Fatma,
kimsingi mimi sijui kama Zitto kachukua au la maana sina ushahidi wa kama kachukua au la.Hoja yangu si hiyo ya kwamba amechukua mgao wa escrow au la. Hoja yangu ni pale mama Ananilea Nkya ninayemfahamu anapokuja na hoja kwamba vijana hawafai kuwa na hela nyingi wala kushika madaraka makubwa kwa maendeleo ya nchi, Kwa hiyo mimi simtetei wala kumzungumzia Zitto, ila hoja yangu ni kupinga kuwa vijana hawastahili kuwa na hela nyingi wala kushika madaraka makubwa ya nchi.Ikumbukwe unapozungumzia vijana humzungumzii Zitto tu bali unazungumzia vijana wote. Hata hivyo, huwezi kuconclude kuwa Zitto alichukua hela za Escrow kwa kuwa tu katajwa na Ngeleja. Ni lazima kuwe na ushahidi wa kuthibitisha hilo na baraza la maadiliya viongozi haliwezi kukurupuka na kumwita kila aliyetajwa na watuhumiwa kwa ajili ya kuwahoji bila kujiridhisha kwamba kuna probable cause ya kuwamtu huyo alifanya kosa hilo. Nilishawaambia tangu mwanzo kuwa mimi hapa siamini kama Ngeleja ni msomi wa sheria kwani utetezi wake kwenye baraza la maadili haukutegemewa kutolewa hata na mtoto mdogo. Yeye alijustify makosa yake kwa kusema si yeye tu aliyefanya kosa hilo bali pia wengine walifanya kosa hilo hilo na mmojawapo ni Zitto. Huo ni utetezi unaotolewa na layman maana hata mtoto mdogo mwenye akili sawasawa hawezi kujitetea kuwa kafanya kosa fulani kwa kuwa fulani kalifanya.Sasa katika mazingira kama haya kwa nini baraza lenye watu weledi wa sheria kama jaji mstaafu Msumi wapoteze muda wa kumwita Zitto kuhojiwa katika mazingira kama hayo. Think twice.
Leonard.
On Monday, March 23, 2015 6:37 PM, fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Leonard
Naona pengine hukumuelewa Mama Ananilea. Fuatilia sana maisha ya Zitto na fununu nyingi ambazo zimetoka huko huko bungeni hana usafi huo unaomfagilia. Ni mara nyingi sana inasemekana alikuwa anachukua na yeye kwa siri sana - kumbuka sakata la madini walisema baadae alinyamazishwa na pesa na hata Escrow Ngeleja alitamka hadharani kuwa alipata mgawo. Jiulize mbona hakuhojiwa wala kuulizwa chochote KULIKONI?

Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
From: "'leonard magwayega' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 23 Mar 2015 11:41:51 +0000 (UTC)
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] PICHA : ZITTO KABWE AJIUNGA NA ACT TANZANIA
Kwa hiyo wewe falsafa yako ni kwamba mtu anastahili kupata fedha nyingi na madaraka makubwa akiwa mzee siyo?Kwamba ukiwa na fedha nyingi halafu ni mtu mzima wewe ndo unaleta mabadiliko ya maendeleo ya kweli siyo? Umefanya utafiti wako vizuri ukakuletea hayo matokeo dhaifu kiasi hicho? Kwa hiyo vijana hawastahili kupata fedha nyingi wala hawawezi kuleta mabadiliko ya maendeleo ya kweli? Mbona wazee ndo wenye fedha nyingi na madaraka makubwa makubwa yote wamekumbatia wao na hata baada ya kustaafu kwa mujibu wa sheria wanarundikiwa vyeo kibao vya kuteuliwa na Rais au mikataba huku vijana wakimaliza vyuo na kukosa ajira na hatuoni hayo mabadiliko ya maendeleo ya kweli yanayoletwa na hao wazee wenye fedha nyingi na madaraka makubwa makubwa? Unaongea kama mtanzania unayejua uhalisia wa mambo ya nchi hii au umetumwa? Kwenye sakata la ESCROW, EPA, RICHMOND, RADA, NDEGE YA........ na mengineyo umemsikia kijana gani kajilimbikizia mabilion na hakuleta maendeleo ya kweli unayosema? Mbona ni nyie wazee ndo mmejirundikia mabilion ya escrow, Epa huku mkiyaita pesa za mboga na vijisenti? hayo ndo mabadiliko ya maendeleo ya kweli unayoyaita? Ni wewe ninayekujua au umebadilika?
Namalizia kwa kusema kuwa vijana pia wana haki ya kumiliki mali bila kujali wingi wake kama wameipata kihalali na pia wana haki ya kushika madaraka yoyote yale nchini mwao ili mradi sheria imewatambua kuwa wanaweza kushika madaraka hayo. Hakika wewe ndo umekuja na wazo na mtazamo hasi wa devide and rule -gawanya utawale, unataka kuwagawa vijana ili wazee watawale. Wapate mabilion ya shilingi bila hofu ya kushtakiwa (Impunity) na kisha wawatawale vijana wasio na hela. Sasa tunakwambia enough is enough. Vijana wapo wengi na wanaweza kuleta mabadiliko ya maendeleo ya kweli na si kama mabadiliko ya kutoka katika hali nzuri kiuchumi kwenda katika hali mbaya kiuchumi yanayofanywa na hao wazee wa escrow, EPA, RICHMOND, RADA na NDEGE YA........na madudu mengine mengi tu unaowafagilia.
Adios,
Leonard Elias Magwayega.
On Monday, March 23, 2015 1:50 PM, 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Urguably, this is purely a strategic divide and rule project! Ni tabu sana mtu akipata fedha nyingi na madaraka makubwa akiwa na umri mdogo. Tuendako, kwa tamaa hizi za vijana kupata madaraka na fedha nyingi kupitia shughuli za kisiasa, mabadiliko na maendeleo ya kweli nchini yatachelewa sana kuwafikia wananchi wengi. Ufukara utaendelea kuota mizizi miongoni mwa wengi. Tusubiri tuone utekelezaji wake wa project.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Mon, 3/23/15, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] PICHA : ZITTO KABWE AJIUNGA NA ACT TANZANIA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, March 23, 2015, 7:26 AM
Demokrasia
ya kweli nyumbani ndiyo demokrasia
gani?em
Sent from my
iPhone
On Mar 23,
2015, at 2:16 AM, "'leonard magwayega' via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
F.
Kitigwa, hizo ni dua za kuku tu hazimfikii Mwewe. Mfa maji
haachi kutapatapa maana ukikosa demokrasia ya kweli nyumbani
kwako licha ya mke kukukimbia tegemea pia watoto
watakukimbia na mwisho utabaki peke yako katika nyumba yako
ili ujiongoze mwenyewe.Si hutaki sauti za watoto wako na
mkeo? Kama Chadema imekosa demokrasia kiasi cha kuzuia
wanachama kutoa changamoto dhidi yake mahakamani unategemea
nini kwa wanachama weledi? Nakuhakikishia huo ni mwanzo tu,
bado gharika inakuja kama siyo tsunami. Unaweza kudanganya
watu wachache tu tena kwa muda kidogo lakini huwezi
kudanganya watu wote kwa muda wote. CHADEMA inafuata nyayo
za CCM, kudanganya watu eti inahubiri demokrasia kumbe
hakuna demokrasia ndani yake na wala hakuna ushindani sawa
katika fursa za uongozi. Kuna clusters za uongozi eti mtu
fulani yeye ni lazima tu agombee uenyekiti miaka yote,
mwingine lazima awe yeye tu kwenye ukatibu, na uenyekiti ni
mtu na baba mkwe wake au kabila la huko juu tu. Akitokea
Kaburu wa huko au Wangwe wa kule ahh, hao ni wasaliti wa
chama.KILA
KITABU NA ZAMA ZAKE BWANA KITIGWA.Leonard
Elias Magwayega.
On Monday, March 23,
2015 7:13 AM, F Kitigwa <kitigwa@gmail.com>
wrote:
gm,
This was a planned events
Nia na lengo ni kukidhoofisha chama
kimoja tu CHADEMA,
Fuatilia wanachama
wao wengi watatoka CHADEMA, zaidi ya hapo hawana nguvu tena,
na hii yote ni baada ya kuona uchaguzi wa mwaka huu
utawaendelea vibaya, CCM kwa siri sana wakaamua kumnunua
huyu kijana ili angalau awasaidie kukidhoofisha Chadema,
Mwisho wa mambo haya ni uchaguzi wa mwaka
huu, angalia namna ambayo atapewa shavu na serikali, kuanzia
ulinzi, mikutano na pesa ya kufanyia kampeni huku mikutano
ya UKAWA ikipingwa na serikali na kupigwa mabomu
Ila sikutegemea kama
hata huyu atakuwa mnafiki kiasi hicho, asubiri anguko lake
kama ilivyokuwa kwa Mrema NCCR and then TLP
On Sun, Mar 22, 2015 at
9:31 AM, gm <gm26may@gmail.com>
wrote:
bado najiuliza ina maana
asingefukuzwa Chadema asingejiunga na ACT au ilikuwa ni
perfect timing? Maana tetesi za yeye na ACT
zilianza mda mrefu sana
Sent from Samsung
Mobile
--------
Original message --------
From: Emma Kaaya
<emmakaaya@gmail.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] PICHA : ZITTO KABWE
AJIUNGA NA ACT TANZANIA
ZITTO KABWE
AJIUNGA NA ACT TANZANIA
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment