Mashaka umesema point iip[oonekana itapuuzwa. Zipo Hospitali zinayoza fedha nyingi kweli. lakini kama huduma zipatikanazo hospitalini hapo zingepatikana hospitali za serikali hakuna mtu angekwenda kwenye hospitali hizo. Ni dhahiri hospitali binafsi zinajazia ambapo serikali haijafika. Shule binafs pia. Jambo muhimu sasa ni serikali ku- subsidise ili garama zipungue hospitali hizo. Kama serikali ingetafuta vyamnzo vingine sahihi vya mapato ingeachana na kukusanya fedha kwa wanafunzi na wagonjwa kutoka huduma boinafsi. Mara zote naamini kuwa yanayoandikwa humu serikali inayaona na kuyafanyia kazi Hata kama haita acknowledge
--------------------------------------------
On Fri, 12/9/16, 'Mashaka Makana' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: [wanabidii] NINI TOFAUTI KATI YA MALENGO YA SHULE NA VYUO BINAFSI NA ZILE ZA SERIKALI?
To: "ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, December 9, 2016, 6:27 AM
Kwa
mtazamo wangu sioni fotauti ya kimalengo kati ya shule na
vyuo vya binafsi na
vile vya serikali. Kama ilivyo Hospitali za Umma na binafsi
zote lengo ni
kuhudumia Wananchi wa Tanzania ili waitumikie Tanzania. Kwa
nini sasa unawekwa
ubaguzi wa wazi namna hii? Kwa nini shule/vyuo /hospitali za
binafsi
zinaonekana ni biashara wakati ada zinazolipwa zinatumika
kulipa wafanyakazi
na kuhudumia watoto/wagongwa? Hizi taasisi zilianzishwa
kuziba pengo au
upungufu wa huduma za elimu na afya kwa vile serikali pekee
haiwezi kubeba
mzigo wote huo. Najiuliza kwa nini serikali itoze ada ya
mitihani ya taifa kwa
kila mtoto wa shule za binafsi? kwa nini serikali ibague
wakopaji wanafunzi
mikopo ya elimu ya juu ili hali wote ni watanzania na
watalipa mikopo
hiyo (busara hapa ni kutenga bajeti ya kukopesha wote wenye
sifa na wanaohitaji
mkopo huo) bila kubagua mkopaji kasomea shule gani. Kwa nini
wamiliki wa
shule/vyuo/hospital wabebeshwe kodi ya SDL na mapato wakazi
ikibaki ziada
wamiliki wanunue vifaa tiba na kufundishia ukizingatia
wawekezaji hawa wazalendo
wanaisaidia serikali kuondoa upungufu? shule/vyuo
vinakopeswa na TEA (Mfuko wa Elimu Tanzania) ni kwa nini
inawekwa
Riba? ikiwa lengo ni kuwezesha kupunguza pengo lililopo la
huduma hiyo muhimu?Hayo
ni machache tuu kuna kero nyingi ambazo wahusika mnatakiwa
kumsaidia Mh.
Magufuli badala ya kumwachia abebe kila kero peke yake...
Wahusika mumshauri mkuu wa nchi maana
Rais wetu ni msikivu.
Na
nyie watumishi wa TRA muwe wabunifu wa vyanzo vipya vya
Kodi, kwani mnapoenda
ziara za mafunzo nje ya nchi huwa mnajifunza nini? kweli ni
lazima mtoze
kodi katika elimu na afya kwa wawekezaji binafsi? Je ni
hivyo hivyo mnatoza
kutoka taasisi za selikali? kama siyo kwa nini iko
hivyo?
Ninayo
mengi ila sitaki kuwachosha....... Nawasilisha
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment