Ni juu ya wenye busara zao kufanya uamuzi sahihi. Mimi nimefurahi sana mheshimiwa kutoa yaliyokuwa moyoni na pengine ambao ndo ukweli hasa. Kasema mwana CCM asiyempenda ahame chama. Du kila nikijaribu kupata tafsiri ya maneno haya napata shida kubwa. Kwamba yeye ndo alfa na Omega ndani ya CCM kwa hiyo yeyote asiyemtaka yeye (bila shaka yeye mwenye nguvu kuliko wote) ahame. Kumbe hata katiba ya chama na milolongo mingine kibao ya kiuongozi bure. Safi sana mheshimiwa safisha njia na wape vidonge vyao wote wanaojifanya vimbembele wakigonga vifua eti ni watoa maamuzi
2015-05-27 0:45 GMT+03:00 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>:
Hawezi kugusia hilo. Hukuona ameandamana na Karamagi?
Hii itakuwa serikali ya rushwa na ufisadi mbele kwa mbele.
em
Sent from my iPhone
> On May 25, 2015, at 3:26 PM, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Hajasema atafanyaje na rushwa na ufisadi?
> --------------------------------------------
> On Mon, 5/25/15, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com> wrote:
>
> Subject: [wanabidii] MKUTANO WA EDWARD LOWASSA NA WAHARIRI
> To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Monday, May 25, 2015, 4:54 PM
>
> Waziri
> Mkuu aliejiuzulu Edward Lowassa amesafirisha wahariri wakuu
> wa vyombo vyote vya habari toka Dar es salaam na kufanya nao
> mkutano maalum leo nyumbani kwake mjini Dodoma. Katika
> mkutano huo kwa ufupi Lowassa amesema yafuatayo;1.
> Amesema Hahusiki lolote na sakata la Richmond na ndio sababu
> hata kamati ya Mwakyembe haikuona sababu ya kumhoji.
> Amesisitiza kuwa cheo cha uwaziri mkuu ndio ilikuwa lengo la
> kamati ya mwakyembe na spika wa bunge kipindi hicho Samwel
> Sitta. Amesisitiza hicho sio kikwazo kwake
> katika kuingia Ikulu kwani sakata la Richmond lilipikwa
> kumchafua. Amechukua muda mrefu kuzungumzia hili la Richmond
> na amesema atalisema zaidi Arusha wikendi
> hii.2. Anaamini kila mtangaza nia
> ana makundi ya kumuunga mkono. Yeye katika mkutano huu na
> wahariri leo ameambatana na Nazir Karamagi, Peter serukamba,
> Diana chilolo, Hussein Bashe na wengineo huku wengi wakiwa
> ni waliojeruhiwa katika serikali ya awamu ya nne akiwemo
> Aliekuwa DC Igunga Elibariki Kingu. Pia aliyekuwa mkurugenzi
> wa HakiElimu Elizabeti Misoki ametangazwa rasmi kuwa
> Mkurugenzi wa mahusiano na mawasiliano katika timu ya
> kampeni ya Lowassa. Amehoji kwani akina Karamagi wana tatizo
> gani na kwani wao sio binadamu?3. Lengo kuu atakaloanza nalo ni Elimu na sio Kilimo
> kwanza cha serikali ya JK. Amesema serikali ya JK ilikosea
> kuanza na kilimo na kuweka kando elimu. Ametangaza kuwa sera
> yake ni Elimu Kwanza.4.
> Kuhusu pesa anasema anapata michango ya rafiki zake na
> ataendelea kupokea michango hii wakati wote wa harakati zake
> na haina madhara yotote.5.
> Anasema hatahama CCM na asiyemtaka yeye CCM ndie aondoke
> ndani ya chama kwani yeye ana uhakika wa kupata nafasi
> kuwania urais.6. Amesema
> hatalipa kisasi kwa lolote lililomtokea katika siasa.
> Amemwachia Mungu kwani yeye ni mcha Mungu.7. Amesema Arusha itawaka moto
> tarehe 30 mwezi huu na kuwataka watanzania kutega sikio
> kwani ataanika kila jambo kuhusu mustakabali wa nchi hii na
> mipango yake ya kuiinua nchi kiuchumi katika miaka kumi
> ijayo.Hayo ni kwa ufupi.
> Wahariri wakuu katika media zote kupitia Jukwaa la Wahariri
> walikuwepo, na Absalom Kibanda (New Habari) na Nevil Meena
> (Free Media) ndio walikuwa waratibu wakuu wa mkutano
> huu.
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment