Kwenye uongozi wa nchi, tuepuke kupoteza muda au kupotezewa muda na mtu yeyote kujadili mambo madogo madogo. Tujadili mambo mazito yatakayoipekeka nchi yetu na wananchi wote mbele kimaendeleo. Wagombea wetu, wavae suti, wavae rubega, wavae magamba ya miti--huo ni uamuzi wao na ni haki yao. Muda tulionao si wa kujadili muonekano wao mgombea kimavazi. Tulenge kuwajuwa ndani sana---hasa uwezo wao na dhamira yao kuivusha nchi ilipo. Wanajua maendeleo ni nini? Nchi yetu imetoka wapi kimaendeleo? Iko wapi na ni kwa nini ipo hapo ilipo kimaendeleo? Hapo tulipo kuna matatizo gani kimaendeleo? Nini kinasababisha matatizo hayo? Tutatokaje hapo tulipo kwenda tunakotaka kwenda? Tukizubaa muda huu, tutaletewa miss au Mr Tanzania wameulamba ile mbaya lakini ni debe tupu toka kichani hadi rohoni na itakula kwetu sote tuendako. Tafakari
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Thu, 2/12/15, 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Wassira amvaa Membe, ni baada ya Ofisi ya Membe kumdhalilisha
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, February 12, 2015, 3:34 PM
Kwenye uongozi wa nchi,
tuepuke kupoteza muda au kupotwzewa muda na mtu yeyote
kujadili mambo madogo madogo. Tujadili mambo mazito
yatakayoipekeka nchi yetu na wananchi wote mbele
kimaendeleo. Wagombea wetu, wazae suti, wazae rubega, wavae
magamba ya miti--huo ni uamuzi wao na ni haki yao. Muda
tulionao si wa kujadili muonekano wao mgombea kimavazi.
Tulenge kuwajuwa ndani sana---hasa uwezo wao na dhamira yao
kuivusha nchi ilipo. Wanajua maendeleo ni nini? Nchi yetu
imetoka wapi kimaendeleo? Iko wapi na ni kwa nini ipo hapo
ilipo kimaendeleo? Hapo tulipo kuna matatizo gani
kimaendeleo? Nini kinasababisha matatizo hayo? Tutatokaje
hapo tulipo kwenda tunakotaka kwenda? Tukizubaa muda huu,
tutaletewa miss au Mr Tanzania wameulamba ile mbaya lakini
ni debe tupu toka kichani hadi rohoni na itakula kwetu sote
tuendako. Tafakari.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Thu, 2/12/15, 'Fred Hans Kipamila'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] Wassira amvaa Membe, ni baada ya Ofisi ya Membe
kumdhalilisha
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, February 12, 2015, 7:01 AM
Abdalah,
Tuhuma hizi ni nzito sana kwa viongozi kuchafuana,
lakini najiuliza ni kwa vipi Membe amehusika
moja kwa moja
katika hili. Wanaoutaka urais
ni wengi na wote ni viongozi
wa serikali
wenye wapambe ndani ya idara mbalimbali za
serikali. Pichani wanaonekana Membe na Wasira lakini
wawili
hao si wapiga picha. Waandishi
waliopiga picha zile wanatoka
makundi
mbalimbali ya urais ndani ya ccm. Wapo waliotumwa
kupata chochote cha kuwachafua wote wawili ili
waonekane
hawafai lakini bahati mbaya
akapatikana Wasira.
Wasira ni waziriwa
mkongwe kuliko waziri mwingine
yeyote kwa
sasa inakuwaje anakurupuka kutoka nyumbani kwake
bila kujiangalia kama yuko vizuri. Hakuwa na
muda wa
kuichunguza nguo yake kabla
hajaivaa, hakuwa na muda
kujiangalia kama
imekaa vizuri. Hata mke wake hakuiona au
hana muda hata wa kumuuliza mke wake kama amependeza au
la
hadi mzee Kuboja amwambie rekebisha nguo
yako! Kwa mtindo
huu inawezekana hata zipu
hakufunga. Je huyu anafaa kuwa
rais wa nchi
kweli?
From: Abdalah Hamis
<hamisznz@gmail.com>
To:
wanabidii@googlegroups.com
Sent:
Thursday,
February 12, 2015 7:51 AM
Subject:
[wanabidii] Wassira amvaa Membe, ni baada ya
Ofisi ya Membe
kumdhalilisha
WASIRA AMVAA MEMBE
* Ni baada
ya ofisi ya Membe
kumdhalilisha
Wakuu Salamaa....
Katika hali isiyokuwa ya
kawaida waziri wa
kilimo Ndugu Wassira
amemvaa Membe kwa kile kinachoonekana
ofisi
ya Membe kumdhalilisha....
Kwa muda wa siku mbili sasa, picha za
Wassira
zinazomdhalilisha zimekuwa
zikisambazwa katika mitandao
mbali mbali na
wahusika wakubwa wakiwa ni waandishi na
wapiga picha kutoka ofisi ya waziri huyo wa mambo ya nje.
Kumbuka tarehe 7. 2. 2015 katika mkutano wa
injili la
dhehebu la wasabato, Membe ndiyo
alikuwa mgeni rasmi na
Wassira alihudhuria
kama muumini wa kawaida wa dhehebu
hilo..
"Ni kweli kipindi
cha mwanzo sikuweka
vizuri vifungo vya koti
langu, ila baada ya kuambiwa hilo na
mzee
Kuboja nililiweka sawa, sasa saizi nashangaa ofisi ya
huyo jamaa yangu inasambaza picha ya awali ili
tu
kunidhalilisha; kwa kweli nimeuzunika
sana, nimefadhaika
sana, na nimejua kwamba
hizi mbio za urais wengine
wanazitumia kama
nafasi ya kuwachafua wenzao" wassira
amesikika akisema
Katika
hatua nyingine mpambe wake (Wassira)
amesikika pia akisema "Kama ni vita vya urais kwa
kweli
pamefikia pabaya sana. Kilichofanywa
na ofisi ya waziri
Membe siyo ubinadamu
kabisa, na ni unyama wa hali ya juu.
Ila
Membe ndiyo kawaida yake ni mtu wa siasa chafu, majungu,
chuki, fitina na visasi, "....
Wakuu, ni jambo la wazi
kwamba Wassira
personally alitakiwa
kujiangalia kwanza kabla ya picha,
ukizingatia ni kiongozi tena mwenye nafasi ya juu, waziri
mwandamizi. However kwa upande mwingine pia
ofisi ya Waziri
Membe wakishirikiana na
Membe mwenyewe walichokifanya siyo
uungwana
hata kidogo, na siyo ubinadamu ukizingatia wote ni
watumishi katika serikali mmoja....
Kama ingekuwa Nchi za
wenzetu wasingevumilia huu
uhuni
uliyofanywa na ofisi ya Membe...
NB: kadri siku zinavyozidi kusogea ni jambo
jema
msaliti wa muda mrefu na mpanga mbinu
hasi ndani ya serikali
na kwa watumishi
wenzake anazidi kujulikana....
Membe ni wa kuogopwa kama ukoma..
Asanteni
Agwambo
http://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=802058
Chanzo: JF
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this
message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this
message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment