Ngupula ni vigumu kuwa fair kama tutawapima wagombea bila ya kukubaliana vigezo. Hapa jukwaani kuna watu walikwishataja vigezo wanavyofikiri vinaweza kutumika kuwaweka wagombea kwenye mizani sawa. Nakumbaka vilitajwa vitu vingi lakini kubwa likiwa nguvu ya akili na mwili pamoja na uzalendo (patriotism).
Unaweza kunyumbulisha na kupata vigezo vidogovidogo vingi toka ktk kigezo cha nguvu ya akili. Kuwa na maamuzi magumu yenye tija kunategemea zaidi nguvu ya akili. Kubaki tukisema mgombea fulani ana maamuzi magumu haitoshi.
Tuziangalie vigezo vyote, yawezekana mgombea X ni strong ktk kigezo A lakini ni weak ktk kigezo B. Let us stretch our brains a little bit more. Binafsi namuona Jaji Augustino Ramadhani ana vigezo zaidi ya wote, tuache matusi na kejeli bali tujadili maana hili linatuhusu wote na linajadilika
Unaweza kunyumbulisha na kupata vigezo vidogovidogo vingi toka ktk kigezo cha nguvu ya akili. Kuwa na maamuzi magumu yenye tija kunategemea zaidi nguvu ya akili. Kubaki tukisema mgombea fulani ana maamuzi magumu haitoshi.
Tuziangalie vigezo vyote, yawezekana mgombea X ni strong ktk kigezo A lakini ni weak ktk kigezo B. Let us stretch our brains a little bit more. Binafsi namuona Jaji Augustino Ramadhani ana vigezo zaidi ya wote, tuache matusi na kejeli bali tujadili maana hili linatuhusu wote na linajadilika
2015-06-24 13:05 GMT+03:00 'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Ahsante ngupula'let them bring here their candidate of their choice
Lesian
'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>Kila siku nawauliza Swali hamtaki kulijibu.......Mungu nchi hii anataka iongozwe na mtu mwenye msimamo...ambaye akisema amesema...sipingi watu kumpinga Lowassa....lakini....kama si Lowassa nani?
>
> 'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>>Kiwasila umeweka picha za monduli na ukasema hafanyi vzt rejea attachment yako mm ndo nimekupa ka analysis,lets be general na nasisitiza wajadili na wengine na tuwapime wote kwa usawa lets be fair
>>Lesian
>>
>>'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>>
>>>Mimi ninaongea kwa ujumla sio Lowasa tu na wengineo ila wewe unadhani nampinga mheshimiwa. Ninasema-akili tunazo, macho tunayo, kuna kila kitu tanzania lakini tupo hapa tulipo kutokana na hulka zetu. Kubadili hulka sio rahisi rahisi ni kubadili tabia sisi ni hulka!! Mbona hatujaona mabadiliko majimboni kwenu wagombea-mfano Monduli utokako wewe Team yake mheshimiwa.
>>>
>>>Nenda popote TZ -kuna utata mkubwa katika maendeleo yetu binafsi kwani matendo yetu wananchi na viongozi wetu na watumishi ugani ni tata na sehemu kubwa -mbweteko. Na niliweka mfano wa ofisi ya kijiji sio mbali na DSM ni jirani tu kuna Mto Ruvu, kuna msitu wa hifadhi wanaweza kuomba magogo ya mbao wilayani; niliweka magogo yaliyokatwa hapo msituni jirani ni msitu wa kijiji but potected. Ofisi imezungukwa na chaka la miti na kuna udongo wa bure na si mbali sana kuna mto na maji ya bure. Ofisi matundu makubwa kuta za udongo zimebomoka, ipo wazi, faili za kijiji na nyingine za kesi za watu zinakaa majumbani kwa viongozi. Nilisema-Diwani kapelekwa na wachina huko China kuona maendeleo yeye na timu ingine ya bongo kwa kuwa kuna shamba kubwa wachina wanataka kuliomba serikalini limerudishwa kwa Rais. Part of benefit sharing ni kujipendekeza kwanza kwa wananchi waikubali kampuni gani inapokwenda kuomba ridhaa yao hapo na kukubaliana mafao. wamepanda ndege
>>> kwenda China! wameona mataa, wamerudi-wanajaa vitambi tu. Kwanza watumishi ugani wote hawakai katani kwao wanakaa mijini na hawaendi huko. Ukitaka kwenda nao kikazi uwape usafiri, nauli na posho ya kutwa. Ni Kaya yao na eneo lao la kazi, ila uwalipe na umewasaidia kufika kazini na kufanyanao kazi kutwa (Fukuza kazi hawa). Kila mtumishi wa serikali akae eneo lake la kazi na utendaji wake upimwe na sasa waajiriwe kwa mkataba akipofanyakazi za matokeo-tchao asepeshwe. Hebu angalia hiyo picha vyandarua 2 kimoja ndani ya banda na kingine nje wamefunikia kuku. Kiongozi wa nyumba kumi, kitongoji na kijiji yupo na watumishi ugani hupita hapo na tulipita nao wakaona. Tatizo.
>>>
>>>Nimeongea sana kuwepo vyuo mbali mbali nchini ambavyo sio mfano. Unafika chuo cha mainjiania ujenzi-rooms za maabara yao zimeanguka ceiling boards na ngazi za kufika madarasani zimebomoka concrete imekatika nao ni maijinia ujenzi-mazoezi hufanyia wapi? Hatujiulizi. Unafika chuo cha wasomi wa mazingira-chupa zimezagaa kila kona na wao hukatiza hovyo na kuharibu bustani za chuo, vyoo vinafurika lakini wanazomea mambo ya waste water management, sewerage disposal and treatment, pollution, water and env management. Nguo za akina dada zipo dampo nyuma ya bweni kunguru wanaruka nazo, mbwa wanasambaza! Bongoland hiyo. Medical school-kunguru anaruka hovyo na maplasenta na makadava yapo dampo!
>>>
>>>Ninaongea kuhusu kuwepo vyuo mbali mbali mapaka VETA, vya Maendeleo Jamii, Kilimo na Ufugaji lakini viongozi hawavitumii wakaomba na kusaidia vijiji vyao tata vikawa pilot study and demo areas. Hapo Monduli kuna Ranchi ya mifugo jirani tu, Ipo USA River; kuna boreholes toka mkoloni zipo zinaweza zikafanyiwa rehabilitation wakanywa maji safi na wakahamasishwa kufuga kisasa sio kuhamahama na kuharibu mazingira na uchumi wa wengine na wa nchi. wanakunywa maji machafu yenye uchafu wa kila aina nao matajiri? Mbuzi au kondoo 5 sawa na ng'ombe mmoja. Tajiri achangie ng'ombe masikini mbuzi-wanaweza kujipatia maendeleo. usione Mmasai kavaa lubega-yupo humo mwenye degree-twende makwetu tukahamasishe mabadiliko iwe Masaini au Ukwereni, Umakondeni na Uzaramoni. Kote kuna kila kitu lakini sisi sikio la kufa. ukipata hela ni anasa, kuoa, kuzaa sana, wake wengi na michepuko ndio sifa. Kwa nini tuwe na mapigano kila siku, kuuana na kutiana vilema kama viongozi
>>> wachaguliwa wangefanya kazi na kutekeleza majukumu yao? Ninakuuliza-wasukuma wanalisha mchele nchi nzima mpaka 25% ya uliwao Kenya. Lini aliwakaribisha mifugo yake ile angalau robo eka eti ana birthday yake?
>>>
>>>Lini Mmaasai anayelima Naitolia, Kitwai A, Loliondo-Engerosambu akawaweka ndama na mama ng'ombe anayenyonyesha shamba la mahindi na la maharage meusi (ngwara) eti wale ekari moja ili apate maziwa mengi? lakini atatoka mfugaji Monduli, Manyara au toka Mwanza hadi Tunduru, Mbeya, Rufiji akalishie mifugo yake elfu 5 ekari 10 usiku mmoja na mchana aipitishe mashambani akihapa na apige wakulina (na siku hizi ukiwa mwanamke unabakwa). hii ni makusudi (calculated) na viongozi wa watotkako wanawaangalia na waendako wanakula rushwa. Irrigation systems donor funded zimekufa au kuharibiwa vibaya na wafugaji (Malolo-fika kupitia Ruaha Mbuyuni na Ruvu Bagamoyo). Mifugo imezagaa. utajiri wa mifugo au wa mpunga, nazi, mikorosho lakini tunaishi katima umasikini. Mak
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment