea tu but nothing like massive economic expansion. Tusome zaidi expansionist theories tutapata mwanga. Kutumia internal resources ni sawa kabisa lakini itakuwa from hand to mouth. Accumulation of capital itachelewa sana na tunaweza tusiifikie kabisa kama hatutachanganya na external sources. External force may be used to break the vicious cycle of poverty.

Sent from my Huawei Mobile

-------- Original Message --------
Subject: Re: [wanabidii] Kusitishwa Msaada wa Marekani Uwe Mwanzo wa Kusitishwa Mingine
From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
To: wanabidii@googlegroups.com
CC:

Magobe wao wanaojadili mjadala huu na wanajionyesha kuwa sio wazalendo. Wanaonekana kushabikia wamarekani. Tulitarajia fedha hizo zije zisaidie. Wameamua kuzichukua au kutozitoa. Kama alivyosema rais wafadhili wana tatizo kutoa masharti mengine ambayo hayafai. mfano ni huu wa MCC. Sisi tunajua mazingira yetu kuliko wao wanavyoona. Wana zaidi ya myaka 200 wakiwa huru. Walijenga uchumi wao bila vipingamizi kama tunavyokumbana navyo. Wanataka tufanye kama wanavyotaka
Tukiamua kukataa wazalendo wanahitaji kuwa na Serikali yao katika kukabiliana na hali hiyo.

Wale wanaoonekana kuzomea au kubeza si wazalendo kabisa.
--------------------------------------------
On Fri, 4/1/16, Telesphor Magobe wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Kusitishwa Msaada wa Marekani Uwe Mwanzo wa Kusitishwa Mingine
To: "wanabidii@googlegroups.com"
Date: Friday, April 1, 2016, 4:18 PM

Siamini kuwa wanaotoa
mawazo yao kuhusu MCC kusitisha funds si wazalendo to the
extent that wasiotoa mawazo ndio wazalendo! Hii ni bad
reasoning!

2016-04-01 15:34
GMT+03:00 fadhil fadhil :
Wamarekani wana sababu zao zingine
wanazozijua lakini sio demokrasia wala sheria ya mtandao,
kama demokrasia mbona wanaipa Misri mabilioni ya dola
halikuwa ukandamizaji wa demokrasia nchini humo wote
tunajua.

kama issue ni sheria ya mitandao Marekani ndio wenye
sheria mabaya zaidi ya mitandao kwa kisingizio cha ugaidi ,
ndugu usijitie upofu hali kuwa una macho mawili ya kuona.

Wazungu wa ulaya na wamarekani wameshaona chini ya
utawala wa Magufuli hawana watakachopata ndio maana wameanza
kutafuta sababu zisizo na msingi.

Naunga na Rais Magufuli tutavuka kwa kuchapa kazi
kweli kweli ya kubana matumizi na kurudisha uwajibikaji na
nidhamu seriakali jambo ambalo keshaanza nalo mara tu baada
ya kuapishwa

2016-04-01 15:27
GMT+03:00 fadhil fadhil :
Labda nijibu swali namba mbili, suala la
MCC limekuwa gumzo baada ya wasioitakia mema nchii hii
kutaka liwe gumzo kwa kuandika makala mbalilmbali na kutoa
comment zinazoonyesha hakuna tanazania tena baada ya Mcc
kujitoa,

wenye mawazo mgando wanatumia mitandao ya kijamii
kuuhabarisha umma kuwa, Tanzania kamwe haiwezi kujitegemea
bila ya misaada ya mabepari wa ulaya na marekani wakipingana
na wazalendo Tunaamini kwa kasi hii ya Magufuli Tanzania
isiyotegremezi inawezeka kwa kuchapa kazi kweli kweli na
kuacha kushinda bar na kucheza pool table.

2016-04-01 10:25
GMT+03:00 Telesphor Magobe :
Kama hivyo ndivyo vigezo:
1. Je, sisi tunaamini demokrasia ilifanyika uchaguzi
wa ZNZ?
2. Kama waziri wa fedha anasema "walikuwa
wameshajipanga" kwa nini wao kusitisha msaada kuwe
gumzo kwetu?
3. Kama tunaweza kujitegemea kwa kila watakaositisha
msaada wao shida iko wapi? Si na wao wana uhuru kutokana na
matakwa ya wapiga kura wao wanataka kuona misaada hiyo
inakwenda tu kwa wale wanaotekeleza demokrasia?

On Thu, Mar 31, 2016
at 9:28 PM, De kleinson kim
wrote:
Magobe,
1. Msaada umesitishwa kwa madai kwamba
Demokrasia haikufanyika uchaguzi wa ZNZ. (Demokrasia ni moja
ya vigezo vya kupata msaada huo)

2. Waziri wa fedha Dr Mpango ameshasema walijipanga na hilo
mapema maana walijua litatokea.

3. Wanajua sisi ni wanyenyekevu kwao siku zote. Labda tuseme
walitaka tuendelee kunyenyekea.

4. Mambo yepi yanapindishwa?

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment