Kodi zinalipwa kuanzia katika mafuta hadi vipuri vya magari, barabara kuu hazina uangalizi, shimo moja lililopuuzwa limeleta majanga kwa makumi ya roho za watu, serikali ipo, TANROADS wapo, askari wa usalama barabarani wanakusanya tu ushuru maana siku hizi wao na vitabu vya faina vitabu na wao, kesho viongozi wetu wakuu wataenda kutebmebela majeruhi (kama watakuwepo) na kuhani misiba, imopita maisha kama kawaida hadi itokee vingine, INACHOSHA.
On Wed, Mar 11, 2015 at 12:07 PM, Oksana Spice <worldngojobs@gmail.com> wrote:
BREAKING NEWS: Ajali imetokea changalawe Mafinga basi la Majinja lilikuwa linatokea Mbeya kwenda Dar limeangukiwa na kontena muda huu na watu wengi wanakadiriwa kufariki na hali ni mbaya sana--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment