Friday, 1 May 2015

Re: [wanabidii] MPANGO WA MIZENGO PINDA NA GWAJIMA HUU HAPA


MAHAKAMA YA KADHI
 
_    Wanaume ni bora zaidi kuliko wanawake
"Na wanawake walioachwa wangoje (wasiolewe) mpaka tohara tatu ziishe¼.na wanaume wao wana haki ya kuwarejesha katika muda huo,kama wakitaka kufanya sulhu¼.na wanaume wana daraja zaidi kuliko wao." Sura 2:228
 
_    Wanawake wana haki nusu ya wanaume
 
A)  Katika ushahidi mahakamani
" Na upate mashahidi wawili wa kike kwa mwanamume mmoja, (na upate mashahidi wawili wanaume), na kama hakuna wanaume wawili, hivyo mwanaume mmoja atasimama badala ya wanawake wawili." Sura 2:282.
 
B)  Katika Urithi
 "Mwanaume apate sawa na  sehemu ya wanawake wawili." Sura 4:11
 
_    Mwanamume aweza kumwadhibu mke wake kwa kumpiga
"¼ wanawake ambao mnaona uasi wao waonyeni na waacheni peke yao katika vitanda na wapigeni." Sura 4:34
 
_    Mwanaume aweza kuoa mpaka wanawake wanne kwa mara moja

"¼ basi oeni mnaowapenda katika wanawake,(maadam mtawafanyia insafu), wawili, watatu au wann,¼au wawekeni masuria" Sura 4:3
 
_    Mke ni kifaa cha ngono cha mume wake
"Wake zenu ni kama konde zenu.Basi ziendeeni konde zenu mpendavyo" Sura 2:223
 
_    Waislamu ni lazima wapigane mpaka maadui zao waukubali Uislamu.
"Basi waueni(piganeni na)washirikina popote muwakutapo,na wakamateni  mateka¼.lakini wakitubu na wakasimamisha sala na wakatoa zaka,basi iacheni njia yao(waacheni) ." Sura 9:5
 
_    Wakristo na Wayahudi wamelaaniwa kulingana na Uislamu
"Na Mayahudi wanasema:Uzeri ni mwana wa Mwenyezi Mungu,na Wakristo husema Masihi ni mwana wa Mwenyezi Mungu"wanayaiga maneno ya wale walio kufuru kabla yao,Mwenyezi Mungu awaangamize. Sura 9:30.
 
_    Muasi wa Kiislamu ni lazima auwawe
"Na kama wakivunja viapo vyao baada ya kuahidikwao na wakatukana dini yetu,basi waueni(piganeni nao)waongozi wa ukafiri.Hakika viapo vyao havina maana,(piganeni nao)ili wapate kujizuia(na kufanya ubaya huo)" Sura 9:12
 
_    Kuiba kunaadhibiwa kwa kukatwa mikono
"Na mwizi mwanamume na mwizi mwanamke,kateni mikono yao,malipo ya yale waliyoyachuma" Sura 5:38
_    Uzinzi unaadhibiwa kwa kuchapwa viboko hadharani
"Mzinifu mwanamke na mzinifu mwanamume,wapigeni kila mmoja katika wao mijeledi(bakora)mia¼.na lishuhudie adhabu yao(hii)kundi la.Waislamu" Sura 24:2
 

_    Kukataa Uislamu kunaadhibiwa kwa kifo, kusulubiwa au kukatwa mikono.
"Basi malipo kwa wale wanaopigana na Mwenyezi Mungu na Mtume wake(kwa kufanya aliyoyakataza)na kufanya uovu katika nchi,ni kuuawa au kusulubiwa au kukatwa mikono yao na miguu yao kwa mabadilisho.(mkono wa kulia kwa mguu wa kushoto,na mkono wa shoto kwa mguu wa kulia) au kuhamishwa katika nchi." Sura 5:33
 
_    Hakuna Muislamu atakayekwenda motoni.
"Wala hakuna yeyote katika ninyi ila ni mwenye kufikia (hiyo Jahanamu).Ni wajibu wa mola wako uliokwisha hukumiwa.." Sura 19:71
 
_    Mbinguni, katika Uislamu, ni mahali ambapo Muislamu atajinyoosha, akila nyama na matunda matamu, mvinyo mtamu na ngono sana sana na mabikira.
          "kwenye matandiko ambayo bitana zake (vitambaa vyake vya ndani) ni za hariri nzito,na matunda ya mabustani hayo yananing'inia(mepesi kuchumika)¼.watakuwamo humo wanawake watulizao macho yao,binadamu yeyote hajawagusa kabla yao(hao waume zao) wala jini." Sura 55:54-56.
 
              USIKUBALI WAKUDANGANYE
       Awali ya yote, wala usimruhusu Muislamu akudanganye upate kuamini kwamba Allah na Mungu wa Biblia ni sawa. Hakuna kitu kilicho mbali na ukweli kama hicho.
 
       Pili, Waislamu wanatangaza kuwa wanaamini katika Yesu. Ndiyo, lakini kama nabii, wa hali ya chini hata zaidi ya nabi wao Muhammad, ambaye wala hakutenda hata mujiza mmoja. Yesu hayupo kabisa katika fahamu zao, Mungu alitujia katika mwili, Mwana wa Mungu au nafsi ya tatu ya utatu.
 
    Katika upumbavu wao wanahoji kwamba Mungu hakuoa na kwasababu hiyo hawezi kuzaa. Wanafundisha kwamba Yesu alikuwa tu kama nabii mwingine mkubwa pamoja na Adam, Nuhu, Musa, Abraham, Ishmael, Daudi, Yohana na wengineo.
 
NA, SASA¼
           Umepata tahadhari ya kutosha? Nilitarajia kwamba ungepata sababu ya kufikiri hivi ni kwamba baadhi yetu ambao wameishi katika nchi zinazomilikiwa na Waislamu tunafahamu inaweza kuwa mbaya kiasi gani. Wengi wetu ilitubidi kuondoka nchi tulizozaliwa, kukimbia mateso ya Kiislamu.
 
      Tulithubutu kufikiria kuwa Uislamu unaweza kuchukua taifa letu au taifa jingine lolote, kwasababu hiyo watoto wetu au wajukuu zetu itabidi wakimbie, kama sisi tulivyofanya. Tofauti na wakati huu ni kwamba, kunaweza kusiwepo tena mahali pengine pa kwenda.
 
     Tishio la Uislamu ni dhahiri. Wala usidanganyike na mbwembwe zao.




On Thursday, April 30, 2015 1:48 PM, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:


kaka hayo masuala ya ndoa unayoyasema ndio hayo ya makahama ya kadhi, siwalaum nadhani tatizo hapo ni hilo neno lenyewe la kadhi ndio tatizo mmekuwa mkipinga kitu msichokijua na kwa makusudi hamtaki kujua huku mkitoa mifano amabayo siyo hai.

mnatoa mifano ya kukatana mikono na kadhalika, kifupi mahakama ya kadhi haiusiani na issue yeyote ya kijinadi, zaidi ndoa, taraka, miradhi na mambo wakfu

On Thu, Apr 30, 2015 at 10:35 AM, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:
Fadhil,
mnaonaje badala ya kuruhusiwa mahakama nzima mkapewa mamlaka ya
kushughulikia mambo ya ndoa tu! seems its something worth zaidi ya
mengine maana ndilo linaloongelewa kwa sauti kubwa sana.
Mpewe mandate ya ndoa zenu na vyeti vyake tu.

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


0 comments:

Post a Comment