Na awe mtu mwenye majibu ya swali:Kwanini Tanzania ni maskini? Kisha awe amebuni mikakati atakayotueleza sisi wapiga kura--tupate picha tuone umaskini ukiwa unapungua kwa kasi kubwa miongoni mwa wananchi wengi katika kipindi chake cha miaka MITANO tu madarakani.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Fri, 5/1/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Mwl hakuwahi kumkataa Lowassa tuache kutunga uongo
To: "'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, May 1, 2015, 10:18 AM
SIFA 13 ZA
MWANACCM ANAYEFAA KUSHIKA NAFASI YA
RAIS, KANUNI ZA UCHAGUZI TOLEO LA MWAKA 2005 NA MAREKEBISHO
YAKE YA MWAKA 2010.
1.Awe
na uwezo mkubwa wa kuliongoza Taifa kwa kuzingatia uzoefu
wake katika uongozi
wa shughuli za Serikali,Umma na Taasisi
.2.Awe
Mwadilifu,asiyetiliwa shaka juu ya matendo ya uadilifu mbele
ya uso wa Jamii ya
Watanzania na awe mwenye Hekima na Busara.
3.Awe na
angalau kiwango cha Elimu ya Chuo
Kikuu au Elimu inayolingana na Hiyo.
4.Awe
mwenye upeo na uwezo mkubwa wa kudumisha,kuimarisha na
kuendeleza Muungano
wetu,Umoja wetu Amani na Utulivu wetu na Mshikamano wa
Kitaifa.
5.Awe
Mtu mwepesi wa kuona mbali,asiyeyumbishwa na mwenye uwezo wa
kufanya uamuzi wa
busara kuhusu masuala nyeti na muhimu ya taifa kwa wakati
unaofaa.
6.Awe
na upeo mkubwa na usiotiliwa shaka kuhusu masuala ya
Kimataifa ili aweze kuwa
kiungo imara kati ya nchi yetu na Dunia yote kwa
ujumla.
7.Asiwe
Mtu mwenye Hulka ya Udikteta au Ufashisti bali awe mtu
anayeheshimu na kulinda
Katiba ya nchi,Sheria,Utawala bora,Kanuni na Taratibu za
Nchi.
8.Awe
mtetezi wa wanyonge,wa haki za binadamu,mzingatiaji makini
wa maendeleo ya raia
wote na asiwe na tamaa ya kujitafutia umaarufu wa mtu
binafsi.
9.Awe
mstari wa mbele katika kuzifahamu,kuzieleza,kuzitetea na
kuzitekeleza Sera za
CCM na Ilani ya CCM ya Uchaguzi.
10.Awe
mpenda haki na awe mtu jasiri katika kupambana na dhuluma na
maovu yote nchini.
11.Asiwe
ni mtu ambaye anatumia nafasi yake ya uongozi kujilimbikizia
mali.
12.Kwa
jumla awe ni mtu anaye kubalika na wananchi,,na
13.Awe
mtu makini katika kuzingatia masuala ya uwajibikaji wa
viongozi/watendaji na
asiyevumilia uzembe katika utekelezaji wa majukumu/wajibu
waliokabidhiwa ili
kuinua nidhamu ya Kazi.Tija na Ufanisi.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment