Saturday, 7 March 2015

Re: [wanabidii] TAMBO ZA KIGOGO IKULU ZAWACHEFUA WATANZANIA

Uko sahihi sana kaka


Sent from Samsung Mobile


-------- Original message --------
From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
Date:07/03/2015 5:53 PM (GMT+03:00)
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] TAMBO ZA KIGOGO IKULU ZAWACHEFUA WATANZANIA

Ezekiel.
Huo ndio msimamo wangu.
Mimi ni mwanaCCM wala sioni aibu kujitaja.
Ninakijua chama hiki ni chama bora sana. kinahitaji ukarabati wa kutosha na garage yake ni kukiweka benchi mihula miwili tu. Michwa yote itajiengua na watabaki wanaCCM wa imani. Watapata nafasi ya kukijenga na kikirudi ushindi wake halali utakuwa ni 51-55%. Watanzania hapo tutakuwa na vyama vitatu vinne vinavyopishana kwenye uongozi. Hiyo itakuwa ndiyo raha ya vyama na raha ya watanzania.
hatusongi mbele bila kufika huko
--------------------------------------------
On Fri, 3/6/15, Ezekiel Massanja <ezekielmassanja@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] TAMBO ZA KIGOGO IKULU ZAWACHEFUA WATANZANIA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, March 6, 2015, 4:01 PM



Naungana na
wewe kwenye hili na nakubaliana kabisa kwamba hizo za kina
Gurumo ni dalili za tatizo kubwa tulilo nalo. Hata kama
tutawanyonga leo, tatizo tunalo tu. Tawala nyingi zinazokaa
kwa muda murefu madarakani huishia kujisahau. CCM hii
tunayoishuhudia leo ikitokea ikaondolewa madarakani na
baadaye kurudi tena inaweza kuwa nzuri na ikaleta kweli
maendeleo. Lakini kwa mtindo huu, viongozi watakuja
watawatukana wananchi kwa kuwaambia milioni kumi ni pesa za
mboga lakini kule Kahama jamaa wamekumbwa na mafuriko mpaka
sasa wanaambulia ahadi tu.





2015-03-06 15:36 GMT+03:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Bwana
Gurumo hana shida, hana kosa hana hatia. amesema ukweli
wake.

Neno hili lingesemwa wakati wa haki na usawa (wakati wa
Nyerere) mtu huyu angefungwa kwa usalama wake maana
asingeweza kushi katika jamii.

Kumbuka wakati wa awamu hii ya nne serikali ilipandisha
mishahara ya wakuu wa idra za serikali na kuwaacha wa chini
kwa mawazo kuwa itawapandisha baadaye. imeshindwa. Ufa kati
ya walionacho na wasionacho ni mkubwa sana. Yaangalie mapato
ya wabunge, mawaziri na viongozi wengine (nasema mapato
halali), hii ikiwa ni pamoja na posho za vikao naa posho za
ajabu zisizo na majina. Angalia fursa za kuweza kupata fedha
haramu. vyote hivyo vinawatenganisha watanzania katika
tabaka. nani angefikiri kiongozi angeweza kuziita shilingi
bilioni moja vijisenti akaendelea kuwa kiongozi? nani
angefikiri mtu angeweza kusema shilingi milioni kumi ni za
mboga asiwekwe kizuizini?

Tukitaka kutatua tatizo tusiwaangalie akina Gurumo. Hapana
tuinue macho tuangalie mbele. Tuangalie miundo mbinu.
Muundombinu wa kwanza ni KATIBA. Tuikatae katiba hii kwa
makusudi ya kuiandaa katiba ya wananchi. Sio hii ya Chenge
na uadilifu wake.

Muundo mbinu mwingine ni Uchaguzi. Bunge lisukwe katika
mazingira ambayo halitaelewana 55& chama cha upinzani na
45% chma tawala. madiwani vile vile. Hapo tutaweza kusema
tuukomesheje upumbavu huu.

Elisa

--------------------------------------------

On Fri, 3/6/15, Fakhi Karume <fkarume@gmail.com>
wrote:



 Subject: [wanabidii] TAMBO ZA KIGOGO IKULU ZAWACHEFUA
WATANZANIA

 To: wanabidii@googlegroups.com

 Date: Friday, March 6, 2015, 3:10 PM



 TAMBO

 ZA KIGOGO IKULU ZAWACHEFUA WATANZANIAKauli

 ya Mnikulu (msimamizi wa Ikulu ya Rais), Shaban Gurumo,

 kwamba hata kama asingepata mgawo wa Sh. milioni

 80.8 kutoka kwa mmiliki wa kampuni ya VIP

 Engineering and Marketing Limited, James Rugemalira,

 angeweza kutatua shida zake kwa kuwa anamiliki fedha
zaidi

 ya hizo na kiasi cha milioni 80.8 ni kidogo na cha
kawaida

 kwake kulingana na fedha alizonazo. Wanaharakati
mbalimbali

 wameelezea kuwa kauli hiyo ni ya dharau, kuudhi na pia
ni

 kejeli kwa Watanzania, ambao wengi wao ni maskini na
hata

 kupata mlo wa siku ni shida.Wewe kama mwananchi
uliichukuliaje

 kauli hii ya bwana Gurumo?







 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.










--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment