Sunday, 1 February 2015

[wanabidii] Makamo mwenyekiti wa (UTU) Umoja wa Watanzania Ujerumani kuwasili Tanzania




Makamo mwenyekiti wa Umoja wa Watanzania  Ujerumani UTU e.V  Mheshimiwa Peter Kazaura kuwasili nchini Tanzania leo 02.02.2015


Makamo mwenyekiti wa Umoja wa Watanzania  Ujerumani UTU e.V  Mheshimiwa Peter Kazaura kuwasili nchini Tanzania leo 02.02.2015 kwa ajili ya kufanya mazungumzo na kiongozi wa juu wa Taifa. akiwa Tanzania atafanya mazungumzo na uongozi wa mashirika  yafuatayo TIC, Basata, Wizara ya Ardhi, NSSF, NHC,  Tanzania Diaspora Initiative na Wizara ya Utamaduni Michezo na Vijana. 
Mazungumzo hayo yatalenga upatikanaji wa Fursa zilizopo Tanzania kwa Diaspora. akiendelea kueleza msemaji wa Umoja huo Watanzania wanaoishi ujerumani wangependa pia kuhusishwa kikamilifu katika shughuli za maendeleo nchini Tanzania ikiwa ni pamoja na Afya, Elimu.
naye  Mwenyekiti wa  Umoja huo Mhe. Mfundo Peter Mfundo alithibitisha kuwepo kwa safari ya Makamo Mwenyekiti Mhe Peter Kazaura na  alisema  UTU e.V umechukua uamuzi huo  baada ya Watanzania nchini Ujerumani kukosa nafasi ya kuongea na Rais wa Tanzania  wakati wa ziara ya Rais nchini Ujerumani.Pia watanzania wanaoishi ujerumani wanaulalamikia ubalozi kuwa viongozi wa umoja wao walinyimwa nafasi ya kuonana na kumsalimia Mhe.Rais Dkt.Jakaya Kikwete.
--


Mfundo Peter Mfundo
Vorsitzender U T U e.V

UTU.jpg



E-mail: info@ututz.com 

Website: www.ututz.com


Kamati ya Uongozi (UTU)

      

Chaiman

Mfundo Peter Mfundo

mwenyekiti@ututz.com


Cell    +491737363422


Vice Chairman
Peter Kazaura


Secretary
Lilian Sorogo

Treasurer
Rajab Kaoneka





--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment