Serikali ina mashamba makubwa yenye mawe ambayo yanamilikiwa na mamlaka mbali mbali. Wananchi wakiomba-Rais anapelekewa na kuamua wapewe ekari maelfu kadhaa. Mfano-mashamba yaliyokuwa ya Katani. Wananchi wa Hale-Pangani wamepewa maelfu ya eka wajenge na hasa kulima mashamba kwa ajiri ya food security. Cha ajabu-waliopewa ekari hizo kupitia kijiji-wameuza, watu wanajenga Bar, lodges etc. Haitatui tatizo waliloombea. Mfano mwingine-waliopewa ardhi mabwepane na mifuko 100 ya cement na kupewa hati miliki-wameuza na kurudi jangwani. Ukifika Ngerengere kutokea Kisarawe-ilikuwa katani tupu sasa ni vijiji na bado kuna shamba la ekari 420 linagombewa na vijiji na mwekezaji kapatikana. Huko wanajenga bwawa la maji kuja dar na kutoa umeme pia (kidunda dam); wamelipwa fidia pale pa bwawa na pa kupita barabara greda zipite-wamenunua bodaboda, music system na betri za kupigia music kabla hata ya kujenga nyumba mpya. Udongo wa bure, miti na maji ya mito na
wetlands-utawaona wakiandamana kuonewa. Mashamba ya miwa ambayo hayalimwi tena Kilosa-Zombo, Mhenda, Madizini, Kisanga, Ihombe, labda outgrowers wa miwa maeneo jirani na Kilombero-mashamba ya GVT ardhi yake kijijini si inakaliwa na wanavijiji pamoja na kuwa na cutomary land? Hujui kama kulikuwa na mamlaka za mazao na ranches, game protected area na national parks, game reserves na maeneo ya mashamba ya prisons, JKT ambayo sasa hayalimwi? Haya si ya serikali? Inatambulika kuwa serikali ndio msimamizi mkuu na pia kuna individual and group customary ownership of land, individual statutory ownership na state owned land (protected forests, wildlife protected areas, wetlands, rivers, lakes) na umiliki wa right of way wa barabara (mawe ya Mangufuli) ambapo hutakiwi kujenga na kuziba njia na maeneo ya public land chini ya central GVT/Municipality au serikali ya kijiji hutakiwi uvamie (maeneo ya shule, zahanati, ofisi za serikali, maeneo ya umma kupumzika)! Au
tunaishi dunia tofauti. Na kama serikali iliwaachia watu wakavamia na ukishi ikiwaangalia tu, inapotaka kuwaondoa budi iwalipe gharama zinazotakiwa internationally hasa kama maendeleo itakayokufanya ni donor funded. Hivyo-watu wa ubungo watalipwa mara 3. Walilipwa 1994 wakati wa ujenzi wa barabara ubungo mataa hadi kimara temboni; walilipwa wakati wa upanuzi wa barabara ubungo mataa-mwenge na sasa watavuna tena kutoka mradi wa rapid bus transport. Na hivyo hao wanaoziba njia kulikopimwa DSM-sinza, Kiwarani, kijitonyama etc na ndio maana wilaya ya kinondoni inaamua kubomoa nyumba zote zilizovamia ROW ya barabara, kuziba njia, kujenga ufungweni kwa kupata ardhi hiyo kirushwa na sheria ipo ya 60metres kutoka wimbi la mwisho la bahari; hao wanaopanua kuweka viosk nyumba za NHC kufanya watakavyo-kigongo chao chaja. Kisha moto ukiwaka njia wameziba wao wanapiga mawe gari ya fire. kukiungua, kukizimwa, wanajenga na kuziba upya kuliko ilivyokuwa kabla ya
janga-Pumba. Unapewa ardhi ulime unauza na kujenga mashimoni kunakojaa maji unatesa watoto, unavamia mabwawa ya kinyesi unajenga unaishi hapo na umeuza nyumba ya kariakoo ya 60,000/= mwaka 1974 kwa shs million 400 mwaka 2014. Unalewa, unajionyesha, unahamia mchikichini-jangwani mavini kwenye mbu wa matende. Mafuriko yakija-unapoteza mali na familia; unapewa mabwepande-hutaki na kuko noma sasa unauza unarudi kinyesini. Subiri masika yajayo mwaka huu tutakuwa tunakupiga picha ulivyo juu ya paa tunatumiana katika mitandao!! Wabongo-sikio la kufa
--------------------------------------------
On Wed, 4/3/15, 'Pius Makomelelo' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] KANISA LISILO RASMI LA MCHUNGAJI JOSEPHAT GWAJIMA LAVUNJWA KAWE
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, 4 March, 2015, 13:58
kwa ajiri ya
Ardhi gani
ambayo siyo ya serikali wananchi wakakae au kuitumia! Na
wakikaa huko na kuitumia watakuwa chini ya serikali gani?
Wageni wawekezaji waje tu tuwasukume wananchi wazawa mpaka
kwenye ardhi yao huru! i wapi hiyo! Njia za ng'ombe
Dar!! Za nini?
On Wednesday, 4
March 2015, 12:33, 'Hildegarda Kiwasila' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Kweli ushabiki mbaya.
Hata kama unamchukia mtu usimpakazie uongo.
Kuna maeneo mengi ya serikali yamevamiwa.
Mengine ni mashamba ya Katani. mashamba ya mamlaka
mbalimbali Tanzania nzima. Mashamba yakionekana DSM-katani
Tangio bovu-mbuyuni baadae kupepimwa viwanja Sites and
Services Wizara ya Ardhi. Greek Orthodox church na wagiriki
bado wanamiliki maeneo makubwa Tegeta Mbuyuni-Salasala.
Maeneo ya kuchimba mawe ya Kampuni ya Benaco madalali
wameuza wamejenga nyumba. Wazo hill cement factory
wakimiliki maeneo makuwa na kuna beacons-vijana wamevamiam
kuuza, waliouziwa wamejenga nyumba mgogoro wa muda mrefu.
Pia viwanja vya Tanganyika Packers kuna nyumba za
wafanyakazi wa kiwanda zenzi toka ukoloni eneo kubwa la
Kawe-Tangibovu-Africana waamani way. Wamevamia kujenga,
wameuza kitapeli, wamebomolewa ni vurugu tu. Gwajima
amepanga hapo na kulipa kwa matumizi. Akiweka mahema ukipita
na daladala unaona. Mbona hakujenga Kanisa? sheria
haikumruhusu. majengo yasiyokamilika ya kiwanda yapo mpaka
leo na mijengo ya zamani ya kiwanda
pia.
Hiyo njia yenyewe ya mifugo kwenda kiwandani sasa haipo tena
ikitoka Kimara-kukatiza vilima kutokea makongo kuingia Kawe
(Cow way) na kuingia Kiwandani. JWTZ imeifunga cow way
kutokea makongo na UDSM ikaja kujengwa, chuo cha maji na
matangi ya maji ubungo, changanyikeni hadi makongo ni mji
cow-way iliotoa jina la KAWE haipo tena. Huyo Gwajima
angetaka kujenga makanisa angejenga anao uwezo ila alipanga,
wakijazana hapo kusali uwanjani, daladala zikipata pesa
kupakia waumini waliojaza uwanja. Huyu alipangioshwa tu
kutumia uwanja na ukipita unawaona wakinyeshewa na mvua.
Salasala anakoishi ana visima vya maji anauza magari
yanabeba matangi kuuzia watu. Hakosi hela ya mijengo.
Serikali inapopata mwekezaji
na ikataka kuchukua maeneo yake ya majengo au ardhi ifanye
biashara-unazuka ugomvi na malumbano kuwa-tunaonewa
wanapendelewa wachina au wazungu/wageni-raslimali zetu
zitamfaidiaje mwananchi? Kipima joto na umbea wake!! kisha
tunawaona wakilalamika kuwa wageni wanapenelewa sisi
tumeishgi hapa miaka zaidi ya 10, ardhi ya babu zetu etc.
Kumbe ni mashamba toka ukoloni na baada ya uhuru ila mamlaka
hizo zimekufa au liberalization of the economy-sera zake
zimefupisha serikali kutumia hela za umma kuajiri vibarua na
kuendesha mashamba, wanatakiwa waachie private sector ilipe
kodi kwao au iwe under PPP. Serika, ikipata partner au
mwekezaji inaangalia record na ramani zake inaona ina
eneo-shamba au kiwanda. Inakigawa au kuingia
mkataba-Maandamano-tunaporwa ardhi. Lakini GVT ina ramani na
kuna beacons hata kama mkiziondoa-ramani ipo za mashamba za
zamani na aerial photos wanazo. Ukizikosa hapa unakwenda UK
kwenye archives zao watawala
wetu unapata.
Na za Tanganyika Packers unazipata, na barabara yao ya
ng'ombe mpaka ya mlongazila to Pugu Road!! Waliovamia
mashamba ya Segera-Korogwe-Hedaru; Chalinze-Kingolwira;
Segera-Hale-Pangani-Tanga mjini wajiandae na yale ya mamlaka
ya pamba Morogoro, Kilosa, Mwanza etc; Mamlaka ya kahawa-
Mbozi, Moshi; Mamlaka ya Minazi-Kiromo-bagamoyo; Mpunga
uyole-Mbeya; Mamlaka ya Korosho Mtwara na mashamba ya
Naliendele wajue ni wakati wa PPP-wageni wanajileta kuwekeza
kwani hapa sisi tunawekeza katika kuuza vipodozi; chupi
zilizovaliwa ulaya; mitumba ya kila aina na maduka ya used
shoes, madela na SODA za RANGi (Mh Muhongo alituambia na ni
kweli) wakati uzalishaji mali vijijini tumewaachia wazee.
Mijibaba inatembea kwa
mguu kutwa imebeba masanduku ya vifaa vya gari, manukato,
mitumba na wengine kupaa kucha za akina dada saluni. Kifua
cha miraba minne kipo barabarani kinakimbiza gari kuuza
vikombe na soda au kutwa ktk pikipiki na bajaji sio kujiunga
kulima kusafirisha bidhaa za mashamba nje ya nchi. Bank
zipo, mikopo iko lakini hatupo tayari. Ikiwekwa ranchi ya
serikali inayozalisha mifugo kisasa, minene highly
productive-tunavamia na kulishia majani yao mifugo yetu.
Kulimbikiza mifugo na kuhama hama ndi tija ya social class
sio productivity ili nyama hizo (red meat) tupeleke
kiwandani huko Tanzania Packers (iliyokuwa tanganyika
packers). Ni kupigana, kulishia mashamaba ya wakulima na
kuzagaa tupendavyo na mifugo toka Mwanza-Arusha-to
Rufiji-Lindi-Mbeya-bakora, mauaji, vilema (Waache wapiga
Kura wetu!! watembee wanahaki kwenda kokote!!). Aibu-hatuoni
mbali ila ulaji wa leo tu-politics na ubinafsi zimetawala
uzalishaji mali.
Viwanda
vipo, hatuvifufui kama tunavyofufua na kugharimia timu za
mpira. Tunavichukua tunajaza mitumba ya nguo, spea za magari
na magari vipande vipande mpaka juu ya paa zake. Matajiri
wapo-mbona hawaungani wakachukua na kufufua viwanda?
Kama Gwajima akitaka eneo
azalishe mali na kusalisha sala sana-aruhusiwe mradi tu
kusali kunaendana na productivity na income generation for
poverty alleviation (Protestant ethics). Akizalisha nyama
under Value Added Meat production-Mpeni maana kwa sasa
soseji zinaagizwa kutoka nje pia nyama za supermarkets.
Nyama za hapa kazione tunavyozining'iza bucha ndani na
nje mainzi tele hata kuziongatia misingi ya afya tabu na
imekoga dipu imejaa kemikali!! Nayo ilikunywa maji ya mito
ambayo yanaingia maji ya machimbo ya dhahabu kunakotumika
zebaki kama mchezo bila kujali ushauri-tunainywa zebaki kwa
sisi wenyewe kuoshea vumbi la dhahabu kwa zebaki (mercury)
mtoni.
Sasa kiwanda
kitafunguliwa, tuzalishe mifugo kisasa. Sokoine Unv imejaza
mbegu bora na mashamba ya mifugo ya DAFCO. Tufuge kisasa
tupeleke viwandani stores za chakula barafu zipate mazao;
mboga chakula barafu tuuze, samaki zinazooza Rufiji, Mafia,
Pemba, Lindi; Agricultural value chain for selected products
nazo zitafaidika. vyakula, matunda hayatooza Tandale,
Tegeta, Kariakoo sokoni. Mkiona hivyo-Uchumi wetu unavamiwa
na wageni. Si kweli. Sisi hatufundishiki na kuhamasika
kikweli maneno tu.
Gwajima
anafukuzwa viwanja vya TP-Huenda SIO Kweli!!
Kwani-Wawekezaji wa Frozen Red Meat na other agric, sea
products wameshapatikana. Tanfroz Ltd in joint venture na
Wabelgiji wanataka kuzalisha mifugo katika mashamba na
kuweka majengo ya chakula barafu EPZ hapa TZ. Nyie mmelala
kutwa bar mwanywa pombe na kuangamiza mamilioni kwa
kufurahisha dogodogo sio kuwekeza ktk uchumi wa nchi.
Mikopo ipo African Dev Bank, TIB -Mwatakani??? Tuache
kuvamia wawekezaji kutoka nje na kuwachomea mali zao ambapo
sisi hata tukijiunga vikundi havidumu, ulaji na ufisadi,
kugombania madaraka, maneno na malumbano, chupi street na
dogodogo na tumboni street!! Ukipata cheo cha kwanza ni kula
na kunenepa sanaaaaa regardless of health effects of
fattening!!
--------------------------------------------na
kuingia
On Wed, 4/3/15, 'frank patrick
materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] KANISA LISILO RASMI LA MCHUNGAJI JOSEPHAT
GWAJIMA LAVUNJWA KAWE
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, 4 March, 2015, 8:50
Naona
taarifa hii ineandikwa kishabiki zaidi kwa sababu
zifuatazo.1. Barua
yenyewe
imeandikiwa kanisa la Ngurumo ya Upako na sio kanisa
la Ufufuo na Uzima.2. Barua
imeelekezwa kwenye Makao Makuu ya kanisa hilo ambapo ni
Arusha.3. Barua
haijamtaja
kwa jina mmiliki wa kanisa hilo.4. Kwa
ufahamu wangu mmiliki wa kanisa hilo ni George David
Kasambale na makao makuu yake yapo Arusha.5.
Barua
yenyewe ni sahihi ila imepewa tafsiri
potofu, labda kwa
sababu mwenzetu amekaa
sana kwenye vichwa vya watu kwa
sababu ya
tuhuma zinazonkabili. I stand to be corrected!
From: 'lesian
mollel' via
Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To:
"wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Sent:
Wednesday, March 4, 2015 12:45 AM
Subject: Re:
[wanabidii] KANISA LISILO
RASMI LA MCHUNGAJI JOSEPHAT
GWAJIMA
LAVUNJWA KAWE
Hv
kilichowahamisha hapa chai bora huyu mzee wa
ufufuo ni nini,
arejee eneo lake na kanisa
lake still lipo maaana ni kweli
viwanja
vile vipo kwenye development process sasa wao
hawakua na plan b kwaniu? kama hawana warejee
chai
bora
From: Buberwa Jackob
<buberwajackob@gmail.com>
To: Buberwa Jackob
<buberwajackob@gmail.com>
Sent: Thursday,
February 26, 2015 2:00 PM
Subject:
[wanabidii]
KANISA LISILO RASMI LA
MCHUNGAJI JOSEPHAT GWAJIMA LAVUNJWA
KAWE
KANISA
LISILO RASMI LAVUNJWA KAWE
Mchungaji
Josephat Gwajima afungishwa virago
Kawe!
Kanisa la
lisilo rasmi
la mchungaji Mchungaji
Josephat
Gwajima lililokuwa
likiendesha shughuli zake kinyume na taratibu
katika viwanja
vya Tanganyika Packers
Kawe,wilaya ya Kinondoni,jiji Dar
limeamuriwa kuondoka mara moja na kuwacha eneo hilo
wazi
kwa ajili ya maendeleo ya watu wa
kawe. Kanisa hilo ambalo
kwa muda mrefu
lemekuwa likiendesha shughuli zake kinyume
na taratibu na kusababisha usumbufu na kero kubwa za
makelele kwa wakazi wa maeneo hayo. Katika
Barua
iliosainiwa na Meneja wa Mkoa wa
Kinondoni wa shirika la
nyumba la Taifa
imesisitiza kwamba pamoja na kutambuliwa
umuhimu wa kanisa hilo kuendesha shughuli zake lakini
shirika hilo halitaweza kutoa ruhusa kwa
kanisa hilo
kuendelea kufanya mahubiri
katika viwanja hivyo,kwani
shirika hilo
limeshaanza kutumia Viwanja hivyo kwa
maendeleo ya wananchi wa KAWE ikiwa ni ujenzi wa makazi
n.k Bw Masika ametoa siku 30 tu ili
Mchungaji Gwajima
kujitayarisha na kuwacha
viwanja hivyo wazi kwa ajili ya
maendeleo
ya wananchi.Mchungaji
Josephat Gwajima
afunge virago
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment