Monday, 15 June 2015

Re: [wanabidii] KATIBA MPYA IMESAHAULIKA?

Reuben,

Tena akiwa na back-up moja matata sana ya kina TICTS e.t.c. at the
same time rafiki yake ambae hawakukutana barabarani ni kama hataki
ahusishwe na hili. Natamani kujua zaidi ya hiki ninachokijua na
kuki-fikiri ila sina wa kuniambia.

Mwenye report ya ukweli ya Tume ya Mwakyembe afanye hivi, atafute
moderm mpya, line mpya ambayo haijasajiliwa, aweke data bundle, then
atafute computer used madukani from nje, (cheap one) aunge mambo yake,
afungue account mpya ya gmail e.t.c. (asiitumie katika lolote
linalomhusu, lengo ni 1 tu) na aombe kuingia groups tofauti, then
atume pdf documents kwenye ma-group tu, kama hivi Wanabidii. asiingie
kwenye account yake ya aina yoyote yenye information yake yoyote
kumhusu.

Sio hiyo tu, hata kumhusu mgombea yeyote mwenye madudu yake huko. au
madudu yoyote yanayohusisha kukandamizwa kwa watanzania maskini. Kila
mtu ameshafanya Ikulu ni mradi sasa.

After all, then dispose off everything! utakuwa umeiponya Tanzania
hata kwa 1% au umeisaidia kwa 0.001%

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment