Thursday, 9 March 2017

Re: [wanabidii] MWIGULU: MWENDENDO HUU WA POLISI, UNAKUHITAJI KUFANYA ZAIDI.

Hakuna nchi iliyofanikiwa kwa ulinzi ulinzi wake wa ndani kwa kutumia mitutu ya bunduki au ukali na ukatili wa askari wake.
Ulinzi ni mfumo na siyo mabunduki na maderaya, mfumo huu hujengwa kupitia mila na desturi zetu, pale tunapo jenga stadi za maisha taratibu hupenyesheshwa mambo haya.
Yale yote tunayoyaona sasa, ni zao la kizazi fulani katika jamii yetu.
Tumeibuka na katabia ka hajabu sana sasa hivi, tunakwepa kujadili kitu husika na kukimbilia kutaja tuliyokuwa tumeyahifadhi moyoni.
  1. Jamii inajengewa ubaguzi ( kiafya, kielimu, kiuchumi, kitabaka, kikabila, kikanda,kicheo, kivyama, kirika n.k.)
  2. Watoto wetu hawajui mipaka yao( wanasubiriwa wakosee ndiyo wakanywe na mambo kama hayo)
  3. Mtindo wetu wa kurekebisha/ kukosoana umekosa upendo ( imekuwa ni uadui, kutiana aibu-- yaani hatuja acha kuimbiana kikojozi kakojoa na ngua kaitia moto)
  4. Hatuna sera ya kitaifa tunayoweza kusema wote tunaelekea huko( tuna sera za vyama au za watawala kwa vipindi vyao, hata ukiwauliza mbona unau au kukandamiza wananchi, watakwambia sisi tuna nafuu sana, angalia rwanda, uganda? Sasa sisi tunaishi kusudi tuwafikie hao kwa ukatili na kuhadhri UTU? )
  5. Matatizo madogo madogo ya wafanya kazi, wakulima, wafugaji, wafanya biashara hayashughulikiwa kwa ufasaha na kwa wakati. ( yanakuja kushughulikiwa kidharula)
  6. Wanasiasa wenye upeo mdogo au hawajui siasa( wapo tayari wakati wa kampeni kuunga mkono makundi haramu)
  7. Sisi siyo watanzania kamili na wala siyo wa hayo mataifa mengine( tunaigaiga tu, mara china, mara India na singapol, mara umarekani- Uchumi wa kibepari, siasa ya ujamaa, elimu ya kijima)
  8. Watu wazima/wazee, viongozi wa dini, viongozi wa nchi, viongozi wa michezo na wengine. Hawana aibu ( Viongozi wa dini wapo kwa ajili ya kuendesha ibada za mazishi tu, viongozi wa kiserikali wanajitahidi kufuta historia za watangulizi wao, bila kujali uzuri au ubaya wa hizo historia, wa vyama vyote na michezo, hawajiamini, wanajilinda na kilekisichokuwepo, wanabadili sheria zao kila kukicha, walafi, hawafii itikadi zao)



From: 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Cc: Wanazuoni@yahoogroups.com
Sent: Friday, March 10, 2017 7:25 AM
Subject: Re: [wanabidii] MWIGULU: MWENDENDO HUU WA POLISI, UNAKUHITAJI KUFANYA ZAIDI.


USA kwenyewe pamoja na demokrasia tunaona katika TV-CNN wanabondana na police. Wanaandamana kumpinga Trump lakini kama inavyotokea bongoland-wanavunja maduka na kuiba (watu weusikibao ktk kuvunja maduka hayokama tulivyo hapa bongo!). Nani haoni hii ktk TV? Wanapigana na police na police kuua au kuuawa.  Police amevaa vivalo utadhania  ni jeshi la taifa kama JWTZ kwetu, wana mbwa waliofundishwa jinsi ya kumkamata mtu wanamkamata, wana magari mazito ajabu kama ya kivita ila ya maji ya washawasha wanawamwagia wanaoandamana wasiotii sheria. Tunaiona hii pia ktk mitandao ya magazeti. Iiatoke si USA pekee na nchi za Europe lakini USA ndio kiboko. Na wapo police wanaoua kiuonevu mfano mauaji ya black people. Kesi hizo zinaonekana kwetu pia.

Inashangaza TZ-wananchi wanapovamia na wanapochoma kituo cha polisi kumtoa mtuhumiwa, kuua polisi- wananchi sisi hatuandamani. Wakulima Kilosa na Moro Rural wanavyopigwa mapanga na kuuawa ila wakimuua mfugaji ni issue mpaka magazeti ya ulaya. Ila wakilosa-wafe tu! Bibi kalima mashama yake miaka 70 leo hii anakuja kuchapwa bakora asifukuze mifugo isile na kesi zipo kibao haziendi wala fidia  ya kuchapwa na gharama zao za matibabu hawalipwi!
Mume kafa Mikumi (babu mtu mzima) kwa shock ya mkewe (bibi mtu mzima) kubakwa shambani akifukuza mifugo isile mpunga wake. Morani katorokea police station (rushwa) bibi kilema hadi leo mume alipoambia kuhusu bibi kulazwa St Kizito kwa kubakwa akifukuza mifugo-kapata shock akaanguka na akafa. Fidia ipo wapi. Hakieleweki hadi leo!

Waliotoa taarifa za ujambazi wanapofuatwa na majambazi husika au ndugu zao, washirika wao hukatwa mapanga na kuchomwa moto kuuawa au kuumizwa-Mbona hatuandamani kamwe kama ile ya Ulimboka kuweka semina, makongamano kujadili haya kama inavyokuwa hao ambayo hufanywa kisiasa?

Game scout ndani ya wildlife protected area wanapolinda na kufukuza wavamizi humo hukuta wahusika hao wana mishale ya sumu, mikuki na silaha kali za kivita kuliko walizo nao askari hao wa wanyama pori au wa protected forests. Wao wana SR au G3 wenzao wana LMG na mkanda mrefu wa risasi silaha walizonunua toka wakimbizi na ujambazi mwingine. Akijihami game scout aue raia hao-maandamano, media lawama juu kwa serikali, makongamano donor funded hapo ndio NGO hupata ulaji!

Wakikamata wanaolima bhangi humo, kulima mazao na kujaza mifugo na kuipeleka mifugo vituo husika na wakifuatiliwa na husika askari hao kupigwa vibaya-hakuna lawama ila lawama askari hao wanapopiga raia kujitetea au kuua kutokana na hayo. Lazima tuheshimu sheria pia sio kutetea upande mmoja tu.

Kama nchi hii inataka iwe salama-ni kwa serikali sasa kuacha SIASA kutumia sheria. Mwana SIASA anayetetea ujinga-atumbuliwe. Pamoja na kuweka hela za mabasi na dreni sa mwendokasi, ndege za bombadier na barabara za fast train etc-kipaumbele pia kiwe katika-Participatory Land Use Planning Vijijini na kukamilisha upimaji mijini na ramani zake. Pia, kuhakikisha kulikopimwa zamani ramani inakaa sawa kwa KUBOMOA bila ya FIDIA wale waliobadili mchoro kwa maeneo yao kwa kufunga barabara, kuvamia public open land na ROW ya barabara, Reli. Sheria kali iwekwe na kulazimisha sustainable fishing, farming, livestock keeping iwe SHERIA. Na upande wa uchimbaji madini yaaina yoyote mpaka mawe na kokoto, mchanga Mining Act izingatiwe na Land Recovery ifanyike kwa lazima na mchimbaji aliyepewa leseni. Hii itaepusha kuwepo na mashimo ambayo watu huvamia, kujenga nyumba na mvua ikija wanatesa watoto kwani mashimo yanajaa maji. Wengine huyatumia  kuyafanya sewage dumping site bila ya kuzingatia viwango vya liquid waste stabilization pond.

Wizara ya Mambo ya Ndani na ya Ardhi, Mali Asili na Mazingira wahakikishe kuwa vita haitotokea kati ya Raia na Askari wa aina yoyote ile kwa kuhakikisha Land Use Planning na kuwapa hati miliki wahusika iliyopigwa chapa-Haihamishiki inakamilika na kupiga marufuku migratory farming and livestock keeping. Kaa kwako utumie ardhi yako kiendelevu. Hii itapunguza hayo ya kupigana na wafukaji na kutumia muda mwingi wa kazi ktk kukata mazao yaluyolimwa ndani ya misitu ya hifadhi pamoja na bhangi.  Kila mmoja TZ akae pale alipopewa ardhi na serikali au aliporithi kutoka ukoo/wazazi wake au aliponunua na kupata hati miliki. Mbona Ulaya wameweza sisi tuna ardhi kubwa sana na matumizi hayajafika hata 50% ya arable land tuliyonayo? Kulazimisha ufugaji endelevu ni mpaka kuwafanya wafugaji wapande mahindi na majani ya lishe ya mifugo ambayo huyafuata maeneo mbali mbali. Kama mahindi, kunde ni chakula cha mifugo akila anatoamaziwa mengi-ktk ekari kumi za boma laki panga ekari5 mahindi na majani ya mifugo badala ya kuweka mifugo elfu 2 katika ekari 5 weka sustainable level na walishe chakula na pumba za mazao uliyopanda na mabua, vigunzi vyake watoe maziwa sana! Sio uhamehame-Kilosa, Lindi, ndani ya vituo vya serikali vya kilimo na mifugo upeleke vurugu kisha mkipambana na askari wa serikali iwe sababu. Ulifikaje hapo? Serikali nayo isitake kufumbia macho mambo yanayoonekana kwa kuitetea jamii yenye makosa. Mwisho askari wetu watakaa tu kuangalia wakulima na wafugaji wakiharibu protected areas, wakiuana kwa kuogopa kuwa-akienda akitupiwa mkuki, akirusha risasi itaua mtu na yeye kufungwa maisha! Hivyo-wakiona wataangalia tu, wakipigiwa simu-watasema tunakuja-hawatotokea. Kama vile inavyotokea barabarani na wafanya biashara ndogo ndogo. Wanajua hawatakiwi wawe hapo, askari wakienda kuwaondoa wanawarushia mawe kugoma kuondoka nao askari/mgambo hutumia virugu. Kisha tunalalama-lack of democracy! Ndio wanawaacha wanaanika na kutandika nguo, chupi an sidiria ning'inia mpaka nje ya majengo ya serikali na porivate sector, viatu vimetandazwa njia za waenda kwa miguu Independence Avenue yote na mapishi marabarani mpaka kando ya barabara za kwenda Ikulu! Waache usiwaonee wanaganga njaa!

Huu ndio wakati wa kujenga nidhamu kila kona. wakati wa kulinda mazingiza ili tupunguze athari za climate change; kuweza kuzalisha mazao ya mashambani,  mifugo na samaki ili kulisha viwanda. Utalii ukue na sio kuachia mifugo na kilimo kinakua ndani ya  wildlife protected areas. Wanalima kiwango kikubwa sana ndani ya NCAA na Loliondo. Wageni wafugaji na mifugo kutoka Kenya wamejaa. IRA-UDSM wakurugenzi wake ndio waliokuwa Chairperson wa Board ya NCAA wanalijua hili; Socio-economic studies za NCAA za Planning for Conservation with Development wamezifanya na hayo yamedhirika na pichaza mashamba makubwa sio siri. Thesisza wanafunzi wa kwa mfano UDSM Geography, IRA za conservation areas zipo na statistics za wingi wa mifugo na ukubwa wa mashamba ndani ya NCAA; evaluation ya  benefits za kutoka NCAA, hoteli za ndani ya Serengeti na awwekezaji zinaonyesha mafao zipo na kinachoendelea na hao wafaidika ni kinyume na kinachotakiwa katika ulinzi wa mazingira. Pamoja na miradi mingi ya mazingira kila kona iliyohusisha wananchi kuanzia Pwani yote hadi bara kwa misaada ya donors-bado uharibifu ni mkubwa kwani sisi ni SIKIO la KUFA na kulalamika ndio TIJA, ukweli kwetu ni Kivuri cha Giza ila uongo ndio Sifa. Kwa sasa tuna Waziri ambae Culture ya Kabila lake ni Kiboko katika Ulinzi wa Mazingira-ardhi, misitu, wanyamapori, maji! Na mifugo kwao  na kilimo vina sheria kali!! Sasa imebaki kula Dawa tu akili zikae sawa-hatokubali uzushi na ujinga atazingatia sheria za nchi. Mh Mwigulu ana akili timamu na anatoka jamii ya wafugaji pia naye alifuga kuanzia utoto kachunga ng'ombe! Sasa hapa Kazi tu. Kuwafunga hao askari walioua si Kibali kuwa uovu na ujinga uendelee wa kuvamia usiko ruhusiwa (mwananchi).

Wengine hujifanya mchana wapo kijijini kwao wametulia. Lakini usiku huvamia misitu kukata miti, kujaza malori na kusafirisha magogo. Pengine hao askari waliovamia kijiji cha wafugaji walilifuata hili. tatizo hawakutoa taarifa na kupata kibali cha uvamizi. Viongozi wengine wa juu hupewa rushwa mpaka ya mifugo wakamezea na kunyamazia mengi-atoe kibali cha kuvamia eneo!  Tuna kesi Mikumi Police Station ya Wakala wa TIGO kufanya wizi wa Mtandaoni kuhamisha hela kutoka TigoPesa ssimu ya muhusika kupeleka Airtel money na kufuta maelezo au message zote ktk simu ya jamaa muhusika alipompa amsaidie kutoa hizo hela. Vidhibiti vya Tigo, M-Pesa ilikotoka hela vimepelekwa na zina mihuri ya ofisi husika kuonyeshahela zilipotoka, kuingia na kuhamishwa na muda pia. Lakini Wakala anapeta-anatoa taarifa zake za mkono ndio zinaaminiwa. Ameshaibia hivyo wengi wasio naufahamu wa wapi pa kwenda kuanziakuiba laki 3 mpaka milioni na bado anapeta (Rushwa!).

Hivyo basi-wafugaji wengine hutulia na mifugo mchana usiku huhana aukuisafirisha kulishia mashamba ya wenzao kucha asubuhi wanarudi kijijini kwao tuli wametumia. Iangaliwe-hata kama askari waliingia kijiji cha wafugaji-kuna sababu tu lazima ambapo  haijagunduliwa! Maeneo ay Kilosa, Morogoro rural hukuta wamelishia mashamba usiku na kuwafanya wenye mashamba kulala porini/mashambani juu ya miti kulinda mashamba yao. Fikiria vijana wa kiume, baba mwenye mke alale shambani mbali mpaka mavuno (angalia picha ya wanavyokaa mitini usiku, nimeipiga mwenyewe). Familia inaathirika kiasi gani kwa baba kutokuwepo nao kwa usalama wao home?

Askari mwonevu kuchukuliwa hatua ni safi kabisa. Mwingine atatakakulipiza kisasi (askari) mahala pasipohusu kabisa kuonea pia ili apate vijisenti toka mtu huyo ili amwachie. Mwingine anatafuta sifa tu aonyeshe ubabe kwa kumbonda mtu kupita kiasi hata kama amegoma kuondoka alipoambiwa afanye hivyo. Lakini unapofika Mahakamani ukaanza maandamano hapo, kukosha magari na kupiga deki mshitakiwa apite ulipodeki-ni nidhamu potofu-Upigwe tu na utumbuliwe kama ni mtumishi wa Umma!! ila tufahamu, tunapokuwa na maelewano madogo na walinzi kama police, FFU kupigana nao, majambazi watatumianafasi hiyo kuja kuwavamia kwani wanajua askari hao wakiitwa hawatakuja. Halafu ni kulalamika eti simu zilipigwa hawakuja au zilizimwa hawapatikani. Unapochoma kituo cha polisi-unachoma mpaka faili za kesi za nduguzo na jirani zako! halafu ukiporwa njia jina panya Road unakwenda wapi na kituo cha polisi umekichoma na kupiga askari? Kuna haja ya kujenga upya nidhamu binafsi ya Raia wa Bongoland au sisi wa TZ.

Mapigano na askari na mauaji yaja-serikali itakapoanza kuvunja majengo yaliyojengwa mabondeni na katika right of way ya barabara, nguzo za umeme, open space zake mijini na vijijini. Iandae JWTZ kusaidia police. waandae maeneo ya magereza ya kuwapeleka raia haokulala na kuamka kufanyakazi za kuzalisha mali huko badala ya kuwaacha wajenge vibanda mabondeni kachumba kamoja familia yote kulala humo kuongeza jamii yenye utovu wa maadili!! Jenga nyumbaza manamba kwa kutumia NHC bosi Mchechu anayaweza ajenge ktk mashamba ya mamlaka za serikali (minazi, sisal, cotton farms) ili watakaovunjiwa wasio na ajira mjini wakalime kuzalisha mazao ya kulisha viwanda tufikie uchumi wa viwanda!!

Kama Kawa

--------------------------------------------
On Thu, 9/3/17, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] MWIGULU: MWENDENDO HUU WA POLISI, UNAKUHITAJI KUFANYA ZAIDI.
Date: Thursday, 9 March, 2017, 12:25

Koku. Angalia hoja ya msingi kwenye
original article. Hii ninamjibu Emanuel na ukweli amehoji
pembeni mwa hoja ya msingi inayojadili technical na
discipline aspects of the police when handling the two
issues in question. Ukiijadili kama Emma anavyoileta
utaingiza watu wengi wa kujibu na kujitetea badala ya
waziri, RC, RPC, DC OCD.
--------------------------------------------
On Thu, 3/9/17, 'Lutgard Kokulinda Kagaruki' via Wanabidii
wrote:

  Subject: Re: [wanabidii] MWIGULU: MWENDENDO HUU WA POLISI,
UNAKUHITAJI KUFANYA ZAIDI.
  Date: Thursday, March 9, 2017, 9:09 AM
 
  Elisa
  we vipi?
  Tunaongelea
  watoto/wajukuu zetu; hata kama hawakuwa na kibali, ndo
  wapigwe kama majambazi?
  LKK                  
                                       
 
                      
 
 
 
    On Wednesday, March
  8, 2017 11:42 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
wrote:
   
 
  Unatwambia habari za marekani nchi tajii ina
  polisi wenye vyombo vya akiba nakadhalika. Wewe uko
marekani
  itafute historia ya nchi hiyo. Katiba yao iliandikwa na
  majenerali saba na wakasema jimbo litakalopinga vita. Sisi
  hatujafika hapo. Unafanya lkosa kufikiri (acha kuandika)
  kuwa demokrasia yetu iwe kama ilivyo ya marekani.
Tungetaka
  kuanzia walipoanzia je?
  --------------------------------------------
  On Wed, 3/8/17, Emmanuel
  Muganda <emuganda@gmail.com>
  wrote:
 
  Subject: Re: [wanabidii]
  MWIGULU: MWENDENDO HUU WA POLISI, UNAKUHITAJI KUFANYA
  ZAIDI.
  Date: Wednesday, March 8,
  2017, 11:34 PM
 
  Polisi
  hawana haki ya kuzuia
  maandamano in a true democratic
  country. Kuna maandamano yanaweza kufanyika
  spontaneously,
  hiyo ni
  haki ya raia.Baadfa ya ushindi wa Trump
  Wamarekani katika sehemu
  mbalimbali za nchi walimiminika
  mitaani kuandamana. Hawakuhitaji kibali cha
  polisi.Simba
  walipowafunga Yanga juzi mashabiki
  wa Simba wangeandamana
  isingekuwa nongwa. Polisi
  hawakuhitaji kuombwa ruhusa.em
  2017-03-08 15:13
  GMT-05:00
  'ELISA
  MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
  Walikuwa
  na haki ya kuyazuia kwa
  sababu kabla hawajaandamana
  walihiyaji kutoa taarifa ya kuandamana ili
  walindwe. Kama
 
  mazingira hayaruhuzu basi hawapati kibali na hivyo
  hawaandamani. Sasa hawa
  hawakupitia utaratibu huo.
 
 
  ------------------------------ --------------
 
  On Wed, 3/8/17, Emmanuel
  Muganda <emuganda@gmail.com>
  wrote:
 
 
 
   Subject: Re:
  [wanabidii] MWIGULU: MWENDENDO HUU WA POLISI,
  UNAKUHITAJI KUFANYA
  ZAIDI.
 
 
   Date: Wednesday, March
  8, 2017, 10:56 PM
 
 
 
   Elisa,Hapo ndipo 
  tunapopishana. Polisi hana
 
   mamlaka
  yoyote ya kuzuia
 
  maandamano ya raia, hata wanafunzi.
 
   Walichofanya wanafunzi
  wa Simiyu ni haki yao kabisa
  polisi
 
   hawakuwa na mamlaka ya
  kuingilia katina
 
  kuwazuia.
 
   Kazi yao ilikuwa ni
  kuhakikisha kwamba
  maandamano
 
   yanafanyika kwa amani
  si kuyasimamisha na kuyazuia. Ni
 
   uvunjaji
  wa haki za
 
    binadamu/raia.em
 
   2017-03-08 14:27
  GMT-05:00
 
   'ELISA MUHINGO'
  via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
 
   Wakati
 
   rais akiwaapisha
  watendaji wake siku moja hivi
  karibuni,
 
 
   aligusia mwenendo
  wa raia kutoheshimu vyombo vya dola.
 
   Mifano aliyotoa ni watu
  kuitwa Polisi wakaongozana na
  kwaya
 
   na wengine kuosha
  magari. Nakubaliana na rais wetu kuwa
 
   vyombo hivi vinahitaji
  kuheshimiwa. Ukaribu wa watu
  Fulani
 
   na viongozi wetu wa juu
  kwa sababu mbalimbali
 
  ulitufikisha
 
   hapo. Mtu mwenye hela
  alijua hata akivunja sheria
  hawezi
 
   kukamatwa. Sasa
  Tanzania hakuna mwenye uhakika huo tena.
  Ni
 
   vibaya sana kwa raia
  mmoja kujihakikishia hilo kwamba
  hata
 
   akimuonea raia mwenzake
  hakuna taasisi ya
 
  kumshughulikia.
 
   Hii ndiyo huleta watu
  kuchukua sheria mkononi mwao.
 
 
 
 
 
 
 
   Njia nyingine na muhimu
  ya lazima kwa vyombo hivi
 
 
   kuheshimiwa, ni vyombo vyenyewe kujiheshimu na
  kuheshimu
 
   nafasi zao.
 
 
 
   Matukio mawili hivi
  karibuni yaliyotendwa na askari
  polisi
 
   wetu ni mfano mmojawapo
  wa jeshi hili kutojiheshimu na
  kwa
 
   kweli lisitegemee
  kuheshimiwa hata rais angeagiza.
 
 
 
   Mkoani Pwani Polisi
  wamevamia kijiji cha wafugaji na
  kuanza
 
   kuswaga ng'ombe na
  kuwapeleka Polisi. Wafugaji bila
 
   kubisha
  wakakubali ng'ombe wapelekwe. Lakini wakataka
 
   ng'ombe hao
  wahesabiwe ili ijulikane ni ng'ombe
  wangapi
 
   wanachukuliwa. Polisi
  hawataki. Wanaamua kurusha risasi
  na
 
   kuua. Anakuja Mkuu wa
  Wilaya na kukana kuwa askari hao
 
   walikuwa
  hawakutumwa katika eneo husika maana sio eneo
  lenye
 
   mgogoro. Ni eneo la
  wafugaji. Wananchi wanadai hatua
 
 
   zichukuliwe kwa askari hao. Hakuna hatua
  zinazochukuliwa
 
   Mkoa mzima, mpaka
  waziri wa mambo ya ndani alipofika
  ndipo
 
   akaagiza askari hao
  wakamatwe.
 
 
 
   Hebu tuone viashiria
  hivi; na kama ndio mfumo tuone
  kama
 
   raia wa Tanzania wako
  salama kweli:
 
 
 
   1.      Askari
  anakwenda eneo lisilo na mgogoro na
  bila
 
   kuagizwa na wakubwa
  wake wa kazi, anakamata mali za
  raia.
 
 
 
   2.      Raia
  wanakubali lakini wanataka kuhakiki
  mali
 
   inayokamatwa. Askari
  wanakataa. Wanaamua kuua raia hao.
 
 
 
   3.      Mkuu wa
  Wilaya anadhibitisha Polisi hao
  wamefanya
 
 
   kitendo cha
  kihalifu; (kwa sababu hawakutumwa huko
  kukamata
 
   mali za raia hao).
 
 
 
   4.      Mkoa mzima
  ambao una Mkuu wa wilaya, OCD, RPC
  na
 
   Mkuu wa Mkoa hakuna
  anayeona na kutumia madaraka yake
 
 
   kuwakamata askari hao. Maana yake wako huru na wanaweza
 
   kufanya hivyo hata
  kijiji kingine.
 
 
 
   5.      Amri ya
  kuwakamata Polisi hao inakuja kutolewa
  na
 
   waziri.
 
 
 
   Hivi katika mazingira
  haya raia wajione wako salama???
 
   Tanzania
  ina mokoa karibu 30. Mikoa kumi ikipata tatizo
 
   linalohitaji askari
  akamatwe mpaka waziri aisungukie
  yote?
 
   Nataka Mwigulu ajijibu
  (asitangaze jibu). Sisi tunataka
 
   kupata
  jibu kwa jambo atakalolitenda.
 
 
 
   Mwigulu kuagiza askari
  walioua wakamatwe,
 
  amemdhalilisha
 
   RPC. Kumsheshimu RPC
  wake alipashwa kumtimua kazi.
  Nitatoa
 
   mfano. Kuna tajiri
  mmoja alijenga kituo cha mafuta
 
 
   barabarani Mwanza. Waziri Magufuli (alikuwa hajawa
  rais),
 
   akamwagiza Mkuu wa mkoa
  kukibomoa kituo hicho. Mkuu wa
  mkoa
 
   akakataa. Magufuli
  (Inasemekana) alimpigia simu na
  kumwambia
 
 
   Mkuu wa Mkoa
  asikilize taarifa ya habari ya saa kumi
 
   atatajwa mkuu wa Mkoa
  mpya atakayefanya kazi hiyo. Simu
 
 
   ilipokatwa Mkuu wa Mkoa (inasemekana) alikwenda
  kusimamia
 
   kituo kuvunjwa na kwa
  masaa kilikuwa hakipo tena.
  Tunataka
 
 
   tuone kinachotokea
  ambacho inasemekana Mwigulu alifanya
  (kwa
 
   RPC) wake; kama
  Magufuli alivyofanya kwa mkuu wa Mkoa
  wa
 
   Mwanza wakati huo.
 
 
 
 
 
 
 
   Kituko cha pili ni cha
  wanafunzi wa Simiyu. Wanafunzi
 
   wanasema
  shule yao ilikuwa inashindwa. Ameletwa mwalimu
  kwa
 
   juhudi zake sasa
  matokeo ya mitihani yanaonyesha
  mabadiliko.
 
 
   Mwalimu huyo
  anahamishwa. Wanafunzi wakaamua
  kuandamana.
 
 
   Wamebeba
  makaratasi. Polisi wakaja kuwazuia wasiandamane.
  Ni
 
   haki kabisa kuwazuia.
  Ilitarajiwa Polisi waweke ukanda
  na
 
   kuwatangazia wasimame
  hapohapo na kuwahoji wanataka
  nini.
 
   Sasa wanakuja na zana
  kana kwamba watu wanauana na namna
  ya
 
   kuwatawanya ni
  kuwavurunda.
 
 
 
   Zimetoka picha
  mtandaoni zikionyesha Polisi
 
 
   "wanamdhibiti" mwanafunzi. Huyu anavuta huku, huyu
 
   anavuta huko, huyu
  anapiga ngwara. Mtu unajiuliza
  Polisi
 
   walikuwa wanafanya nini
  hasa? Nani alikuwa anawaongoza
 
   wenzake
  kufanya hivyo? Huyu mwanafunzi angeambiwa
  "panda
 
   gari hilo" angepanda.
  Angebisha Polisi wawili
  walitosha
 
 
   kumshika na kumlaza
  chini na kumuweka Pingu.
  Ukiiangalia
 
 
   picha hiyo hukosi
  kujiuliza kiwango cha elimu
  kinachotolewa
 
   kwa
  Polisi wetu huko chuoni! Kuna mtu aliwahi kusema
  huwa
 
   wanafundishwa ukakamavu
  na gwaride tu. Ukilinganisha
  picha
 
   hizo na usemi huo
  huwezi kumkatalia aliyesema
  wanajifunza
 
 
   gwaride na
  ukakamavu tu. Hakuna busara ya
  kuwashugulikia
 
   wahalifu
  inatolewa. Hakuna aina ya maandamano na namna
  ya
 
   kuyadhibiti. Hakuna
  elimu ya mahusiano na raia wema ili
  kazi
 
   yao iwe nyepesi. Kuna
  mtu anauza viroba jirani yangu.
  Mpaka
 
   sasa najiuliza
  nimwambie nani? Vituko hivi ndani ya
  makala
 
   yangu sithubutu
  kumwambia Polisi. Nakubaliana na
  mengine
 
   yanayosemwa juu yao.
  Mambo haya hayawezi kuacha
  kutonesha
 
 
   vidonda myoyoni
  mwetu juu ya matendo ya Polisi. Mauaji
  ya
 
   Mwangosi; Kuburuzwa
  ndani Lipumba wakati amewambia
  Polisi
 
   kuwa anakwenda
  kuwatawanya watu waliokuwa hawajui kuwa
 
   mkutano umekataliwa; na
  mengine mengi tu.
 
 
 
   Ninakumbuka kusikia
  radio ujerumani wakielezea elimu ya
 
   Polisi wao. Wanasema
  Polisi akikutana na mtu amelala
 
 
   barabarani cha kwanza wanadhani ana kisukari, au kifafa
  au
 
   magonjwa mengine, kabla
  ya kufikiri ni mlevi. Polisi
  wana
 
   vifaa vya kupima
  kuhakikisha ana shida gani. Wa kwetu
 
   watapiga mateke na
  kusema ni mlevi. Mwigulu. Kati ya
  mambo
 
   ya kutopuuza ni elimu
  inayotolewa kwa asiakri wetu.
  Madaraka
 
 
   na wajibu wa Polisi
  wetu. Lakini niseme; Nitashangaa
  kama
 
   RPC wa Pwani ataendelea
  na kazi.
 
 
 
   Elisa Muhingo
 
 
 
   0767 187 507
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
     
 
 
 
              --
 
 
 
          
 
 
 
             
 
 
 
          
 
 
 
        
 
 
 
              Send
 
 
 
          
 
 
 
             
 
 
 
          
 
 
 
        
 
 
 
               
 
 
 
          
 
 
 
             
 
 
 
          
 
 
 
          
 
 
 
            Kujiondoa
  Tuma Email kwenda
 
 
 
          
 
 
 
             
 
 
 
          
 
 
 
          
 
 
 
           
  wanabidii+...@ googlegroups.com 
 
 
 
          
 
 
 
        
 
 
 
             Utapata
  Email ya
 
 
 
          
 
 
 
        
 
 
 
             
  kudhibitisha ukishatuma
 
 
 
          
 
 
 
             
 
 
 
          
 
 
 
        
 
 
 
               
 
 
 
          
 
 
 
             
 
 
 
          
 
 
 
          
 
 
 
           
  Disclaimer:
 
 
 
          
 
 
 
             
 
 
 
        
 
 
 
          
 
 
 
             
  Everyone
 
 
 
         posting to
  this Forum bears
 
 
 
           the sole
 
 
 
          
 
 
 
            
  responsibility
 
 
 
          
 
 
 
              for
  any legal
 
 
 
         consequences
  of his or
 
 
 
           her
  postings,
 
 
 
          
 
 
 
            and
 
 
 
          
 
 
 
        
 
 
 
             hence
 
 
 
          
 
 
 
             
  statements and facts must be
 
 
 
         presented
 
 
 
          
  responsibly.
 
 
 
          
 
 
 
        
 
 
 
            Your
 
 
 
          
 
 
 
             
  continued membership signifies that
 
 
 
           you agree
  to
 
 
 
          
 
 
 
            this
 
 
 
          
 
 
 
             
  disclaimer and pledge to abide by
 
 
 
         our
 
 
 
           Rules
  and
 
 
 
          
 
 
 
            
  Guidelines.
 
 
 
          
 
 
 
             
 
 
 
          
 
 
 
          
 
 
 
            ---
 
 
 
          
 
 
 
             
 
 
 
          
 
 
 
              You
  received this
 
 
 
         message
  because you
 
 
 
           are
  subscribed
 
 
 
          
 
 
 
            to
 
 
 
          
 
 
 
        
 
 
 
             the
 
 
 
          
 
 
 
              Google
  Groups "Wanabidii"
 
 
 
           group.
 
 
 
          
 
 
 
             
 
 
 
          
 
 
 
          
 
 
 
            To
  unsubscribe from this group and
 
 
 
          
 
 
 
         stop
  receiving
 
 
 
          
 
 
 
          
 
 
 
          emails
 
 
 
          
 
 
 
             
  from
 
 
 
         it, send an
  email to wanabidii+...@
 
 
 
          
 
 
 
        
  googlegroups.com.
 
 
 
          
 
 
 
          
 
 
 
           
 
 
 
          
 
 
 
              For
  more
 
 
 
         options,
  visit
 
 
 
          
 
 
 
             https://groups.google.com/d/
 
 
 
           optout.
 
 
 
          
 
 
 
             
 
 
 
          
 
 
 
          
 
 
 
        
 
 
 
          
 
 
 
          
 
 
 
          
 
 
 
        
 
 
 
           --
 
 
 
          
 
 
 
           Send Emails
 
 
 
          
 
 
 
            
 
 
 
          
 
 
 
        
 
 
 
           Kujiondoa
  Tuma Email kwenda
 
 
 
          
 
 
 
          
  wanabidii+unsubscribe@
 
 
 
   googlegroups.com 
 
 
 
 
          Utapata
  Email ya
 
 
 
          
 
 
 
         kudhibitisha
  ukishatuma
 
 
 
          
 
 
 
            
 
 
 
          
 
 
 
          
 
 
 
         Disclaimer:
 
 
 
          
 
 
 
           Everyone
 
 
 
         posting to
  this Forum bears the sole
 
 
 
        
 
 
 
        
  responsibility
 
 
 
           for any
  legal consequences
 
 
 
         of his or her
  postings, and
 
 
 
          hence
 
 
 
           statements
  and facts must be presented
 
 
 
         responsibly.
  Your
 
 
 
           continued
  membership
 
 
 
         signifies that
  you agree to this
 
 
 
          
 
 
 
         disclaimer and
  pledge to abide by our Rules
  and
 
 
 
          
  Guidelines.
 
 
 
          
 
 
 
           ---
 
 
 
          
 
 
 
          
 
 
 
         You received
  this message because you are
 
 
 
     subscribed
 
 
 
       to
 
 
 
          the
 
 
 
           Google
  Groups
 
 
 
        
  "Wanabidii" group.
 
 
 
          
 
 
 
           To
  unsubscribe from this group and stop
 
 
 
         receiving
  emails
 
 
 
           from it,
  send an email
 
 
 
         to
  wanabidii+unsubscribe@
 
 
 
   googlegroups.com.
 
 
 
 
          
 
 
 
           For more
  options,
 
 
 
         visit
 
 
 
        
 
 
 
 
   optout.
 
 
 
          
 
 
 
        
 
 
 
           
 
 
 
        
 
 
 
      
 
 
 
       --
 
 
 
       Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
 
 
      
 
 
 
       Kujiondoa Tuma
  Email kwenda
 
 
 
      
  wanabidii+unsubscribe@
 
 
 
   googlegroups.com 
 
 
 
 
       Utapata Email ya
  kudhibitisha ukishatuma
 
 
 
      
 
 
 
       Disclaimer:
 
 
 
       Everyone posting
  to this Forum bears the sole
 
 
 
      responsibility
 
 
 
       for any legal
  consequences of his or her
  postings,
 
 
 
 
     and
 
 
 
      hence
 
 
 
       statements and
  facts must be presented
  responsibly.
 
 
 
     Your
 
 
 
       continued
  membership signifies that you agree to
 
 
 
     this
 
 
 
       disclaimer and
  pledge to abide by our Rules and
 
 
 
      Guidelines.
 
 
 
       ---
 
 
 
       You received this
  message because you are
 
 
   subscribed
 
 
 
     to
 
 
 
      the
 
 
 
       Google Groups
  "Wanabidii" group.
 
 
 
       To unsubscribe
  from this group and stop receiving
 
 
 
     emails
 
 
 
       from it, send an
  email to
 
  wanabidii+unsubscribe@
 
 
 
   googlegroups.com.
 
 
 
 
       For more options,
  visit
 
 
 
 
   optout.
 
 
 
 
 
 
 
   --
 
 
 
   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
 
 
 
 
 
 
   Kujiondoa Tuma Email
  kwenda
 
 
 
 
   wanabidii+unsubscribe@
 
 
   googlegroups.com 
 
  Utapata Email ya kudhibitisha
 
 
   ukishatuma
 
 
 
 
 
 
 
   Disclaimer:
 
 
 
   Everyone posting to
  this Forum bears the sole
  responsibility
 
   for any
  legal consequences of his or her postings, and
  hence
 
   statements and facts
  must be presented responsibly.
  Your
 
   continued membership
  signifies that you agree to this
 
 
   disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 
   Guidelines.
 
 
 
   ---
 
 
 
   You received this
  message because you are subscribed to
  the
 
   Google Groups
  "Wanabidii" group.
 
 
 
   To unsubscribe from
  this group and stop receiving
  emails
 
   from it, send an email
  to wanabidii+unsubscribe@
 
 
   googlegroups.com.
 
 
 
 
   For more options, visit
 
   optout.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
   --
 
 
 
   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
 
 
    
 
 
 
   Kujiondoa Tuma Email
  kwenda
 
 
 
 
   wanabidii+unsubscribe@
  googlegroups.com  Utapata Email ya
 
   kudhibitisha
  ukishatuma
 
 
 
    
 
 
 
   Disclaimer:
 
 
 
   Everyone posting to
  this Forum bears the sole
  responsibility
 
   for any
  legal consequences of his or her postings, and
  hence
 
   statements and facts
  must be presented responsibly.
  Your
 
   continued membership
  signifies that you agree to this
 
 
   disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 
   Guidelines.
 
 
 
   ---
 
 
 
   You received this
  message because you are subscribed to
  the
 
   Google Groups
  "Wanabidii" group.
 
 
 
   To unsubscribe from
  this group and stop receiving
  emails
 
   from it, send an email
  to wanabidii+unsubscribe@
  googlegroups.com.
 
 
 
   For more options, visit
  optout.
 
 
 
 
 
  --
 
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
 
 
  Kujiondoa Tuma Email
  kwenda
 
  wanabidii+unsubscribe@
  googlegroups.com 
  Utapata Email ya kudhibitisha
  ukishatuma
 
 
 
 
  Disclaimer:
 
  Everyone posting to this
  Forum bears the sole responsibility
  for any legal
  consequences of his or her postings, and hence
  statements and facts must
  be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you agree to
  this
  disclaimer and
  pledge to abide by our Rules and
  Guidelines.
 
 
  ---
 
  You received this message
  because you are subscribed to the
  Google Groups "Wanabidii" group.
 
  To unsubscribe from this
  group and stop receiving emails
  from it, send an email to
  wanabidii+unsubscribe@
 
  googlegroups.com.
 
  For more options, visit
  optout.
 
 
 
 
 
 
  --
 
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   
 
  Kujiondoa Tuma Email
  kwenda
 
  Utapata Email ya
 
  kudhibitisha ukishatuma
 
   
 
  Disclaimer:
 
  Everyone posting to this
  Forum bears the sole responsibility
  for any legal
  consequences of his or her postings, and hence
  statements and facts must
  be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you agree to
  this
  disclaimer and
  pledge to abide by our Rules and
  Guidelines.
 
 
  ---
 
  You received this message
  because you are subscribed to the
  Google Groups "Wanabidii" group.
 
  To unsubscribe from this
  group and stop receiving emails
  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options, visit
  https://groups.google.com/d/optout.
 
 
  --
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
  Kujiondoa Tuma Email
  kwenda
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
  Disclaimer:
  Everyone posting to this
  Forum bears the sole responsibility for any legal
  consequences of his or her postings, and hence statements
  and facts must be presented responsibly. Your continued
  membership signifies that you agree to this disclaimer and
  pledge to abide by our Rules and Guidelines.
  ---
  You received this message
  because you are subscribed to the Google Groups
  "Wanabidii" group.
  To unsubscribe from this group and stop receiving
  emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  For more options, visit
  https://groups.google.com/d/optout.
 
     
 
 
  --
 
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   
 
  Kujiondoa Tuma Email kwenda
 
Utapata Email ya
  kudhibitisha ukishatuma
 
   
 
  Disclaimer:
 
  Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
  for any legal consequences of his or her postings, and
hence
  statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you agree to this
  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
  Guidelines.
 
  ---
 
  You received this message because you are subscribed to
the
  Google Groups "Wanabidii" group.
 
  To unsubscribe from this group and stop receiving emails
  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
 

--

Kujiondoa Tuma Email kwenda
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


0 comments:

Post a Comment