Thursday, 12 February 2015

Re: [wanabidii] Wassira amvaa Membe, ni baada ya Ofisi ya Membe kumdhalilisha

asante sana mama, vifungo vya koti la mtu vinatuhusu nini sisi tunataka kujua KICHWA chake kina nini na amejawa na dhamiri gani

2015-02-12 18:34 GMT+03:00 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Kwenye uongozi wa nchi, tuepuke kupoteza muda au kupotwzewa muda na mtu yeyote  kujadili mambo  madogo madogo. Tujadili mambo mazito yatakayoipekeka nchi yetu na wananchi wote mbele kimaendeleo. Wagombea wetu, wazae suti, wazae rubega, wavae magamba ya miti--huo ni uamuzi wao na ni haki yao. Muda tulionao si wa kujadili muonekano wao mgombea kimavazi. Tulenge kuwajuwa ndani sana---hasa uwezo wao na dhamira yao kuivusha nchi ilipo. Wanajua maendeleo ni nini? Nchi yetu imetoka wapi kimaendeleo? Iko wapi na ni kwa nini ipo hapo ilipo kimaendeleo? Hapo tulipo kuna matatizo gani kimaendeleo? Nini kinasababisha matatizo hayo? Tutatokaje hapo tulipo kwenda tunakotaka kwenda? Tukizubaa muda huu, tutaletewa miss au Mr Tanzania wameulamba ile mbaya lakini ni debe tupu toka kichani hadi rohoni na itakula kwetu sote tuendako. Tafakari.

Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Thu, 2/12/15, 'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] Wassira amvaa Membe, ni baada ya Ofisi ya Membe kumdhalilisha
 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Thursday, February 12, 2015, 7:01 AM

 Abdalah,
 Tuhuma hizi ni nzito sana kwa viongozi kuchafuana,
 lakini najiuliza ni kwa vipi Membe amehusika moja kwa moja
 katika hili. Wanaoutaka urais ni wengi na wote ni viongozi
 wa serikali wenye wapambe ndani ya idara mbalimbali za
 serikali. Pichani wanaonekana Membe na Wasira lakini wawili
 hao si wapiga picha. Waandishi waliopiga picha zile wanatoka
 makundi mbalimbali ya urais ndani ya ccm. Wapo waliotumwa
 kupata chochote cha kuwachafua wote wawili ili waonekane
 hawafai lakini bahati mbaya akapatikana Wasira.
 Wasira ni waziriwa mkongwe kuliko waziri mwingine
 yeyote kwa sasa inakuwaje anakurupuka kutoka nyumbani kwake
 bila kujiangalia kama yuko vizuri. Hakuwa na muda wa
 kuichunguza nguo yake kabla hajaivaa, hakuwa na muda
 kujiangalia kama imekaa vizuri. Hata mke wake hakuiona au
 hana muda hata wa kumuuliza mke wake kama amependeza au la
 hadi mzee Kuboja amwambie rekebisha nguo yako! Kwa mtindo
 huu inawezekana hata zipu hakufunga. Je huyu anafaa kuwa
 rais wa nchi kweli?

    From: Abdalah Hamis
 <hamisznz@gmail.com>
  To:
 wanabidii@googlegroups.com
  Sent:
 Thursday, February 12, 2015 7:51 AM
  Subject:
 [wanabidii] Wassira amvaa Membe, ni baada ya Ofisi ya Membe
 kumdhalilisha

 WASIRA AMVAA MEMBE

     * Ni baada ya ofisi ya Membe
 kumdhalilisha

 Wakuu Salamaa....

 Katika hali isiyokuwa ya kawaida waziri wa
 kilimo Ndugu Wassira amemvaa Membe kwa kile kinachoonekana
 ofisi ya Membe kumdhalilisha....

 Kwa muda wa siku mbili sasa, picha za Wassira
 zinazomdhalilisha zimekuwa zikisambazwa katika mitandao
 mbali mbali na wahusika wakubwa wakiwa ni waandishi na
 wapiga picha kutoka ofisi ya waziri huyo wa mambo ya nje.
 Kumbuka tarehe 7. 2. 2015 katika mkutano wa injili la
 dhehebu la wasabato, Membe ndiyo alikuwa mgeni rasmi na
 Wassira alihudhuria kama muumini wa kawaida wa dhehebu
 hilo..

 "Ni kweli kipindi cha mwanzo sikuweka
 vizuri vifungo vya koti langu, ila baada ya kuambiwa hilo na
 mzee Kuboja nililiweka sawa, sasa saizi nashangaa ofisi ya
 huyo jamaa yangu inasambaza picha ya awali ili tu
 kunidhalilisha; kwa kweli nimeuzunika sana, nimefadhaika
 sana, na nimejua kwamba hizi mbio za urais wengine
 wanazitumia kama nafasi ya kuwachafua wenzao" wassira
 amesikika akisema

 Katika hatua nyingine mpambe wake (Wassira)
 amesikika pia akisema "Kama ni vita vya urais kwa kweli
 pamefikia pabaya sana. Kilichofanywa na ofisi ya waziri
 Membe siyo ubinadamu kabisa, na ni unyama wa hali ya juu.
 Ila Membe ndiyo kawaida yake ni mtu wa siasa chafu, majungu,
 chuki, fitina na visasi, "....

 Wakuu, ni jambo la wazi kwamba Wassira
 personally alitakiwa kujiangalia kwanza kabla ya picha,
 ukizingatia ni kiongozi tena mwenye nafasi ya juu, waziri
 mwandamizi. However kwa upande mwingine pia ofisi ya Waziri
 Membe wakishirikiana na Membe mwenyewe walichokifanya siyo
 uungwana hata kidogo, na siyo ubinadamu ukizingatia wote ni
 watumishi katika serikali mmoja....

 Kama ingekuwa Nchi za wenzetu wasingevumilia huu
 uhuni uliyofanywa na ofisi ya Membe...

 NB: kadri siku zinavyozidi kusogea ni jambo jema
 msaliti wa muda mrefu na mpanga mbinu hasi ndani ya serikali
 na kwa watumishi wenzake anazidi kujulikana....

 Membe ni wa kuogopwa kama ukoma..

 Asanteni
 Agwambo

 http://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=802058

 Chanzo: JF

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment