Thursday, 26 March 2015

Re: [wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS TUSIPOKUWA MACHO

Ameshiba nini? Kaiba katosheka? Basi anastahili kurudisha alivyoiba. Kama unaamini unachokisema basi nasubiri manifesto yake ikiwaeleza waTanzania kuwa yeye ameiba ametosheka sasa amehonga watu wampigie kampeni ashinde awe rais lakini hatakuwa na mpango wq kurudisha fedha alizotumia. Awaeleze watanzania hivyo
--------------------------------------------
On Thu, 3/26/15, 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS TUSIPOKUWA MACHO
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, March 26, 2015, 1:54 AM

Elisa unatumiwaaaaaaaa
 na
watanzania hawatakusikia hata kidogo ni lowasa tu kama ni
fisadi nadhani kashiba basi hataiba tena kuliko kuliweka
lijitu lenye njaa atakwiba shibe lowasa wanadai yeye hana
njaaa tena anahitaji tu kutusaidiaaaaa, hili nalo
unasemajeeeeee

From: 'ELISA
MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To:
wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, March
25, 2015 11:12 AM
Subject: Re:
[wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS TUSIPOKUWA MACHO

Maximilian mimi nimefanya hivyo. Sijajua kama
niweke humu njia niliyotumia kushawishi niliyefikiri anafaa
kuliongoza Taifa hili.
Nilitumia njia ambayo
watu wenye akili wanatumia.
Hawa walikuwa
hawashawishi huyu walikuwa wamelipwa kufanya hivyo.
Kuwaalika waandishi wa habari, kufanya
maandamano, wakakuta kumeandaliwa soda huko sio
kushawishi.
Siku moja nitaweka humu document
niliyowahi kuitoa kutaka kushawishi mtu ninayefikiri anafaa
kuliongoza taifa hili.
Ni document ya kurasa
sita. Ukiisoma utakubali kuwa hawa ni wasanii.
--------------------------------------------
On Wed, 3/25/15, 'shedrack maximilian'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Subject: Re:
[wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS TUSIPOKUWA MACHO
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, March 25, 2015, 5:03 PM

Kila mwenye uwezo na sifa
ajitokeze
au ashawishiwe .Hata wewe Elisa
tumia nafasi hiyo
kumshawishi unayefikiri
anafaa!!!



--------------------------------------------
On Wed, 25/3/15, 'eid omari' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

 
Subject: Re: [wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS
TUSIPOKUWA MACHO
  To: wanabidii@googlegroups.com
  Date: Wednesday, 25 March, 2015, 9:12
 
  Safi Elisa kwa
mtazamo
  wako, i like
that........................
 
 
 
 
Omary Iddy,DAGROFORESTRY RESEARCH TANZANIA
  FORESTY RESEARCH INSTITUTE(TAFORI)P.O BOX
  1257,SHINYANGATANZANIA.Tel:+255 28 276
3249MOBILE:+255 713
  728 672FAX:+255 28
276 2198EMAIL:eidomari@yahoo.com
 
 
--------------------------------------------
  On Wed, 3/25/15, 'Reuben
Mwandumbya'
  via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
  wrote:
 

  Subject: Re:
  [wanabidii] RICHMOND
ITATUCHAGULIA RAIS TUSIPOKUWA MACHO
  To:
"wanabidii@googlegroups.com"
  <wanabidii@googlegroups.com>
  Date: Wednesday, March 25, 2015, 7:49 AM
 
  Elisa

  &
  Chamani;You have
  said it all.Thanks Reuben
 
     

 
 
        On
Tuesday, March
  24, 2015 6:38 PM, amour
chamani <abachamani@gmail.com>
  wrote:
       
 
    Unapata tabu ya
  bure.
 
 
  Bagamoyo iwe na Mashehe
80 bado tu hujaelewa?
 

 
 
  Walewale.
  On Mar 24, 2015 11:35 PM,

  "'ELISA MUHINGO' via
 
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
  wrote:
  TUSIPOANGALIA
RICHMOND
  ITATUCHAGULIA RAIS
 
  Ambaye hakijui kisa
cha mtoto mdogo kumuumbua
  mfalme kuwa
  anatembea uchi mbele ya watu
  wazima waliokuwa wanaogopa

  kumsema
  'vibaya' mfalme anisamehe
maana sitakieleza.
  Lakini ningependa
kusema mimi katika utoto
  wangu
nawaonyesha
  watu wazima habari za
  mfalme anayetembea uchi mbele zetu.
 
  Nadhibitisha kuwa mimi
ni mtoto mdogo sana nilizaliwa saa
  9
  usiku wa kuamkia 5 September 1952 katika
  zahanati ya
  Kashasha. I
am a young boy of
  63 years now.
 
 
 

  Mfalme mwenyewe ni watu hawa
  wazima walioitikia kwa
 
kupotosha wito wa
  Rais wetu Dr. Jakaya
Kikwete kuwa
 
 
Inawezekana kumpata rais kwa kumshawishi mmoja wetu
  ambaye
  hata kama hataki
lakini kama anaweza
  kunamshawishi.
 
 
 

  Watanzania wote tunajua kuwa
  wapo wanachama wa CCM ambao

  wanatumikia
  adhabu ya kuangaliwa
mwenendo wao baada ya
 
 
kuonekana wanapiga kampeni ya kugombea uRais kabla ya
  wakati. Waliofungiwa kufanya hivyo ni
pamoja
  na waziri Mkuu
 
aliyejiuzuru kwa Kashfa
  Mpendwa wetu
Edward Lowasa, Benard
  Membe,
  January Makamba, Wasira na kadhalika.
 
 
 

  Moja kati
  ya matendo
waliyokuwa wanafanya ni kujipitisha
 
kwenye makanisa na misikiti kujidai wanatoa
  michango. Watu
  wenye
akili wakatafsiri
  matendo hayo kuwa ni
rushwa ya
  kutaka
 
waungwe mkono wakati wa kugombea urais
 

  Tamko la rais kuwa tunaweza kumshawishi
mmoja
  wetu ambaye
 
japo hajajitokeza na labda
  hataki
kujitokeza bila shaka
  yoyote kwa mtu
  mwenye akili za kawaida (kila mtu ana
akili
 
  lakini si kila
mtu anzo za kawaida) anajua kuwa rais
 
aliowasema sio wale waliokwisha kujitokeza na
  kuonyesha nia
  ya kuutaka
urais mpaka
  kufikia hatua ya kufungiwa
kuutaka
  urais.
 
Haiingii akilini.
 
 
Kitu
  cha ajabu na cha kushangaza watu
wazima, viongozi wa
  dini eti wameenda
kumshawishi mwenzetu Edward
  Lowasa,
  'kumuomba' 'akubali'
  kugombea urais. Haiingii
 
akilini katika
  maeneo mengi.
 
  Tuanzia
  hapa:
 

  i       Yapo
  maazimio ya Bunge
kuhusu
  kashfa ya Richmond
  ambayo nadhani hayajatekelezwa na
  serikali.
  Kama
yakitekelezwa huwezi kujua kama hayawezi
 
kudhibitisha uchafu wa wahusika akilwemo
 
Lowasa wetu.
 
  ii 
   
  Kashfa muhimu na kubwa ni kuwa
  capacity
  charges
zilizotamkwa ndani ya ripoti ya tume ya
 
bunge ina mgao wa wahusika na haijulikani kama
  EL hayumo
 
  iii   
   Katika
michango ambayo EL alikuwa
  akitoa
  makanisani misikitini na kwingineko
inadhaniwa kuwa
  huenda sehemu yake
inatokana na mgao huo.
 

  iv      Kulionekana
  dalili kuwa
kuna mambo
  tume ya Bunge chini
  ya Dr. Mwakyembe ilibakiza mambo fulani
 
  ambayo ingeyatoa kuna
watu wangepata shida. Tunakumbuka
 
aliposema aliwahi kufuatwa na mke wa mtu
 
fulani kumsihi
  afiche ukweli wa ripoti.
EL
  hakuacha kutajwa katika hilo.
 
  V       Na
kadhalika.
 
 
 
  Taifa letu
  lina matatizo makubwa sana. Mengine ni
nyufa
  alizozieleza Mwalimu Nyerere mwaka
1995. Sasa
  zimemeguka na

  kuwa kubwa zaidi. Rushwa sasa
  imezidi
na kupata jina
  advanced tunaiita
  UFISADI.
 
  Kila mwenye
  akili timamu
yuko anaumiza kichwa akitaka kujua
 
tufanyeje ili tupate kiongozi bora na tumjueje
  ambaye si
  fisadi. Kila
mwenye akili
  sawasawa anajua kuwa
aliyekwisha
  tajwa kwa
 
hilo hafai hata akitaka kutumia njia zake kuupata
  urais.
 
 
 
 

 
 

 
   Sasa
  katika
mazingira hayo:
 
 
  1.      Viongozi wetu ambao walikuwa
 
  wakipokea michango hiyo
haramu wajisafisheje mtu akisema
 
walinunuliwa na kuandaliwa kwa wakati kama
  huu?
 

  2.      Viongozi
  wetu hao wana upeo
kiasi
  gani kukubali
 
kutumiwa kihuni namna hii? Kweli walilenga
 
  kwenda kumshawishi
Lowasa agombee kwa sababu wameona
 
amekaa
  kimya yaani hafurukuti
kugombea?
  Yaani viongozi wetu
  walidhani
  hawatajulikana
kuwa lazima wamehongwa kufanya kazi
 
hiyo?
 
  3. 
      Wanaweza kusimama na kujitetea
mbele
 
  ya waumini wao
kuwa walifikiri Lowasa hatajitokeza
 
kugombea
  ndiyo maana waliamua
kumshawishi
  na kumchangia fedha?
  Wameona wamejitokeza
 
wangapi mpaka wakahofu kuwa huenda
 
  asijitokeze?
 
  4.     
  Wanataka
Lowasa aje alisaidie taifa
  hili
  kufanya nini? Wanaona taifa halina nini?
Wengine
  tunaona taifa ni tajiri, Lina
raslimali, lina
  watu wapole
  waelekevu. Shida linakosa
  kiongozi wa kuukabili ulafi na
 
  kujilimbikiza mali ili
mali iliyopo itumike vizuri. Kweli
  mtu
mwenye kashfa ya namna iliyo kwenye ripoti
  ya Tume ya
  Bunge anaweza
kupendekezwa na
  viongozi wa dini? Hii
balaa.
  Viongozi hao
 
ambao ni waombezi wa Taifa hili kweli wana
 
  dhamira njema?
 
  Siwaelewi.
  Viongozi hawa wamejua jinsi ambavyo
Lowasa
 
  ameleta
mgogoro katika viongozi wa kimila wa kimasai? Na
  kuwa mgogoro huo ni uimla wa kutaka
  kuwabambikizia
 
wanaMonduli mtu anayetaka
  amrithi ubunge
yeye atakapo kuwa
  rais?
  Ndiye wanayetaka aongoze taifa hili?
 
 
 

  Lowasa
  anaweza kuwa
rais lakini nafikiri viongozi wa dini
 
wasingependa kuwa sehemu ya waliomsaidia.
 
Lowasa amesemwa
  sana. Kwa hiyo anaweza
kuwa
  rais na akawa mzuri sana hivyo
  kutukomesha
  tunaomsema.
Lakini akiwa mbaya kuna
 
  atakayeshangaa?
 
 
 
 
Rais Kikwete alipoupata
  urais wakati watu
wakitabiri nani
  atakuwa
  waziri Mkuu wapo waliomtaja Lowasa. Wako
waliosema
  haiwezekani akawa Lowasa.
Sababu zilikuwa kwa
  sababu ni
  rafiki wa JK basi (JK) atashindwa
  kumdhibiti. Waliosema
 
anaweza kuwa Lowasa
  walisema atajitahidi
kutomudhalilisha
 
 
rafiki yake? Nini kilitokea? Unawezaje kumwamini Lowasa?
  Mimi nawashangaa viongozi wa dini . si
  viongozi wa siasa wa
 
chama chake. Hayo
  tumeyazoea. Mitandao
ilikotufikisha ni wao
 
 
hakuna zaidi. Siwashangai wanafunzi. Wao ndivyo
  wameelekezwa
  na
wanamtandao na ni haki yao.
  Wanakomea
hapo. Siwashangai
  vijana wa
  bodaboda. Hao tumewazoea. Tunawakuta
wakishajaziwa
  mafuta ya pikipiki zao
basi. Nini zaidi.
  Lakini viongozi wa
  dini???? Nitaendelea
 
kuwashangaa.
 
 
 
  Elisa Muhingo
 
 
 

 
 

 
 
 
 
   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
 
 

    
 
 
 
 
 Kujiondoa Tuma Email
  kwenda
 
 
 

 
   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya
 
   kudhibitisha ukishatuma

 
 
 
    
 

 
 
 
 Disclaimer:
 
 
 
   Everyone
  posting to this Forum bears the sole
 
  responsibility
 
   for any
  legal consequences of his or her postings,
and
  hence
 
 
   statements and facts
must be presented responsibly.
  Your
 
 
 
 continued membership signifies that you agree to
  this
 
 
   disclaimer and pledge
to abide by our Rules and
  Guidelines.
 
 
 
 
   ---
 
 
 
 
   You
  received this message because you are
subscribed
  to the
 

 
   Google Groups
"Wanabidii" group.
 
 
 
 
 To unsubscribe from this group and stop
 
receiving
  emails
 
   from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
 
 

   For more options, visit
  https://groups.google.com/d/optout.
 
 
 

  --
 
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
 
 

  Kujiondoa Tuma Email kwenda
 
 
 
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
 
 

  Disclaimer:
 
 
  Everyone posting to this
Forum bears the sole
  responsibility
  for any legal consequences
  of his or her postings, and hence
 
  statements and facts
must be presented responsibly. Your
 
continued membership signifies that you agree
  to this
  disclaimer and
pledge to abide by
  our Rules and
  Guidelines.
 
 
  ---
 

  You
  received this
message because you are subscribed to the

  Google Groups "Wanabidii" group.
 
  To unsubscribe from
this
  group and stop receiving emails
  from it,
  send an email
to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options,
visit
 
https://groups.google.com/d/optout.
 
 
 
 

 
  --
 
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   
 

  Kujiondoa Tuma Email kwenda
 
 
 
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya
 
kudhibitisha ukishatuma
 
   
 
 
Disclaimer:
 
 
  Everyone posting to this Forum bears the
sole
  responsibility
 
for any legal consequences
  of his or her
postings, and hence
 
 
statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you
agree
  to this
 
disclaimer and pledge to abide by
  our
Rules and
  Guidelines.
 

 
  ---
 
 
  You
received this message because you are subscribed to
  the
  Google Groups
"Wanabidii"
  group.
 
  To unsubscribe
  from this group and stop receiving emails
 
  from it, send an email
to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options,
visit
 
https://groups.google.com/d/optout.
 
 
         
 
 
 

 
  --
 
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   
 

  Kujiondoa Tuma Email kwenda
 
 
 
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya
 
kudhibitisha ukishatuma
 
   
 
 
Disclaimer:
 
 
  Everyone posting to this Forum bears the
sole
  responsibility
 
for any legal consequences
  of his or her
postings, and hence
 
 
statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you
agree
  to this
 
disclaimer and pledge to abide by
  our
Rules and Guidelines.
 
 
  ---
 

  You received this
 
message because you are subscribed to the
 

  Google Groups "Wanabidii"
group.
 
 
  To unsubscribe from this group and stop
  receiving emails
  from
it, send an email to
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options,
visit
 
https://groups.google.com/d/optout.
 
 
  --
 
Send
  Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
  Kujiondoa Tuma Email
kwenda
 
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
  Disclaimer:
  Everyone posting to
  this
Forum bears the sole responsibility for any legal
  consequences of his or her postings, and
hence statements
  and facts must be
presented responsibly. Your continued
 
membership signifies that you agree to this disclaimer
and
  pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
  ---
  You
received this message
  because you are
subscribed to the Google Groups
 
"Wanabidii" group.
  To
unsubscribe
  from this group and stop
receiving emails from it, send an
  email
to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  For more options, visit
 
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed to the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit

https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment