Kwenye uongozi wa nchi, tuepuke kupoteza muda au kupotwzewa muda na mtu yeyote kujadili mambo madogo madogo. Tujadili mambo mazito yatakayoipekeka nchi yetu na wananchi wote mbele kimaendeleo. Wagombea wetu, wazae suti, wazae rubega, wavae magamba ya miti--huo ni uamuzi wao na ni haki yao. Muda tulionao si wa kujadili muonekano wao mgombea kimavazi. Tulenge kuwajuwa ndani sana---hasa uwezo wao na dhamira yao kuivusha nchi ilipo. Wanajua maendeleo ni nini? Nchi yetu imetoka wapi kimaendeleo? Iko wapi na ni kwa nini ipo hapo ilipo kimaendeleo? Hapo tulipo kuna matatizo gani kimaendeleo? Nini kinasababisha matatizo hayo? Tutatokaje hapo tulipo kwenda tunakotaka kwenda? Tukizubaa muda huu, tutaletewa miss au Mr Tanzania wameulamba ile mbaya lakini ni debe tupu toka kichani hadi rohoni na itakula kwetu sote tuendako. Tafakari.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Thu, 2/12/15, 'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Wassira amvaa Membe, ni baada ya Ofisi ya Membe kumdhalilisha
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, February 12, 2015, 7:01 AM
Abdalah,
Tuhuma hizi ni nzito sana kwa viongozi kuchafuana,
lakini najiuliza ni kwa vipi Membe amehusika moja kwa moja
katika hili. Wanaoutaka urais ni wengi na wote ni viongozi
wa serikali wenye wapambe ndani ya idara mbalimbali za
serikali. Pichani wanaonekana Membe na Wasira lakini wawili
hao si wapiga picha. Waandishi waliopiga picha zile wanatoka
makundi mbalimbali ya urais ndani ya ccm. Wapo waliotumwa
kupata chochote cha kuwachafua wote wawili ili waonekane
hawafai lakini bahati mbaya akapatikana Wasira.
Wasira ni waziriwa mkongwe kuliko waziri mwingine
yeyote kwa sasa inakuwaje anakurupuka kutoka nyumbani kwake
bila kujiangalia kama yuko vizuri. Hakuwa na muda wa
kuichunguza nguo yake kabla hajaivaa, hakuwa na muda
kujiangalia kama imekaa vizuri. Hata mke wake hakuiona au
hana muda hata wa kumuuliza mke wake kama amependeza au la
hadi mzee Kuboja amwambie rekebisha nguo yako! Kwa mtindo
huu inawezekana hata zipu hakufunga. Je huyu anafaa kuwa
rais wa nchi kweli?
From: Abdalah Hamis
<hamisznz@gmail.com>
To:
wanabidii@googlegroups.com
Sent:
Thursday, February 12, 2015 7:51 AM
Subject:
[wanabidii] Wassira amvaa Membe, ni baada ya Ofisi ya Membe
kumdhalilisha
WASIRA AMVAA MEMBE
* Ni baada ya ofisi ya Membe
kumdhalilisha
Wakuu Salamaa....
Katika hali isiyokuwa ya kawaida waziri wa
kilimo Ndugu Wassira amemvaa Membe kwa kile kinachoonekana
ofisi ya Membe kumdhalilisha....
Kwa muda wa siku mbili sasa, picha za Wassira
zinazomdhalilisha zimekuwa zikisambazwa katika mitandao
mbali mbali na wahusika wakubwa wakiwa ni waandishi na
wapiga picha kutoka ofisi ya waziri huyo wa mambo ya nje.
Kumbuka tarehe 7. 2. 2015 katika mkutano wa injili la
dhehebu la wasabato, Membe ndiyo alikuwa mgeni rasmi na
Wassira alihudhuria kama muumini wa kawaida wa dhehebu
hilo..
"Ni kweli kipindi cha mwanzo sikuweka
vizuri vifungo vya koti langu, ila baada ya kuambiwa hilo na
mzee Kuboja nililiweka sawa, sasa saizi nashangaa ofisi ya
huyo jamaa yangu inasambaza picha ya awali ili tu
kunidhalilisha; kwa kweli nimeuzunika sana, nimefadhaika
sana, na nimejua kwamba hizi mbio za urais wengine
wanazitumia kama nafasi ya kuwachafua wenzao" wassira
amesikika akisema
Katika hatua nyingine mpambe wake (Wassira)
amesikika pia akisema "Kama ni vita vya urais kwa kweli
pamefikia pabaya sana. Kilichofanywa na ofisi ya waziri
Membe siyo ubinadamu kabisa, na ni unyama wa hali ya juu.
Ila Membe ndiyo kawaida yake ni mtu wa siasa chafu, majungu,
chuki, fitina na visasi, "....
Wakuu, ni jambo la wazi kwamba Wassira
personally alitakiwa kujiangalia kwanza kabla ya picha,
ukizingatia ni kiongozi tena mwenye nafasi ya juu, waziri
mwandamizi. However kwa upande mwingine pia ofisi ya Waziri
Membe wakishirikiana na Membe mwenyewe walichokifanya siyo
uungwana hata kidogo, na siyo ubinadamu ukizingatia wote ni
watumishi katika serikali mmoja....
Kama ingekuwa Nchi za wenzetu wasingevumilia huu
uhuni uliyofanywa na ofisi ya Membe...
NB: kadri siku zinavyozidi kusogea ni jambo jema
msaliti wa muda mrefu na mpanga mbinu hasi ndani ya serikali
na kwa watumishi wenzake anazidi kujulikana....
Membe ni wa kuogopwa kama ukoma..
Asanteni
Agwambo
http://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=802058
Chanzo: JF
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment