Mollel;
Shida yako unawaza ndani ya box tu.
Kiharusi hapa maana yake itakuwa shock kubwa kwenu pindi mtakapoona mambo sivyo mrivyo tarajia pamoja na gharama mtakazokuwa mmetumia,the results of shock ndio kiharusi.
Mi sio mshabiki sana wa masiasa but ukiangalia hata hotuba mbalimbali za viongozi wa CCM ikiwa pamoja na Mwenyekiti unaona kwamba mambo yatakuwa sivyo mnavyozani,ukiwa mtu mzima usisubiri kuambiwa maana.
Jamaa yenu ameanza kupata shaka ya hili ndio mana leo/jana nimesikia kaongea kwamba walikubaliana amsaidie kupata uraisi ili nae aje kumsaidia kipindi hiki,hii yote ni kutapatapa na kutafuta uhalali wa mbio zake na pia kutafuta mtu wa kumlaumu hapo mbele.
Reuben
--------------------------------------------
On Wed, 6/17/15, 'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] huyu ndiye rais tunayemuhitaji watanzania
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, June 17, 2015, 2:08 AM
Kiwasila,mzigo mzito mpe
mnyamweziiii
Ccm are not such deaf they hear voices all over,hundreds and
thousands of supportes for commradeedo
Its stupidity to cheat people that edo can bribe such
population, for what and why.
Tanzanian need him regardless how corrupt he is,how thief he
is,they remember his deed and decisions
Poleni,he is the next president
Halafu i hate u guys mnafikia pahala kuongea kitoto its
logicless kumwombea binaadam mwenzako apate kiharusi kisa
humpendi,huko ni uchanga wa kisiasa discuss issues not
kumwombea mtu as if ww unajua utafika kesho,acheni hizo
mungu anaweza akakupa wewe hicho kiharusi na lowasa akapeta
ten years,slaa ashawahi kuzushiwa et kashaathirika,cjaipenda
na binafsi nikajua uchanga tu wa kujenga hoja tulionayo
wachangiaji wengi
Polen,lowasa next president willy nilly guys
Tchaoooo
Lesian
'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
>Watazimia wengi na kuingia ndani ya jeneza kama si
kupata kiharusi. Kwani, kila mtu anajiimanisha kuwa yeye
ndiye Rais anapendwa, ataupata. Hatari watu wakila hela zako
na upate kura za 'No' au uukose.
>
>--------------------------------------------
>On Tue, 16/6/15, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] huyu ndiye rais tunayemuhitaji
watanzania
> To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Tuesday, 16 June, 2015, 17:17
>
> Fatma;Nilitaka
> kupost the same very short message,thanks for
> pre-emption.Lakini
> sio mbaya nikiongeza mudogo kwa Mollel ''Kipendacho
> roho hula kibudu''
> Hata kama
> tunaongelea issue tofauti na masiasa, lazima atafute
upenyo
> aingize 'EDO'Jiandaeni
> kupambana na kiharusi. Reuben
>
>
>
>
> On Tuesday, June 16,
> 2015 6:54 AM, fatma_elia via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
>
>
> Addicted Mollel
> Sent from my BlackBerry® smartphone
> provided by Airtel Tanzania.From:
> "'Lesian Mollel' via Wanabidii"
> <wanabidii@googlegroups.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Tue, 16 Jun 2015 16:18:38
> +0300To:
> <wanabidii@googlegroups.com>ReplyTo:
> wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] huyu ndiye rais
> tunayemuhitaji watanzania
> Franko
> Nafurahishwa kwa
> vigezo vyako, watia nia weeengi humu hawana sifa hizo
almost
> utakuta mtu anayo moja tu' lakini naona watu wawili tu
> humu wenye sifa alizozichambua franko ni mh lowasa
asilimia
> 99 na prof mwandosya nae atafuatia kwa asilimia 65
> Shida ya prof hatoweza kufanya maamuzi magumu
> ya ki nchi na hajulikani sana kwa watu wa kawaida au
niseme
> haungwi mkono sana na wananchi .
> Lesian
>
> mngonge franco
> <mngonge@gmail.com>
wrote:
>
> Nafasi ya urais hapa kwetu ni
> kitu cha mchezo mchezo ndiyo maana wamejitokeza wengi
> kugombea. Ukiiangalia safu yote humuoni mwenye vigezo.
Walio
> na vigezo hawawezi kufua dafu mbele ya hao magwiji kwa
vile
> watanzania wengi uwezo wetu wa kuchambua ni mdogo basi
> utakuta vigezo sahihi vinageuzwa kinyume chake ndo
hivyo
> tutajuta kuzaliwa baada ya kuwakabidhi nguruwe pori
> wakalinde shamba letu la mihogo
>
> On 09:48, Tue, Jun 16, 2015 'Fred Hans
> Kipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
> Miaka 30 nyuma
> mwimbaji mmoja wa Magereza aliimba hivi "Nasafiri
> nakwenda na hapa niliponipo katikati ya nyika mbele
yangu
> kuna simba, nyuma yangu kuna faru, kushoto kwangukuna
chui,
> na kulia kwangu kuna tembo sijui nitafanya nini ili
nipate
> kuokoka jama nalia eeh...............". Nimeyakumbuka
> maneno haya kwa vile naiona nchi yetu ikiwa katikati
ya
> nyika imezungukwa na wasaka urais lakini si kwa nia ya
> kuiendelezaila kuimaliza kabisa. Wamejipanga makundi
kwa
> makundi damu midomoni mwao, escrow, richmondi,
operation
> tokomeza, epa nk. Kashifa hizi zote zipo mikononi mwao
> lakini leo wanajinadi kutuaminisha kuwa ndiyo
watakaoweza
> kutuondoa katika hatari tuliyonayo nyikani. Ni jambo
la
> ajabu sana, tuwe makini na kauli zao kuona kama
zinaendana
> na dhamira zao.
>
>
>
> From: Alec
> Domitian <cdomilia@gmail.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Sent: Tuesday, June 16,
> 2015 9:18 AM
> Subject: Re:
> [wanabidii] huyu ndiye rais tunayemuhitaji watanzania
>
>
> Dear Fadhil, you have
> hit the nail right on the head! I doubt whether we one
one
> Tanzanian of such a calibre!
>
> 2015-06-15 23:13 GMT-07:00 fadhil fadhil
> <fadhil.fadhil96@gmail.com>:
>
>
>
>
> Kabla hata ya
> kuanisha vigezo inabidi wananchi na wapiga kura
tutambue
> kwamba kazi ya urais
> ni kazi ngumu! Ni kazi ngumu kwa sababu Rais ndiye
jicho la
> nchi yeyote ile
> duniani. Kwa sababu hii Rais akifanya vizuri nchi
inakuwa
> imefanya vizuri na
> akivurunda sote tunakuwa tumevurunda.
>
> Heshima yetu kama
> nchi kwa kiasi kikubwa itatokana na heshima ya Rais
wetu.
> Ndiyo kusema Rais
> akijiheshimu na akaheshimiwa na sisi pia tunapata
heshima.
> Vivyo hivyo ikitokea
> Rais akawa haheshimiwi nje ya mipaka yetu sisi pia
tunakosa
> heshima kama nchi.
> Akiwa makini tutaonekana makini kama nchi. Akiwa
mropokaji
> tutaonekana
> waropokaji kama nchi. Akiwa mlevi tutaonekana walevi
kama
> nchi. Akiwa mwizi
> tutaonekana ni majambazi kama nchi. Akiwa malaya na
mzinzi
> tutaonekana wazinzi
> na malaya kama nchi.
>
> Kwa hiyo urais ni
> taswira ya Taifa na unabeba dhamana nzito. Ni lazima
basi
> tumtathimini mtu
> yeyote anayetaka kuwa Rais wetu kwa jicho kali na
macho
> mapana katika kila hali
> aliyo nayo: maneno yake, matendo yake, haiba yake,
akili
> yake, afya yake, n.k.
> Ili aweze kukidhi haja ya kiti cha urais sawasawa na
sawia,
> Rais tunayemchagua
> lazima asiwe mtu wa kawaida. Ni lazima awe ni mtu bora
> kuliko sisi wote.
> Tutafanya makosa makubwa kuchagua mtu wa kawaida,
> anayefanana na sisi, mwenye tabia
> kama zetu na mwenye maono kama sisi.
>
> Kwa kuwa Rais si
> mtu wa kawaida na hapaswi kuwa mtu wa kawaida, ni watu
> wachache sana wanaoweza
> kuchukua dhamana ya urais katika nchi yeyote ile
duniani.
> Kwa sababu hii ni
> muhimu tuwe makini sana tunapochagua mgombea urais kwa
vyama
> vyote ili
> tushindanishe watu ambao ni bora kabisa katika nchi
> yetu.Tukikosea tukachagua
> mtu wa kawaida huyu ataendesha mambo kikawaida sana.
Kwa
> hiyo kama wananchi
> walio wengi wamezoea ubabaishaji, uhuni, rushwa, wizi,
n.k.,
> tutapata Rais
> ambaye ni mbabaishaji, mhuni, na mpenda rushwa kama
sisi na
> hatutasogea.
>
> Ninajadili vigezo
> vya mtu anayefaa kuwa Rais wetu wa tano. Vigezo hivi
> nimevigawa katika makundi
> makubwa mawili. Kundi la kwanza linabeba sifa za
kihaiba na
> kundi la pili ni la
> sifa za kikazi. Leo ninabainisha sifa za kihaiba. Kwa
maoni
> yangu, mgombea
> urais anapaswa kuwa na vigezo angalau sita
vinavyoangukia
> katika kundi la sifa
> za kihaiba.
>
> Kigezo cha kwanza
> ni uaminifu. Ili Rais aweze kukamilisha ajenda yake,
ni
> lazima aaminike kwa
> watu anaowaongoza. Bila watu kumuamini hakuna
atakachofanya
> na watu
> wakakikubali. Kama watu hamwamini Rais itasababisha
wabunge
> na vyombo vingine
> vya dola kuanza kumtilia shaka katika utendaji wake na
hii
> itasababisha
> programu zake nyingi zikwame kwa sababu ufanisi wake
> unategemea kuungwa mkono
> na vyombo vingine vya dola likiwamo Bunge.
>
> Tukumbuke pia
> kwamba Rais wa nchi ndiye msuluhishi mkuu wa migogoro
katika
> nchi. Ili aweze
> kufanya kazi hii kwa ufanisi ni lazima aaminike. Ili
Rais
> aweze kuaminika
> yampasa kuwa na historia ya kusema ukweli. Kwa hiyo
kwa
> kutumia kigezo hiki,
> tutadadisi kila mgombea ni kwa kiasi gani amekuwa
mkweli
> katika maisha yake
> binafsi na ya umma na kama amewahi kudanganya katika
kazi
> nyingine ambazo
> amewahi kufanya.
>
> Kigezo cha pili
> katika sifa ya haiba ni uvumilivu. Urais ni kazi ya
shutuma.
> Ni kazi ambayo
> muda mwingi utapingwa, kuchekwa, kukejeliwa, kutukanwa
na
> hata kuzomewa. Kwa
> hivyo, Rais lazima awe na uwezo wa kukabili hasira na
awe na
> uwezo wa
> kusikiliza kila aina ya mtu na hasa wale watu ambao
> wanampinga.
>
> Hii inamaanisha
> pia kwamba Rais lazima mara zote awe na moyo wa
kusamehe.
> Mtu aliyezoea
> kusifiwa tu hafai kuwa Rais na hawezi kufanya kazi ya
urais
> ama sivyo
> atalazimika kuwa mbabe na dikteta. Rais mbabe hatufai
kwa
> sababu kazi yenyewe
> ya urais inampa mtu maguvu ya kutisha kikatiba na
kisheria.
> Katika kupima
> wagombea wetu kwa kigezo hiki, tutadodosa maisha yao
huko
> nyuma walipofanya
> kazi ili kujaribu kupima kiwango chao cha uvumilivu
> walipokuwa wanapambana na
> watu ambao walitofautiana nao kimtazamo na
> kimaono.
>
> Kigezo cha tatu ni
> haki. Rais lazima awe na uwezo wa kutoa haki bila
upendeleo.
> Hii inaanzia
> kwenye uteuzi wa watendaji mbalimbali na katika
utendaji wa
> kazi zake kwa
> ujumla. Rais mtenda haki katika eneo hili ni yule
> anayezingatia sifa na vigezo
> vya weledi, uchapa kazi na umakini katika uteuzi wake
badala
> ya kuangalia
> uswahiba na watu waliomsaidia katika kampeni.
>
> Uteuzi na utendaji
> wa Rais mtendahaki pia haupaswi kuzingatia vigezo vya
> kinasaba na kidemografia
> kama vile kabila, jinsia, umri, n.k. Rais wa nchi ana
kazi
> kubwa ya kuhakikisha
> kwamba kila mtu anastahili haki na heshima katika
maisha
> yake. Kigezo cha nne
> ni utii wa sheria. Kazi mojawapo kubwa ya Rais ni
> kuhakikisha kwamba anajenga
> jamii ya watu wanaoheshimu utawala wa sheria. Kigezo
cha
> awali kabisa cha
> mgombea anayeheshimu utawala wa sheria ni kuangalia
kiwango
> ambacho yeye
> mwenyewe huheshimu sheria.
>
> Kwa hiyo katika
> kudodosa hili tutaangalia historia ya mgombea katika
utiifu
> wa sheria katika
> kazi ambazo amewahi kuzifanya huko nyuma. Hapa pia
> tutaangalia uwezo wake wa
> kuheshimu sheria katika mambo ya kawaida ya maisha ya
kila
> siku kama vile kuwa
> na leseni ya gari, kulipa kodi zote zinamhusu, kukaa
katika
> barabara kuu wakati
> wa foleni kubwa badala ya kuchepuka pembeni,
ustahimilivu wa
> kupanga mstari
> wakati wa kupata huduma, n.k.
>
> Kigezo cha tano ni
> uwazi. Katika mfumo wa demokrasia uwazi ni kigezo na
sifa
> muhimu kwa kiongozi.
> Tungependa Rais wetu awe muwazi katika mambo ya nchi
na
> atakayehakikisha kwamba
> wananchi wanapata taarifa muhimu kuhusu mambo ya nchi
na
> yanayohusu maisha yao.
> Kwa hivyo, katika kigezo hiki, tutadadisi ni kwa kiasi
gani
> mgombea amekuwa
> muwazi katika utendaji wake wa kazi za umma, na
anaamini
> nini kuhusu uhuru na
> haki ya wananchi kupata na kutoa habari kuhusu umma na
> jamii.
>
> Aidha, Rais lazima
> awe muwazi katika maisha yake binafsi. Kwa mfano,
kiwango na
> chanzo cha
> utajiri, aina ya familia yake-ana watoto wangapi na
amewalea
> vipi, amewahi kuwa
> na wake au waume wangapi, anafanya nini wakati wa
ziada,
> n.k. Kigezo cha sita
> cha sifa haiba ni uadilifu. Katika mazingira ambayo
wananchi
> wamepoteza imani
> na serikali na vyama vya siasa katika kupambana na
rushwa,
> uadilifu ni sifa
> mama kwa mgombea yeyote wa urais. Bahati mbaya kwamba
> wananchi walio wengi
> (70%) hawaamini pia kwamba hata vyama vya upinzani
vina
> uwezo wa kupambana na
> rushwa vikiingia madarakani.
>
> Hii inamaanisha
> kwamba rushwa imeshakuwa sehemu ya utamaduni wetu.
> Tunahitaji mgombea ambaye
> kwa haiba yake ataweza kuaminika kwamba ana uwezo wa
kuvunja
> utamaduni wa
> rushwa katika nchi yetu. Nyenzo ya kuvunja utamaduni
huu ni
> uadilifu.
>
> Mgombea yeyote
> lazima awe na kiwango cha uadilifu kisichotiliwa
shaka.
> Ndiyo maana nimesema
> mapema kwamba tunahitaji mtu ambaye si wa kawaida kuwa
Rais
> wetu ajaye.
> Tukichagua mtu wa kawaida ambaye amezoea rushwa kama
jambo
> la kawaida
> hatatusaidia kuvunja utamaduni wa rushwa. Hizi ni
baadhi ya
> sifa haiba za
> msingi ambazo ninaamini tunahitaji kwa mtu anayetakiwa
kuwa
> Rais wetu katika
> awamu ijayo.
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and
hence
> statements and facts must be presented responsibly.
Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to
the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma

>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails

For more options, visit

0 comments:
Post a Comment