Thursday, 1 January 2015

Re: [wanabidii] TUTAONDOA ADA YA SEKONDARI IFIKAPO 2016 - JK

ni wazo zuri kuondoa ada za shule, ila serikali ifikirie kutoa ruzuku kwa shule za binafsi ikiwezekana itoe ruzku ya mishahara ya walimu na vifaa vya maabara.

badala ya kuhangaka kujenga madaasa na shule mpya ingezijengea uwezo shule za binafsi ziweze kuongeza udahili wa wanafunzi na kuweza kufidia nakisi ya madarasa iliyojitokeza.

On Jan 1, 2015 9:59 AM, "'Bishop Kulwajz' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Hakuna kitu kama hicho ni utapeli mtupu,mbona alitangaza kuondoa kodi kwenye vifaa vya ujenzi lakini sasa anaondoka hajatimiza,sera za kuiga chadema hazitelezeki.

 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>Hii utakuwa safi sana. Tena nafikiria kuwa ili kuharakisha utekelezaji wangeulizwa CHADEMA ambao ndio waanzilishi wa sera hii.
>--------------------------------------------
>On Wed, 12/31/14, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
>
> Subject: [wanabidii] TUTAONDOA ADA YA SEKONDARI IFIKAPO 2016 - JK
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Wednesday, December 31, 2014, 10:11 PM
>
> Jambo jipya sana na
> la kihistoria katika Sera mpya ya Elimu ni dhamira ya
> Serikali ya kuondoa ada katika elimu ya sekondari kuanzia
> mwaka 2016. Mpaka sasa hatuna ada kwenye shule za msingi,
> sasa wakati umefika kufanya hivyo pia kwa elimu ya
> sekondari. Kwa mujibu wa maelezo hayo ya Sera, nimekwishatoa
> maagizo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Wizara ya
> Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Wizara ya Fedha na
> Tume ya Mipango kuanza kutafakari namna jambo hilo
> litakavyotekelezwa - Rais Jakaya Kikwete katika Hotuba ya
> Kuaga Mwaka 2014 
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Read More :- "Re: [wanabidii] TUTAONDOA ADA YA SEKONDARI IFIKAPO 2016 - JK"

Re: [wanabidii] WILLIAM HAULE ATANGAZA RASMI NIA YA KUGOMBEA UBUNGE MWAKA HUU 2015

Una hela ya kampeni watakuchuja asubuhi tu.
 
AMON MKOGA

On Thursday, January 1, 2015 1:20 AM, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
WILLIAM HAULE ATANGAZA RASMI NIA YA KUGOMBEA UBUNGE MWAKA HUU 2015
Mimi William Haule, kijana wa miaka 24, mhitimu wa Chuo Kikuu Dar es Salaam katika fani ya Sayansi ya Siasa na Utawala, mwanadiplomasiamchambuzi wa masuala ya siasa, leo tarehe 01/01/2015, nachukua fursa hii kutangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Ludewa katika mwaka huu wa uchaguzi 2015.
Hii ni mara yangu ya kwanza kutangaza kuwa nitagombea ubunge Jimbo la Ludewa, kwa kuwa nimeombwa sana na vijana, wazee wa vijiji mbalimbali vya jimbo la Ludewa, na ni mara nyingi nimekuwa nikiwaambia bado muda, lakini sasa umebaki muda mfupi hivyo niseme tu na kuwahakikishia kuwa nitagombea. 
Kwa kuwa uongozi ni mbio za kupokezana vijiti. Naaamini katika kutoa mchango wangu juu ya maendeleo ya jamii kuliko kusubiri kufanyiwa nini na Taifa langu. (kama alivyowahi kusema raisi wa zamani wa marekani Bw. John F. Kennedy).
Kasi ya maendeleo ya Ludewa hairidhishi na matatizo mengi ya msingi hayapatiwi ufumbuzi. Kero zinazowakabili watu wa Ludewa ni nyingi na zinahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri na kubuni miradi mbalimbali itakayoweza kuharakisha maendeleo ya Ludewa. Wananchi wa Ludewa wanahitaji kuwa na kiongozi mwenye kupenda maendeleo, mwenye fikra mbadala na mwenye uwezo wa kuanzisha msukumo mpya wa kasi ya maendeleo kulingana na kero zao na vipaumbele vya kisera na kimikakati vya kiwilaya na kitaifa. Kuna mambo mengi hayajakamilika na utekelezaji wake unalegalega.
Kwa kuyaangalia yote haya, nimetafakari kwa umakini na kujipima uwezo wangu, na nimeonelea nianze kwa vitendo ili niwe chachu ya mabadiliko kwa watu wa Ludewa, ambako ndipo nilipozaliwa. Charity begins at home, na ndo maana nimeamua kuwania ubunge wa Ludewa ili nishiriki kikamilifu na kwa ukaribu zaidi pamoja na wana Ludewa wenzangu katika kuzikabili changamoto za maendeleo katika jimbo la Ludewa kwa spidi na kwa ubunifu wa hali ya juu, maana mimi kila nikiiangalia Ludewa, sioni matatizo au vikwazo vya maendeleo, bali naona fursa tu za kuleta mabadiliko. Japokuwa Ludewa ina fursa nyingi, na ni mojawapo ya wilaya kongwe, kasi yake ya maendeleo haiendani na fursa zilizopo.
Ni matarajio yangu kuwa wananchi wa Ludewa tutaungana pamoja kupata mtu stahiki anaye tambua kero na matatizo yetu lakini pia mwenye mikakati madhubuti ya kukabiriana nayo. 
Kuna umuhimu mkubwa kwa viongozi mahiri na wenye nia thabiti ya kuwatumikia watu wajitokeze popote walipo na waje kuongeza nguvu kwa taifa letu ili tuweze kupambana na maadui wanaotukabili kama vile umasikini, ujinga, magonjwa na dhuluma (rushwa, ufisadi, ukiukwaji wa haki za binadamu, n.k). Tatizo kubwa ni kwamba watu wengi wanaogopa kuingia kwenye ulingo wa siasa kwa kuwa hawajiamini katika uwezo wao wa kukabili mikiki mikiki inayoendana na siasa, wengine wanafikiri siasa ina wenyewe, wengine wanasubiri wastaafu ndiyo waingie kwenye siasa. Hivi utaweza kutawatumikia watu vizuri wakati ukiwa umechoka? 
Vijana wengi wasomi na wachapakazi wazuri kabisa wanasahau kwamba siasa ni mfumo wa maisha yao ya kila siku na kwamba hadi majumbani mwao wanafanya siasa– wengine ni watu makini sana na wangeweza kuchangia mengi kwenye kuleta maendeleo ya taifa letu. Tatizo kubwa ni kwamba watanzania ni wazuri sana wa kusema na kupanga lakini ni wavivu wa kutekeleza, hivyo tunahitaji viongozi watendaji kwenye kila sekta, popote walipo wafanye mabadiliko! Tuache kuongea na kupanga tu, sasa tuanze kuwa mabingwa wa utekelezaji! Lakini pia viongozi wengi si wabunifu, wavivu wa kufikiri na hivyo hata utendaji na usimamizi wao wa sera nzuri zilizowekwa unakuwa mbovu.
Leo hii nimeamua kuiweka nia yangu hadharani kabisa kuwa kwa ridhaa yangu na matakwa yangu binafsi, nafsi yangu inanituma na hapa basi natangaza rasmi nia yangu kuwa, pindi wakati utakapowadia nitachukua fomu kuwania ubunge wa jimbo la Ludewa kupitia chama changu, Chama Cha Mapinduzi (CCM), Naomba Mwenyezi Mungu aniongoze. Amina.
NOTHING TO FEAR THAN THE FEAR ITSELF!
Ahsanteni!
…………………………………….
WILLIAM HAULE
Mob: +255 (0) 657 878416
E-mail: williamhaule99@yahoo.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Read More :- "Re: [wanabidii] WILLIAM HAULE ATANGAZA RASMI NIA YA KUGOMBEA UBUNGE MWAKA HUU 2015"

[wanabidii] WILLIAM HAULE ATANGAZA RASMI NIA YA KUGOMBEA UBUNGE MWAKA HUU 2015

Read More :- "[wanabidii] WILLIAM HAULE ATANGAZA RASMI NIA YA KUGOMBEA UBUNGE MWAKA HUU 2015"

Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Neno La leo: Mwalimu Alisema Na Sisi Tunasema.. Tanzania Would Never Be ' Another Congo'..

Kaka Mobhare;
Umepotelea wapi?
Tumekumiss sana.
 
Reuben

On Wednesday, December 31, 2014 11:03 AM, Mobhare Matinyi <mobhare@gmail.com> wrote:

Sijui kwa nini lakini nimevunjika mbavu kwa maneno haya:
...tumeumaliza mwaka kwa ugomvi mkubwa......
On Dec 31, 2014 9:57 AM, "Maggid Mjengwa" <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:

Ndugu zangu,
" Kamwe Tanzania Haitakuwa ' Congo Nyingine'. Hayo yalipata kusemwa na Mwalimu Julius Nyerere miaka ya mwanzoni mwa Uhuru. Unaweza kuyasoma kwenye kitabu kilichoandikwa na Sir Andy Chande, A Knight In Africa, Ukurasa wa 77.
Alichokiona Mwalimu miaka ile ya 60 ndicho ambacho, baadhi yetu, kwa kutanguliza maslahi yao binafsi, na hata kwa kusingizia kuwa wao ni Wazalendo zaidi kuliko wengine, hawataki kukiona.
Congo ya MwanaMapinduzi Patrice Lumumba imeangamia kutokana na laana ya rasilimali zake.
Patrice Lumumba alikuwa ni mwanamapinduzi wa kweli. Alisimama upande wa umma. Alitaka rasilimali za Congo ziwanufaishe Watu wa Congo. Mabepari hawakuupenda mtazamo huo wa Lumumba ambao ulijielekeza zaidi kwenye itikadi ya Ujamaa. Mabepari walimtumia kibaraka, Joseph Mobutu kumsaliti nduguye Lumumba na kuchukua madaraka ya nchi. Lumumba aliuawa kinyama. Mobutu hakuwahi kuwa Rais wa Watu, bali, kibaraka na zaidi Wakala wa Matajiri walio nje ya Congo.
Watanzania tumeumaliza mwaka na ' Ugomvi Mkubwa'. Kinachoitwa sakata la Escrow kimsingi ni ugomvi wenye kuhusu rasilimali. Ndio maana ya kuhusu zaidi sekta ya Nishati na Madini.
Kuna makosa yamefanyika, wenye kuhusika wawajibishwe, lakini, pamoja na Rais wa Nchi kulishughulikia tatizo na hata kuchukua hatua, kinachoogopesha ni uwepo wa nguvu za kumshinikiza Rais kuchukua hatua nyingine bila hata kuzingatia kuwa Rais kwenye nchi ni kielelezo cha Haki na Utu. Kwamba Rais wa Nchi kwenye kuyafanyia kazi yenye kuwahusu raia wake, hapaswi Kuonea wala Kupendelea.
Wakati Watanzania tukikaribia kuufunga mwaka tuna lazima ya kujiuliza; Je, nguvu za mashinikizo haya ni za ndani tu, au kuna zinazotoka nje? Na kama hilo la pili litakuwa na ukweli, tujiulize, je, wenye kushinikiza hayo ni wenye mapenzi mema na nchi yetu, au ni wenye kujali maslahi yao?
Ndio maana tunaona, kuwa kwenye hili la makampuni ya nishati ya Umeme, si IPTL tu, kuna wengine; Symbion, Agreko, Songas... . Hawa ni washindani kibiashara. Isije, ikawa ni ya ' Ugomvi wa Tembo'. Tunajua kinachoumia ni nini.
Ndugu zangu,
Hii ni Nchi Yetu. Katika yote tuyafanyao, tutangulize kwanza maslahi mapana ya nchi yetu. Maana, mengine tunayoyafanya, na kwa kutanguliza maslahi binafsi, yaweza kuwa mwanzo wa nchi kuparaganyika. Tunayaona kwa wengine.
Na tumuunge mkono Rais wetu aliye madarakani kwa ayafanyayo kwa maslahi ya nchi yetu.
Na kama Mwalimu alivyosema, nasi tuseme; " Tanzania Should Never Be ' Another Congo'.
Ni Neno La Leo.
Maggid,
Iringa.
--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAMD-ye6T2wb4U6S%2BNZ8B8B3Eo5V3qU9P1vrPPDEpznbVhyz83g%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Read More :- "Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Neno La leo: Mwalimu Alisema Na Sisi Tunasema.. Tanzania Would Never Be ' Another Congo'.."

Re: [wanabidii] BREAKING NEWS: MAHABUSU AUWAWA KWA RISASI MAHAKAMA YA KISUTU AKIJARIBU KUTOROKA

Hosea;
Binafsi naona huyu jamaa alikuwa amejizira,kwamba liwalo na liwe mana kutoroka kwa kuruka uzio wa kisutu hata wananchi wangemzibiti mana upande wenyewe ni barabarani tu.
Pia alionywa kwa kupiga risasi hewani,hiyo ilikuwa ishara tosha kwamba jamaa hawajalala asitishe zoezi.
 
Reuben

On Wednesday, December 31, 2014 7:46 AM, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:

raia wa kigeni anajaribu kutoroka vyombo vya usalama ni kuwa alishaona kuna udhaifu fulani juu ya hiyo eskoti.
On Dec 31, 2014 3:40 PM, "Juma Mzuri" <jumamzuri@gmail.com> wrote:
Kama vile sielewi, hivi mtuhumiwa wa madawa ya kulevya unamuachia nafasi hata anadiriki kujaribu kutoroka? Au kunani hapa?
Sheria ya jeshi la magereza linampa mamlaka askari ya kumpiga risasi mfungwa/mahabusu anapofanya jaribio la kutoroka ,ikiwa amepiga risasi tatu hewani bila mtuhumiwa kusimama,
2,ikiwa amefka mbali,na sehemu anazoruhusiwa kumpiga risasi ni maeneo yote yasiyoweza kuhatarisha uhai wa mtuhumiwa,maeneo kama vile miguuni,mabegani nk,je askari alimuua hyo mtuhumiwa wa madawa ya kulevya amefanya hivyo?
Na kama hajafanya je chuoni Kiwira hakufunzwa?sheria ichukue mkondo wake kwa kufanya mauaji ya kukusudia

On Wednesday, December 31, 2014 2:22:39 PM UTC+3, Julius Mtatiro wrote:
Asante kwa taarifa hii muhimu. Tatizo lako liko palepale, auhariri kazi yako. Kazi imekaa "shagalabagala", haitoi mantiki hata kidogo. Zingatia ushauri ambao watu wanakupa kila siku.

Julius S. Mtatiro,

On 31 Dec 2014, at 13:58, 'leonard magwayega' via Wanabidii <wana...@googlegroups.com> wrote:

Asante Happiness Katabazi kwa hii breaking News ila mdogo wangu nakushauri uwe unahariri habari yako yoyote unayoandika kabla hujaituma kwa watu wengine au hata kumwomba mtu mwingine yeyote kuipitia na kuihariri kabla ya kuituma maana huo si ujinga ndiyo maana hata kazi za maprofesa huhaririwa na watu wengine kabla hazijatoka.. Ujumbe tumeupata itakiwavyo ila kuna makosa ya kisarufi mengi sana katika uandishi wako.  kwa mfano kukosea spelling, kuweka vituo pasipo husika, kuweka herufi kubwa katikati ya sentensi na mambo mengine mengi kama hayo.  Wewe ni binti wa kujituma sana ila tu rekebisha mambo madogo madogo kama hayo na utakuwa mwandishi mzuri tu na hata sheria naamini utaimaster vizuri baadae. Kama hutajali kwa mambo ya kisheria unaweza kuni consult kama ukipenda through my personal email bob...@yahoo.com au kwa direct phone contact through 0767804561 au 0786804561. I have provided you with my contacts for legal consultations purposes only and not for any other issues as it might be interpreted by you or any other member of this group.  I think one of the objectives of this network is to provide assistance whether socially or professionally amongst us where necessary.
Advocate Leonard Elias Magwayega-Esquire.

On Wednesday, December 31, 2014 12:14 PM, 'Happiness Katabazi' via Wanabidii <wana...@googlegroups.com> wrote:

BREAKING NEWS
MAHABUSU AUWAWA KWA  RISASI MAHAKAMA YA KISUTU AKIJARIBU KUTOROKA
Na Happiness Katabazi
JESHI la Magereza limefanikiwa kumdhibiti Mahabusu  wa Kesi ya dawa za kulevya ambaye ni Raia wa Sieralioni,  Abdul Koroma (33) asitoroke chini ya Ulinzi wa Askari Magereza ndani  Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkazi Kisutu Dar es Salaam, asitoroke chini ya Ulinzi  baada ya kumtwanga risasi na kumuua papo hapo.

Wakizungumza na mwandishi wa Habari hizi baadhi ya wanausalama waliopangwa kulinda Usalama Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa Masharti ya kutotajwa Majina Yao kwa Madai wao siyo wasemaji wa majeshi Yao wakisema mtuhumiwa ambaye anashitakiwa kwa makosa ya kuingiza nchini dawa za kulevya aina ya Heroin Zenye uzito wa Gramu 1229 na zenye thamani ya Zaidi ya Sh.Milioni 61 iliyopo mbele ya Hakimu Mkazi Waliarwande Lema alistahili kufanyiwa hicho alichofanyiwa.

Walisema Asubuhi marehemu Huyo ambaye ni mahabusu aliletwa na mahabusu wenzake na Askari Magereza na Kisha kufikishwa Katika mahabusu ya Mahakama hiyo mtuhumiwa aliomba apelekwe chooni kujisadia lakini ghafla mtuhumiwa akaanza jaribio la kuparamia ukuta akimbie ndiyo Askari waliokuwa akimsikindikiza chooni wakafyatua risasi hewani ili kumtaka aache ili jaribio lake lakini Inadaiwa Koroma aliendelea na jaribio lake.

" Ndipo itabidi mmoja wa Askari Magereza 'ameshone risasi' yaani amefyatulie risasi Koroma ambayo ilimpata na kumsababishia mauti papo hapo ....na baada ya Koroma kupekuliwa wanausalama Hao walipokuwa soski walikuta ndani ya soksi alilovaa kuna kikaratasi kilichochorwa ramani na namba za simu za watu wa kumpokea haoa Dar es Salaam" kilisema chanzo changu.

Tayari mwili wa Koroma ambaye alikuwa akikabiliwa na Kesi yake P121/2013 umeishaondolewa Katika eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu umepelekwa kuinadi wa Katika Hospitali ya Taifa ya Mhimbili.

Chanzo: Facebook: Happy Katabazi
Disemba 31 Mwaka 2014.

Sent from my iPad

--
Send Emails to wana...@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsub...@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsub...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Read More :- "Re: [wanabidii] BREAKING NEWS: MAHABUSU AUWAWA KWA RISASI MAHAKAMA YA KISUTU AKIJARIBU KUTOROKA"

Re: [wanabidii] Re: MAHABUSU AUWAWA ALIPOTAKA KUTOROKA KISUTU

Kama amepigiwa risasi za warning hakujali; kavuta miguu na waliokua mahakamani kuporomoshwa asivuke ngazi akapanda tena hakujali; akapigwa risasi ya mkononi-hakujali; akapigwa ya kumuua.Kama askari wangeanza kumkimbiza yeye ina maana ingetoa ruhusa kwa wafungwa wengine kusepa-kutoroka. Vurugu ingekuwa kubwa. Hapo jela iangalie kuweka Camera pale ambapo wafungwa hulala na kula, kuongea na wenyeji wao maana wengine huwaletea vitu kama hizo ramani za mipango ya kutoroka na hiyo gari ya Noah iliyokuwa inamsuburi nje imchuke. Ni mpango uliopangwa unaoshirikisha baadhi ya askari au watumishi wa magereza (kisiri) ndio maana alikuwa na ramani na namba za simu ktk soksi. Ukiambiwa na askari -simama budi usimame ukikimbia unatafuta janga. Kutoka Siera Leone hadi bongoland kuuza au kuleta madawa ni mpango mkubwa.

On Wednesday, 31 December 2014, 15:40, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com> wrote:

Kama vile sielewi, hivi mtuhumiwa wa madawa ya kulevya unamuachia nafasi hata anadiriki kujaribu kutoroka? Au kunani hapa?
Sheria ya jeshi la magereza linampa mamlaka askari ya kumpiga risasi mfungwa/mahabusu anapofanya jaribio la kutoroka ,ikiwa amepiga risasi tatu hewani bila mtuhumiwa kusimama,
2,ikiwa amefka mbali,na sehemu anazoruhusiwa kumpiga risasi ni maeneo yote yasiyoweza kuhatarisha uhai wa mtuhumiwa,maeneo kama vile miguuni,mabegani nk,je askari alimuua hyo mtuhumiwa wa madawa ya kulevya amefanya hivyo?
Na kama hajafanya je chuoni Kiwira hakufunzwa?sheria ichukue mkondo wake kwa kufanya mauaji ya kukusudia

On Wednesday, December 31, 2014 10:07:40 AM UTC+3, Abdalah Hamis wrote:
MAHABUSU AUWAWA ALIPOTAKA KUTOROKA KISUTU

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Read More :- "Re: [wanabidii] Re: MAHABUSU AUWAWA ALIPOTAKA KUTOROKA KISUTU"

Re: [wanabidii] Fw: Islamic State will conquer Europe, militants tell embedded German journalist

Comrades;
Christians might be not noticing the aims of these dangerous Islamic groups.
Hawa jamaa ni hatari kupita kiasi na wameamua na kudhamiria kuishangaza dunia,vitendo vyao vya kidhalimu vinaongezeka kila kukicha,kama anavyosema huyu Mwandishi wa Kijerumani,binafsi nashindwa kuelewa jinsi alivyosalimika.
Ikichangiwa na ugumu wa maisha kila kona ya Dunia,makundi haya yanapata wapiganaji kwa kasi ya ajabu,haya makundi yanastahili kufutwa katika sura ya dunia,laa hali ya usalama wa Dunia inazidi kuwa ngumu kila siku iendayo.
 
Reuben

On Wednesday, December 31, 2014 9:38 PM, 'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Islamic State will conquer Europe, militants tell embedded German journalist

----- Forwarded Message -----
From: "ANS@Assist-Ministries.com" <ANS@Assist-Ministries.com>
To: ASSISTNEWS@sheperd.com
Sent: Wednesday, December 31, 2014 8:37 PM
Subject: Islamic State will conquer Europe, militants tell embedded German journalist

Islamic State will conquer Europe, militants tell embedded German journalist
ASSIST News Service (ANS) - PO Box 609, Lake Forest, CA 92609-0609 USA
Visit our web site at: www.assistnews.net -- E-mail: assistnews@aol.com

Monday, December 29, 2014

Islamic State will conquer Europe, militants tell embedded German journalist

By Mark Ellis and Michael Ashcraft
SOUTHERN CALIFORNIA (ANS) -- After visiting Islamic State-occupied territory at great risk, a German journalist called the extremist organization a "movement with the power of a nuclear bomb" after returning home last week.
Jurgen Todenhoefer with IS fighters
Jurgen Todenhoefer, a 74-year-old German journalist, was given unprecedented access to the Islamic State and returned to Munich after spending 10 days with the terrorist group in the areas the group control in Iraq and Syria.
They are "the most brutal and most dangerous enemy I have ever seen in my life," Todenhoefer said, as part of a series of interviews broadcast on the BBC and CNN.
Born out of the Syrian rebel movement, IS catapulted into international attention, seizing major cities in Iraq last June and beheading James Foley and other westerners whose governments refuse to negotiate a ransom. The group consists mostly of Sunni Muslims, many of whom aided Saddam Hussein's cruel regime, and is growing daily by Muslims drawn to radicalism from all parts of the world.
IS fighters were surprisingly confident, Todenhoefer said.
"We will conquer Europe one day," one fighter told him. "It is not a question of IF we will conquer Europe, just a matter of when that will happen. But it is certain. For us, there is no such thing as borders. There are only front lines. Our expansion will be perpetual. And the Europeans need to know that when we come, it will not be in a nice way. It will be with our weapons. And those who do not convert to Islam or pay the Islamic tax will be killed."

Share     See all ASSIST News articles at www.assistnews.net

Mark Ellis is a senior correspondent for ASSIST News Service and the founder of www.Godreports.com.  He is available to speak to groups about the plight of the church in restricted countries, to share stories and testimonies from the mission field, and to preach the gospel.
mark@Godreports.com

** You may republish this story with proper attribution.
Send this story to a friend.

Note to our subscribers: It you really appreciate what we do through ANS and would like to make a donation to help us continue with this unique news service, you can do so in two ways. First, just go to our secure site at www.assistnews.net/assist/donations.htm, where you can sign up for a monthly gift or a one-off contribution (tax-deductible in the US). Second, if you prefer to send a check, just make it out to ASSIST, and mail it to ASSIST, PO Box, 609, Lake Forest, CA 92609, USA (also tax-deductible in the US). Thank you so much for caring! Dan Wooding
Click here if you wish to unsubscribe
ASSIST News Service is Sponsored By

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Read More :- "Re: [wanabidii] Fw: Islamic State will conquer Europe, militants tell embedded German journalist"