Friday, 29 May 2015

[wanabidii] UTAFITI HUU: CCM KUOGOPA SANGARA KUHAMA BWAWA?

UTAFITI HUU: CCM KUOGOPA SANGARA KUHAMA BWAWA?
Tafadhali angalia kiambatanisho kama kinavyonukuliwa kutoka gazeti la nipashe
Nimeangalia kielelezo cha matokeo ya utafiti wa taasisi inayoheshimika nikajaribu kuitetea ili nami niiheshimu nikakosa nikaona niilete hapa nisaidiwe ili tuweze kuiheshimu wote.
1) Nimeona na kushangaa hili duara. Sehemu ya 32.8 ni dogo kuliko sehemu nyingine. Nilifikiri hilo lingekuwa la kwanza maana ni 32.8% ndio ije ya 20 (Lowasa) na 11 (Dr. Slaa). Nikafikiri labda kwa kuwa hiyo inawakilisha watu kumi. Nikasonga mbele.
2) Mtu wa Mwisho ana 2% (Lisu). Kama zile 32.8% zinagawanywa sawa kwa watu kumi maana yake wana 3%. Iweje asiwaandike hao wenye kubwa (3%), badala yake aandike wa 2%? Lakini uwezekano wa watu 10 kuzidiana sawa haupo. Kwa hiyo huenda kuna wan ne au hata tano mboha hakuwaweka?
3 Mtafiti anashauri kuwa Chama kikikosa kumleta anayependwa sana (in this case Lowasa) basi wananchi watampigia kura anayefuata yaani Slaa. Simuelewi. Lowasa na Slaa wana 30% hatwambii kuwa hao 30% walisema wasipotokea wanaowapenda hawatapiga kura. Kwa nini asione uwezekano wa namba mbili katika CCM yaani Magufuli au namba tatu (Membe) wanaweza kupigiwa kura kwa sababu waliowapenda hawapo? Ushindi wa 20% unaweza kubabaisha chama kikaweka mtu mbovu ili kishinde? Angejaribu utafiti mwingine basi kutaka kujiridhisha. Akaondoa jina la Lowasa kuona kama wale 20% wataacha kupiga kura. Hata kama wakiacha 70% wana uwezo mkubwa wa kumchagua rais bila 20% wanaompenda Lowasa. Mtafiti nadhani ni mgeni katika nchi hii. Kwa garama kubwa Lowasa anamkaribia Mrema wa 1995. Kwani ilikuwaje? Nani atukumbushe tafiti za siku hizo.
Mawazo yangu utafiti huu umevisaidia vyama kuzikodolea asilimia za ambao hawatakuwepo katika kinyanganyilo. Kuna dalili kuwa Lowasa hawezi kuteuliwa na CCM. Basi CDM wakodolee hiyo 20% ya Lowasa. Kuna dalili kuwa UKAWA watamsimamisha mgombea mmoja basi CCM izikodolee kura za watakaoachwa ndani ya ukawa. Kuna 32.8% ambazo wenye nazo hawajulikani. Vyama vizitafute hizo. Ninachojua sangara akishaona jua hawezi kuishi hata akirudi majini. Kwa hiyo kwa CCM hakuna kuogopa masangara kuhama mabwawa.














   Kujiondoa Tuma Email
kwenda
 
   
 
   wanabidii+...@
googlegroups.com Utapata
  Email ya
 
   kudhibitisha ukishatuma
 
   
 
    
 
   
 
   Disclaimer:
 
   
 
   Everyone posting to this Forum bears the
  sole responsibility
 
   for any legal consequences of his or her
  postings, and hence
 
   statements and facts must be presented
  responsibly. Your
 
   continued membership signifies that you
  agree to this
 
   disclaimer and pledge to


    abide by our Rules and Guidelines.
 
   
 
   ---
 

 
 
   You received this
message because you are
  subscribed to
the
 
   Google Groups
"Wanabidii"
  group.
 
   
 
   To unsubscribe from this group and stop
  receiving emails
 
   from it, send an email to


   wanabidii+...@ googlegroups.com.
 
   
 
   For more options, visit https://groups.google.com/d/
  optout.
 

 
 
   


   
 

 
 
   


   
 

 
 
   --


   
 

 Send Emails to wana...@googlegroups.com
 
   
 
    
 
   
 
   Kujiondoa Tuma Email
kwenda
 
   
 
   wanabidii+...@
googlegroups.com  Utapata
  Email ya
 
   kudhibitisha ukishatuma
 
   
 
    
 
   
 
   Disclaimer:
 
   
 
   Everyone posting to this Forum bears the
  sole responsibility
 
   for any legal consequences of his or her
  postings, and hence
 
   statements and facts must be presented
  responsibly. Your
 
   continued membership signifies that you
  agree to this
 
   disclaimer and pledge to abide by our
  Rules and Guidelines.
 
   
 
   ---

 
   
 
   You received this message because you are
  subscribed to the
 
   Google Groups "Wanabidii"
  group.
 

 
 
   To unsubscribe from
this group and stop
  receiving emails
 
   from it, send an email to
wanabidii+...@
  googlegroups.com.
 
   
 
   For more options, visit https://groups.google.com/d/
  optout.
 

 
 
 
 
 
 
  --
 
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   
 
  Kujiondoa Tuma Email kwenda


  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
  kudhibitisha ukishatuma
 
   
 
  Disclaimer:
 

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
  for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you agree
to this
  disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
  Guidelines.


  ---
 

You received this message because you are subscribed to
the
  Google Groups "Wanabidii"
group.
 
  To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
 
 
       


  --
 

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   
 
  Kujiondoa Tuma Email kwenda


  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
  kudhibitisha ukishatuma
 
   
 
  Disclaimer:
 

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
  for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you agree
to this
  disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
  Guidelines.


  ---
 

You received this message because you are subscribed to
the
  Google Groups "Wanabidii"
group.
 
  To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
 

--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment