Tanzania katika valuation ya ardhi na compensation intaumia international standards -World Bank's Resettlement Policy (OP/BP 4.12) ili kuondoautata wa sheria ya ardhi pale ilipo na mapungufu.
• Market value of the real property (land and structures)
• Loss of accommodation allowance, the affected are given an accommodation allowance for 36 months and the rates per room vary from 1500 to 3000 per month.
• Disturbance allowance (6% on the value of the property assessed as disturbance allowance).
• Transport allowance (for those affected owners who were already residing in their properties at the date of inspection). Affected people are entitled to transport allowance that is enough to transport their personal household items from one location to another at the distance of 20 km away. A flat rate of Tz.shs. 60,000/= is at times adopted for rural areas based on the estimate that it can transport 12 tons for 20 km. The amount is paid even if the affected person won't move far but adjacent to the affected area.
• The cost of acquiring the subject's land. This is assessed as land value for each affected owner. The average rate usually differ according to the market value of location. At times, based on consultations, market survey and experience – the rate of 200/= per sq m (i.e.Tz. shs. 200/=per square meter) is adopted considered to be the maximum and average amount of acquiring an acre within the locality.
Tatizo-waathirika wanaweza kulipwa wakahamia watakako au jirani na eneo kwa vilewana eneo kubwa-ukakuta hela wametumia ktk pombe, anasa bila ya kujenga nyumba bora.
Ni kweli wasomi waliokwenda mpaka study tour hawana la maana wafanyao. Ndio hao watoao mapendekezo ya kujengwa barabara 6 kuja Dar na kubomoa nyumba nyingi barabarani badala ya kupitisha barabara hizo nje ya mji ili kupunguza athari mbali mbali. Watoe barabara kuu ya malori tu kwenda bandarini itokee Mlonganzira iende badarini kupitia Pugu Road badala ya malaori kuja ubungo-Buguruni-Bandarini. Barabara ya malorii ulaya ni ya malori tu magari mengine hayapiti. Za mabasi na magari madogo ni tofauti na za watembea kwa miguu na baiskeli-bodaboda. Sisi hapa nimchanganyo wa ajali na pa kupita kwa miguu tunapita na bajaji, pikipiki na kupanga biashara pia-Nyumbu!
Barabara ingetoka Ubena zomozi au Kimara Kwenda Wazo hill njia tatu pamojana malori, bus na magari madogo itokee wazo, Bagamoyo. Huko Wazo inaweza kuunganishwa na ile ya Tanza ili lori za kwenda wazo zisije mwenge kuweka foleni mpaka Tegeta! Wamesoma na njia hizo zamani kwendawazo kutokea Kimara zilikuwepo mpaka Cow way(kawe) ya kupeleka mifugo kutoka Kimara, makongo-Lugalo-Kawe (cow way) kufikia Tanganyika Packers.
Waliolipwa 1994 Ubungo hawajabomoa hadi leo, wanauza nyumba kwa wengine kikanjanja na walipotengeneza au kupanua barabara hizo mara zaidi ya moja walilipwa tena. Hii ni sheria ya kimataifa-utamlipa kutokana nanuzembe wako. Donors wanataka hivyo na hufanyia evaluation outcome ya Valuation na Resettlement Action Plan (RAP). Sheria, Sera, Mikakati mizuri na za kimataifa husingatiwa. Lakini tuna upofu wa namna fulani katika kupanga na kutekeleza kwa muda na kuacha miripuko ya Kisiasa. Gongo lina angaliwa eti mpaka Rais aseme na hiyo tunajua ni pombe haram. Kuacha kuua tembo, faru hatuachi mpaka kampeni za kutokomeza na kukufunga na bado unaendelea uwindaji haram kwa silaha kutishia ulinzi wa mbuga.
Tamaa ya hela za miradi, kusafiri kwenda ulaya ndio inatufanya tuwakubalie wahisanina mashirika yenye kutaka tufanye yao ambayo ni kinyume na mazingira na mahitaji yetu. Lakini hata hivyo wapo wahisani hutusaidia hasa kulinda mazingira, kuhisani vyuo vya kutoa wataalamu wa sekta mbali mbali na kuwasomesha ulaya, kuwapeleka study tour na kulinda mpaka mbuga zetu tusiharimu kwa mazingira hutusaidia. Unapofanya degradation ya milima ya Njombe maji utapata wapi ya kulisha bwawa za umeme, mito na maziwa? wanyamapori watatoka kuja kwa watu kula mazao. Ukiambiwa uweke mizinga ya nyuki katika buffer zone Tembo na wanyama wengine wasije kula mazao kijijinikwenu na mnapewa mizinga-hamkubali! Kwa kuwa mnaogopa huwa mnaingia kuvuna wanyama kiujangili na kuingiza mifugo, kukata mbao na kuchimba madini hamuweki mizinga.Mliyopewa mnageuza masanduku ya kuweka nguo!
Kwa matumizi yoyote yale ya ardhi budi yawe endelevu-iwe kilimo, bustani, ufugaji nyuki, samaki, mifugo na ukichimba madini land recovery nilazima sheria ipo! Tuzingatie yote. Naukitumiakemikali-uzingatie matumizi salama. Kansa zinaongezeka kwa matumizi mabaya ya agro-chemicals; vifafa na vilema pia vitokanavyo na kemikali. Ukivua samaki kwa kemikali-unaua taifa!! Unafanya matumizi gani-sekta zote zina miongozo mpaka kimataifa kama taifa halina. Ukiwekewa kibao-usiingie humu kufanya shughuli za kibinadamu-usiingize mifugo. Ikikamatwa na kuwekwa kizuizini upoigwe faini na haitapewa chakula-usivamie kituo kwa Mikuki. Picha hiyoya Kidunda village attached mifugo kutoka Mwanza na Manyara, Arusha Why? Tunaachia uharibifu huu kutokana na SIASA!! Anaelimishwa nini huyu na kibao kinasema na anajua si sheria ataadhibiwa? Na ana silaha pia za kupiga watakaokwenda hapa na viongozi wa eneo hutumia tatizo hili kujipatia kipato. Tuone kama sheria sio kuwaondoa iwe kampeni ya matukio-iwe mwenendo wa tabia nzuri.
Kama Kawa
--------------------------------------------
On Fri, 10/3/17, 'lucas haule' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MWIGULU: MWENDENDO HUU WA POLISI, UNAKUHITAJI KUFANYA ZAIDI.
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, 10 March, 2017, 9:54
Wameuchukuua uhai wetu,
wameuchukua utu wetu. Hu wapi ule mtima wa kuringia ambapo
tulijidaia kwetu?Waliopelekwa
kuiona dunia kwa nje ya Tanzania, wakaja kutuaminisha sisi
siyo kamli, leo wasomi wamekuwa watupu ndani yao, wanaishi
nje yao na sasa tunawategemea watengeneze mipango ya
kutuinua na kuinua nchi. Hawana masikio ya kusikia sisi
tusio wasomi( wanaamini hatuna mchango wa kuchangia), hawana
macho ya kutuona mapunguani sisi. Ila wazungu akikohoa wao
wanapiga njenga ya mafua.Hapa
hatutoki mpaka aje wa kujua Ardhi iliyolimwa au kuendelezwa
ainathamani na ile ambayo haija endelezwa inathamani.
Inategemea unahitaji wka matumizi gani.
From: 'Hildegarda
Kiwasila' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To:
wanabidii@googlegroups.com
Cc:
Wanazuoni@yahoogroups.com
Sent: Friday, March 10,
2017 9:30 AM
Subject: Re:
[wanabidii] MWIGULU: MWENDENDO HUU WA POLISI, UNAKUHITAJI
KUFANYA ZAIDI.
Haule-kutumia sheria ni muhimu katika kujenga
nidhamu. Hapa kwetu sheria imetawaliwa na rushwa kuanzia
nyumbani (mkosaji kuhonga familia isitokee mahakamani),
police hadi mahakamani. Utashangaa kezi za ubakaji mtu
kakamatwa mubashara lakini ktk kesi 150 za namna
hiyokiwilaya ni 4 tu zilizokamilika. Utafika kijijini
utaonyeshwa karatasi za watu kukatwa mapanga kutokana na
magomvi yaardhi au wakulima na wafugaji na ukakuta mtuhumiwa
katorokea polisi alikowekwa ndani.
Kama upo maeneo ya
wafugaji tuseme Naberera-Manyara au Kijiji cha Kwaba-Moro
Rural na wote mnalima, wewe mluguru au Mha-watalishia shamba
lako wewe si mfugaji wa Kimasai au Kimang'ati. Wanaoishi
Engerosambu Loliondo ambao ni non-Maa wanakwenda mbali
kulima kwa Wasonjo ili kukwepa adhabu hii nao ni walimu wa
shule ya Msingi.
Nimeshuhudia mauaji kati
ya Waikoma na wamasai wa kutoka Serengeti ambao walikuwa
wanaingia Ikoma Robanda kuiba mifugo. Mnakuta mholore tu
asubuhi fisi amekwisha kula mfugaji wa kutoka NCAA na maeneo
ya vijiji vingine vya serengeti kuja kuiba mifugo Ikoma
Robanda. Wananchi kwa wananchi wakiuana kwa mishale ya sumu
na Mikuki ktk kupambana na wizi wa mifugo. Hapo hakuwa
askari polisi hata na waikoma wakiuawa walipokuwa
wakifuatilia mifugo yao kuikamata kuirudisha nyumbani. Sio
tu serikali kuonea-Sisi wenyewe tunabaguana na kuoneana
kichizi. Ila kamakila mtu atazingatia sheria, maadili na
kukaa kwake afanye ya maendeleo yake bila bugdha
kwawengine-hakutokuwa na haja ya kutumiapilisi kupiga watu.
Huyo panya road wako anza kuwajibika nawe mwenyewe badala ya
kumfuga na kutaka serikali imshughulikie. Akipigwa na watu
wenye hasira auawe-muuaji afungwe wakati yeye naye ameuliwa
mtu, ameporwa mali na mke na watoto kubakwa mbele ya macho
yake na iliyowatokea hivyo kesi inachukua karne! Unaua!!
Mama yangu anapigwa bakora nimuache aliyemchapa bakora
shambani kwake-ninaweka mazao yangu shambani sumu ya panya
mifugo ikijakula mazao inapukutika! nikienda police na
mahakamani-kesi kaiendi wamepewa pesa-hawazingatii haki na
sheria!! Tunajimaliza wenyewe. Kwa jinsi hiyo basi-Rais wa
Ufilipino ameamua kuua wauza madawa ya kulevya ili kukomesha
ujinga huo. Sisi hapa tunawaweka jela, kuwapa dawa ya
kutuliza athari na kuwalisha bure! Na bado daily tunakamata
wengine na toni za unga huo. wanajua hatari yake, inakatazwa
na sheria kali lakini-Bado wanaendelea!
Wakati wa kampeni za
ubunge jimbo la Mikumi-usiku baadhi ya wagombea wakifanya
vikao vya siri na wafugaji kuwaahidi kuwapa wayatakayo
wakipewa kura. Utakuta viongozi wanapewa mifugo halafu
wafugaji wanaichunga na kuingia mahala pasiporuhusiwa.
Wakiulizwa wanasema-hii ni ya kiongozi fulani. Ndio maana
unakuta-hawachukui hatua na wanaokiuka sheria kwani vitambi
vyao baadhi yao vinatokana na rushwa in cash and inkind ndio
maanakutoamatamko hawataki. Baadhi ya vituo askari wa
chini hawaridhishwi na kiongozi wa juu kwa kuwa ni mla
rushwa hivyo wao hujiamulia wenyewe wanapoona utata bosi wao
hataki kuutatua.
Tabia ya bongoland ya
Kauli mbiu ndio utendaji uwepo kama vile suala hilo ni geni!
Nchi ya Viwanda ina ugeni gani, au kujiajiri ufanye kazi ni
geni? Kufanya mazoezi mpaka uambiwe pia usafi uondoe taka
zinazoziba mifereji ya maji pamoja na maji kufurika mpaka
kitandani kwako ;lakini bado uambiwe kwa kauli ya Rais.
kampeni za mtu ni afya, kazi ni uhai, kial mtu afanye kazi,
ulinzi mazingira panda mti ndio ukate mti na mambo mengi
sana nchi hii-Sera, Mikakati yake hakuna mfano-utekelezaji
tu ndio tata na Unduma kuwili kibao!
Watoto wa shule kuna elimu
rika, wanaelimishwa mpaka vipindi vya TV kuhusu ubaya wa
mimba za utotoni na vipeperushi, mabango yanagawiwa na
gender NGOs. mnatoka semina za stadi za maisha barabarani
music unalia-wanacheza matusi ya nguoni barabarani! Katika
siku ya Wanawake Duniani-kituko mbele ya mkutano wa hadhara
mshehereshaji kupiga nyimbo kukaribisha watu
kucheza-wanawake watu wazima hawakuinuka kucheza bali
wanafunzi wa sekondari ba chuo cha ufundi-aibu watoto wakike
walivyokuwa wakicheza mbele wa wageni waheshimiwa, wazazi
wao na watu wengine-viuno mpaka kukaa chini. Fedhehakubwa.
Simu walizokuwa nazo wakitumia kupiga picha ni zile za bei
kali sana! hawajui nini na wanaona athari kwa wenzao
waliofikuzwa shule. wanapata mafunzo shuleni kuliko wazee wa
zamani wao wliyapata jandoni wao kona zote wanasoma ubaya na
uzuri wa hili na lile. Ni sawa na wale wa Jangwani-maji
mpaka juu ya paa kila mwaka anapata athari mbaya eti bado
anataka aelimishwe ubaya wa kuishi bondeni. Lakinipia-kazoea
kuishi hali ya namna hiyo!
Hebu angalia
zonal livestock units, vyuo vya kilimo na vijiji ambako wana
mashamba ya mfano. angalia juhudi za miradi ya extension
kuanzia Training and Visit System kama approach ya ukulima
bora unamuelimisha darasani kisha kumuoonyesha shambani
mashamba ya mfano na zawadi kwa wakulima bora, mpaka bustani
za kata na mashamba ya ujamaa ya vijiji; mpaka ikaja Shamba
Darasa la vikundi wanalima bustani za mfano mpaka kuvuna
halafu kila mmoja anatakiwa kufanya hivyo shambani kwake,
vijitabu, picha na kwengine video zinaonyeshwa. Wakitoka
hapo wanaiga-imeishia hapo hapo na akilima mwaka huu kama
alivyofundishwa-haendelei tena mwaka kesho eti inachukua
muda sana unapotea. Lakini mavuno anapata haba na anataka
msaadawa chakula! Ndio maana wengine tunaona -badala ya
mapigano na wananchi-sheriakali itekelezwe kilimo na ufugaji
na uvuvi endelevu iwe sheria badala ya mapambano. Hakuna
vibali vya mbao, mkaa kama mtu hana shamba lake la miti. No
kibali cha nyama ya punda kama mwekezaji wa nyama hiyo hana
ranch ya mifugo hiyo-punda. Ukiwawekea namba za nyumba,
huduma na kukufanya kodi kutoka kwa hao walihamia
mabondeni-unarasimisha uwepo wao. Usiweke huduma ya aina
yoyote au kukusanya kodi bali BOMOA makazi yao!! Pale mtu
alipo rasmi au kisheria-achangie huduma husika-miongozo ipo
mizuri ay kila sekta kama ni Maji, Mifugo, Kilimo etc. TASAF
ipo mnachangia Bwawa au mradi wa Maji na Jumuiya yenu ya
Watumia maji inasimamia mradi wenu; wahudumu au volunteers
wa mifugo, wakilimo, Village Health Workers, mafundi maji
wa vijiji (village water technicians) wanafundishwa. Hakuna
lisilokuwepo bongoland! Utekelezaji umefanyika wa mambo
mengi lakini uendelevu ndio NIL kutokana na tamaa binafsi,
undumakuwili ktk tabia zetu na miono ya umimi na tumboni
street kwa raia wa kawaida, wasomi wanasiasa na wamaofisini!
Tupo nyumba kutokana na hulka zetu. Ndio unaona eti-Rais
kasema, tunatekelewa wito wa Rais na kulaumu uongozi wote
uliopita.
Ameanza baba wa Taifa
hakuna alilobakiza kuongoza na la kusema-Tupo pale pale.
Mpaka liberalization of the Economy wakati wa Mh Mkapa
tumepewa ardhi na hati kujenga viwanda na mikopo
juu-Tumefanya maeneo yard za magari, karakana, kujenga
nyumba za sherehe na shule international. Tanganyika packers
ipo wapi? Canvas Industry ya morogoro ipo wapi? Majengo ya
viwanda tumeweka frame za biashara tumepangisha! kisha
tunakimbilia kuleta vipodozi haram na tunajua vinakatazwa na
tunaleta kuharibu taifa! Biashara za mitumba tunajaza hapo
kiwandani magunia kibao na used cars ndio yard yake.
Ukifirisiwa mali ulipe deni-unajipiga risasi!
Huyo mtu mzima ndio
anachukua mahari mtoto wa miaka 12 aolewe asiende shule, ana
nyumba anapangisha mashoga, anaficha wahamiaji haram. Mama
mtu mzima ndio anacheza ngomamatusi yanguoni anaitwa
"Chura" eti mpaka serikali ikataze Chura! Mume,
baba, ndugu wa damu, mama, majirani-wanashangiliaChura na
kumtunza. watoto wapo wanamwangalia mama anacheza chura
hadharani! halafu wanawake-Tunadai haki sawa ila jukwaani
tupo na vichupi wanaume wamevaa kamilifu. Tunagojea tusombwe
na serikali kama hao wabwia unga halafu-Siasa itaingia-Tundu
Lissu kuja kuwa wakili kuikomoa CCM kwani mtu ana haki ya
kuvaa na kucheza atakavyo. Chura si kosa-Siasa ndani against
maadili ya kiafrika!
Sisi tu watu wa ajabu,
hata ajapo huyo Mnyarwanda, Burundi,
Mkenya-tunamuabudu-tunamwoza na kumpa ardhi, tunamchagua
kuwa kiongozi wa kijiji, tunamtafutia makaratasi ya uraia
daily tupo kwake kujipendekeza na kuombaomba-wanatucheka!
--------------------------------------------
On Fri, 10/3/17,
'lucas haule' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii]
MWIGULU: MWENDENDO HUU WA POLISI, UNAKUHITAJI KUFANYA
ZAIDI.
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, 10 March,
2017, 8:09
Hakuna nchi
iliyofanikiwa
kwa
ulinzi ulinzi wake wa ndani kwa kutumia mitutu ya
bunduki au ukali na
ukatili wa askari wake.Ulinzi
ni mfumo na siyo mabunduki na maderaya, mfumo huu
hujengwa
kupitia mila
na desturi zetu, pale tunapo jenga stadi za
maisha taratibu
hupenyesheshwa mambo haya.Yale
yote tunayoyaona sasa, ni zao la kizazi fulani
katika jamii
yetu.Tumeibuka
na
katabia ka hajabu sana sasa hivi, tunakwepa kujadili kitu
husika na kukimbilia
kutaja tuliyokuwa tumeyahifadhi
moyoni.Jamii
inajengewa ubaguzi ( kiafya, kielimu, kiuchumi,
kitabaka,
kikabila,
kikanda,kicheo, kivyama, kirika
n.k.)Watoto wetu hawajui mipaka yao(
wanasubiriwa
wakosee
ndiyo wakanywe na mambo kama hayo)Mtindo
wetu wa kurekebisha/
kukosoana umekosa upendo ( imekuwa ni
uadui, kutiana aibu--
yaani hatuja acha kuimbiana kikojozi
kakojoa na ngua kaitia
moto)Hatuna
sera ya
kitaifa tunayoweza kusema wote tunaelekea huko( tuna
sera za vyama au za
watawala kwa vipindi vyao, hata
ukiwauliza mbona unau au kukandamiza wananchi,
watakwambia
sisi tuna
nafuu sana, angalia rwanda, uganda? Sasa sisi
tunaishi kusudi tuwafikie
hao kwa ukatili na kuhadhri UTU?
)Matatizo
madogo madogo ya wafanya kazi, wakulima, wafugaji,
wafanya
biashara
hayashughulikiwa kwa ufasaha na kwa wakati. (
yanakuja kushughulikiwa
kidharula)Wanasiasa
wenye upeo mdogo au hawajui siasa( wapo tayari wakati wa
kampeni kuunga mkono
makundi haramu)Sisi
siyo watanzania kamili na wala siyo wa hayo mataifa
mengine(
tunaigaiga
tu, mara china, mara India na singapol, mara
umarekani- Uchumi wa
kibepari, siasa ya ujamaa, elimu ya
kijima)Watu
wazima/wazee, viongozi wa
dini, viongozi wa nchi, viongozi
wa michezo na wengine. Hawana aibu ( Viongozi wa
dini wapo
kwa ajili ya
kuendesha ibada za mazishi tu, viongozi wa
kiserikali wanajitahidi
kufuta historia za watangulizi wao,
bila kujali uzuri au
ubaya wa hizo historia, wa vyama vyote
na michezo, hawajiamini,
wanajilinda na kilekisichokuwepo,
wanabadili sheria zao kila kukicha, walafi,
hawafii itikadi
zao)
From:
'Hildegarda
Kiwasila' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To:
wanabidii@googlegroups.com
Cc:
Wanazuoni@yahoogroups.com
Sent: Friday, March
10,
2017 7:25 AM
Subject: Re:
[wanabidii] MWIGULU:
MWENDENDO HUU WA POLISI, UNAKUHITAJI
KUFANYA ZAIDI.
USA
kwenyewe pamoja na
demokrasia tunaona katika TV-CNN
wanabondana na police. Wanaandamana kumpinga
Trump lakini
kama
inavyotokea bongoland-wanavunja maduka na kuiba (watu
weusikibao ktk kuvunja
maduka hayokama tulivyo hapa bongo!).
Nani haoni hii ktk TV?
Wanapigana na police na police kuua
au kuuawa. Police
amevaa vivalo utadhania ni jeshi la
taifa kama JWTZ kwetu,
wana mbwa waliofundishwa jinsi ya
kumkamata mtu wanamkamata, wana magari mazito
ajabu kama ya
kivita
ila ya maji ya washawasha wanawamwagia wanaoandamana
wasiotii sheria. Tunaiona
hii pia ktk mitandao ya magazeti.
Iiatoke si USA pekee na nchi za Europe lakini USA
ndio
kiboko. Na wapo
police wanaoua kiuonevu mfano mauaji ya
black people. Kesi hizo
zinaonekana kwetu pia.
Inashangaza
TZ-wananchi
wanapovamia na wanapochoma kituo cha polisi kumtoa
mtuhumiwa, kuua polisi-
wananchi sisi hatuandamani. Wakulima
Kilosa na Moro Rural
wanavyopigwa mapanga na kuuawa ila
wakimuua mfugaji ni issue
mpaka magazeti ya ulaya. Ila
wakilosa-wafe tu! Bibi kalima mashama yake miaka
70 leo hii
anakuja
kuchapwa bakora asifukuze mifugo isile na kesi zipo
kibao haziendi wala
fidia ya kuchapwa na gharama zao za
matibabu hawalipwi!
Mume kafa Mikumi (babu
mtu mzima) kwa shock ya
mkewe (bibi mtu mzima) kubakwa shambani akifukuza
mifugo
isile mpunga
wake. Morani katorokea police station (rushwa)
bibi kilema hadi leo mume
alipoambia kuhusu bibi kulazwa St
Kizito kwa kubakwa akifukuza mifugo-kapata shock
akaanguka
na akafa.
Fidia ipo wapi. Hakieleweki hadi leo!
Waliotoa taarifa za
ujambazi wanapofuatwa na
majambazi husika au ndugu zao,
washirika wao hukatwa mapanga na kuchomwa moto
kuuawa au
kuumizwa-Mbona hatuandamani kamwe kama ile ya Ulimboka
kuweka semina,
makongamano kujadili haya kama inavyokuwa hao
ambayo hufanywa
kisiasa?
Game scout
ndani ya wildlife
protected area wanapolinda na kufukuza
wavamizi humo hukuta
wahusika hao wana mishale ya sumu,
mikuki na silaha kali za
kivita kuliko walizo nao askari hao
wa wanyama pori au wa
protected forests. Wao wana SR au G3
wenzao wana LMG na mkanda
mrefu wa risasi silaha walizonunua
toka wakimbizi na
ujambazi mwingine. Akijihami game scout
aue raia hao-maandamano,
media lawama juu kwa serikali,
makongamano donor funded hapo ndio NGO hupata
ulaji!
Wakikamata wanaolima
bhangi humo, kulima mazao
na kujaza mifugo na kuipeleka
mifugo vituo husika na wakifuatiliwa na husika
askari hao
kupigwa
vibaya-hakuna lawama ila lawama askari hao
wanapopiga raia kujitetea
au kuua kutokana na hayo. Lazima
tuheshimu sheria pia sio kutetea upande mmoja
tu.
Kama nchi hii inataka
iwe
salama-ni kwa
serikali sasa kuacha SIASA kutumia sheria.
Mwana SIASA anayetetea
ujinga-atumbuliwe. Pamoja na kuweka
hela za mabasi na dreni
sa mwendokasi, ndege za bombadier na
barabara za fast train
etc-kipaumbele pia kiwe
katika-Participatory Land Use Planning Vijijini
na
kukamilisha upimaji
mijini na ramani zake. Pia, kuhakikisha
kulikopimwa zamani ramani
inakaa sawa kwa KUBOMOA bila ya
FIDIA wale waliobadili mchoro kwa maeneo yao kwa
kufunga
barabara,
kuvamia public open land na ROW ya barabara, Reli.
Sheria kali iwekwe na
kulazimisha sustainable fishing,
farming, livestock keeping iwe SHERIA. Na upande
wa
uchimbaji madini
yaaina yoyote mpaka mawe na kokoto, mchanga
Mining Act izingatiwe na
Land Recovery ifanyike kwa lazima
na mchimbaji aliyepewa leseni. Hii itaepusha
kuwepo na
mashimo
ambayo watu huvamia, kujenga nyumba na mvua ikija
wanatesa watoto kwani
mashimo yanajaa maji. Wengine
huyatumia kuyafanya sewage dumping site bila ya
kuzingatia
viwango vya
liquid waste stabilization pond.
Wizara ya
Mambo ya Ndani
na ya
Ardhi, Mali Asili na Mazingira wahakikishe kuwa vita
haitotokea kati ya Raia
na Askari wa aina yoyote ile kwa
kuhakikisha Land Use Planning na kuwapa hati
miliki wahusika
iliyopigwa chapa-Haihamishiki inakamilika na kupiga
marufuku
migratory
farming and livestock keeping. Kaa kwako utumie
ardhi yako kiendelevu.
Hii itapunguza hayo ya kupigana na
wafukaji na kutumia muda
mwingi wa kazi ktk kukata mazao
yaluyolimwa ndani ya misitu ya hifadhi pamoja na
bhangi.
Kila mmoja
TZ akae pale alipopewa ardhi na serikali au
aliporithi kutoka
ukoo/wazazi wake au aliponunua na kupata
hati miliki. Mbona Ulaya
wameweza sisi tuna ardhi kubwa sana
na matumizi hayajafika
hata 50% ya arable land tuliyonayo?
Kulazimisha ufugaji
endelevu ni mpaka kuwafanya wafugaji
wapande mahindi na majani
ya lishe ya mifugo ambayo
huyafuata maeneo mbali mbali. Kama mahindi, kunde
ni chakula
cha mifugo
akila anatoamaziwa mengi-ktk ekari kumi za boma
laki panga ekari5 mahindi
na majani ya mifugo badala ya
kuweka mifugo elfu 2 katika ekari 5 weka
sustainable level
na
walishe chakula na pumba za mazao uliyopanda na mabua,
vigunzi vyake watoe
maziwa sana! Sio uhamehame-Kilosa,
Lindi, ndani ya vituo vya
serikali vya kilimo na mifugo
upeleke vurugu kisha mkipambana na askari wa
serikali iwe
sababu.
Ulifikaje hapo? Serikali nayo isitake kufumbia macho
mambo yanayoonekana kwa
kuitetea jamii yenye makosa. Mwisho
askari wetu watakaa tu
kuangalia wakulima na wafugaji
wakiharibu protected areas, wakiuana kwa
kuogopa
kuwa-akienda
akitupiwa mkuki, akirusha risasi itaua mtu na
yeye kufungwa maisha!
Hivyo-wakiona wataangalia tu,
wakipigiwa simu-watasema tunakuja-hawatotokea.
Kama vile
inavyotokea
barabarani na wafanya biashara ndogo ndogo.
Wanajua hawatakiwi wawe
hapo, askari wakienda kuwaondoa
wanawarushia mawe kugoma kuondoka nao
askari/mgambo hutumia
virugu. Kisha tunalalama-lack of democracy! Ndio
wanawaacha
wanaanika
na kutandika nguo, chupi an sidiria ning'inia
mpaka nje ya majengo ya
serikali na porivate sector, viatu
vimetandazwa njia za
waenda kwa miguu Independence Avenue
yote na mapishi
marabarani mpaka kando ya barabara za kwenda
Ikulu! Waache usiwaonee
wanaganga njaa!
Huu ndio wakati wa
kujenga
nidhamu kila
kona. wakati wa kulinda mazingiza ili tupunguze
athari za climate change;
kuweza kuzalisha mazao ya
mashambani, mifugo na samaki ili kulisha
viwanda. Utalii
ukue
na sio kuachia mifugo na kilimo kinakua ndani ya
wildlife protected areas.
Wanalima kiwango kikubwa sana
ndani ya NCAA na Loliondo. Wageni wafugaji na
mifugo kutoka
Kenya
wamejaa. IRA-UDSM wakurugenzi wake ndio waliokuwa
Chairperson wa Board ya
NCAA wanalijua hili; Socio-economic
studies za NCAA za
Planning for Conservation with
Development wamezifanya na hayo yamedhirika na
pichaza
mashamba
makubwa sio siri. Thesisza wanafunzi wa kwa mfano
UDSM Geography, IRA za
conservation areas zipo na statistics
za wingi wa mifugo na
ukubwa wa mashamba ndani ya NCAA;
evaluation ya benefits za kutoka NCAA, hoteli
za ndani ya
Serengeti
na awwekezaji zinaonyesha mafao zipo na
kinachoendelea na hao
wafaidika ni kinyume na kinachotakiwa
katika ulinzi wa
mazingira. Pamoja na miradi mingi ya
mazingira kila kona
iliyohusisha wananchi kuanzia Pwani yote
hadi bara kwa misaada ya
donors-bado uharibifu ni mkubwa
kwani sisi ni SIKIO la KUFA na kulalamika ndio
TIJA, ukweli
kwetu ni
Kivuri cha Giza ila uongo ndio Sifa. Kwa sasa tuna
Waziri ambae Culture ya
Kabila lake ni Kiboko katika Ulinzi
wa Mazingira-ardhi,
misitu, wanyamapori, maji! Na mifugo
kwao na kilimo vina
sheria kali!! Sasa imebaki kula Dawa
tu akili zikae
sawa-hatokubali uzushi na ujinga atazingatia
sheria za nchi. Mh
Mwigulu ana akili timamu na anatoka jamii
ya wafugaji pia naye
alifuga kuanzia utoto kachunga
ng'ombe! Sasa hapa Kazi tu. Kuwafunga hao
askari walioua
si
Kibali kuwa uovu na ujinga uendelee wa kuvamia usiko
ruhusiwa (mwananchi).
Wengine
hujifanya mchana wapo
kijijini kwao wametulia. Lakini usiku
huvamia misitu kukata
miti, kujaza malori na kusafirisha
magogo. Pengine hao
askari waliovamia kijiji cha wafugaji
walilifuata hili. tatizo
hawakutoa taarifa na kupata kibali
cha uvamizi. Viongozi
wengine wa juu hupewa rushwa mpaka ya
mifugo wakamezea na
kunyamazia mengi-atoe kibali cha kuvamia
eneo! Tuna kesi Mikumi
Police Station ya Wakala wa TIGO
kufanya wizi wa Mtandaoni kuhamisha hela kutoka
TigoPesa
ssimu ya
muhusika kupeleka Airtel money na kufuta maelezo au
message zote ktk simu ya
jamaa muhusika alipompa amsaidie
kutoa hizo hela. Vidhibiti vya Tigo, M-Pesa
ilikotoka hela
vimepelekwa na zina mihuri ya ofisi husika kuonyeshahela
zilipotoka, kuingia na
kuhamishwa na muda pia. Lakini Wakala
anapeta-anatoa taarifa
zake za mkono ndio zinaaminiwa.
Ameshaibia hivyo wengi wasio naufahamu wa wapi pa
kwenda
kuanziakuiba
laki 3 mpaka milioni na bado anapeta
(Rushwa!).
Hivyo basi-wafugaji
wengine hutulia na mifugo
mchana usiku huhana aukuisafirisha
kulishia mashamba ya
wenzao kucha asubuhi wanarudi kijijini
kwao tuli wametumia.
Iangaliwe-hata kama askari waliingia
kijiji cha wafugaji-kuna
sababu tu lazima ambapo
haijagunduliwa! Maeneo ay Kilosa, Morogoro rural
hukuta
wamelishia
mashamba usiku na kuwafanya wenye mashamba kulala
porini/mashambani juu ya
miti kulinda mashamba yao. Fikiria
vijana wa kiume, baba
mwenye mke alale shambani mbali mpaka
mavuno (angalia picha ya
wanavyokaa mitini usiku, nimeipiga
mwenyewe). Familia
inaathirika kiasi gani kwa baba
kutokuwepo nao kwa usalama wao home?
Askari mwonevu
kuchukuliwa
hatua ni
safi kabisa. Mwingine atatakakulipiza kisasi
(askari) mahala
pasipohusu kabisa kuonea pia ili apate
vijisenti toka mtu huyo
ili amwachie. Mwingine anatafuta
sifa tu aonyeshe ubabe kwa kumbonda mtu kupita
kiasi hata
kama
amegoma kuondoka alipoambiwa afanye hivyo. Lakini
unapofika Mahakamani
ukaanza maandamano hapo, kukosha magari
na kupiga deki mshitakiwa
apite ulipodeki-ni nidhamu
potofu-Upigwe tu na utumbuliwe kama ni mtumishi
wa Umma!!
ila
tufahamu, tunapokuwa na maelewano madogo na walinzi kama
police, FFU kupigana nao,
majambazi watatumianafasi hiyo
kuja kuwavamia kwani wanajua askari hao wakiitwa
hawatakuja.
Halafu ni
kulalamika eti simu zilipigwa hawakuja au
zilizimwa hawapatikani.
Unapochoma kituo cha polisi-unachoma
mpaka faili za kesi za
nduguzo na jirani zako! halafu
ukiporwa njia jina panya Road unakwenda wapi na
kituo cha
polisi
umekichoma na kupiga askari? Kuna haja ya kujenga
upya nidhamu binafsi ya
Raia wa Bongoland au sisi wa TZ.
Mapigano
na askari na
mauaji
yaja-serikali itakapoanza kuvunja majengo
yaliyojengwa mabondeni na
katika right of way ya barabara,
nguzo za umeme, open space zake mijini na
vijijini. Iandae
JWTZ
kusaidia police. waandae maeneo ya magereza ya
kuwapeleka raia haokulala
na kuamka kufanyakazi za kuzalisha
mali huko badala ya
kuwaacha wajenge vibanda mabondeni
kachumba kamoja familia
yote kulala humo kuongeza jamii
yenye utovu wa maadili!! Jenga nyumbaza manamba
kwa kutumia
NHC bosi
Mchechu anayaweza ajenge ktk mashamba ya mamlaka za
serikali (minazi, sisal,
cotton farms) ili watakaovunjiwa
wasio na ajira mjini wakalime kuzalisha mazao ya
kulisha
viwanda
tufikie uchumi wa viwanda!!
Kama
Kawa
--------------------------------------------
On Thu, 9/3/17,
'ELISA
MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii]
MWIGULU:
MWENDENDO HUU WA POLISI, UNAKUHITAJI KUFANYA
ZAIDI.
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, 9
March,
2017, 12:25
Koku. Angalia hoja
ya
msingi kwenye
original
article. Hii ninamjibu
Emanuel na ukweli amehoji
pembeni mwa hoja ya
msingi inayojadili technical na
discipline aspects of
the police when handling
the two
issues in
question.
Ukiijadili kama Emma anavyoileta
utaingiza watu wengi wa
kujibu na kujitetea
badala ya
waziri,
RC, RPC, DC OCD.
--------------------------------------------
On Thu, 3/9/17,
'Lutgard Kokulinda
Kagaruki' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] MWIGULU:
MWENDENDO HUU WA POLISI,
UNAKUHITAJI KUFANYA
ZAIDI.
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday,
March
9, 2017, 9:09
AM
Elisa
we vipi?
Tunaongelea
watoto/wajukuu
zetu;
hata kama
hawakuwa na kibali, ndo
wapigwe kama majambazi?
LKK
On Wednesday,
March
8, 2017 11:42
PM, 'ELISA
MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Unatwambia habari
za
marekani nchi tajii
ina
polisi wenye
vyombo vya akiba nakadhalika. Wewe
uko
marekani
itafute historia ya
nchi hiyo. Katiba yao
iliandikwa na
majenerali saba na
wakasema jimbo litakalopinga vita. Sisi
hatujafika hapo.
Unafanya lkosa kufikiri
(acha kuandika)
kuwa demokrasia yetu
iwe kama ilivyo ya marekani.
Tungetaka
kuanzia walipoanzia
je?
--------------------------------------------
On Wed, 3/8/17,
Emmanuel
Muganda
<emuganda@gmail.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii]
MWIGULU:
MWENDENDO HUU WA POLISI,
UNAKUHITAJI KUFANYA
ZAIDI.
To:
"wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday,
March
8,
2017, 11:34 PM
Polisi
hawana haki ya
kuzuia
maandamano in
a true democratic
country. Kuna
maandamano yanaweza kufanyika
spontaneously,
hiyo ni
haki ya raia.Baadfa ya
ushindi wa Trump
Wamarekani katika
sehemu
mbalimbali
za nchi walimiminika
mitaani kuandamana.
Hawakuhitaji kibali cha
polisi.Simba
walipowafunga Yanga juzi mashabiki
wa Simba
wangeandamana
isingekuwa nongwa.
Polisi
hawakuhitaji kuombwa ruhusa.em
2017-03-08 15:13
GMT-05:00
'ELISA
MUHINGO' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Walikuwa
na haki ya
kuyazuia
kwa
sababu kabla
hawajaandamana
walihiyaji kutoa taarifa
ya kuandamana ili
walindwe. Kama
mazingira
hayaruhuzu
basi
hawapati kibali na hivyo
hawaandamani. Sasa hawa
hawakupitia
utaratibu
huo.
------------------------------ --------------
On Wed, 3/8/17,
Emmanuel
Muganda
<emuganda@gmail.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii]
MWIGULU:
MWENDENDO HUU
WA POLISI,
UNAKUHITAJI KUFANYA
ZAIDI.
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date:
Wednesday,
March
8, 2017, 10:56
PM
Elisa,Hapo ndipo
tunapopishana. Polisi
hana
mamlaka
yoyote ya kuzuia
maandamano ya raia,
hata wanafunzi.
Walichofanya
wanafunzi
wa Simiyu
ni haki yao kabisa
polisi
hawakuwa na
mamlaka
ya
kuingilia
katina
kuwazuia.
Kazi yao
ilikuwa
ni
kuhakikisha
kwamba
maandamano
yanafanyika kwa
amani
si
kuyasimamisha na
kuyazuia. Ni
uvunjaji
wa haki
za
binadamu/raia.em
2017-03-08
14:27
GMT-05:00
'ELISA
MUHINGO'
via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Wakati
rais
akiwaapisha
watendaji wake siku
moja hivi
karibuni,
aligusia
mwenendo
wa raia
kutoheshimu
vyombo vya
dola.
Mifano aliyotoa
ni watu
kuitwa
Polisi wakaongozana na
kwaya
na wengine
kuosha
magari.
Nakubaliana na
rais
wetu kuwa
vyombo hivi
vinahitaji
kuheshimiwa. Ukaribu wa
watu
Fulani
na viongozi
wetu wa juu
kwa
sababu mbalimbali
ulitufikisha
hapo. Mtu
mwenye
hela
alijua hata
akivunja sheria
hawezi
kukamatwa. Sasa
Tanzania hakuna
mwenye
uhakika huo
tena.
Ni
vibaya sana kwa
raia
mmoja
kujihakikishia hilo
kwamba
hata
akimuonea raia
mwenzake
hakuna
taasisi ya
kumshughulikia.
Hii ndiyo
huleta
watu
kuchukua sheria
mkononi mwao.
Njia nyingine
na
muhimu
ya lazima kwa
vyombo hivi
kuheshimiwa, ni
vyombo vyenyewe
kujiheshimu na
kuheshimu
nafasi zao.
Matukio mawili
hivi
karibuni
yaliyotendwa na askari
polisi
wetu ni mfano
mmojawapo
wa jeshi
hili kutojiheshimu na
kwa
kweli
lisitegemee
kuheshimiwa hata rais
angeagiza.
Mkoani Pwani
Polisi
wamevamia
kijiji cha wafugaji na
kuanza
kuswaga
ng'ombe
na
kuwapeleka
Polisi. Wafugaji bila
kubisha
wakakubali
ng'ombe
wapelekwe.
Lakini wakataka
ng'ombe hao
wahesabiwe ili ijulikane
ni ng'ombe
wangapi
wanachukuliwa.
Polisi
hawataki.
Wanaamua kurusha
risasi
na
kuua. Anakuja
Mkuu wa
Wilaya na
kukana kuwa askari hao
walikuwa
hawakutumwa katika
eneo
husika maana sio
eneo
lenye
mgogoro. Ni
eneo
la
wafugaji.
Wananchi wanadai hatua
zichukuliwe kwa
askari hao. Hakuna
hatua
zinazochukuliwa
Mkoa mzima, mpaka
waziri wa mambo ya ndani
alipofika
ndipo
akaagiza askari
hao
wakamatwe.
Hebu tuone
viashiria
hivi; na
kama ndio mfumo tuone
kama
raia wa
Tanzania
wako
salama
kweli:
1.
Askari
anakwenda
eneo lisilo
na mgogoro
na
bila
kuagizwa na
wakubwa
wake wa
kazi, anakamata mali
za
raia.
2. Raia
wanakubali lakini
wanataka kuhakiki
mali
inayokamatwa.
Askari
wanakataa.
Wanaamua kuua raia
hao.
3. Mkuu
wa
Wilaya
anadhibitisha Polisi
hao
wamefanya
kitendo cha
kihalifu; (kwa
sababu
hawakutumwa
huko
kukamata
mali za raia
hao).
4. Mkoa
mzima
ambao una Mkuu
wa wilaya, OCD, RPC
na
Mkuu wa Mkoa
hakuna
anayeona na
kutumia madaraka yake
kuwakamata askari
hao. Maana yake wako huru
na wanaweza
kufanya hivyo
hata
kijiji
kingine.
5. Amri
ya
kuwakamata Polisi
hao inakuja kutolewa
na
waziri.
Hivi katika
mazingira
haya raia
wajione wako salama???
Tanzania
ina mokoa karibu
30.
Mikoa kumi ikipata
tatizo
linalohitaji askari
akamatwe mpaka waziri
aisungukie
yote?
Nataka Mwigulu
ajijibu
(asitangaze
jibu). Sisi tunataka
kupata
jibu kwa jambo
atakalolitenda.
Mwigulu kuagiza
askari
walioua
wakamatwe,
amemdhalilisha
RPC.
Kumsheshimu
RPC
wake alipashwa
kumtimua kazi.
Nitatoa
mfano. Kuna
tajiri
mmoja
alijenga kituo cha
mafuta
barabarani
Mwanza.
Waziri
Magufuli (alikuwa hajawa
rais),
akamwagiza
Mkuu wa mkoa
kukibomoa kituo hicho.
Mkuu wa
mkoa
akakataa.
Magufuli
(Inasemekana) alimpigia
simu na
kumwambia
Mkuu wa Mkoa
asikilize taarifa
ya
habari ya saa
kumi
atatajwa mkuu
wa
Mkoa
mpya
atakayefanya kazi hiyo.
Simu
ilipokatwa Mkuu
wa
Mkoa (inasemekana)
alikwenda
kusimamia
kituo kuvunjwa na
kwa
masaa kilikuwa
hakipo tena.
Tunataka
tuone
kinachotokea
ambacho
inasemekana Mwigulu
alifanya
(kwa
RPC) wake;
kama
Magufuli
alivyofanya kwa mkuu wa
Mkoa
wa
Mwanza wakati
huo.
Kituko cha pili
ni
cha
wanafunzi wa
Simiyu. Wanafunzi
wanasema
shule yao ilikuwa
inashindwa. Ameletwa
mwalimu
kwa
juhudi zake
sasa
matokeo ya
mitihani yanaonyesha
mabadiliko.
Mwalimu huyo
anahamishwa.
Wanafunzi
wakaamua
kuandamana.
Wamebeba
makaratasi. Polisi
wakaja kuwazuia
wasiandamane.
Ni
haki kabisa
kuwazuia.
Ilitarajiwa Polisi waweke
ukanda
na
kuwatangazia
wasimame
hapohapo na
kuwahoji wanataka
nini.
Sasa wanakuja
na
zana
kana kwamba
watu wanauana na namna
ya
kuwatawanya ni
kuwavurunda.
Zimetoka picha
mtandaoni
zikionyesha
Polisi
"wanamdhibiti"
mwanafunzi. Huyu anavuta huku, huyu
anavuta huko,
huyu
anapiga ngwara.
Mtu unajiuliza
Polisi
walikuwa
wanafanya
nini
hasa? Nani
alikuwa anawaongoza
wenzake
kufanya hivyo? Huyu
mwanafunzi angeambiwa
"panda
gari hilo"
angepanda.
Angebisha
Polisi wawili
walitosha
kumshika na
kumlaza
chini na
kumuweka Pingu.
Ukiiangalia
picha hiyo
hukosi
kujiuliza
kiwango cha
elimu
kinachotolewa
kwa
Polisi wetu huko
chuoni! Kuna mtu aliwahi
kusema
huwa
wanafundishwa
ukakamavu
na gwaride
tu. Ukilinganisha
picha
hizo na usemi
huo
huwezi
kumkatalia
aliyesema
wanajifunza
gwaride na
ukakamavu tu.
Hakuna
busara ya
kuwashugulikia
wahalifu
inatolewa. Hakuna
aina
ya maandamano na
namna
ya
kuyadhibiti.
Hakuna
elimu ya
mahusiano na raia wema
ili
kazi
yao iwe
nyepesi.
Kuna
mtu anauza
viroba jirani yangu.
Mpaka
sasa najiuliza
nimwambie nani?
Vituko
hivi ndani
ya
makala
yangu sithubutu
kumwambia Polisi.
Nakubaliana na
mengine
yanayosemwa juu
yao.
Mambo haya
hayawezi kuacha
kutonesha
vidonda myoyoni
mwetu juu ya matendo
ya
Polisi. Mauaji
ya
Mwangosi;
Kuburuzwa
ndani
Lipumba wakati
amewambia
Polisi
kuwa
anakwenda
kuwatawanya watu
waliokuwa hawajui kuwa
mkutano umekataliwa;
na
mengine mengi
tu.
Ninakumbuka
kusikia
radio
ujerumani wakielezea
elimu ya
Polisi wao. Wanasema
Polisi akikutana na
mtu amelala
barabarani cha
kwanza
wanadhani ana
kisukari, au kifafa
au
magonjwa
mengine, kabla
ya
kufikiri ni mlevi.
Polisi
wana
vifaa vya
kupima
kuhakikisha
ana shida gani. Wa
kwetu
watapiga mateke na
kusema ni mlevi. Mwigulu.
Kati ya
mambo
ya kutopuuza ni
elimu
inayotolewa
kwa asiakri wetu.
Madaraka
na wajibu wa
Polisi
wetu. Lakini
niseme; Nitashangaa
kama
RPC wa Pwani
ataendelea
na
kazi.
Elisa Muhingo
0767 187 507
elisamuhingo@yahoo.com
--
Send
Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa
Tuma Email
kwenda
wanabidii+...@
googlegroups.com
Utapata
Email ya
kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting
to
this Forum
bears
the
sole
responsibility
for
any legal
consequences
of his
or
her
postings,
and
hence
statements and
facts
must be
presented
responsibly.
Your
continued
membership
signifies
that
you
agree
to
this
disclaimer and
pledge
to abide by
our
Rules
and
Guidelines.
---
You
received this
message
because
you
are
subscribed
to
the
Google
Groups
"Wanabidii"
group.
To
unsubscribe from
this
group and
stop
receiving
emails
from
it,
send
an
email to
wanabidii+...@
googlegroups.com.
For
more
options,
visit
https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send
Emails
to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa
Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata
Email ya
kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting
to
this Forum bears
the sole
responsibility
for
any
legal
consequences
of his
or
her
postings, and
hence
statements
and facts
must be presented
responsibly.
Your
continued
membership
signifies
that
you agree to
this
disclaimer
and
pledge to abide
by our Rules
and
Guidelines.
---
You
received
this
message because you
are
subscribed
to
the
Google
Groups
"Wanabidii"
group.
To
unsubscribe from
this
group and stop
receiving
emails
from
it,
send an email
to
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For
more
options,
visit
https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails
to
wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa
Tuma
Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata
Email
ya
kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting
to this
Forum bears the sole
responsibility
for any
legal
consequences
of his or her
postings,
and
hence
statements
and
facts must be
presented
responsibly.
Your
continued
membership
signifies
that you
agree to
this
disclaimer
and
pledge to abide
by our Rules and
Guidelines.
---
You
received
this
message because
you are
subscribed
to
the
Google
Groups
"Wanabidii"
group.
To
unsubscribe
from
this group and stop
receiving
emails
from it,
send
an
email to
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more
options,
visit
https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma
Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email
ya
kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting
to
this Forum bears
the sole
responsibility
for any
legal consequences
of
his or her
postings, and
hence
statements and
facts
must be
presented responsibly.
Your
continued
membership
signifies
that you agree to this
disclaimer and
pledge
to abide by our
Rules and
Guidelines.
---
You received
this
message
because you are
subscribed to
the
Google Groups
"Wanabidii"
group.
To unsubscribe
from
this group and
stop receiving
emails
from it, send
an
email
to
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more
options,
visit
https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma
Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting
to
this Forum bears
the sole
responsibility
for any
legal consequences
of
his or her
postings, and
hence
statements and
facts
must be
presented responsibly.
Your
continued
membership
signifies
that you agree to this
disclaimer and
pledge
to abide by our
Rules and
Guidelines.
---
You received
this
message
because you are
subscribed to
the
Google Groups
"Wanabidii"
group.
To unsubscribe
from
this group and
stop receiving
emails
from it, send
an
email
to
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more
options,
visit
https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma
Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting
to
this
Forum bears the
sole responsibility
for any legal
consequences of his or
her postings, and hence
statements and facts
must
be presented
responsibly. Your
continued membership
signifies that you agree to
this
disclaimer and
pledge to abide by our
Rules and
Guidelines.
---
You received this
message
because you
are subscribed to the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from
this
group and
stop
receiving
emails
from it, send an email
to
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more
options,
visit
https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma
Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting
to
this
Forum bears the
sole responsibility
for any legal
consequences of his or
her postings, and hence
statements and facts
must
be presented
responsibly. Your
continued membership
signifies that you agree to
this
disclaimer and
pledge to abide by our
Rules and
Guidelines.
---
You received this
message
because you
are subscribed to the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from
this
group and
stop
receiving
emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma
Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this
Forum bears the sole
responsibility for any legal
consequences of his or
her postings, and hence
statements
and
facts must be
presented responsibly. Your continued
membership
signifies
that you
agree to this disclaimer and
pledge to abide by our
Rules and Guidelines.
---
You received this
message
because you
are subscribed to the Google
Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving
emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma
Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the
sole
responsibility
for
any legal consequences of his or her
postings, and
hence
statements and
facts
must be
presented responsibly. Your
continued membership
signifies that you agree
to this
disclaimer
and pledge to abide by our Rules
and
Guidelines.
---
You received this
message because you are
subscribed to
the
Google Groups
"Wanabidii"
group.
To
unsubscribe from this
group and stop receiving emails
from it, send an email
to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum
bears the sole responsibility
for any legal
consequences of his or her postings, and hence
statements and facts
must
be presented
responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and
pledge to abide by our
Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from this
group and stop receiving
emails
from it, send
an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this
Forum
bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or
her postings, and hence statements
and facts must be
presented responsibly. Your continued
membership signifies that
you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this
message
because you
are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii"
group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving
emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this
Forum bears the sole responsibility
for any legal
consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must
be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and
pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this
group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this
Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment