Thursday, 26 March 2015

[wanabidii] WAKONGWE WA DANSI ABBU OMAR NA FRESH JUMBE WAISHIO JAPAN WAMPA SHAVU ALLY CHOKI

WAKONGWE WA DANSI ABBU OMAR NA FRESH JUMBE WALIVYO BARIKI ONYESHO LA ALLY CHOKI KULE TOKYO,JAPAN

Imeripotiwa na Hiroshi Takeuchi
Tokyo,Japan,
Wanamuziki wa kongwe wa muziki wadansi Abbu Omar Njenga aka Abbu Omar na Fresh Jumbe Mkuu wenye ngome yao nchini Japan,siku ya jumamosi 21 Machi 2015 walitia fora kwa kushiriki jukwaani na kumpa baraka zote mwanamuziki Ally Choki katika onyesho lililofanyika katika ukumbi wa Sonudai-Kanagawa Prefecture, Sagamihara City,Tokyo ,Japan.
Wakongwe hao waliobobea katika muziki kwa maiaka mingi Abbu Omar Njenga mpiga gitaa au mpini na mtunzi aliyewahi kutamba na bendi za UDA JAZZ na mwaka 1981 alijiunga na Simba wa Nyika nchini Kenya na hatimaye kujikita nchini Japan kwa miaka mingi na mwenziwe mkongwe Fresh Jumbe Mkuu aliewahi kuwa mwimbaji mtunzi wa bendi za Dar International (Super Bomboka),DDC Mlimani Park "Sikinde na pia Juwata Jazz band aka Msondo Ngoma ,wakongwe hawa ni mfano wa kuigwa pamoja na kuwa
wameliteka soko la muziki wa kiafrika nchini japani na kungineko lakini wapo mstari
wa mbele kuwaunga mkono na kuhakikisha kuwa wanamuziki wa nyumbani Tanzania
waingiapo Japan wanateka soko.
 Pia mnaweza kujumuika na mmoja wao at 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment