Tuesday, 26 May 2015

Re: [wanabidii] MKUTANO WA EDWARD LOWASSA NA WAHARIRI

Jacob. Mnaanza kumsemea na kumtafsiria mtarajiwa?? Hicho unachosema hakukisema labda kama mnasema ni mugabe mwingine wa siku hizi. Alikipongeza chama cha upinzani akasahihishwa. Wakasema mzee wetu mwache. Ndiye huyu?
--------------------------------------------
On Tue, 5/26/15, Jacob Ruvilo <ruvilo2010@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] MKUTANO WA EDWARD LOWASSA NA WAHARIRI
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, May 26, 2015, 10:53 AM

Mi najua nilivyomuelewa
Rais Mtarajiwa nikwamba kila jambo liwe lina anza na elimu
ya kutosha, kama ni kilimo watu wapate elimu ya kutosha
kuhusu jambo hilo ukiachilia mvali elimu ya jumla
On May 26, 2015 10:49
AM, "fadhil fadhil" <fadhil.fadhil96@gmail.com>
wrote:
Lengo kuu
atakaloanza nalo ni Elimu na sio
Kilimo kwanza cha serikali ya JK. Amesema serikali ya JK
ilikosea kuanza
na kilimo na kuweka kando elimu. Ametangaza kuwa sera yake
ni Elimu
Kwanza

kwa kauli hii hata kama utapita ccm, hutapata kura
yangu, Lowasa huoni aibu kuongopa kwa watanzania kuwa
JK,alikosea alitakiwa kuanza na elimu elimu kwanza badala ya
kilimo kwanza.

Lowasa kweli unautaka urais lakini hebu jaribu kuwa
mkweli, umesahau kipindi Jk anaingia madarakani na wewe
ukiwa warizi mkuu wake nchi ilikuwa na ukame, kiasi ambacho
ilisababisha zaidi mifugo laki 2 kupoteza maisha maisha?

umesahau kuwa hali ya chakula nchini ilikuwa mbaya
wakati wewe ukiwa waziri mkuu, mpaka ukaenda thailand na
kuwaleta watengeneza mvua. lakin zoezi hilo lilikufa baada
ya kujiuzulu kwako,

lowasa unataka kutwambia uluikuwa hujui njaa
ilivyokuwa nchini mpaka watoto walikuwa wanakosa kwenda
shule na wafugaji walilazimika kuuza mazao yao ili kununua
chakula.

leo hii Jk kafanya jambo la maana kufanya uhamasishaji
wa kilimo kwanza ingawa bado kuna changamoto za hapa na pale
nchi imejaa chakula kila kona na maghara ya ya chakula ya
serikali yamejaa mpaka tunafikia hatua ya kutoa misaada kwa
nchi zenye njaa kama somalia

Lowasa  kuhusu elimu, Jk amefanya mapinduzi
makubwa katika elimu kuanzia elimu ya msingi sekondary na
elimu ya juu hayo nayo unavaa miwani ya mbao?

Katika kipindi cha miaka kumi iliyopita tumeweza kupiga
hatua kubwa katika
sekta ya elimu nchini. mafanikio tuliyoyapata ambayo ni
matokeo ya kuongezeka
kwa shule, idadi ya wanafunzi, idadi ya walimu, vitabu na
vifaa vya kufundishia
na kujifunzia. Katika kipindi hicho, Shule za msingi
zimeongezeka kutoka shule
14,257 mwaka 2005 hadi kufikia shule 16,343 mwaka 2014.

 Hii imefanya idadi ya wanafunzi
kuongezeka kutoka milioni 7.54 hadi kufikia milioni 8.23.
Kwa upande wa shule
za sekondari, idadi yake imeongezeka kutoka shule 1,745
mwaka 2005 hadi kufikia
shule 4,576 mwaka 2014. Hali kadhalika, idadi ya wanafunzi
wa shule za
sekondari imeongezeka kutoka wanafunzi 524,325 mwaka 2005
hadi kufikia
wanafunzi 1,804,056 mwaka 2014.

Jumla ya walimu wote wa msingi na sekondari idadi
imeongezeka kutoka 153,767
mwaka 2005 hadi 301,960 mwaka 2015. Katika kipindi hicho,
vyuo vya ufundi
vimeongezeka kutoka 184 mwaka 2005 hadi 744 mwaka 2015.
Wanafunzi wa elimu ya
ufundi nao wameongezeka kutoka 40,059 mwaka 2005 hadi
145,511 mwaka 2015. Kwa
upande wa elimu ya juu, wanafunzi wa vyuo vikuu wameongezeka
kutoka 40,719
mwaka 2005 hadi 200,986 mwaka 2014.

Hii ni kutokana na kuongezeka kwa vyuo vikuu na vyuo
vikuu vishiriki
vimeongezeka kutoka 26 mwaka 2005 hadi 52 mwaka 2015.
Upanuzi huu mkubwa katika
udahili wa wanafunzi wa vyuo vikuu umewezekana kutokana na
kuongezeka kwa
bajeti ya Bodi ya Mikopo ya wanafunzi na kuruhusu wanafunzi
wa vyuo vikuu vya
binafsi navyo wapatiwe mikopo. Bajeti iliongezwa kutoka
shilingi bilioni 56.1
mwaka 2005 hadi shilingi bilioni 345 mwaka 2015 na
kunufaisha wanafunzi 98,000
mpaka sasa.

Mafanikio haya ni matokeo ya kutoa kipaumbele cha kwanza
kwa elimu katika
bajeti ya serikali. Leo hii bajeti ya sekta ya elimu ndiyo
kubwa kuliko zote
nchini ambayo sasa imefikia shilingi trilioni 3.4
ikilinganishwa na shilingi
bilioni 669.5 mwaka 2005.

Kweli kabisa Lowasa unautaka urais lakini kuwa mkweli,
katika elimu awamu ya
nne imejitahidi na atakae kuja anapaswa kuendeleza pale
palipofikiwa lakini si
kubeza kama unavyofanya wewe,

On Mon, May 25, 2015
at 5:07 PM, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
wrote:
" Hayo ni kwa ufupi.
Wahariri wakuu katika media zote kupitia Jukwaa la Wahariri
walikuwepo, na Absalom Kibanda (New Habari) na Nevil Meena
(Free Media) ndio walikuwa waratibu wakuu wa mkutano
huu."
teh teh teh tehhhh mbio zimeanza pale, kipenga
kinalia watazamaji wenzangu.....

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment