hivi tukisema "wahariri wakuu wote kupitia..." na kusema "mkutano na waandishi wa habar...."
whats the difference kwenye impact ya story coverage? i mean weight ya habar katika vyombo vya habari.
nashindwa kupata lugha sahihi ya kubeba kile ninachotaka nijibiwe straight but ntaridhika kwa majibu tofauti yatakayotokana na labda uelewa tofauti, msukumo binafsi, ushabiki hata uzandiki.
Ntayachambua tu. nisaidiwe tafadhali..
--Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment