ndugu yangu Emmanuel Mugand,
malezi hayo yalikuwa ya kizamani siku hizi hayapo na kama kna mtu anyaendekeza familia itamshinda au atakuwa na familia isiyo bora. kumsikiliza mtoto haina maana humfunzi heshima na adabu kwa wakubwa bali unampa fursa ya yeye kujieleza na kutoa hisia zake ambazo unaweza kumkosoa au hata kumuunga mkono. Enzi za kuozesha wasichana wanaume kwa utashi wa baba zimeisha,.ila kwa malezi kama uliyokuzwa inaonesha kabisa hata mabinti zak utawachagulia wanaume wa kuwaoa au vijana wako wa kiume utawachagulia wanawake wa kuoa. Si kila utakacho wewe ndicho mwanao atakacho maana hata kama umewazaa wewe lakini kila binadamu ana utashi wake. Wewe kama baba baki kiongozi wa familia na kiongozi haina maana yuko sahihikwa mambo yote siku zote. Anahitaji kujua mawazo ya anaowaongoza ili washauriane pale yanapotofautiana na yake ili kwa pamoja mwafaka upatikane. Huo mfano haushii kwenye familia bali huenda katika ngazi mbalimbali hadi ngazi ya kitaifa na ulimwengu kwa ujumla.
Tafadhali badilika kaka.
Leonard.
On Tuesday, March 24, 2015 5:32 PM, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Leonard,
Katika familia na malezi yangu demokrasia ya
family ilikuwa ni mama na baba basi. Sisi
watoto hatukuwa na maamuzi hasa yale
yaliyopingana na maamuzi ya wazazi. That is
how I grew up.
em
Sent from my iPhone
On Mar 23, 2015, at 6:07 AM, "'leonard magwayega' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
--Emmanuel Muganda, demokrasia ya kweli nyumbani ni uhuru wa kutoa mawazo na kushiriki kikamilifu katika mambo yote yanayohusu nyumba husika pasipokuwekewa vikwazo vyovyote na mwanafamilia husika ikiwa mawazo au ushiriki wake katika suala husika haujavunja utaratibu wowote uliowekwa ambao hauvunji haki ya msingi ya mwanafamilia husika au katiba ya nchi au sheria ya nchi. Utaratibu huu pia unategemewa kutumika katika vyama na vikundi mbalimbali vinavyoundwa nchini.Leonard Elias Magwayega.On Monday, March 23, 2015 10:26 AM, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Demokrasia ya kweli nyumbani ndiyo demokrasia gani?em
Sent from my iPhone
On Mar 23, 2015, at 2:16 AM, "'leonard magwayega' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:--F. Kitigwa, hizo ni dua za kuku tu hazimfikii Mwewe. Mfa maji haachi kutapatapa maana ukikosa demokrasia ya kweli nyumbani kwako licha ya mke kukukimbia tegemea pia watoto watakukimbia na mwisho utabaki peke yako katika nyumba yako ili ujiongoze mwenyewe.Si hutaki sauti za watoto wako na mkeo? Kama Chadema imekosa demokrasia kiasi cha kuzuia wanachama kutoa changamoto dhidi yake mahakamani unategemea nini kwa wanachama weledi? Nakuhakikishia huo ni mwanzo tu, bado gharika inakuja kama siyo tsunami. Unaweza kudanganya watu wachache tu tena kwa muda kidogo lakini huwezi kudanganya watu wote kwa muda wote. CHADEMA inafuata nyayo za CCM, kudanganya watu eti inahubiri demokrasia kumbe hakuna demokrasia ndani yake na wala hakuna ushindani sawa katika fursa za uongozi. Kuna clusters za uongozi eti mtu fulani yeye ni lazima tu agombee uenyekiti miaka yote, mwingine lazima awe yeye tu kwenye ukatibu, na uenyekiti ni mtu na baba mkwe wake au kabila la huko juu tu. Akitokea Kaburu wa huko au Wangwe wa kule ahh, hao ni wasaliti wa chama.KILA KITABU NA ZAMA ZAKE BWANA KITIGWA.Leonard Elias Magwayega.
On Monday, March 23, 2015 7:13 AM, F Kitigwa <kitigwa@gmail.com> wrote:
Ila sikutegemea kama hata huyu atakuwa mnafiki kiasi hicho, asubiri anguko lake kama ilivyokuwa kwa Mrema NCCR and then TLPMwisho wa mambo haya ni uchaguzi wa mwaka huu, angalia namna ambayo atapewa shavu na serikali, kuanzia ulinzi, mikutano na pesa ya kufanyia kampeni huku mikutano ya UKAWA ikipingwa na serikali na kupigwa mabomuFuatilia wanachama wao wengi watatoka CHADEMA, zaidi ya hapo hawana nguvu tena, na hii yote ni baada ya kuona uchaguzi wa mwaka huu utawaendelea vibaya, CCM kwa siri sana wakaamua kumnunua huyu kijana ili angalau awasaidie kukidhoofisha Chadema,gm, This was a planned eventsNia na lengo ni kukidhoofisha chama kimoja tu CHADEMA,--On Sun, Mar 22, 2015 at 9:31 AM, gm <gm26may@gmail.com> wrote:bado najiuliza ina maana asingefukuzwa Chadema asingejiunga na ACT au ilikuwa ni perfect timing?Maana tetesi za yeye na ACT zilianza mda mrefu sanaSent from Samsung Mobile
-------- Original message --------
From: Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] PICHA : ZITTO KABWE AJIUNGA NA ACT TANZANIA
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment