ACT ni tawi la CCM. MwanaCCM mmoja kanitonya hilo. Kitila (Prof.) nasikitika kuwa unatumika vibaya.
--------------------------------------------
On Thu, 3/26/15, 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] PICHA : ZITTO KABWE AJIUNGA NA ACT TANZANIA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, March 26, 2015, 4:44 PM
Prof Kitila keep the going go,
achana na hao wanaopelekeshwa na sera sahihi za slaa na
mbowe hata wakikojoa kitandani wao wanaamini ni watu safi,
mbowe na slaa ni maadui wa demokrasia hapa nchini na pia ni
wachumia tumbo flani....Nawapongeza zito na prof kitila its
my hope bunge likivunjwa tu mtavuna wabunge wengi kina
nasari, kina mdee wasiokubaliana na sera za hawa mbowe na
mwenzake slaa
From: Kitila
Mkumbo <kitilam00@gmail.com>
To: wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
Sent:
Wednesday, March 25, 2015 6:22 PM
Subject: Re:
[wanabidii] PICHA : ZITTO KABWE AJIUNGA NA ACT TANZANIA
Jamani, tusiwe
kama mwanamume mkorofi anayepiga na kufukuza mke wake lakini
huyu mke akiolewa na mwanamume mwingine inakuwa taabu. Hii
nadharia kwamba ACT imeanzishwa kwa lengo la
'divide' and 'rule' inabaki kuwa nadharia.
Tulioanzisha ACT ni wahanga wa demokrasia katika vyama vya
upinzani vilivyoanzishwa mara baada ya mfumo wa vyama vingi
kuanzishwa. Tumepigania demokrasia ndani ya vyama
tulivyokuwemo tulishindwa na hatimaye tukafukuzwa kama mbwa
na kuitwa majina yote. Tulikuwa na hiari kadhaa: kukaa kimya
tuwe wananchi tusio wanachama chochote, tujiunge na chama
kingine au kuanzisha chama kingine. Tumechagua hiari ya
tatu, kosa letu ni nini? Ni kujidanganya kudhani kwamba
tutaitoa CCM madarakani kwa kuminya demokrasia na
kuhakikisha kwamba vinabaki vyama hivyohivyo. Uhalisia wa
mambo ni kwamba hatuna uwezo wa kuzuia wananchi kuanzisha
vyama katika zama hizi za demokrasia. Wananchi sio wajinga
watatupima kwa yale tuyasemayo na tuyatendayo na wao
wataamua.
Vyama
vilivyopo katika ulingo wa siasa nchini Kenya sio
vilivyokuwepo mwaka 1992 wakati mfumo wa vyama vingi unaanza
huko. Hali ni hiyohiyo nchini Zambia, Malawi, Nigeria,
Ghana, n.k. Hii dhana kwamba chama fulani hapa Tanzania
ndicho kilichoshushwa kuja kuleta ukombozi wakati viongozi
wa chama hicho wanataka kutengeneza chama kingine dola kama
ilivyo kwa CCM ni dhana potofu, kwa maoni yangu. Ni dhana
potofu zaidi kudhani kwamba kila apinganaye na hiki chama
teule ametumwa na CCM!!
Kitila
2015-03-23 13:50 GMT+03:00
'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Urguably,
this is purely a strategic divide and rule project! Ni tabu
sana mtu akipata fedha nyingi na madaraka makubwa akiwa na
umri mdogo. Tuendako, kwa tamaa hizi za vijana kupata
madaraka na fedha nyingi kupitia shughuli za kisiasa,
mabadiliko na maendeleo ya kweli nchini yatachelewa
sana kuwafikia wananchi wengi. Ufukara utaendelea kuota
mizizi miongoni mwa wengi. Tusubiri tuone utekelezaji
wake wa project.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Mon, 3/23/15, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] PICHA : ZITTO KABWE AJIUNGA
NA ACT TANZANIA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, March 23, 2015, 7:26 AM
Demokrasia
ya kweli nyumbani ndiyo demokrasia
gani?em
Sent from my
iPhone
On Mar 23,
2015, at 2:16 AM, "'leonard magwayega'
via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
F.
Kitigwa, hizo ni dua za kuku tu hazimfikii Mwewe. Mfa
maji
haachi kutapatapa maana ukikosa demokrasia ya kweli
nyumbani
kwako licha ya mke kukukimbia tegemea pia watoto
watakukimbia na mwisho utabaki peke yako katika nyumba
yako
ili ujiongoze mwenyewe.Si hutaki sauti za watoto wako
na
mkeo? Kama Chadema imekosa demokrasia kiasi cha
kuzuia
wanachama kutoa changamoto dhidi yake mahakamani
unategemea
nini kwa wanachama weledi? Nakuhakikishia huo ni
mwanzo tu,
bado gharika inakuja kama siyo tsunami. Unaweza
kudanganya
watu wachache tu tena kwa muda kidogo lakini huwezi
kudanganya watu wote kwa muda wote. CHADEMA
inafuata nyayo
za CCM, kudanganya watu eti inahubiri demokrasia
kumbe
hakuna demokrasia ndani yake na wala hakuna ushindani
sawa
katika fursa za uongozi. Kuna clusters za uongozi eti
mtu
fulani yeye ni lazima tu agombee uenyekiti miaka
yote,
mwingine lazima awe yeye tu kwenye ukatibu, na
uenyekiti ni
mtu na baba mkwe wake au kabila la huko juu tu.
Akitokea
Kaburu wa huko au Wangwe wa kule ahh, hao ni wasaliti
wa
chama.KILA
KITABU NA ZAMA ZAKE BWANA KITIGWA.Leonard
Elias Magwayega.
On Monday, March 23,
2015 7:13 AM, F Kitigwa <kitigwa@gmail.com>
wrote:
gm,
This was a planned events
Nia na lengo ni kukidhoofisha chama
kimoja tu CHADEMA,
Fuatilia wanachama
wao wengi watatoka CHADEMA, zaidi ya hapo hawana nguvu
tena,
na hii yote ni baada ya kuona uchaguzi wa mwaka huu
utawaendelea vibaya, CCM kwa siri sana wakaamua
kumnunua
huyu kijana ili angalau awasaidie kukidhoofisha
Chadema,
Mwisho wa mambo haya ni uchaguzi wa mwaka
huu, angalia namna ambayo atapewa shavu na serikali,
kuanzia
ulinzi, mikutano na pesa ya kufanyia kampeni
huku mikutano
ya UKAWA ikipingwa na serikali na kupigwa mabomu
Ila sikutegemea kama
hata huyu atakuwa mnafiki kiasi hicho, asubiri anguko
lake
kama ilivyokuwa kwa Mrema NCCR and then TLP
On Sun, Mar 22, 2015 at
9:31 AM, gm <gm26may@gmail.com>
wrote:
bado najiuliza ina maana
asingefukuzwa Chadema asingejiunga na ACT au ilikuwa
ni
perfect timing? Maana tetesi za yeye na ACT
zilianza mda mrefu sana
Sent from Samsung
Mobile
--------
Original message --------
From: Emma Kaaya
<emmakaaya@gmail.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] PICHA : ZITTO KABWE
AJIUNGA NA ACT TANZANIA
ZITTO KABWE
AJIUNGA NA ACT TANZANIA
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment