Kweli kabisa hilo gazeti linastaili kuitwa gazeti la uhuni maana wamiliki na wasomaji wake ni wahuni
2015-02-17 12:06 GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Hebu tuseme kilichosemwa CUF. nimeona kwenye gazeti la Uhuni kuwa UKLAWA yapasuka
CUF wamesema katika mchakato wa kugombea urais ndani ya UKAWA CUF watampendekeza Lipumba na vyama vingine vitaleta majina yao. mchakato utapita wa kuchuja kati ya mapendekezo ya vyama. atakayepita ndiye atakayeungwa mkono na ambao hawqakupita. Hawampendekezi asipite lakini wanajua kuwa anaweza asipite.
Uhuni siwashangai kusema walichoandika lakini najiuliza itakapotokea tofauti wataandika nini? Hizi propaganda za enzi ya upigania uhuru zinastahili kuwa zimeachwa.
--------------------------------------------
On Mon, 2/16/15, 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Wassira amvaa Membe, ni baada ya Ofisi ya Membe kumdhalilisha
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, February 16, 2015, 11:29 PM
Duh rafi
ndio hizo ndio aaana watu hawampendi huyu jamaa nasikia ana
rafu za kitoooto kwannn sasa.........Ila Lowasa tu ndio
kamshindwa analia lia tu chagueni viongozi wasio mafisadi wapiiii banaa.
ana issue ya kujibu kuna hela za Gadaffi cjui zimeendaga
wapi aulizweHafu jamani
sijui naota naskia CUF wamem[itisha mzeee prof Lipumba
agombee URAIS tena kwa ticket ya CUF na UKAWA sijui
....itakua kituko kama ni kweli......Namshaur akomae na
Ubunge TEMEKE atapata si URAISI nae huyu mzee miaka 20
anakomaa tu
From:
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To:
wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, February
16, 2015 2:06 AM
Subject: Re:
[wanabidii] Wassira amvaa Membe, ni baada ya Ofisi ya Membe
kumdhalilisha
Picha
unayoeleza sijaiona. Mimi niliona ambayo Wasira na Membe
wako kwenye picha ya pamoja na viongozi wa Kanisa la Sabato
ukumbini. Kama kuna nyingine hatujaiona hiyo
--------------------------------------------
On Sun, 2/15/15, 'Fred Hans Kipamila'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] Wassira amvaa Membe, ni baada ya Ofisi ya Membe
kumdhalilisha
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, February 15, 2015, 7:54 AM
Kama ofisi
ya Membe ndiyo inasambaza hizi picha za Wasira basi ina
watu
hatari sana wanaingia hata nyumbani
kwa Wasira kumpiga picha
akiwakapumzika na
wajukuu huku vifungo vya shati vikiwa
havijafungwa! Ni hatari.Mbaya
waWasira yumo
nyumbani mwake
From: 'ELISA
MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To:
wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, February
13, 2015 1:10 AM
Subject: Re:
[wanabidii] Wassira amvaa Membe, ni baada ya
Ofisi ya Membe
kumdhalilisha
Ukiangalia sana picha
hii utagudua kuwa watu
hawa walikuwa
wanajipanga kupigwa picha.
Maana yake Mzee
Wasira alikuwa hajagundua hili
toka
nyumbani akiagana na familia yake, Dreva wake, waumini
wenzake mpaka anajipanga kupigwa picha? Huyu
mtu ana
mahusiano gani na wote waliomuona.
Siku moja Chakubanga
alimuuliza mkewe
akisema Nimepata kura moja ya kwangu maana
yake hata wewe Mke wangu hukunipigia kura?
mkewe akajibu: Wasiokujua hawakukupigia mimi
ninayekujua ndiye nikupigie kweli mume
wangu?
Sasa nisichokiona ninachotaka
kusaidiwa ni
kuonyeshwa kosa la Membe.
Kujipanga naye kupigwa picha au
kutomuonya
baada ya kutoonywa na mkewe nyumbani? nafikiri
aliyestahili kumuonya ni mke wa Rais wa
ujerumani maana
ndiye alikuwa karibu naye.
Au wapiga picha kama hawakusita
kuingilia
kazi ya mke wa Wasira au dereva wake.
--------------------------------------------
On Thu, 2/12/15, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
wrote:
Subject:
[wanabidii] Wassira amvaa Membe,
ni baada ya Ofisi ya Membe
kumdhalilisha
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, February 12, 2015, 7:51
AM
WASIRA AMVAA
MEMBE
* Ni
baada ya ofisi ya
Membe
kumdhalilisha
Wakuu
Salamaa....
Katika
hali isiyokuwa ya kawaida waziri wa
kilimo Ndugu Wassira amemvaa Membe kwa kile
kinachoonekana
ofisi ya Membe
kumdhalilisha....
Kwa
muda wa siku mbili
sasa, picha za Wassira
zinazomdhalilisha zimekuwa zikisambazwa katika mitandao
mbali mbali na wahusika wakubwa wakiwa ni
waandishi na
wapiga picha
kutoka ofisi ya
waziri huyo wa mambo ya
nje.
Kumbuka tarehe
7.
2. 2015 katika mkutano wa injili la
dhehebu la wasabato, Membe ndiyo alikuwa mgeni
rasmi na
Wassira alihudhuria kama muumini
wa kawaida wa
dhehebu
hilo..
"Ni
kweli kipindi cha mwanzo sikuweka
vizuri
vifungo vya koti langu, ila baada ya
kuambiwa hilo na
mzee Kuboja
nililiweka
sawa, sasa saizi nashangaa ofisi
ya
huyo
jamaa yangu
inasambaza picha ya awali ili tu
kunidhalilisha; kwa kweli nimeuzunika sana,
nimefadhaika
sana, na nimejua kwamba
hizi
mbio za urais wengine
wanazitumia kama
nafasi ya
kuwachafua wenzao" wassira
amesikika akisema
Katika
hatua nyingine
mpambe wake (Wassira)
amesikika pia akisema "Kama ni vita vya urais kwa
kweli
pamefikia pabaya
sana. Kilichofanywa
na ofisi ya waziri
Membe siyo ubinadamu
kabisa, na ni unyama wa hali ya juu.
Ila
Membe ndiyo kawaida yake ni mtu wa
siasa chafu, majungu,
chuki, fitina na
visasi, "....
Wakuu, ni jambo la wazi
kwamba Wassira
personally alitakiwa
kujiangalia kwanza kabla ya picha,
ukizingatia ni kiongozi tena mwenye nafasi ya
juu, waziri
mwandamizi. However kwa
upande mwingine pia
ofisi ya Waziri
Membe wakishirikiana na
Membe mwenyewe walichokifanya siyo
uungwana
hata kidogo, na siyo ubinadamu
ukizingatia wote ni
watumishi katika
serikali mmoja....
Kama ingekuwa Nchi za
wenzetu
wasingevumilia huu
uhuni
uliyofanywa na ofisi ya Membe...
NB: kadri siku zinavyozidi kusogea ni
jambo
jema
msaliti wa
muda mrefu na mpanga mbinu
hasi ndani ya
serikali
na kwa watumishi
wenzake anazidi kujulikana....
Membe ni wa kuogopwa
kama ukoma..
Asanteni
Agwambo
http://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=802058
Chanzo: JF
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
for
any legal consequences
of his or her
postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you
agree
to this
disclaimer
and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You received this
message because you are
subscribed to the
Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this
group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the
sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your
continued
membership signifies that you
agree to this disclaimer and
pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop
receiving emails from it, send an
email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment