teh teh teh
elimu kwanza halafu ajira baadae. mgombea ana akili kweli kweli!!
70%+ ya wananchi ni wakulima, hatuwez kuwaweka chini wote tukawaelimisha,
Mi sitaki kusikia first priority ikienda kwenye elimu (nisieleweke vibaya) tuwape kipaumbele wengi watakaoingiza kipato kingi (kilimo) kitakachoweza kubadilisha kipande cha wachache (elimu) kwa muda mchache sana.
Tukianza kushughulikia elimu tutaigharamia na nini kama sio kurudi kule kule kutembeza bakuli!!
Mapinduzi yaanze kwenye kilimo kwanza then kichangie elimu. Mkulima akipata pesa hatahitaji bodi ya mikopo! na bodi itapungukiwa na majukum!!
Serikali inafanya kazi kwa urahisi pale majukumu mengi yanapofanywa na wananchi.
Nimechoka na kelele za wanasiasa kiukweli. Bado sijaona mtu mwenye road-map nzuri ya kutufikisha tunapotaka!! kila mmoja anahangaika kutumia kumbukumbu ya vitabu alivyofundishiwa shule, ila sijaona mtu anayeleta suluhu ya matatizo yetu kulingana na hali halisi ilivyo.
sio lazima tufuate ubepari au ujamaa!! hivi hatuwezi tukakaa na kutengeneza mfumo wetu wenyewe ukaleta mafanikio hata kuigwa kama wengine wanavyoiga mifumo mingine!!!
Nimechoka na makelele ya wafanyabiashara wanasiasa.
HIZI KELELE ZINATOSHA. SITEGEMEI MSOMI YEYOTE MWENYE KUFIKIRI SAWA SAWA AUNGE MKONO KELELE ZA HAWA WATU.
TUMEZOEA WANAJESHI KUFANYA MAPINDUZI. SASA ITAFIKA MUDA WA WASOMI. TENA WALE WASOMI WA C AND NOT A's.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment