sorry ni muganda sio muganga
2015-03-24 17:48 GMT+03:00 Xavery.L.K Chikatizo Njovu <njovucom@gmail.com>:
mugangahii comments yako hapo juu imekaa sawa.ukiona ukabila hautoshiunaenda kwenye diniukiona dini haina mashiko unakimbilia kwenye elimu.ukishindwa huko unatafutiwa baba ako wa kambowakishindwa kabisa unaambiwa wewe sio MTANZANIA. unaitwa uncle wa kagame.Teh teh teh--2015-03-24 17:44 GMT+03:00 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>:Ukiishiwa hoja rukia ukabila. It works mostof the time.em
Sent from my iPhoneMama Nkya
yawezekana pamoja na yote akawa anafunikwa na UMACHAME.On Mar 23, 2015 2:57 PM, "'leonard magwayega' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:----Mzee Massanja inawezekana kabisa ACT imefukuza wanachama wake na mwenyekiti (kama ni kweli), lakini ACT haijajivika kofia ya Mahakama na kuwazuia wanachama hao wasiende Mahakamani. Hiyo ni dalili nzuri kwamba ni chama kinachofuata misingi ya demokrasia na utawala bora.LeonardOn Monday, March 23, 2015 1:22 PM, Ezekiel J. Massanja <ezekielmassanja@gmail.com> wrote:
Mbona hata hiyo ACT kabla haijaanza kuchanja Mbunga tayari imeshafukuza mwenyekiti na wanachama? Imeanzishwa na watu ambao wanaitwa wasaliti na chama kinginei, natumaini kikianza kazi kitafanya yale ambayo viongozi wake wanasema. Narudi kwenye point yangu ya awali kwamba tuvipe nafasi vyama vya siasa vikue na viimarike.
Sent from Ezekiel's iPhone--F. Kitigwa, hizo ni dua za kuku tu hazimfikii Mwewe. Mfa maji haachi kutapatapa maana ukikosa demokrasia ya kweli nyumbani kwako licha ya mke kukukimbia tegemea pia watoto watakukimbia na mwisho utabaki peke yako katika nyumba yako ili ujiongoze mwenyewe.Si hutaki sauti za watoto wako na mkeo? Kama Chadema imekosa demokrasia kiasi cha kuzuia wanachama kutoa changamoto dhidi yake mahakamani unategemea nini kwa wanachama weledi? Nakuhakikishia huo ni mwanzo tu, bado gharika inakuja kama siyo tsunami. Unaweza kudanganya watu wachache tu tena kwa muda kidogo lakini huwezi kudanganya watu wote kwa muda wote. CHADEMA inafuata nyayo za CCM, kudanganya watu eti inahubiri demokrasia kumbe hakuna demokrasia ndani yake na wala hakuna ushindani sawa katika fursa za uongozi. Kuna clusters za uongozi eti mtu fulani yeye ni lazima tu agombee uenyekiti miaka yote, mwingine lazima awe yeye tu kwenye ukatibu, na uenyekiti ni mtu na baba mkwe wake au kabila la huko juu tu. Akitokea Kaburu wa huko au Wangwe wa kule ahh, hao ni wasaliti wa chama.KILA KITABU NA ZAMA ZAKE BWANA KITIGWA.Leonard Elias Magwayega.
On Monday, March 23, 2015 7:13 AM, F Kitigwa <kitigwa@gmail.com> wrote:
Ila sikutegemea kama hata huyu atakuwa mnafiki kiasi hicho, asubiri anguko lake kama ilivyokuwa kwa Mrema NCCR and then TLPMwisho wa mambo haya ni uchaguzi wa mwaka huu, angalia namna ambayo atapewa shavu na serikali, kuanzia ulinzi, mikutano na pesa ya kufanyia kampeni huku mikutano ya UKAWA ikipingwa na serikali na kupigwa mabomuFuatilia wanachama wao wengi watatoka CHADEMA, zaidi ya hapo hawana nguvu tena, na hii yote ni baada ya kuona uchaguzi wa mwaka huu utawaendelea vibaya, CCM kwa siri sana wakaamua kumnunua huyu kijana ili angalau awasaidie kukidhoofisha Chadema,gm, This was a planned eventsNia na lengo ni kukidhoofisha chama kimoja tu CHADEMA,--On Sun, Mar 22, 2015 at 9:31 AM, gm <gm26may@gmail.com> wrote:bado najiuliza ina maana asingefukuzwa Chadema asingejiunga na ACT au ilikuwa ni perfect timing?Maana tetesi za yeye na ACT zilianza mda mrefu sanaSent from Samsung Mobile
-------- Original message --------
From: Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] PICHA : ZITTO KABWE AJIUNGA NA ACT TANZANIA
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

XAVERY LANGA KAPECHA NJOVU0783 662681" Smooth seas don't make skilful sailors. "
XAVERY LANGA KAPECHA NJOVU
0783 662681
" Smooth seas don't make skilful sailors. "
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment