Sawa na neno lako la utangulizi 'Ningekuwa EL -------------'. Na yeye asingeweza kuandika uliyoandika. Uliyoandika yanaweza kuandikwa na mtu anayefaa kuwa rais tena rais anayeelewa matatizo na Changamoto za Tanzania. Siyo EL Hata watu alioambatana nao wanaonyesha ni mtu wa namna gani na inasaidia sana yeye kuyasema ili wewe na mimi tuanze kuchuja. na wajao waseme ili tuwaelewe ndiyo maana ya soko huria. Ametusaidia sana kuliko angenyamaza. Na wanaoandika mnatusaidia sana kuliko mgenyamaza. Kwa maelezo yako watu wote wanaomuunga mkono na wana akili sawasawa wanapungua. Subiri midahalo ije itazidi ku-undress watu na tuwajue ili kama heza hizi wanazomchangia hazitainfluence mambo tutafanya an informed election.
--------------------------------------------
On Wed, 5/27/15, 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: [wanabidii] Ningekuwa mim ni EL nisingesema yale kwa wahariri wa vyombo vya habari
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, May 27, 2015, 1:10 AM
• Ningekuwa mim ni EL
nisingesema yale aliyosema Jana na wahariri kwa sababu
hayabebi ile dhana ya 'presidential material':
1. Ningeshukuru CHAMA kwa hatua ya kutuweka huru na kuruhusu
kuingia ktk mchakato.
2. Ningewashukuru wanachama, viongozi na watanzania kwa
ujumla wanaoniunga mkono kwa kuwa na subra ktk kipindi cha
mpito na ambao walikuwa wanataraji kupokea maamuzi mazuri na
ya busara vikao vya chama.
3. Ningeweka wazi nia,na dhamira ya kuomba ridhaa kwa
wanaccm.
4. Ningesema kwanin nagombea.
kueleza mazuri yaliyofanyika ktk kipindi cha awamu ya 4 na
kuyaendeleza.
malengo ya baadae na mikakati ya kushughulikia matatizo ya
nchi yetu. kuanzisha mbadala wa kitaifa ili
kukubaliana na muelekeo kuweka vipaumbele vya Taifa ktk
uekelezaji wa bajeti ya 2016/17 mpka 2020. Mapendekezo yangu
ni kuwekeza vya kutosha ktk na Elimu, kilimo, miundombinu na
Afya.
5. Kuunda serikali makini yenye mchanganyiko wa namna zote
wazee, Vijana na wanawake. Bila kujali msimamo wake kisiasa
ndani ya CHAMA, dini, ukabila, na kuimarisha Muungano wetu.
6. Nina imani wanaccm wenzangu wataniunga mkono na
nawahakikishia kuwa nchi yetu itapiga hatua ya maendeleo
makubwa kwa kipindi kifupi kijacho kea kutumia Rasilimali
Gesi, madini, viwanja, na kilimo.
7. Utawala wa sheria na kukuza demokrasia ndani ya CHAMA na
katika nchi yetu.
Kuanzisha mjadala ,Lazima ujue kuwa ndani ya ccm unapoomba
urais ndio unaomba au unatazamwa kwa sura ya kuja kuwa
mwenyekiti wa CHAMA.
Sasa ukija na wasiotaka wahame?
Serikali legelege?
Tukapimwe afya?
Sihusiki na RICHMOND?
Noooooooooooooo
Hapana hapaswi kuwa defensive.
Nadhani jamaa zake kama akina watamfikishia ili aache
mipasho aende kwenye mantiki flow'
Na aboreshe aafu yake ya washauri wa mambo ya matamko na
hutuba.
Then kupunguza 'uchildish' wapambe wa hovyohovyo!
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment