Thursday, 28 May 2015

RE: [wanabidii] Nafasi ya Urais ni nafasi ya hadhi na heshima kubwa. Unapoiomba hupaswi kufanya michezo ya kuigiza.

Mimi niko Bukoba.
Nilikuwa naelezwa si muda mrefu uliopita kuwa kuna watu wamegharimiwa kusafiri kwenda Arusha kwa ajili ya mkutano tunaoutarajia. nasikia wakifika huko watalipwa laki tano kila mmoja. wamo viongozi wa dini etc etc.
Ninajisikia vizuri kusikia haya yanawsachukiza na wagombea wengine kama Makamba. Ninajiuliza mtu kuwekeza hivyo halafu ukakosa-Si utakuta mtu anaishia msituni?
Nina hakika watanzania hatutauza nchi hii kwa mafisadi
--------------------------------------------
On Thu, 5/28/15, Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com> wrote:

Subject: RE: [wanabidii] Nafasi ya Urais ni nafasi ya hadhi na heshima kubwa. Unapoiomba hupaswi kufanya michezo ya kuigiza.
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, May 28, 2015, 10:07 AM

Mr. Makamba

Umenena na tumekusoma.  Sasa inakuwaje Chama tawala
kiruhusu dhihaka, zarau, utoto, ulahai na ujinga katika
mambo ambayo ni nyeti kiasi hiki.  Au nacho kimechoka?

Herment A. Mrema

Date: Wed, 27 May
2015 16:20:24 -0700
From: mkimaka@kimphilkonsult.com
Subject: RE: [wanabidii] Nafasi ya Urais ni nafasi ya hadhi
na heshima kubwa. Unapoiomba hupaswi kufanya michezo ya
kuigiza.
To: wanabidii@googlegroups.com; wanabidii@googlegroups.com

Umesema busara ,umesema mambo ninayoyatarajia
kutoka kwa kiongozi mamboleo

Sent from Yahoo Mail for
iPhone
At 27 Mei 2015 14:04:24,
'mpombe mtalika' via Wanabidii wrote:

Nafasi
ya Urais ni nafasi ya hadhi na heshima kubwa. Unapoiomba
hupaswi kufanya
michezo ya kuigiza. Huu utaratibu wa kuratibu watu,
kuwasafirisha,
kuwapa posho na ubwabwa waje kukuomba kugombea ni michezo ya
kuigiza
ambayo ni aibu kubwa.

Kila mgombea ana uwezo wa kutengeneza watu wa kumuomba
kugombea lakini
wengine hatufanyi hivi kwasababu tunaheshimu nafasi
tunayoiomba na
tunaamini kwamba haipaswi kutafutwa kwa ulaghai na
maigizo.

Ni aibu sana kutumia shida na njaa za watu kisiasa. Ni aibu
sana
kukusanya vijana na wazee wa watu na kuwapangia viti na
mahema na kuwapa
pesa halafu pesa na kuwapiga picha. Ukiona mtu anatafuta
nafasi ya
uongozi kwa ujanja na ulaghai ujue atatawala kwa ujanja na
ulaghai.

Viongozi wanaokubalika na watu hawahangaiki kupanga Viti na
mahema na
kuwapiga picha watu wanaowakubali. Mgombea anayehaha na
kutumia pesa
nyingi kuonyesha anakubalika ukweli ni kwamba hajiamini.
Kama
unakubalika huwezi kuratibu makundi na kuyalipa na kuwapiga
picha na
kuita waandishi wa habari waje kushuhudia. Hizo ni mbinu za
mfa maji.

Naamini Chama changu hakitatishwa na nguvu za maigizo.
Tunataka uongozi
safi unaomuogopa mungu. Tunataka uongozi wenye uadilifu na
fikra mpya za
kuisogeza mbele Tanzania. Tunataka viongozi watakaomaliza
shida za
Watanzania sio wanaozitumia shida hizo kisiasa

Hata Mzee Makamba, pamoja na umri wake wa miaka 75, leo
akiwa na pesa za
kumwaga anaweza kutengeneza makundi yakamuombe kugombea
Urais.

Ifike mahali katika nchi yetu tuache hii michezo.
Tukiendelea na mambo
haya, tunatengeneza taifa linaloendeshwa kwa propaganda tu.
Watu
wanaotaka kuomba nafasi ya Urais wanapaswa kuwa na ujasiri
na wanapaswa
kujiamini na kusema wanataka nafasi hiyo na wana fikra gani
mpya bila
kutumia pesa kuonyesha kwamba wanagombea kwasababu
wanahitajika na watu.
Uongozi thabiti na shupavu hautokani na michezo ya kuigiza.

January Makamba

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment