Tuesday, 24 February 2015

Re: [wanabidii] WOSIA WA BABA WA TAIFA KUHUSU URAIS - Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya Mei 1, 1995

Mshamba mimi.
Nafikiri ningekuwa Ikulu mwanangiu akakamatwa na madawa ya kulevya ningeacha sheria zichukue mkondo wake. Kumbe huo ni ushamba. Sasa thamani ya kura yangu ni ipi mimi nisiyekusudi kupeleka mlaji Ikulu.
Fred. Songa mbele lakini najua ipo siku mtatumbukia. hatutapumbazwa wote siku zote. Ipo siku Nyerere atafufuka. Nimekuelewa sana. nchi lazima ikombolewe kifikra.
--------------------------------------------
On Mon, 2/23/15, 'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] WOSIA WA BABA WA TAIFA KUHUSU URAIS - Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya Mei 1, 1995
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, February 23, 2015, 12:44 PM

Elisa,mawazo ya
Mwalimu yalikuwa mazuri tu wakati wa uhai wake, lakini baada
ya kifo chake hayafai tena. Inataka kuwa mwendawazimu
kuyatetea mawazo ya Mwalimu katika Tanzania ya
leo.
Sielewi
unachokitaka Muhingo, au unataka tufufue viwanda alivyviacha
Mwalimu ili tunavyomiliki sisi vifungwe, unataka rais
atakaye fufua ATCL ili ndege zetu zisipate abiria, au
unataka rais mwenye mawazo mgando ya kutaka kufufua reli ili
malori na mabasi yetu yasipate mizigo siyo. Mimi sikuelewi
Muhingo unachokitaka hasa ni nini? Mwalimu kisha kufa na
mawazo yake yamekufa hayatufai tena usiturudishe
nyuma.Unataka mawazo yale ya kusema "nitajielimisha
kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa manufaa ya
taifa" alaa nisomeshwe na familia yangu kwa manufaa ya
taifa! Hiyo haiwezekani lazima kwanza nirudishe ada ya
wazazi wangu.
Muhingo,
usitukumbushe Mwalimu tuache tule nchi ni wakati wetu sasa,
aliandika Mkenya "it is our turn to eat".
Usishangae kununua urais ni wajibu wetu kununua kwa vile
tunatafuta ulaji. Hivi umeona wapi ulaji unapatikana bure?
Anayetaka kwenda ikulu kucheza kama alivyofanya mwalimu
atatumia maneno matupu sisi tunataka kwenda ikulu kula
lazima tununue nafasi hiyo. Tunatafuta nafasi ya kuanzisha
kampuni yetu ndogo itakayokuwa inapata mgao wa Tanesco kila
mwisho wa mwezi kama wanavyofanya iptl,aggreco,
richmond(dowans), etc.
Elisa,
huu si wakati wa kuzubaa tuache tusake fursa na fursa ipo
ikulu. Ukikaapale magogoni madini na rasilimali zingine zote
za nchi hii ni mali yako. Hii peke yake inatosha kutufanya
tununue nafasi hiyo adimu. Au wewe huioni fursa hiyo?


From: 'ELISA
MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To:
wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday,
February 21, 2015 9:12 PM
Subject: Re:
[wanabidii] WOSIA WA BABA WA TAIFA KUHUSU URAIS - Uwanja wa
Sokoine mjini Mbeya Mei 1, 1995


Mawazo haypo yalizikwa eh?
Kwa
hiyo sasa ni halali kununua urais? kitugani katika hayo
hakifai?
--------------------------------------------
On Sat, 2/21/15, 'Fred Hans Kipamila'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Subject: Re:
[wanabidii] WOSIA WA BABA WA TAIFA KUHUSU URAIS - Uwanja wa
Sokoine mjini Mbeya Mei 1, 1995
To:
"wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, February 21, 2015, 4:32 PM

Fakhi mawazo
hayo yalizikwa na Mwalimu October 1999 ni kama
mavi ya
kale.
  
    From: Fakhi Karume

<fkarume@gmail.com>
  To:
wanabidii@googlegroups.com

  Sent: Saturday,

February 21, 2015 11:42 AM
  Subject:
[wanabidii]
WOSIA WA BABA WA TAIFA KUHUSU
URAIS - Uwanja wa Sokoine
mjini Mbeya Mei
1, 1995
   
Baba wa
Taifa, Mwalimu Julius Nyerere alialikwa kuwa
Mgeni Rasmi
kwenye kilele cha Sikukuu ya
Wafanyakazi Duniani
iliyofanyika kitaifa
Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya Mei 1,
1995.
Katika hotuba yake alieleza mengi, leo tunachukua
kipengele cha urais, alikuwa na haya ya
kusema:
"Naeleza
baadhi ya matatizo ambayo viongozi
tutakaowachagua tuwe na
hakika iwapo
wanayaona hivi kama sisi tunavyoyaona.

Yanawauma kama sisi yanavyotuuma na kwamba, watakapofika
hapo wanapopataka watusaidie kuyatatua.
"Wanayaona,
yanawakera na
hata watakapofika hapo, hicho ndicho

kitakachowasukuma kutaka kuwa marais wetu na wabunge
wetu.
"Marekani walikuwa na rais wao
kijana mmoja mdogo anaitwa
John Kennedy.
Walimpiga risasi. Marekani nao ni watu wa

ajabu sana! Vijana walilaani tukio hilo kwa kuwa walikuwa
wanadhani wamemchagua rais wa umri wa kama
miaka arobaini na
mitatu au minne hivi.
"Sasa
huyo ni kijana, hata
kwa hapa Tanzania leo ni kijana.

Alipochaguliwa na Marekani akawa rais wao. Katika hotuba
yake ya kwanza kabisa aliwambia wananchi
wenzake, hasa
vijana "Usiulize Marekani
itakufanyia nini, jiulize wewe
utaifanyia
nini Marekani?"."Kila
anayetaka kuwa
mgombea wa urais/ubunge ajiulize ataifanyia

nini nchi yake"Tunataka mtu anayetaka kuwa rais
wetu ajiulize anataka kuifanyia nini nchi yetu
na sio nchi
yetu itamfanyia nini.
"Na
tunataka swali hilo
ajiulize kila mtu anayetaka kuwa mgombea
wa
chama cho chote kuwa mbunge/rais: "Kwa nini, kwa dhati
kabisa, anaumwa na umasikini wetu na umasikini
huo ndiyo
unaomsukuma ashughulike na mambo
haya ya siasa katika ngazi
hiyo ama ya
ubunge ama ya urais". Kama sivyo,

hatufai!"Mtu hapakimbilii Ikulu: Hakuna

Biashara Ikulu. Mtu anayetaka kwenda ikulu kutaka faida
yo
yote ikulu pale, hatufai hata kidogo.
Wananchi, mimi nimekaa
pale Ikulu kwa muda
mrefu zaidi kuliko mwingine ye yote,
wala
sidhani kuna mtu mwingine anaweza kuzidi muda
huo.
"Tayari hapa
tumeweka sheria. Kwa mujibu wa sheria, mtu
hawezi tena kukaa
Ikulu zaidi ya miaka
kumi, kipindi ambacho hata hakijafikia
nusu
ya kipindi nilichokaa. Mimi nimekaa miaka ishirini na
tatu!"Najua, kwa mtu halisi kabisa, Ikulu
ni
mzigo! Hupakimbilii! Si mahali pa
kupakimbilia hata kidogo;
huwezi
kupakimbilia Ikulu. Unapakimbilia kwenda kutafuta
nini?"Ni mgogoro; ni mzigo mkubwa kabisa!
Ukipita barabarani, unakuta watu wana njaa,
unaona ni mzigo
wako huo. Pazito pale!
Huwezi kupakimbilia na watu safi

hawapakimbilii.
"Ukiona mtu
anapakimbilia, na hasa
anapotumia tumia
vipesa kwenda Ikulu, huyo ni mtu wa kuogopa

kama ukoma!"Mtu ye yote anayeonekana anapenda
sana kwenda Ikulu na hata yupo tayari kununua
kura ili
kumwezesha kufika Ikulu ni wa
kumkwepa kama ukoma. Kwanza,
hizo fedha
kapata wapi.
"Mtanzania wa leo hawezi
kununua
watu bila kwanza yeye kununuliwa.Na
kama
kanunuliwa, atataka kuzilipaje?
Kazipata wapi? Watanzania
wote ni masikini
tu. Mtanzania anaomba urais wetu kwa hela!

Amezipata wapi? "Pili, kama hajanunuliwa, kazipata
wapi?
Kama kakopa, atarudishaje? Ikulu pana
biashara gani mtu
akope mamilioni halafu
aende ayalipe kwa biashara ya Ikulu?
Ikulu
mimi nimekaa kwa muda wa miaka ishrini na

mitatu.
"Ikulu ni
mahali
pazito. Kuna biashara gani Ikulu?"Rushwa

na matumizi ya fedha bila utaratiba wakati wa chaguzi:
Sisi
Waafrika ni watu wa ajabu sana. Unajua
ni wadogo, lakini
nasema, ni udogo wa
mawazo. Umaskini wa mawazo ni umasikini

mbaya kupita wote.
"Unaweza ukawa na
almasi mfukoni,
akaja tapeli na kijiwe
kimetengenezwa kama almasi akakuambia

"hebu tuone almasi yako. 
Bwana aa! Hii
ya kwako sio almasi ni
chupa tu, almasi ni
hii. Kwanza nipe bwana."
Mkabadilishana.
Yeye akachukua almasi yako na akakuachia

kichupa na ukatoka hapo unashangilia kama

zuzu!"Sisi hapa Tanzania tulikuwa tumeanza
utaratibu ambao ukitumia fedha nje ya fedha za
chama na
serikali na ukatumia fedha zako
mwenywe katika uchaguzi,
tunakutoa. Hufai!
Huo ndio ulikuwa utaratibu wetu. Tulikuwa

tunakuuliza: "hii nchi ya maskini, wewe mwenzetu una
mali
umeipata wapi?""Mali, kwa wakati
huo, kwetu
sisi ilikuwa ni sifa ya
kukunyang'anya uwezo wa kugombea
uongozi
Tanzania. Tulijua kwamba, kama una mali, utaficha.
Leo watu wanasema waziwazi: "Mwalimu
uchaguzi wa mwaka huu
utapitishwaje?"
"Marekani wanatumia fedha nyingi
sana katika uchaguzi. Nyingi sana! Kama
Marekani sasa hivi
wanazungumza watunge
sheria inayofanana na ile mliyoitupa
ninyi
mnadhani kwa sababu ni mawazo ya masikini, haina
maana. "Wakubwa wanayafikiria mawazo hayo
sasa hivi.
Marekani wanafikiria uwezekano
sasa wa kutunga sheria
itakayoweka
utaratibu wa fedha za ugombeaji kutokana na

mfuko mmoja baada ya kugundua kwamba inapokuwa holela na
kila mtu akiachiwa lwake, inavuruga.
"Inaleta rushwa kubwa kabisa.
Unanunuliwa urais na unaweza kununuliwa na
fedha za wauza
bangi na wauza baa. Wauza
bangi wanaiona hatari hiyo, ninyi

haa!"Hapa tulikuwa na utaratibu mzuri kabisa
tuliouanzisha
mlioutupa, mnafikiri, sisi
mwaka huu fedha tu! Uchaguzi wa
fedha,
mtazipata wapi? Mimi nimetoka juzi tu, mara

mmetajirika kiasi hiki!




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.


---


You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.

To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.



   

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.


---


You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.

To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.




--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment