Monday, 15 June 2015

Re: [wanabidii] Re:KFO - Sheikh mkuu wa Tanzania (Mufti) Shaaban Simba afariki

Allah amempenda zaidi. yeye mbele nasi twafuta nyuma yake.



On Monday, 15 June 2015, 11:51, 'Salha Bakari' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:



Sheikh mkuu wa Tanzania (Mufti) Shaaban Simba amefariki muda mfupi uliopita jijini Dar es Salaam. Habari za uhakika kutoka ndani ya Baraza Kuu la Tanzania (BAKWATA) zimeeleza  kuwa Mufti amefariki katika hospitali ya TMJ baada ya kuzidiwa na tatizo la mapafu.Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pia limetangaza taarifa hizo

INNA LILLAHI WA INNA ILAYHI RAAJI'OON

SB


       
         


 



 
 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment