Watazimia wengi na kuingia ndani ya jeneza kama si kupata kiharusi. Kwani, kila mtu anajiimanisha kuwa yeye ndiye Rais anapendwa, ataupata. Hatari watu wakila hela zako na upate kura za 'No' au uukose.
--------------------------------------------
On Tue, 16/6/15, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] huyu ndiye rais tunayemuhitaji watanzania
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, 16 June, 2015, 17:17
Fatma;Nilitaka
kupost the same very short message,thanks for
pre-emption.Lakini
sio mbaya nikiongeza mudogo kwa Mollel ''Kipendacho
roho hula kibudu''
Hata kama
tunaongelea issue tofauti na masiasa, lazima atafute upenyo
aingize 'EDO'Jiandaeni
kupambana na kiharusi. Reuben
On Tuesday, June 16,
2015 6:54 AM, fatma_elia via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Addicted Mollel
Sent from my BlackBerry® smartphone
provided by Airtel Tanzania.From:
"'Lesian Mollel' via Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tue, 16 Jun 2015 16:18:38
+0300To:
<wanabidii@googlegroups.com>ReplyTo:
wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] huyu ndiye rais
tunayemuhitaji watanzania
Franko
Nafurahishwa kwa
vigezo vyako, watia nia weeengi humu hawana sifa hizo almost
utakuta mtu anayo moja tu' lakini naona watu wawili tu
humu wenye sifa alizozichambua franko ni mh lowasa asilimia
99 na prof mwandosya nae atafuatia kwa asilimia 65
Shida ya prof hatoweza kufanya maamuzi magumu
ya ki nchi na hajulikani sana kwa watu wa kawaida au niseme
haungwi mkono sana na wananchi .
Lesian
mngonge franco
<mngonge@gmail.com> wrote:
Nafasi ya urais hapa kwetu ni
kitu cha mchezo mchezo ndiyo maana wamejitokeza wengi
kugombea. Ukiiangalia safu yote humuoni mwenye vigezo. Walio
na vigezo hawawezi kufua dafu mbele ya hao magwiji kwa vile
watanzania wengi uwezo wetu wa kuchambua ni mdogo basi
utakuta vigezo sahihi vinageuzwa kinyume chake ndo hivyo
tutajuta kuzaliwa baada ya kuwakabidhi nguruwe pori
wakalinde shamba letu la mihogo
On 09:48, Tue, Jun 16, 2015 'Fred Hans
Kipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Miaka 30 nyuma
mwimbaji mmoja wa Magereza aliimba hivi "Nasafiri
nakwenda na hapa niliponipo katikati ya nyika mbele yangu
kuna simba, nyuma yangu kuna faru, kushoto kwangukuna chui,
na kulia kwangu kuna tembo sijui nitafanya nini ili nipate
kuokoka jama nalia eeh...............". Nimeyakumbuka
maneno haya kwa vile naiona nchi yetu ikiwa katikati ya
nyika imezungukwa na wasaka urais lakini si kwa nia ya
kuiendelezaila kuimaliza kabisa. Wamejipanga makundi kwa
makundi damu midomoni mwao, escrow, richmondi, operation
tokomeza, epa nk. Kashifa hizi zote zipo mikononi mwao
lakini leo wanajinadi kutuaminisha kuwa ndiyo watakaoweza
kutuondoa katika hatari tuliyonayo nyikani. Ni jambo la
ajabu sana, tuwe makini na kauli zao kuona kama zinaendana
na dhamira zao.
From: Alec
Domitian <cdomilia@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, June 16,
2015 9:18 AM
Subject: Re:
[wanabidii] huyu ndiye rais tunayemuhitaji watanzania
Dear Fadhil, you have
hit the nail right on the head! I doubt whether we one one
Tanzanian of such a calibre!
2015-06-15 23:13 GMT-07:00 fadhil fadhil
<fadhil.fadhil96@gmail.com>:
Kabla hata ya
kuanisha vigezo inabidi wananchi na wapiga kura tutambue
kwamba kazi ya urais
ni kazi ngumu! Ni kazi ngumu kwa sababu Rais ndiye jicho la
nchi yeyote ile
duniani. Kwa sababu hii Rais akifanya vizuri nchi inakuwa
imefanya vizuri na
akivurunda sote tunakuwa tumevurunda.
Heshima yetu kama
nchi kwa kiasi kikubwa itatokana na heshima ya Rais wetu.
Ndiyo kusema Rais
akijiheshimu na akaheshimiwa na sisi pia tunapata heshima.
Vivyo hivyo ikitokea
Rais akawa haheshimiwi nje ya mipaka yetu sisi pia tunakosa
heshima kama nchi.
Akiwa makini tutaonekana makini kama nchi. Akiwa mropokaji
tutaonekana
waropokaji kama nchi. Akiwa mlevi tutaonekana walevi kama
nchi. Akiwa mwizi
tutaonekana ni majambazi kama nchi. Akiwa malaya na mzinzi
tutaonekana wazinzi
na malaya kama nchi.
Kwa hiyo urais ni
taswira ya Taifa na unabeba dhamana nzito. Ni lazima basi
tumtathimini mtu
yeyote anayetaka kuwa Rais wetu kwa jicho kali na macho
mapana katika kila hali
aliyo nayo: maneno yake, matendo yake, haiba yake, akili
yake, afya yake, n.k.
Ili aweze kukidhi haja ya kiti cha urais sawasawa na sawia,
Rais tunayemchagua
lazima asiwe mtu wa kawaida. Ni lazima awe ni mtu bora
kuliko sisi wote.
Tutafanya makosa makubwa kuchagua mtu wa kawaida,
anayefanana na sisi, mwenye tabia
kama zetu na mwenye maono kama sisi.
Kwa kuwa Rais si
mtu wa kawaida na hapaswi kuwa mtu wa kawaida, ni watu
wachache sana wanaoweza
kuchukua dhamana ya urais katika nchi yeyote ile duniani.
Kwa sababu hii ni
muhimu tuwe makini sana tunapochagua mgombea urais kwa vyama
vyote ili
tushindanishe watu ambao ni bora kabisa katika nchi
yetu.Tukikosea tukachagua
mtu wa kawaida huyu ataendesha mambo kikawaida sana. Kwa
hiyo kama wananchi
walio wengi wamezoea ubabaishaji, uhuni, rushwa, wizi, n.k.,
tutapata Rais
ambaye ni mbabaishaji, mhuni, na mpenda rushwa kama sisi na
hatutasogea.
Ninajadili vigezo
vya mtu anayefaa kuwa Rais wetu wa tano. Vigezo hivi
nimevigawa katika makundi
makubwa mawili. Kundi la kwanza linabeba sifa za kihaiba na
kundi la pili ni la
sifa za kikazi. Leo ninabainisha sifa za kihaiba. Kwa maoni
yangu, mgombea
urais anapaswa kuwa na vigezo angalau sita vinavyoangukia
katika kundi la sifa
za kihaiba.
Kigezo cha kwanza
ni uaminifu. Ili Rais aweze kukamilisha ajenda yake, ni
lazima aaminike kwa
watu anaowaongoza. Bila watu kumuamini hakuna atakachofanya
na watu
wakakikubali. Kama watu hamwamini Rais itasababisha wabunge
na vyombo vingine
vya dola kuanza kumtilia shaka katika utendaji wake na hii
itasababisha
programu zake nyingi zikwame kwa sababu ufanisi wake
unategemea kuungwa mkono
na vyombo vingine vya dola likiwamo Bunge.
Tukumbuke pia
kwamba Rais wa nchi ndiye msuluhishi mkuu wa migogoro katika
nchi. Ili aweze
kufanya kazi hii kwa ufanisi ni lazima aaminike. Ili Rais
aweze kuaminika
yampasa kuwa na historia ya kusema ukweli. Kwa hiyo kwa
kutumia kigezo hiki,
tutadadisi kila mgombea ni kwa kiasi gani amekuwa mkweli
katika maisha yake
binafsi na ya umma na kama amewahi kudanganya katika kazi
nyingine ambazo
amewahi kufanya.
Kigezo cha pili
katika sifa ya haiba ni uvumilivu. Urais ni kazi ya shutuma.
Ni kazi ambayo
muda mwingi utapingwa, kuchekwa, kukejeliwa, kutukanwa na
hata kuzomewa. Kwa
hivyo, Rais lazima awe na uwezo wa kukabili hasira na awe na
uwezo wa
kusikiliza kila aina ya mtu na hasa wale watu ambao
wanampinga.
Hii inamaanisha
pia kwamba Rais lazima mara zote awe na moyo wa kusamehe.
Mtu aliyezoea
kusifiwa tu hafai kuwa Rais na hawezi kufanya kazi ya urais
ama sivyo
atalazimika kuwa mbabe na dikteta. Rais mbabe hatufai kwa
sababu kazi yenyewe
ya urais inampa mtu maguvu ya kutisha kikatiba na kisheria.
Katika kupima
wagombea wetu kwa kigezo hiki, tutadodosa maisha yao huko
nyuma walipofanya
kazi ili kujaribu kupima kiwango chao cha uvumilivu
walipokuwa wanapambana na
watu ambao walitofautiana nao kimtazamo na
kimaono.
Kigezo cha tatu ni
haki. Rais lazima awe na uwezo wa kutoa haki bila upendeleo.
Hii inaanzia
kwenye uteuzi wa watendaji mbalimbali na katika utendaji wa
kazi zake kwa
ujumla. Rais mtenda haki katika eneo hili ni yule
anayezingatia sifa na vigezo
vya weledi, uchapa kazi na umakini katika uteuzi wake badala
ya kuangalia
uswahiba na watu waliomsaidia katika kampeni.
Uteuzi na utendaji
wa Rais mtendahaki pia haupaswi kuzingatia vigezo vya
kinasaba na kidemografia
kama vile kabila, jinsia, umri, n.k. Rais wa nchi ana kazi
kubwa ya kuhakikisha
kwamba kila mtu anastahili haki na heshima katika maisha
yake. Kigezo cha nne
ni utii wa sheria. Kazi mojawapo kubwa ya Rais ni
kuhakikisha kwamba anajenga
jamii ya watu wanaoheshimu utawala wa sheria. Kigezo cha
awali kabisa cha
mgombea anayeheshimu utawala wa sheria ni kuangalia kiwango
ambacho yeye
mwenyewe huheshimu sheria.
Kwa hiyo katika
kudodosa hili tutaangalia historia ya mgombea katika utiifu
wa sheria katika
kazi ambazo amewahi kuzifanya huko nyuma. Hapa pia
tutaangalia uwezo wake wa
kuheshimu sheria katika mambo ya kawaida ya maisha ya kila
siku kama vile kuwa
na leseni ya gari, kulipa kodi zote zinamhusu, kukaa katika
barabara kuu wakati
wa foleni kubwa badala ya kuchepuka pembeni, ustahimilivu wa
kupanga mstari
wakati wa kupata huduma, n.k.
Kigezo cha tano ni
uwazi. Katika mfumo wa demokrasia uwazi ni kigezo na sifa
muhimu kwa kiongozi.
Tungependa Rais wetu awe muwazi katika mambo ya nchi na
atakayehakikisha kwamba
wananchi wanapata taarifa muhimu kuhusu mambo ya nchi na
yanayohusu maisha yao.
Kwa hivyo, katika kigezo hiki, tutadadisi ni kwa kiasi gani
mgombea amekuwa
muwazi katika utendaji wake wa kazi za umma, na anaamini
nini kuhusu uhuru na
haki ya wananchi kupata na kutoa habari kuhusu umma na
jamii.
Aidha, Rais lazima
awe muwazi katika maisha yake binafsi. Kwa mfano, kiwango na
chanzo cha
utajiri, aina ya familia yake-ana watoto wangapi na amewalea
vipi, amewahi kuwa
na wake au waume wangapi, anafanya nini wakati wa ziada,
n.k. Kigezo cha sita
cha sifa haiba ni uadilifu. Katika mazingira ambayo wananchi
wamepoteza imani
na serikali na vyama vya siasa katika kupambana na rushwa,
uadilifu ni sifa
mama kwa mgombea yeyote wa urais. Bahati mbaya kwamba
wananchi walio wengi
(70%) hawaamini pia kwamba hata vyama vya upinzani vina
uwezo wa kupambana na
rushwa vikiingia madarakani.
Hii inamaanisha
kwamba rushwa imeshakuwa sehemu ya utamaduni wetu.
Tunahitaji mgombea ambaye
kwa haiba yake ataweza kuaminika kwamba ana uwezo wa kuvunja
utamaduni wa
rushwa katika nchi yetu. Nyenzo ya kuvunja utamaduni huu ni
uadilifu.
Mgombea yeyote
lazima awe na kiwango cha uadilifu kisichotiliwa shaka.
Ndiyo maana nimesema
mapema kwamba tunahitaji mtu ambaye si wa kawaida kuwa Rais
wetu ajaye.
Tukichagua mtu wa kawaida ambaye amezoea rushwa kama jambo
la kawaida
hatatusaidia kuvunja utamaduni wa rushwa. Hizi ni baadhi ya
sifa haiba za
msingi ambazo ninaamini tunahitaji kwa mtu anayetakiwa kuwa
Rais wetu katika
awamu ijayo.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment