Hatua ya Udhaifu na Hatua ya
Jihad au "Vita Takatifu"
Inaelekea kwamba hizi mbinu mpya tulizozingumzia sio kwamba hazina historia ya Kiislam.
Muhammad Hassanein Heikal, mwandishi maarufu sana wa Kimisri, akizungumzia swala hili katika kitabu chake "Autumn Furor." Anaelezea:
Hivyo, asili ya Jihad ilitokana na mawazo ya Abul Aal Almaudoody. Aliendelea kutofautisha kati ya hatua mbili tofauti zinazopitiwa na jamii ya Kiislamu: Hatua ya udhaifu – Hatua hiyo jamii ya Kiislamu inashindwa kutwaa madaraka kwa ajili ya hatima yake yenyewe kwa hali hiyo, kulingana na fikra zake mwenyewe, ni lazima warudi nyuma kwa lengo la kujiandaa wenyewe waweze kutekeleza hatua ya pili. Hatua ya Jihad- Wakati huja ambapo jamii ya Kiislamu imejiandaa kabisa na imekuwa tayari kutoka katika hali ya kujitenga na kuchukua madaraka kwa njia ya Jihad"
Abdul Aal Almaudoody vilevile alilinganisha hatua mbili za udhaifu na Jihad na jitihada za Muhammad katika Maka halafu katika Medina.
Muhammad wa Maka na
Muhammad wa Medina
Wanahistoria wanakubali kwamba kuna tofauti kubwa kati ya nafsi ya Muhammad katika Maka na nafsi yake baada ya kuhamia Medina. Katika Maka, Muhammad alikuwa dhaifu, akijitahidi kukubalika mara kwa mara akidhihakiwa na kudharauliwa. Alijaribu kuwaomba kwa kuwa kama Yesu, mwenye huruma na mwenye upendo.
Mafundisho yake yalipinga vurugu, uvunjaji wa haki na kutowajali maskini. Hata hivyo baada ya yeye kwenda Medina na wafuasi wake wakaongezeka nguvu na idadi, aligeuka kuwa mpiganaji asiye na huruma, akidhamiria kueneza dini yake kwa upanga.
Mabadiliko haya katika nafsi ya Muhammad yalionekana wazi kwa kulinganisha sura za Maka na Medina. Ifuatayo ni baadhi ya mifano:
Katika Sura 73:10 Mungu alimwambia Muhammad kuvumiliana na maadui zake, "Na subiri juu ya hayo wasemayo(hao makafiri) na uwaepuke mwepuko mwema." Wakati katika Sura 2:191, Mungu alimwamuru yeye kuua wapinzani wake, "Na waueni(hao wanaokupingeni bure)popote muwakutapo"
Katika Sura 2:256 Mungu alimwambia Muhammad asiamuru Uislamu kwa nguvu, "Hakuna kulazimishwa(mtu kuingia) katika dini", wakati katika mstari wa 193 Mungu anamwambia kuua yeyote anayekataa Uislamu, "Na waueni(hao wanaokupingeni bure)popote muwakutapo"
Katika Sura 29:46 Mungu alimwambia Muhammad kuzungumza vizuri na watu wa kitabu (Wakristo na Wayahudi), "Wala msibishane na watu waliopewa Kitabu(kabla yenu) ila kwa yale( majadiliano) yaliyo mazuri¼.na semeni tunaamini yaliyoteremshwa kwetu na yaliyoteremshwa kwenu,na Mungu wetu na Mungu wenu ni Mmoja,nasi ni wenye kunyenyekea kwake.." Wakati katika Sura 2:29 Mungu anamwambia kuwapiga watu wa kitabu, "Wapige wale wasio mwamni Mungu na siku ya mwisho¼ na wapige watu wa Kitabu, ambao hawaikubali dini ya kweli (Uislamu) mpaka walipe ushuru kwa mikono yao, kuwa wanyonge."
Kuhalalisha haya mabadiliko ya ghafla katika hali ya Koran, kutoka ya amani kwenda ya kivita, ya usuluhishi kwenda ya kukabiliana kivita, Muhammad alidai kuwa ni Mungu alimwambia hivyo. Alikuwa ni Mungu ambaye alitangua zile aya za amani na kubadilisha na za kikatili?
Hata hivyo, ukweli wa mambo uko hivi, kama Almaudoody alivyouweka ni kwamba Muhammad alikuwa na nguvu ya kutosha kutoka katika hatua ya udhaifu kwenda kwenye hatua ya Jihad.
On Thursday, April 30, 2015 1:48 PM, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:
kaka hayo masuala ya ndoa unayoyasema ndio hayo ya makahama ya kadhi, siwalaum nadhani tatizo hapo ni hilo neno lenyewe la kadhi ndio tatizo mmekuwa mkipinga kitu msichokijua na kwa makusudi hamtaki kujua huku mkitoa mifano amabayo siyo hai.
mnatoa mifano ya kukatana mikono na kadhalika, kifupi mahakama ya kadhi haiusiani na issue yeyote ya kijinadi, zaidi ndoa, taraka, miradhi na mambo wakfuOn Thu, Apr 30, 2015 at 10:35 AM, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:
Fadhil,
mnaonaje badala ya kuruhusiwa mahakama nzima mkapewa mamlaka ya
kushughulikia mambo ya ndoa tu! seems its something worth zaidi ya
mengine maana ndilo linaloongelewa kwa sauti kubwa sana.
Mpewe mandate ya ndoa zenu na vyeti vyake tu.
--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment