You guys you are not serious, kama ni kiacha misingi yake ccm imebadilika kwamba pato la taifa liwafaidishe watanzania wote bila upendeleo. Sasa ni vibaka wachache kuubaka uchumi wa nchi na kuweka utitiriri wa wagombea urais wa kizushi kweli ccm imebadilika. Kama ni kuleta mabadiliko kiuchumi na kimaendeleo tukijifananisha na nchi tulizofanana nazo wakati tunapata uhuru kuna mabadiliko makubwa ya kurudi nyuma siyo mbele
On 01:34, Wed, Jun 10, 2015 'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Katiba mpya isnt news now men
Lesian
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>Naam CCM imebadilika. Imebadilika kwenye ulimi. CCM imeona kwa kipindi hiki jinsi UMMa wa watanzania walivyokata takaa na kuelekza tumaini lao kwa vyama vya upinzani. Ni kutokana na hayo Lugha ya CCM imebadilika.
>Swali la kujiuliza wanaouwezo wa nia ya kuyatekeleza waliyoyatukana huko nyuma.
>Tutumie tu uzoefu kufanya maamuzi. mfano hai:
>CCM ilikataa katakata kutengeneza Katiba mpya. Viongozi wa CCM na serikali yake walisema katiba iliyopo inatosha tu. Baada ya kuona upepo unavuma kuelekea katiba mpya wakajitokeza kuwa sasa katiba mpya ni lazima. Rais na mwenyekiti wa CCM akaanzisha mchakato. Tunaona ulikoishia. katiba ya zamani katika ganda jipya.
>Sasa je hawa wanaoimba yaliyoimbwa na upinzani wana nia ya kuyatekeleza kweli? Tukipata jibu kwa mifano tutafanya uamuzi October 25.
>Elisa
>--------------------------------------------
>On Mon, 6/8/15, 'Japhet Makongo' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: [wanabidii] Re: CCM imebadilika?
> To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>, "Lilian Kallaghe" <lilian.ruga@gmail.com>, "tamwa@tamwa.org" <tamwa@tamwa.org>, "Hakielimu Info" <info@hakielimu.org>, "LHRC HQ" <lhrc@humanrights.or.tz>
> Cc: "Moses Kulaba" <mkulaba2000@yahoo.com>, "Daniel Luhamo" <luhamodaniel@hotmail.com>, "Maimuna Kanyamala" <maimunakanyamala@hotmail.com>
> Date: Monday, June 8, 2015, 7:05 AM
>
> Bado
> tuna kumbukumbu za vioja katika uchaguzi wa CCM uliotawaliwa
> na matusi, rushwa, na vijembe vya kila aina, vingine
> vikiwagusa hawa wanaoomba ridhaa ya kuongoza
> nchi. Nini kimefanyika kututhibitishia kuwa sasa
> CCM ina viongozi safi?
> Wana
> habari mnasifika kwa kuweka kumbukumbu ya matukio ya
> nyuma...tukumbusheni tabia zilizojitokeza huko nyuma badala
> ya kurudia yale wanayoongea tu. Magamba yako wapi? Mawaziri
> mizigo vipi? Historia husaidia kujenga ndoto
> mpya.
> JMakongo
> ----------------------------------------------------------------Japhet
> Maingu Makongo
> Director, Ubunifu Associates Ltd
> P.O. Box 32670, Dar es Salaam, TANZANIA
> Website: www.ubunifu.co.tz, info@ubunifu.co.tz,
> Tel: +253 24 2732125+253 24
> 2732125,
> Mobile:+253 758 270 254+253 758 570
> 253CallSend
> SMSAdd to
> SkypeYou'll
> need Skype Credit
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment