Thursday, 2 July 2015

Re: [wanabidii] (Lowasa maji yamekushinda utaweza foleni au porojo za kisiasa?)

Sidhani kama ni sahihi kwa wanaompenda Lowasa kuhoji kwa nini wanadai anasakamwa. Sidhani kama kuna kusakamwa na pili kuhoji kwa nini watia nia wengine hawasakamwi pia ni kukosa hoja.
Ningefurahi kama wanaompenda wangejibu hoja juu ya hoja kwa utulivu, umakini, usahihi na ukweli kuliko wanavyofanya. Hii ingemsaidia Lowasa mwenyewe na watanzania kujua nani anafaa. Tatizo la wengi ni kukimbilia kujibu kwa hoja hafifu na kwangu zinanipa jibu fupi. Hata wao ni weupe hawamjui wanayemtetea.
Wekeni mazuri yake, jibuni hojA

Sent from my Huawei Mobile

'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>
>Kwanza sehemu kubwa yenye protected catchment forests ni kwa wakulima hazipo semi-arid areas.
>Mbuga chache sana na protected forests zipo semi-arid areas. Ila labda mbuga kuu ya hifadhi tu ya Serengeti yenye jina kuu ipo huko. Kama kuna mhifadhi mazingira na uoto asili-Mpare ndio namba moja wanafuatilia weengine.
>
>Mito mikuu inaanzia misitu kwa wakulima na ikilindwa kwa mila na desturi TZ. Na ndiko huko wanakohamia Sasa-Sumbawanga, Rufiji, Lindi, Morogoro ndio usiseme na kuharibu hata irrigation scheme. Kutokana na kuona hoja za wazungu kutetea wafugaji ndio bora kuna kusahau indigenous knowledge na practices za ulinzi wa mazingira kwa wakulima na wakulima wafugaji. Hata nami nimetembea kute huko unakosema na degradation ipo kubwa. Ila yale maeneo ambayo wawekezaji waliweka tented camps kisheria au maeneo ya zoo-breeding wanyama pori ndiko huko wanafanya uvamizi na kudai ardhi imeporwa. Na kama wakoloni wasingeanzisha protected area na GVT kwa miaka kufanya nguvu ya kuweka corridors na buffer zone-kiukweli TZ ingekuwa jangwa. angalia juhudi za kupanda miti dodoma zinavyobadili sura ya mji na vijiji. Lakini-ukifika mfano Maswa Game Reserve-utatembea kilometa za machaka na ukifika karibu na hiyo reserve ndio kuna nyumba mbanano na kuingia kulima mpaka ndani ya hiyo
>GM (Fika Nyanza village) na serikali kuwatoa humo ndani kwa kuchoma vibanda. Fika Mikumi National Park-utapita machaka lakini kabla ya kuingia Park-nyumba na kilimo kipana. Jiulize-kwa nini wasonge kule badala kinyume chake. Kwa sasa hakulimiki Mikumi-mifugo inapita kuhamia ndani ya N.P. ya kutoka limoleta maefu. Lakini fika Loliondo, NCAA, Vijiji vya Simanjiro uone kilimo kinachoendelea ndani ya wildlife conservation area. Change ya livelihoods za wafuigaji zikubalike na mbinu za matumizi ardhi kiendelevu ziboreshwe na kuzingatiwa. Kwa wakulima pia. Kukata misitu asili hovyo, kilimo kisich endelevu ardhi haitotosha daima na mito itakauka.
>
>Source ya migogoro ni rushwa na kutozingatia sheria ya ardhi na ethnocentrism. Mbona hilishii shamba lako ukilima ulikohamia au place of origin. Kama carrying capacity ni eka tano kwa livestock unit-unao elfu 5 katika ekari mbili. Hupandi majani na eneo leupe-hata conservation area ipunguzwe tatizo halitatatulika. Tuna centres za kilimo na mifugo zonal zinajulikana na mikoa mingine zaidi ya 1 ya mifugo. Support zipo tuzitumie. Tafiti kibao na ushauri mpaka za kuangalia Value chain ya Red meat na matatizo katika ufugaji. Soma UNIDO (2012) Tanzania Red Meat Value Chain. A diagnistc study na nyinginezo kibao. Studies za Farmer-Pastoral Conflicts zipo kibao na ushauri. Hatuzingatii. Na land use planning inakwepwa kwani hela zipo mbona posho nene hatuachi kujipa ktk vikao lakini LUP ni 8-10 million kwa kijiji. Tuone kupimwe, wapate hati za kimila za makazi na mashamba au maeneo ya ufugaji halafu tumuone atakayezurura na kusabisha mapigano na mauaji.
>
>Kama eneo ni la kufuga, mfugaji akianzisha kilimo cha kupanuka eneo la kuchunga kijiji chake kimfanye nini? Siku hizi hata wazee wa mila corrupt ndio maana mtu anaweza kuingiza wafugaji wageni, kulima ktk common grazing land. Kuwakemea-tutakosa kura. Miaka ya nyma Kijiji cha Robanda kilikuwa cha waikoma-wafugaji na kilimo kiasi. Baada ya hoteli ya Grumeti kujenga-ugomvi wa waikoma na wamasai kutoka serengeti ukamalizwa in mid-1990s kwa kusainiana mkataba wa kimila. Kumejaa wafugaji wa kimasai. si mbaya ila mafao ya kutoka grumrti hayataonekana kutokana na population growth, overconcentration of people and livestock, business-petty and major. Ardhi itakuwa ndogo na kutaka degazettement ya Grumeti na Ikorongo na ardhi ya Robanda ni rocky mawe ya gypsum. In 1980s STDs na TB vikiongoza sasa itakuwa balaa na vitakuwa vinapaa pamoja na malnutrition kwani chakula cha nafaka na kimoro itakuwa tabu. Solution sio kupunguza mbuga na mwisho kuona tunaonewa. Pale
>ulipo unazingatia matumizi bora hata ukizaa sana? Mifugo mpaka Mgeta mlimani morogoro, Bunju, Kiromo bagamoyo kwa visingizio vya kila aina? Ndio tunauliza wengine. Uhuru wa wengine kuzurura watatako ila mkulima hawezi kuhamia NCAA, Loliondo Game Reserve area akalima atakavyo-atahamiaje? Kwa nini tusikubali kutumia research, ushauri tukaendelea? hata ukichukua ramani za ukoloni za social anthropologist na maps zao za makabila mbali mbali na maeneo yao na protected areas-kisha uchukue satellite images kwa miaka kadhaa uone ulinganishe na mipaka ya zamani na uoto over years utaona uharibifu wetu wenyewe kimipaka-hiyo research ilifanyika chini ya DIFD funds likapatikana lisilotegemea waliokuwa wakidhani serikali ndio mkosa mkuu kuonea jamii moja tu. Hiyo ndio ilikuwa dhana ya wahisani hao na NGO funded nao zilizokuwa zikileta tafrani Mkomazi na ndani ya Serengeti NP. na NCAA na vijiji vyake  ndani na nje yake. Vijiji 92 vinavyozunguka National Park ya
>Serengiti vilifanyiwa utafiti kwa kuzinguka sampled areas kuangalia matumizi na kufaidika na NP. Report kama hizi ziopo ndani ya makabati na matatizo yanakua. Tufike mahali watanzania tukubali kubadilika na viongozi wawajibike kikamilifu. Sera na sheria zitekelezwe na kila sekta tuache kuwa na sheria, sera, mikakati mizuri, raslimali zipo lakini tunabali kuwa
>kichwa cha mwendawazimu. Inapofika uchaguzi tu-kusema yasioyo kweli na kurahisisha utatuzi wa mambo ambayo miaka yote tulikuwa tunayaangalia tu. Ni nadharia tu na changa la macho. Utatatua hata tatizo la msongamano wakati Wizara moja magari mia kila kiongozi anatoka na lake? Kila nyumba familia inatoka na gari? Walioziba njia za mkato huwabomolei?
>
>Transport sector-wataalamu wake wanasoma na kwenda ulaya-wanaona wenzetu walivyotenganisha njia/barabara tofauti za magari na matumizi yake zipo parallel hazikutani- wewe unachanganya tankers za petroli, lori za trela za mizigo, mabasi ya abiria, taxi, bajaji, bodaboda na kuruhusu wauza biashara kuzuia njia kwa kutumia magari yao ya biashara za kuuza mbao; wapanga biashara njia za mapito ya miguu, garage na frame za biashara kwenye feeder roads/ ujenzi katika right of way ya barabara kuu ambapo wenye bajaji hawawezi kukaa mbali na main road; kituo cha bus kinakuwa meza za biashara kiasi bus linabidi lisimame barabarani kutokana na meza za mauzo kuwa njiani. Leo unatudanganya na suluhisho la msongamano wa magari-SIKU ZOTE UPO WAPI na ni mshauri Bungeni au Serikalini? Ufugaji kisasa-Mbona jimboni kwako hakuna mfano? Kwa ni jirani na chuo cha kilimo milima iwe haina misitu watu wanalima unsustainably nawe hilo ni jimbo lako-umewaweka wawajibike na
>kuwasaidia vipi? tunauliza-upo DSM, Mbunge na Waziri au Mbunge-kwa nini mito katika jimbo lako ichimbwe mchang imomonyoke na kuhatarisha majumba na usalama wa watoto waendao shule huchukui hatua kuwaunganisha vijana wajitengenezee ajira katika vikundi hivyo vyao vya mchanga na kuvuta bangi na donors wapo. Chama chako kina wasomi na wanasheria wa kuwasaidia mafunzo, katiba zao na kupata mikopo bank na donor support. Upo kuilaumu CCM tu na serikali yake, kelele bungeni unalala kusoma kipengee hadi kipengee cha sera na sheria na mengineo. Wewe umewajibikaje na yote haya unayajua ya kuwezesha? Kuhoji dhambi? wanasoma michango ya wanazuoni na wanabidii na mitandao mingine. Ndio maana tunaandika hivi ili waingize katika utendaji wao. Tumechoka kuchapwa barora Mkoa wa Morogoro!! Kilimo kinakufa wazee wenye watoto yatima wanateseka. Siku hizi ukifukuza mfugo shambani kama ni mama/mwanamke-unabakwa. Yupo aliyebakwa mama mtu mzina hadi leo kesi imeishia. Mume
>kapata shock kaanguka kafa. Inaniuma mimi watu wakwetu wanateseka. Hata shamba langu halilimiki tena limeliwa kila kitu mpaka miti iliyopandwa. Ndio maana ninaongea daima kuhusu kilimo na ufugaji endelevu iewe kama sheria. Mbuzi na ng'ombe za kisasa za maziwa wano zaidi kwa uchache. Mbona zipo sokoine University na vituo vingine kibao? Why no mabadiliko. Support ya panda miti kibiashara ya donors (Finnida) ipo. Mkuhumi na carbon money ipo. Kwa nini hatutaki kubadilika? Tumelogwa Baha na mchawi wetu-Kafa. Kutuokoa ni sheria tu iwe msumeno. Kuhamasisha na kuelimisha bila sheria kukaziwa na kutekelezwa bure, matokeo chanya ni % ndogo sana.
>--------------------------------------------
>On Wed, 1/7/15, 'bernard baha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>Subject: Re: [wanabidii] (Lowasa maji yamekushinda utaweza foleni au porojo za kisiasa?)
>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>Date: Wednesday, 1 July, 2015, 23:40he
>Namchukulia
>Kiwasila kama mwanamazingira ambaye kafumbwa macho na
>umazingira ila maelezo yake kuhusu Mheshimiwa na nafasi yake
>kuleta mabadiliko inapaswa tenganishwa na imani yake juu ya
>ulinzi wa mazingira. Binafsi nimeshiriki kutafiti kiasi
>mambo ya migogoro, Mwita upo sahihi, sasa si ndio changa la
>macho hapa? Lowassa na hawa watangaza nia wengineo ama
>walikuwa sehemu ya maamuzi ama blander wengine toka enzi za
>Nyerere juu ya suala la wafugaji, ati tupo namba tatu Afrika
>ila hatuoni manufaa..tunafikiria usasa. Nilipendekeza
>upimwaji wa vijiji na kuangalia uwezo wa eneo kuingiza
>ufugaji nk. But study zetu zipo kavazini. Ila baadhi yetu
>tumeshuhudia binadamu wenzetu waliozikwa kwenye shallow
>graves,kisa Ardhi, Tanzania. Acheni nadharia hapa.Kama
>Mhishimiwa haya yalimshinda enzi hizo mnafikiri ana
>mwarobaini? Kiwasila yupo sahihi, ebu tafuteni namna
>alivyoshughulika hapo awali na kero ya traffic jams na idadi
>ya ajali baada ya kulazimisha maono yake.
>         From: Emmanuel Muganda
><emuganda@gmail.com>
>  To:
>"wanabidii@googlegroups.com"
><wanabidii@googlegroups.com>
>  Sent:
>Wednesday, July 1, 2015 11:13 PM
>  Subject:
>Re: [wanabidii] (Lowasa maji yamekushinda utaweza foleni au
>porojo za kisiasa?)
>   
>NI
>mentality hii hii ya zimwi likujualo itakayoizika kabisa
>Tanzania yetu.em
>2015-07-01
>14:44 GMT-04:00 Neatness Msemo <nmuzeh@gmail.com>:
>
>
>hebu tumpe naye akajaribu ni bora zimwi likujualo
>kuliko ambao hawatabiriki
>On Jul 1,
>2015 9:08 PM, "Victor Mwita" <victormwita@gmail.com>
>wrote:
>Sipendi
>sana kubishana na Hilde Kiwasila na napenda umahiri wake wa
>kuchambua masuala mbalimbali, lakini hili la wafugaji
>nadhani anahitaji kuliangalia upya. Maeneo hayo anayodai
>yametunzwa na wawekezaji na watu wengine anaowasifia
>yalikuwa maeneo ya malisho. KIA, Monduli TMA, Basotu,
>Serengeti National Park, NCAA, Maswa Game Reserve na mengine
>mengi zilikuwa rangelanda ambazo zilichukuliwa na
>kubadilishwa matumizi bila kuwapa wafugaji na watumiaji
>halali maeneo mbadala. Achilia mbali maeneo ambayo miji kama
>Arusha inazidi kupanuka ni rangelands. Zaidi ya hayo maeneo
>ambayo walikuwa wanatumia kwa kulisha wakati wa kiangazi
>kama wembere plains ambayo ina-extend hadi Tabora, bonde la
>mgongola na mengineyo sasa ni maeneo ya umwagiliaji na
>kilimo. Watu wakiongeza maeneo ya kilimo na hata kuziba njia
>za mifugo kwenda kwenye maji hakuna anayesema. Ila mfugaji
>akilazimika kwenda kunywesha mifugo anapigiwa kelele. Lazima
>tutambue kwamba ufugaji ni sehemu ya maisha. Na hizo tuhuma
>za kuharibu mazingira ni za kufikirika zaidi. Research
>haisemi hivyo. Ni pale wafugaji wanapolazimishwa kuwa
>squeezed sana ndio kuna effect. Na sio kubwa kiasi hicho.
>Kuna madhara makubwa zaidi kwa mfano kutokana na kilimo cha
>tumbaku kuliko mifugo.
>
>Nimeenda Kiteto na kuona madhara makubwa yanayotokana na
>kilimo cha kuhamahama ambayo ni ya kiwango kikubwa.
>
>Tuache kuwaonea wafugaji kwa kila baya na tuwe rational dada
>yangu Hilde
>Sent from My Ipad
>On 1 Jul 2015 19:28,
>"'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii"
><wanabidii@googlegroups.com>
>wrote:
>Mollel,
>nichambe laniki nipo ngangari sina upendeleo wala chuki na
>mtu wako. Tunahoji ya uhalali.
>
>
>
>Labda nisipate uongozi-nitahakikisha kila kijiji kimefanya
>land use planning na certification. Tuone kama mifugo
>itakuwa inaingia kutoka Mwanza. Arusha, Manyara. Wenyeji wa
>Pwani mpaka Zanzibar ng'ombe hawaachii wakazagaa hovyo,
>huwafunga kamba. Wana mbuzi wa kienyeji na sasa za Maziwa
>vituo vya kilimo na miradi ya ufugajii huwasaidia kwa ajili
>ya lishe.
>
>
>
>Coastal areas huheshimu ardhi ya mtu mwingine hawezi kuingia
>hovyo kulishia mifugo, kukata miti au kulima bila ruhusa.
>Ninyi mkitoka kwenu mna tribalism. Mnadharau mtu mwingine
>yeyote ambae si Mmasai. Hivyo huingiza mifugo na kulishia
>mashambani, mkulima akiwafukuza-anapigwa bakora. Mna hela za
>kuhonga polisi na mahakama. Mnalima mwakenu ila hamlishii
>mifugo yenu hata siku moja. Ila mkifika kwa wenzenu iwe
>mbali Rukwa, Tunduru, Kisarawe, Morogoro, Kilosa-mnalishia
>hata ekari tano plus kwa mchana au usiku-ni dharau.
>mmepimiwa vijiji vyenu kilosa-mnalima kwa plau na treka,
>mifugo mnahamishia kwingine na kusema mnaonewa.
>
>
>
>Ardhi haipanuki Simanjiro, Monduli, babati hata
>Loliondo-mnavuna madini mererani mnaongeza mifugo.
>Mnalimbikiza mifugo ardhi inakuwa nyeupe kisha mnataka
>wildlife conservation areas ziwe degazetted eti mnaonewa
>ardhi wanapewa wageni. Wildlife raching, game hunting
>inaruhusiwa kisheria na OBC kawapa mafao mamilioni ushahidi
>upo mafao kibao wilaya na vijiji-mnamvamia eti mnaonewa.
>Kumbe mnaharibu mazingira vijijini mwenu halafu hoteli
>zimelinda mazingira yao na wawekezaji-mnaingiza mifugo. Kama
>mnaweza kupambana mbona hatujasikia mkilishia mashamba ya
>mchaga jirani yenu? Mnawaogopa na kuwaonea hao wa kisarawe
>etc.
>
>
>
>Sasa mchangieni aje kutawala ili mzagae na mifugo hadi
>Ikulu. Hatumchukii kama uonavyo wewe team Lowasa, tunahoji
>issues kama tunavyohoji kwa wagombea wengine. Mbona wewe
>tumbo joto na Lowasa? umepewa vijisenti nini? umo kwenye
>hayo magari yaliyokodishwa yanayotembea mikoa yote na wamama
>kupiga vigelegele na kutamka maneno tunayosikia ktk TV na
>radio? kinidhamu-ukiambiwa maombi haya ulete referees 3
>huleti referee 6 ukafanya wasaini karatasi yenye nafasi 3 au
>kutaka watatu tu. Tunachosema-kila mgombea amefanya nini
>jimboni kwake na alikuwa mbunge? Kama ni muhudumu wa
>afya-eti huwezi kutembelea kata na kuhamasisha maendeleo kwa
>kuwa huna usafiri. SAWA. Lakini pamoja na kukosa
>usafiri-umefanikisha maendeleo gani kile kijiji unachoishi
>pale katani? Kama kijiji ni kikumbwa kuna wanyamapori-jee
>pale kitongoji unapoishi una cha kuonyesha? Utaona nani
>anawajibika sawasawa. Sikatai kama mimi ni researcher-sawa
>na nimeimaliza TZ hii nitakuwekea picha za Maasai
>
> area kibao hapa kukuonyesha mazuri na mabaya katika
>kuhoji. Vuneni madini Mererani na ongezeni mifugo, ozeni
>vichanga-ongezeni mifugo-Rais mimi naja-ukizidisha beyond
>land's carrying capacity-unalipa fine tuinazipora.
>Tunataka maendeleo endelevu ya kilimo, uvuvi na ufugaji.
>Tumechoka lele mama ya hadithi za alinacha.
>
>
>
>Ninakuwekea kiambata kingine uone kwamba tunachohoji katika
>maendeleo ni kile realistic sio lele mama hadithi ya kuahidi
>ahadi za kushusha mana kwa waliojangwani ambao wanazembea
>maendeleo yao wenyewe na kuchakachua resources. Mbona kuna
>visima vya gar na mafuta Mafia na minara yake toka 1950s.
>Unapigia kelele Gas ya Mtwara kulikoni na kuweka ahadi kibao
>watu kuandamana kuchoma nyumba na wanasiasa kushabikia? Ipo
>minara ya Shell BP Mafia ya 1950s. Tunawasubiri akina
>Dangote kwani matajiri wa hapa kama ninyi melala!! Aluta
>continua.
>
>--------------------------------------------
>
>On Tue, 30/6/15, 'Lesian Mollel' via Wanabidii
><wanabidii@googlegroups.com>
>wrote:
>
>
>
> Subject: Re: [wanabidii] (Lowasa maji yamekushinda
>utaweza foleni au porojo za kisiasa?)
>
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Date: Tuesday, 30 June, 2015, 2:57
>
>
>
> Hilder dada wee na wee nshakuona
>
> hujui unachozungumza bse akways ur against
>lowasa'hv haaya
>
> unyoyasema yako monduli tu sister....amazing words or
>a
>
> serious long served researcher,mbn wasomi wetu
>mnashindwaga
>
> kua analytical,wee,aaaggh napata shaka na watu hawa
>
> Najibu kdg kdg...suala la mifugo sidhan kama ni
>ng'ombe toka
>
> monduli ndo zikomihefu sister,wafugaji can come
>from
>
> simanjro na tena simanjiro na kiteto ndo wanaopakna na
>hayao
>
> maeneo ulotaja na si wamasai tu,ni wafugaji na sio
>suaka la
>
> lowasa pekee hili na si mbaya watu kua na wafugaji
>kisarawe
>
> au hata mbeya issue ni hii,arre those land properly
>planned
>
> to allow all activities to be done,si dhambi hata
>kdg
>
> mfugaji kuwepo kisarawe...nimefanya mradi pale
>kisarawe na
>
> ngo yangu 2010 nikiwa na ufadhili wa action aid uk
>na
>
> nikifanya vjj kumi na vie vya wafugaji tulifanya
>kule
>
> gwata,nyani,marumbo etc.....lakin shida wanasiasa
>
> wanaingilia technical matters na ndio maaana land
>planning
>
> bado hazifanikiw
>
> Shortly nisiingie ndani...ni hv lowasa si kweli
>kuna
>
> asiloweza na amefanya mengi jimbon kwake usitake
>kuaminisha
>
> wt kasoro chache ambazo zipo monduli kua ndio iwe
>weakness
>
> ya kumfanya asiwe presida,hujui kua leo mikoa ya
>
> shy,geita,wana mai ya victoria na huyu mwanaume ndo
>kapigana
>
> na wamisri,huju kabisa wee,staki sina muda wa
>kuandika
>
> meengi wee mchukie lakini usitushawishimkwa hoja
>dhaifu
>
> kumchukuia lowasa,hata kama kweli utagombea ubunge
>unatakiwa
>
> ujipange kweli hoja zako ziwe realistic maana naona
>
> unaokoteza hazina mashiko ,unapotaka kumshushia mtu
>basi
>
> mpime kwa haki,look at membe,jauar,wasira,sumaye et
>al
>
> halafu sema hawa wamefanya vyem a but lowasa hajfanya
>kitu
>
> na uje na option or your choice,acheni kulalamikaaaa
>bila
>
> kuja na suluhu,argue kisome sio'kitoto
>
>
>
> Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
>
> wrote:
>
>
>
> >Ngulupa,
>
> >Sema linakuudhi wewe and the likes. Mimi hainiudhi
>kwa
>
> sababu nisingependa kuona fisadi mwingine ndani ya
>Ikulu. I
>
> am speaking for myself lakini nitafarijika kuona
>kuna
>
> Watanzania wengine wenye msimamo huu.
>
> >em
>
> >
>
> >Sent from my iPhone
>
> >
>
> >> On Jun 29, 2015, at 2:52 PM,
>"'ngupula' via
>
> Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
>
> wrote:
>
> >>
>
> >> Kama kuna jambo linaudhi watu kwa kiasi
>kikubwa ni
>
> hili la kumpinga Lowassa kila kukicha....hivi hao
>wengine
>
> hawahaidi? Mbona Lowassa tu? Inawezekana hili ndio
>jiwe
>
> wanalolikataa waashi? ....swali langu bado ni
>
> lilelile....kumbukeni, mnapompinga Lowassa mtupe na
>jibu
>
> nani anafaa na kwa lipi?........kwa kuwa ni kwel
>wananchi
>
> wanampenda, nashauri tu ni vema kuwa makini na huyu
>
> jamaa.....  bila kumungunya maneno...nasema
>Tanzania
>
> watu wanaoweza kuisadia ni Lowassa na Mwigulu
>
> tu   hawa ndio wenye muarobaini wa
>shida za
>
> watz......hawa hawaamin katika misaada ni ni watenda
>kazi
>
> hodari........na mtu akitaka kuzungumzia Richmond
>asisahau
>
> kuwa...ipo escrow na mwenyewe wanamjua...
>
> >>
>
> >> 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii
><wanabidii@googlegroups.com>
>
> wrote:
>
> >>
>
> >>> Lowasa akatatue tatizo la maji kwa mwaka
>mmoja
>
> au muda mfupi ambapo mifugo ya kutoka kwao na Mwanza
>imejaa
>
> kwa mamilioni au maelfu hadi Milima ya Uluguru kwenye
>vyanzo
>
> vya maji? Kilombelo kwenye Ramsa Site kwa malaki,
>wetlands
>
> zinazopeleka pia maji Rufiji-kwisha; Ruaha imezagaa
>baada ya
>
> kuondolewa Ihefu Ruvuma, Tunduru, Rukwa, Kisarawe,
>Rufiji,
>
> Morogoro vijijini wanakoma kwa bakora sio wilaya
>Kilosa tu.
>
> Angemudu kusaidia jimboni kwake ufugaji na kilimo
>endelevu
>
> lakini hajafanya hivyo; kusaidia wananchi wake wawe na
>muono
>
> wa mbali wa mifugo katika kukuza kipato na kulinda
>mazingira
>
> na kuboresha ng'ombe na mbuzi wa kienyeji kwa
>value added
>
> products za kuingiza kipato. kuhamahama,
>kulimbikiza
>
> mifugo  sio tija. Kisha, uharibifu wa
>mazingira
>
> ufwanyao na wananchi wennyewe ndio wa kuhangaika nao
>ili
>
> maji yapatikane. Kuacha tabia ya kuharibu na kuvamia
>vyanzo
>
> vya maji, uchafuzi wa mazingira ndio akazanie ili
>baada ya
>
> miaka kadhaa matokeo ya maji mengi (sio muda
>
> >>> mfupi tu) yaonekane kutokana na re-charge
>ktk
>
> mazingira. Ikiwa sisi watanzania hatutobadilika
>kiakili na
>
> kimatendo-tusitegemee kubadili maendeleo yakue
>ghafla.
>
> Tunatiana umasikini na kujifanya masikini wenyewe.
>
> >>>
>
> >>> Cha kujiuliza-huko Monduli kuna land
>
> degradation, utata wa maji wananchi kuchota barabarani
>mvua
>
> ikinyesha maji huwa machafu, kuchangia maji na
>mifugo
>
> -amefanya nini miaka yote hiyo? Anaweza kuonyesha
>miradi ipi
>
> akigharimia yy binafsi au kutafuta donors kwa
>proposals zake
>
> na kushirikiza watumishi ugani? Kuna boreholes za
>toka
>
> ukoloni kwenye maeneo yaliyokuwa estate farms. Ni hivi
>basi
>
> wagombea wengine ambao walikuwa wabunge na mawaziri
>pia
>
> waulizwe walichokifanya miaka yote iliyopita.i Unaweza
>ukawa
>
> waziri lakini utendaji unategemea walio chini yako
>lakini
>
> mbunge upo jimboni. Jee kijiji chako pale ulipo
>wananchi
>
> wako wanatofauti gani na hao wa vijiji vingine vya
>mbali?
>
> Hapo ulipo-nyumba bora, choo bora, shule bora na
>ufaulu
>
> mzuri maji safi yapo na huduma ya mifugo na ufugaji
>na
>
> kilimo cha kisasa na endelevu. Huenda hivi vichache
>havipo
>
> hata kata na kijiji cha mbunge! Leo unadai taifa
>zima
>
> utabadili kwa sekunde? Jee, wabunge hufanyiwa
>evaluation ya
>
> >>> majukumu yao na kila mmoja kila baada ya
>miaka
>
> 5 kutoa taarifa ya utekelezaji ya mipango binafsi na
>ile
>
> ambayo anashiriki kupitisha ktk Halmashauri ya Wilaya
>chini
>
> ya O&OD na ile inayopita bungeni ya national
>vertical
>
> programs?  Bila ya kutathiminiwa-kunawekwa uwazi
>wa
>
> kutumia hela, kuruhusu rushwa itumike kupitisha
>wagombea
>
> vilaza. Daima maendeleo yapo duni wakati kuna kila
>aina ya
>
> resources vijijini, wataalamu wa serikali, vituo vya
>mifugo
>
> na vya kilimo, uvuvi na VETA juu na bajeti
>
> inawekwa.Tubadilike ili tusonge mbele viongozi na
>wananchi
>
> mijini na vijijini tuwe na muono chanya wa mbali.
>
> >>>
>
> >>> Ona malalamiko ya bandari huko
>Zinga-Mlingotini
>
> yanayoonyeshwa ktk TV. Inasikitisha na
>ilinisikitisha
>
> binafsi kuona jinsi wavuvi walivyojijengea nyumba
>nzuri sana
>
> kwa juhudi za karne; miembe na minazi inayowapa
>chakula na
>
> fedha. Iliwezekana kabisa kukwemba nyumba za
>wanavijiji,
>
> kuchukua eneo ambalo ni arable land ya kilimo pia
>kuweka
>
> bandari ambapo yapo maeneo mengine yasiyo makazi kama
>hayo.
>
> Ila hapo -inaonekana-lililengwa pia shamba kubwa la
>
> mheshimiwa mmoja liondoke ambalo ni maelfu ya ekari
>amepanda
>
> pamoja na maembe dwarf burunge ya kisasa ambaye ana
>kesi
>
> moja ambayoimeleta utata. Shamba hilo litakuwa bandari
>kavu.
>
> Inatokea sasa kukomoa wananchi. Ni muda mrefu
>hawakutakiwi
>
> kuendelezwa maeneo yao lakini hawajalipwa. fikiria
>historia
>
> ya eneo kutoka utumwa, fikiria ya kuwa population
>kubwa ya
>
> huko ni ya wazee ambao wanategemea nazi, embe, mihogo
>wauze
>
> wale. Miembe inaumri wa zaidi ya miaka 60+ licha ya
>hiyo
>
> mipya. Leo kibibi/kibabu kianze moja atafute
>
> >>> pa kuhamia, alime, apande na climate
>chage hii,
>
> nguvu za kilimo zimekwisha, utata upo ktk jamii zetu
>wa
>
> kuamini hata vijukuu vibaka kuvipa hela za mafao au
>za
>
> valuation na compensation watekeleze ujenzi-vinasepa
>navyo.
>
> >>>
>
> >>> Ofisi ya kijiji cha Mlingotini
>(Mgotini)
>
> inaishinda hata ofisi ya RC au DC. Niliipiga picha
>mwenyewe
>
> wakati wa utafiti usiohusu uhamishaji mwingine kabisa
>mwaak
>
> 2010 nililikuta zahama hilo la kihamo hadi leo
>hawajalipwa
>
> na hawaendelezi makazi au mashamba! Hiyo ofisi
>imejengwa na
>
> mwekezaji kama mafao yao na ipo katika kubomolewa.
>Sijui
>
> huyo mwekezaji kama atapona. Nimeiambatisha ofisi ya
>kijiji
>
> hicho uone.Majumba ya tofari za simenti waliyojenga
>wavuvi
>
> yanaumiza sana kuona yatabomolewa. Mungu atusaidie.
>
> >>>
>
> >>>
>
> >>>
>--------------------------------------------
>
> >>> On Sun, 28/6/15, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
>
> wrote:
>
> >>>
>
> >>> Subject: Re: [wanabidii] (Lowasa maji
>
> yamekushinda utaweza foleni au porojo za kisiasa?)
>
> >>> To: "wanabidii@googlegroups.com"
>
> <wanabidii@googlegroups.com>
>
> >>> Date: Sunday, 28 June, 2015, 20:16
>
> >>>
>
> >>> Ni mwizi tu na
>
> >>> mwongo!em
>
> >>> 2015-06-28 12:35
>
> >>> GMT-04:00 fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>:
>
> >>>
>
> >>>
>
> >>> Wakati
>
> >>> Lowasa akitangaza nia katika uwanja wa
>sheikh
>
> Amri Abeid
>
> >>> Arusha,  a
>
> >>
>
> >> --
>
> >> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> >>
>
> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
>
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> >>
>
> >> Disclaimer:
>
> >> Everyone posting to this Forum bears the
>sole
>
> responsibility for any legal consequences of his or
>her
>
> postings, and hence statements and facts must be
>presented
>
> responsibly. Your continued membership signifies that
>you
>
> agree to this disclaimer and pledge to abide by our
>Rules
>
> and Guidelines.
>
> >> ---
>
> >> You received this message because you are
>
> subscribed to the Google Groups "Wanabidii"
>group.
>
> >> To unsubscribe from this group and stop
>receiving
>
> emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> >> For more options, visit
>
https://groups.google.com/d/optout.
>
> >
>
> >--
>
> >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> >
>
> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
>
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> >
>
> >Disclaimer:
>
> >Everyone posting to this Forum bears the sole
>
> responsibility for any legal consequences of his or
>her
>
> postings, and hence statements and facts must be
>presented
>
> responsibly. Your continued membership signifies that
>you
>
> agree to this disclaimer and pledge to abide by our
>Rules
>
> and Guidelines.
>
> >---
>
> >You received this message because you are
>subscribed to
>
> the Google Groups "Wanabidii" group.
>
> >To unsubscribe from this group and stop receiving
>emails
>
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> >For more options, visit
>
https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
>
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
>responsibility
>
> for any legal consequences of his or her postings, and
>hence
>
> statements and facts must be presented responsibly.
>Your
>
> continued membership signifies that you agree to
>this
>
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed
>to the
>
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
>emails
>
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
>
https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>--
>
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
>Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>Disclaimer:
>
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
>for any legal consequences of his or her postings, and hence
>statements and facts must be presented responsibly. Your
>continued membership signifies that you agree to this
>disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>Guidelines.
>
>---
>
>You received this message because you are subscribed to the
>Google Groups "Wanabidii" group.
>
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
>from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>--
>
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>

>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>

>
>Disclaimer:
>
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
>for any legal consequences of his or her postings, and hence
>statements and facts must be presented responsibly. Your
>continued membership signifies that you agree to this
>disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>Guidelines.
>
>---
>
>You received this message because you are subscribed to the
>Google Groups "Wanabidii" group.
>
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
>from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>--
>
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>

>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>

>
>Disclaimer:
>
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
>for any legal consequences of his or her postings, and hence
>statements and facts must be presented responsibly. Your
>continued membership signifies that you agree to this
>disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>Guidelines.
>
>---
>
>You received this message because you are subscribed to the
>Google Groups "Wanabidii" group.
>
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
>from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
>--
>
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>

>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
>kudhibitisha ukishatuma
>

>
>Disclaimer:
>
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
>for any legal consequences of his or her postings, and hence
>statements and facts must be presented responsibly. Your
>continued membership signifies that you agree to this
>disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>Guidelines.
>
>---
>
>You received this message because you are subscribed to the
>Google Groups "Wanabidii" group.
>
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
>from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>    
>
>
>
>--
>
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>

>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
>kudhibitisha ukishatuma
>

>
>Disclaimer:
>
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
>for any legal consequences of his or her postings, and hence
>statements and facts must be presented responsibly. Your
>continued membership signifies that you agree to this
>disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>---
>
>You received this message because you are subscribed to the
>Google Groups "Wanabidii" group.
>
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
>from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment