Monday, 9 March 2015

Re: [wanabidii] KIFO CHA MHE: JOHN KOMBA.

Marehemu Komba nakumbuka alisema kuwa Mh.Warioba asubiri kufa kwani muda wake umeisha lakini yeye ndiye kawahi kuitwa mbele ya haki.Nachojifunza hapa ni kuwa tusidhani Mungu anakanuni kama za binadamu  mipango yake ni tofauti pia pamoja na  Akili yake.


On Monday, March 9, 2015 9:30 AM, SUBEKA <suleimank05@gmail.com> wrote:


Je, kifo chake kimetengenezwa? Au ndo siku zilikuwa zimefika. Namaanisha kafa kwa wakati Au kawahishwa???


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


0 comments:

Post a Comment