Kama suala ni makelele si kweli, suala liwe maeneleo kuendeleza eneo. Kwani tunaishi Dar kuna misikiti ina loud speakers na masheikh au wahubiri kuhubiri usiku au mchana makelele kutwa na usiku pia. Kuna makanisa maeneo ya majumba au karibu ya makazi-yanakengele zinapigwa na mahubiri kwa wale wa mikesha ya maombi au kuhubiri au kufanya maombi kwa kupiga kelele. Yote haya tunavumilia. Bado hizo bar kila baada ya nyumba 3 wazazi wenyewe wameuzia maeneo yao watu wa biashara za bar au wao wanauza vyakula na kupiga music au kuwa na kumbi za arusi zinakodishwa. Ni makazi yao wameuza au wanafanya hivyo. Garage na makelele ya gari na kugongagonga na kiosk za music majumbani. Mbao na karakana ya mbao na kupaka rangi gari na gates za chumba madawa ambayo yanatoa harufu na fumes zinazoingia ndani ya nyumba za makazi. Maeneo yalikuwa ni kwa ajiri ya makazi tu wazazi wenyewe wanaweka moshi, vumbi unajaa majumbani-kuganga njaa. Wameweka viti uwanjani kwa nyumba na
open space jirani yao maeneo ya kucheza watoto. Matokeo mijibaba mijitu mkizima inalewa na kukojoa hovyo watoto wanawaona; wanakumbatiana mbele ya watoto na vituko kibao. Hii nidhamu mbovu hawaioni na indoor air quality inakuwa mbovu kutokana na magarage, vumbi la mbao, gasses na poisonous fumes. Matokeo ya makelele watoto kuwa watukutu na fumes mbaya za kemikali magonjwa ya kupumua na kifafa kuwa prevalent.
Hawa wote wataona kelele za Gwajima za maombi tatizo. Nyani haoni kundule. Bado hayo makaratasi, maplastiki ya kutoka biashara zao, maji machafu kutuama kuzima mifereji ya maji ya mvua kwa taka ngumu, kumwaka maugali etc na kuzalisha mbu wa malaria na wa matende na mabusha. Feeder roads wameziba kuweka biashara, hewa hakuna mbanano kila mahana uhuru wa kupita tabu mchanganyo wa nyumba za makazi na biashara, uzalishaji mainzi na wadudu wengine na kukaa na watoto kutwa barabarani katika biashara wakijionea mengi yasiyo maadili na kusikiliza matusi ya wakubwa, makonda na wengineo-Wanaganga njaa wapiga kura wangu. Waacheni. Uhusu wa makanisa na misikiti mtu atakapo kuweka hata vichochoroni, biashara mpaka barabarani na nyumba za makazi na open space kuwa garage-watoto wacheze wapi-Waache wapiga kura wangu. Land officer hana powe kuliko politician ndio maana haya yanaendelea. Kama una mahubiri-uwe na jengo Noise proof-No unahubiria umma usiku wa manane. POA.
Nyani haoni kundule!!
--------------------------------------------
On Mon, 9/3/15, Buberwa Jackob <buberwajackob@gmail.com> wrote:
Subject: [wanabidii] SIKU YA YA MWISHO YA NOTISI KANISA LA MCHUNGAJI JOSEPHAT GWAJIMA KUHAMA KAWE
To: "msema kweli" <msemakweli2007@gmail.com>
Date: Monday, 9 March, 2015, 2:49
9 MACHI 2015 SIKU
YA MWISHO YA NOTISI KANISA KANISA LISILO RASMI
KUHAMA KAWE
Siku 30 za
notisi zimetimia Mchungaji Josephat Gwajima Kufunga virago
Kawe!
Kanisa la lisilo rasmi
la mchungaji Mchungaji Josephat
Gwajima lililokuwa
likiendesha shughuli zake kinyume na taratibu katika viwanja
vya Tanganyika Packers Kawe,wilaya ya Kinondoni,jiji Dar
limeamuriwa kuondoka mara moja na kuwacha eneo hilo wazi
kwa ajili ya maendeleo ya watu wa kawe. Kanisa hilo ambalo
kwa muda mrefu lemekuwa likiendesha shughuli zake kinyume
na taratibu na kusababisha usumbufu na kero kubwa za
makelele kwa wakazi wa maeneo hayo. Katika Barua
iliosainiwa na Meneja wa Mkoa wa Kinondoni wa shirika la
nyumba la Taifa imesisitiza kwamba pamoja na kutambuliwa
umuhimu wa kanisa hilo kuendesha shughuli zake lakini
shirika hilo halitaweza kutoa ruhusa kwa kanisa hilo
kuendelea kufanya mahubiri katika viwanja hivyo,kwani
shirika hilo limeshaanza kutumia Viwanja hivyo kwa
maendeleo ya wananchi wa KAWE ikiwa ni ujenzi wa makazi
n.k Bw Masika ametoa siku 30 tu ambazo leo 9 Machi 2015
Mchungaji Gwajima anatakiwa kufunga virago na kuwacha
viwanja hivyo wazi kwa ajili ya maendeleo ya
wananchi.Mchungaji
Josephat Gwajima afunge virago
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment