Mrema kuna watu wamekuwa Hypnotised. Wamelala hawasikii sauti nyingine. Ninafurahi wapo wanaosikia na wanaanza kukubali japo kulinganisha sera ya watu na kuwapima wale wanaosukumwa na shida za watu na wale wanaoonekana kutunga hotuba kuvutia wasikilizaji Lakini kazi ipo na ni vizuri CCM ikatoa mgombea ambaye kama wananchi watampa kura asiwe na harufu ya ufisadi
--------------------------------------------
On Mon, 6/1/15, Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com> wrote:
Subject: RE: [wanabidii] RE: SAFARI YA MATUMAINI NA EDWARD LOWASSA!
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, June 1, 2015, 8:15 PM
Tusichoke kuwaelimisha hawa vijana na
wazee ambao wana umaskini mkubwa wa mawazo, umaskini wa roho
zao, na umaskini wa mifuko yao kwani kinachosababisha
watu kuwa na mawazao finyu ni kuzidiwa na njaa.
Herment A. Mrema
> Subject: Re: [wanabidii] RE: SAFARI YA MATUMAINI
NA EDWARD LOWASSA!
> From: emuganda@gmail.com
> Date: Mon, 1 Jun 2015 12:57:10 -0400
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Na yule Mhindi aliyevunjiwa jumba lake kwa amri ya
Lowassa and at the end of the day serikali ikalazimika
kumlipa millioni 600. Ndio maamuzi magumu hayo ya
ukurupukaji?
> em
>
> Sent from my iPhone
>
> > On Jun 1, 2015, at 4:35 AM, "'ELISA
MUHINGO' via Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
> >
> > Molel. Nomb\ unieleweshe. Maji ya ziwa
victoria lipi Misri kuna ziwa Victoria? Mimi najua Ziwa hilo
liko Tanzania. tanzania iliamua kuyatumia maji hayo si
waziri pekee. kama Misri ingeamua kutuvamia si waziri husika
angeamuru majeshi kupigana na Misri. Huo uamuzi ni
collective decision. matokeo yoyote yasingekabiliwa na
waziri. Kama katika hilo kuna uamuzi mgumu basi alifanya
rais. Ndiye alikuwa na uwezo wa kusema Misri wakija hivi
tutafanya hivi. Tumezoea ubadhilifu na uzembe ndiyo maana
mtu akitimiza sehemu ya wajibu wake tunasema ni exemplary
Kutimua Dawasco basi Magufuli ndiye mwenye maamuzi magumu.
ametimua makandarasi wangapi. Na Mrema labda twaweza kumsema
aliwahi kufanya maamuzi magumu sio huyu jamaa yenu.
> > --------------------------------------------
> > On Mon, 6/1/15, 'lesian mollel' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
> >
> > Subject: Re: [wanabidii] RE: SAFARI YA MATUMAINI
NA EDWARD LOWASSA!
> > To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
> > Date: Monday, June 1, 2015, 2:04 AM
> >
> > FUATILIA
> > VZR BROKwa
> > utawala wa lowasa hakuna hicho kitu rudisha hela
na kaz nje,
> > nenda same watakusimulia DED alivotimuliwa baba,
nenda Egypt
> > alipofanya maamuz magum kua tutatumia maji ya
victoria penda
> > msipenda, nenda kawaulize city water waliokuja na
usanii wao
> > wa maji fake dar, nini wasema muganda au humjui
edo vZr ktk
> > usimamiaji na ufuatiliajiiiiiHuyu
> > tuachieni tu aingie ikulu nchi ikae stable,
mugandaaa hapa
> > dar sasa ni tabu alfu kumi ni sawa na mia hata
lakini haina
> > issaue nao twafa wenzako hukju ndio maana
hatuwatak kina
> > mwingulu sjiu waropokaji tu wasiokua na chembe ya
> > ukwelitchao
> >
> >
> > From: Emmanuel Muganda
> > <emuganda@gmail.com>
> > To:
> > "wanabidii@googlegroups.com"
> > <wanabidii@googlegroups.com>
> > Sent: Sunday,
> > May 31, 2015 3:42 PM
> > Subject: Re:
> > [wanabidii] RE: SAFARI YA MATUMAINI NA EDWARD
LOWASSA!
> >
> > Lesian,Nakumbuka
> > alipoikuwa waziri wa maji Lowassa alikwenda Mara
na
> > akaambiwa viongozi katika wizara yake
"walitumia
> > vibaya" hela za umma. Lowassa kamawaziri
> > aliwaambia wazirudishe hizo hela na kesi ikaishia
hapo. Enzi
> > za mkoloni na enzi za Nyerere maafisa hao
wangetimuliwa kazi
> > na kupelekwa mahakamani.Kwa hiyo mimi naona hii
> > ni slogan tu ya kushinda uchaguzi kama tulivyopewa
slogan ya
> > maisha bora kwa kila mtanzania mwaka
> > 2005.em
> > 2015-05-31 16:23 GMT-04:00
> > 'lesian mollel' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>:
> >
> >
> > maamuz magum ni
> > hivi mganda, mtu amekula rushwa live anaambiwa
ajiuzulu
> > tuuu, haitoshi alipaswa arejeshe alichokiiiba,
laki ni kwa
> > kua maamuz ya ccm na serikali yake iliokuwepo
ilikua ni ya
> > kishikaji hakuna maamuz yeyote waliochukuliwa
waliofanya
> > ufisadi huoo, angel merkel alishawahi kuomba pccb
ya kule au
> > anti corruption bereau yaoliwachunguze wale
waliomchangia
> > kushinda uchaguz kama wanakwepa kodi ama la,
hakuna cha
> > kubebwa lazima uwajibikaji uchukue mkondo wake,
> > uwajijibikaji kuanzia kwa mwananchi hadi
serikali.
> >
> >
> >
> >
> > From: Emmanuel
> > Muganda <emuganda@gmail.com>
> > To: "wanabidii@googlegroups.com"
> > <wanabidii@googlegroups.com>
> >
> > Sent: Sunday, May 31,
> > 2015 12:01 PM
> > Subject: Re:
> > [wanabidii] RE: SAFARI YA MATUMAINI NA EDWARD
LOWASSA!
> >
> > Bado sijaelewa kauli mbiu ya
> > maamuzi magumu. Sijui anamaanisha nini anaposema
> > hivyo.em
> > Sent from my
> > iPhone
> >
> >
> > On May 31,
> > 2015, at 2:21 PM, Herment Mrema
<hmrema11@hotmail.com>
> > wrote:
> >
> >
> >
> >
> > Kusema kweli Mheshimiwa Lowasa anachekesha
> > sana. Kusema kuwa tunatakiwa kuwa na kiongozi
mwenye
> > kufanya maamuzi magumu ana maana CCM haifanyi
maamuzi magumu
> > na viongozi wake hawafanyi maamuzi magumu na
uthubutu.
> > Yeye yuko wapi. Anasahau kama anamsema JK
anasema
> > chama chake na viongozi wake na anawapa wapinzani
silaha ya
> > kuishambulia CCM?
> >
> > CCM
> > watamheshimu kwa kuhujumu chama anachoomba
kimchague kuwa
> > mgombea Urais. Sidhani.
> >
> > Kusema kuwa angekuwa Waziri Mkuu eti hali
> > ingekuwa tofauti anasahau kuwa Waziri Mkuu siye
mtendaji nia
> > msimamizi wa collective management? Anataka
kusema
> > kuwa Chama chke kimeshindwa kutekeleza majukumu
yake.
> > Sasa huku anakisema chama na viongozi wake huku
anavaa
> > magwanda yake na anakiomba chama kimteue/
> >
> > Hivi ana akili sawa sawa au
> > ndio mateke ya mfa maji?.
> >
> > Kusema yeye anauchukia umaskini? Kwa
> > vipi? Amewafanya wangapi kuwa matajiri kwa kutumia
nguvu
> > zake?
> >
> > Kusema Yeye sio
> > Tajiri bado anausaka utajiri? Anataka kukumbilia
Ikulu
> > akautafute huko huku mtaani hakumtoshi.
> >
> > Watanzania tuchunge sana mtu huyu ni hatari na
> > janga la taifa
> >
> > Herment A.
> > Mrema
> >
> > Date: Sun,
> > 31 May 2015 08:17:45 -0700
> > From: mairi.info@gmail.com
> > To: wanabidii@googlegroups.com
> > Subject: [wanabidii] RE: SAFARI YA MATUMAINI NA
> > EDWARD LOWASSA!
> >
> > SAFARI
> > YA MATUMAINI NA EDWARD LOWASSA!
> >
> > Mheshimiwa Edward Lowassa
> > ametangaza nia akiomba
> > kuteuliwa na Chama chake kuwa Mgombea Urais kwa
mwaka 2015.
> > Lakini zipo kasoro
> > kadhaa zilizojitokeza kwenye sherehe ile, ambazo
binafsi
> > naomba zisahihishwe,
> > zisijitokeze tena! Kasoro hizo ni pamoja na:
> >
> >
> >
> > 1.
> > Matangazo kupitia ITV EATV na AZAM
> > TWO kukatikakatika na wakati
> > mwingine kuonesha mchelemchele.
> >
> >
> >
> > 2.
> > Dj.
> > hakuwa amechagua nyimbo
> > mahususi kuendana na tukio na wakati husika pale
alipotakiwa
> > kucheza wimbo
> > husika.
> >
> >
> >
> > 3.
> > Mtangaza nia kumtaja Kiongozi wa
> > Chama
> > chake kuwa, huenda akatumia baadhi ya maneno
kupata
> > sababu ya kumwadhibu
> > tena. Hii inajenga hisia ya msuguano ndani ya
> > Chama.
> >
> >
> >
> > 4.
> > Baba
> > Askofu kutumia kutumia maneno machungu kuwa,
wasiompenda
> > Mtangaza nia
> > wakale malimao. Mtumishi wa Mungu anapaswa kutumia
maneno ya
> > upako na
> > ushawishi.
> >
> >
> >
> > 5.
> > Mzee
> > Kingunge kutumia mkutano wa kutangaza nia kuelezea
ajenda ya
> > katiba mpya, ambayo bado ina maswali mengi kwa
watanzania,
> > na hivyo kutumia muda
> > mrefu kuhutubia kuliko hata mtangaza nia.
> >
> >
> >
> > Nakubaliana na Mtangaza nia kwa
> > mambo haya:
> >
> > 1.
> > Nchi
> > yetu inahitaji kiongozi mwenye uthubutu anayeweza
kufanya
> > maamuzi
> > magumu kwa maslahi ya watanzania.
> >
> >
> >
> > 2.
> > Nchi
> > yetu inahitaji kiongozi atakayesimamia raslimali
zetu kama
> > vile
> > madini, mafuta na gesi zisichukuliwe ovyo ovyo na
wawekezaji
> > uchwara.
> >
> >
> >
> > NB: Huu ni mtizamo wangu binafsi,
> > maana mimi si
> > mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa
Tanzania, ila ni
> > mpiga kura mzoefu,
> > ambaye nimejiandaa kujiandikisha kwa mfumo wa
> > BVR.
> >
> >
> >
> >
> > --
> >
> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >
> >
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> > Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> >
> >
> > Disclaimer:
> >
> > Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
> > for any legal consequences of his or her postings,
and hence
> > statements and facts must be presented
responsibly. Your
> > continued membership signifies that you agree to
this
> > disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> > Guidelines.
> >
> > ---
> >
> > You received this message because you are
subscribed to the
> > Google Groups "Wanabidii" group.
> >
> > To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> > from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >
> > For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata
Email ya
> > kudhibitisha ukishatuma

Guidelines.

Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
> > ---
> > You received this message because you are
subscribed to the Google Groups "Wanabidii"
group.
> > To unsubscribe from this group and stop receiving
emails from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email
ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment