Wednesday, 4 March 2015

Re: [wanabidii] KANISA LISILO RASMI LA MCHUNGAJI JOSEPHAT GWAJIMA LAVUNJWA KAWE

Kweli ushabiki mbaya. Hata kama unamchukia mtu usimpakazie uongo.
Kuna maeneo mengi ya serikali yamevamiwa. Mengine ni mashamba ya Katani. mashamba ya mamlaka mbalimbali Tanzania nzima. Mashamba yakionekana DSM-katani Tangio bovu-mbuyuni baadae kupepimwa viwanja Sites and Services Wizara ya Ardhi. Greek Orthodox church na wagiriki bado wanamiliki maeneo makubwa Tegeta Mbuyuni-Salasala. Maeneo ya kuchimba mawe ya Kampuni ya Benaco madalali wameuza wamejenga nyumba. Wazo hill cement factory wakimiliki maeneo makuwa na kuna beacons-vijana wamevamiam kuuza, waliouziwa wamejenga nyumba mgogoro wa muda mrefu. Pia viwanja vya Tanganyika Packers kuna nyumba za wafanyakazi wa kiwanda zenzi toka ukoloni eneo kubwa la Kawe-Tangibovu-Africana waamani way. Wamevamia kujenga, wameuza kitapeli, wamebomolewa ni vurugu tu. Gwajima amepanga hapo na kulipa kwa matumizi. Akiweka mahema ukipita na daladala unaona. Mbona hakujenga Kanisa? sheria haikumruhusu. majengo yasiyokamilika ya kiwanda yapo mpaka leo na mijengo ya zamani ya kiwanda
pia. Hiyo njia yenyewe ya mifugo kwenda kiwandani sasa haipo tena ikitoka Kimara-kukatiza vilima kutokea makongo kuingia Kawe (Cow way) na kuingia Kiwandani. JWTZ imeifunga cow way kutokea makongo na UDSM ikaja kujengwa, chuo cha maji na matangi ya maji ubungo, changanyikeni hadi makongo ni mji cow-way iliotoa jina la KAWE haipo tena. Huyo Gwajima angetaka kujenga makanisa angejenga anao uwezo ila alipanga, wakijazana hapo kusali uwanjani, daladala zikipata pesa kupakia waumini waliojaza uwanja. Huyu alipangioshwa tu kutumia uwanja na ukipita unawaona wakinyeshewa na mvua. Salasala anakoishi ana visima vya maji anauza magari yanabeba matangi kuuzia watu. Hakosi hela ya mijengo.

Serikali inapopata mwekezaji na ikataka kuchukua maeneo yake ya majengo au ardhi ifanye biashara-unazuka ugomvi na malumbano kuwa-tunaonewa wanapendelewa wachina au wazungu/wageni-raslimali zetu zitamfaidiaje mwananchi? Kipima joto na umbea wake!! kisha tunawaona wakilalamika kuwa wageni wanapenelewa sisi tumeishgi hapa miaka zaidi ya 10, ardhi ya babu zetu etc. Kumbe ni mashamba toka ukoloni na baada ya uhuru ila mamlaka hizo zimekufa au liberalization of the economy-sera zake zimefupisha serikali kutumia hela za umma kuajiri vibarua na kuendesha mashamba, wanatakiwa waachie private sector ilipe kodi kwao au iwe under PPP. Serika, ikipata partner au mwekezaji inaangalia record na ramani zake inaona ina eneo-shamba au kiwanda. Inakigawa au kuingia mkataba-Maandamano-tunaporwa ardhi. Lakini GVT ina ramani na kuna beacons hata kama mkiziondoa-ramani ipo za mashamba za zamani na aerial photos wanazo. Ukizikosa hapa unakwenda UK kwenye archives zao watawala
wetu unapata. Na za Tanganyika Packers unazipata, na barabara yao ya ng'ombe mpaka ya mlongazila to Pugu Road!! Waliovamia mashamba ya Segera-Korogwe-Hedaru; Chalinze-Kingolwira; Segera-Hale-Pangani-Tanga mjini wajiandae na yale ya mamlaka ya pamba Morogoro, Kilosa, Mwanza etc; Mamlaka ya kahawa- Mbozi, Moshi; Mamlaka ya Minazi-Kiromo-bagamoyo; Mpunga uyole-Mbeya; Mamlaka ya Korosho Mtwara na mashamba ya Naliendele wajue ni wakati wa PPP-wageni wanajileta kuwekeza kwani hapa sisi tunawekeza katika kuuza vipodozi; chupi zilizovaliwa ulaya; mitumba ya kila aina na maduka ya used shoes, madela na SODA za RANGi (Mh Muhongo alituambia na ni kweli) wakati uzalishaji mali vijijini tumewaachia wazee.

Mijibaba inatembea kwa mguu kutwa imebeba masanduku ya vifaa vya gari, manukato, mitumba na wengine kupaa kucha za akina dada saluni. Kifua cha miraba minne kipo barabarani kinakimbiza gari kuuza vikombe na soda au kutwa ktk pikipiki na bajaji sio kujiunga kulima kusafirisha bidhaa za mashamba nje ya nchi. Bank zipo, mikopo iko lakini hatupo tayari. Ikiwekwa ranchi ya serikali inayozalisha mifugo kisasa, minene highly productive-tunavamia na kulishia majani yao mifugo yetu. Kulimbikiza mifugo na kuhama hama ndi tija ya social class sio productivity ili nyama hizo (red meat) tupeleke kiwandani huko Tanzania Packers (iliyokuwa tanganyika packers). Ni kupigana, kulishia mashamaba ya wakulima na kuzagaa tupendavyo na mifugo toka Mwanza-Arusha-to Rufiji-Lindi-Mbeya-bakora, mauaji, vilema (Waache wapiga Kura wetu!! watembee wanahaki kwenda kokote!!). Aibu-hatuoni mbali ila ulaji wa leo tu-politics na ubinafsi zimetawala uzalishaji mali.

Viwanda vipo, hatuvifufui kama tunavyofufua na kugharimia timu za mpira. Tunavichukua tunajaza mitumba ya nguo, spea za magari na magari vipande vipande mpaka juu ya paa zake. Matajiri wapo-mbona hawaungani wakachukua na kufufua viwanda?

Kama Gwajima akitaka eneo azalishe mali na kusalisha sala sana-aruhusiwe mradi tu kusali kunaendana na productivity na income generation for poverty alleviation (Protestant ethics). Akizalisha nyama under Value Added Meat production-Mpeni maana kwa sasa soseji zinaagizwa kutoka nje pia nyama za supermarkets. Nyama za hapa kazione tunavyozining'iza bucha ndani na nje mainzi tele hata kuziongatia misingi ya afya tabu na imekoga dipu imejaa kemikali!! Nayo ilikunywa maji ya mito ambayo yanaingia maji ya machimbo ya dhahabu kunakotumika zebaki kama mchezo bila kujali ushauri-tunainywa zebaki kwa sisi wenyewe kuoshea vumbi la dhahabu kwa zebaki (mercury) mtoni.

Sasa kiwanda kitafunguliwa, tuzalishe mifugo kisasa. Sokoine Unv imejaza mbegu bora na mashamba ya mifugo ya DAFCO. Tufuge kisasa tupeleke viwandani stores za chakula barafu zipate mazao; mboga chakula barafu tuuze, samaki zinazooza Rufiji, Mafia, Pemba, Lindi; Agricultural value chain for selected products nazo zitafaidika. vyakula, matunda hayatooza Tandale, Tegeta, Kariakoo sokoni. Mkiona hivyo-Uchumi wetu unavamiwa na wageni. Si kweli. Sisi hatufundishiki na kuhamasika kikweli maneno tu.

Gwajima anafukuzwa viwanja vya TP-Huenda SIO Kweli!! Kwani-Wawekezaji wa Frozen Red Meat na other agric, sea products wameshapatikana. Tanfroz Ltd in joint venture na Wabelgiji wanataka kuzalisha mifugo katika mashamba na kuweka majengo ya chakula barafu EPZ hapa TZ. Nyie mmelala kutwa bar mwanywa pombe na kuangamiza mamilioni kwa kufurahisha dogodogo sio kuwekeza ktk uchumi wa nchi. Mikopo ipo African Dev Bank, TIB -Mwatakani??? Tuache kuvamia wawekezaji kutoka nje na kuwachomea mali zao ambapo sisi hata tukijiunga vikundi havidumu, ulaji na ufisadi, kugombania madaraka, maneno na malumbano, chupi street na dogodogo na tumboni street!! Ukipata cheo cha kwanza ni kula na kunenepa sanaaaaa regardless of health effects of fattening!!


--------------------------------------------na kuingia
On Wed, 4/3/15, 'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] KANISA LISILO RASMI LA MCHUNGAJI JOSEPHAT GWAJIMA LAVUNJWA KAWE
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, 4 March, 2015, 8:50

Naona
taarifa hii ineandikwa kishabiki zaidi kwa sababu
zifuatazo.1. Barua
yenyewe imeandikiwa kanisa la Ngurumo ya Upako na sio kanisa
la Ufufuo na Uzima.2. Barua
imeelekezwa kwenye Makao Makuu ya kanisa hilo ambapo ni
Arusha.3. Barua
haijamtaja kwa jina mmiliki wa kanisa hilo.4. Kwa
ufahamu wangu mmiliki wa kanisa hilo ni George David
Kasambale na makao makuu yake yapo Arusha.5. Barua
yenyewe ni sahihi ila imepewa tafsiri potofu, labda kwa
sababu mwenzetu amekaa sana kwenye vichwa vya watu kwa
sababu ya tuhuma zinazonkabili. I stand to be corrected!


From: 'lesian
mollel' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To:
"wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

Sent:
Wednesday, March 4, 2015 12:45 AM
Subject: Re:
[wanabidii] KANISA LISILO RASMI LA MCHUNGAJI JOSEPHAT
GWAJIMA LAVUNJWA KAWE

Hv
kilichowahamisha hapa chai bora huyu mzee wa ufufuo ni nini,
arejee eneo lake na kanisa lake still lipo maaana ni kweli
viwanja vile vipo kwenye development process sasa wao
hawakua na plan b kwaniu? kama hawana warejee chai
bora
From: Buberwa Jackob
<buberwajackob@gmail.com>
To: Buberwa Jackob
<buberwajackob@gmail.com>
Sent: Thursday,
February 26, 2015 2:00 PM
Subject: [wanabidii]
KANISA LISILO RASMI LA MCHUNGAJI JOSEPHAT GWAJIMA LAVUNJWA
KAWE

KANISA
LISILO RASMI LAVUNJWA KAWE
Mchungaji Josephat Gwajima afungishwa virago
Kawe!


Kanisa la lisilo rasmi
la mchungaji Mchungaji Josephat
Gwajima  lililokuwa
likiendesha shughuli zake kinyume na taratibu katika viwanja
vya Tanganyika Packers  Kawe,wilaya ya Kinondoni,jiji Dar
limeamuriwa kuondoka mara moja  na kuwacha eneo hilo wazi
kwa ajili ya maendeleo ya watu wa kawe. Kanisa hilo ambalo
kwa muda mrefu  lemekuwa likiendesha shughuli zake kinyume
na taratibu na kusababisha usumbufu na kero kubwa za
makelele kwa wakazi wa maeneo hayo.  Katika Barua
iliosainiwa na Meneja wa Mkoa wa Kinondoni wa shirika la
nyumba  la Taifa  imesisitiza kwamba pamoja na kutambuliwa
umuhimu wa kanisa hilo kuendesha  shughuli zake lakini
shirika hilo  halitaweza kutoa ruhusa  kwa  kanisa hilo
kuendelea kufanya  mahubiri katika viwanja hivyo,kwani
shirika hilo limeshaanza  kutumia Viwanja hivyo kwa
maendeleo ya wananchi wa KAWE ikiwa ni ujenzi wa makazi 
n.k  Bw Masika ametoa siku 30 tu  ili Mchungaji Gwajima
kujitayarisha na kuwacha viwanja hivyo wazi kwa ajili ya
maendeleo ya wananchi.Mchungaji
Josephat Gwajima afunge virago




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.







--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment