Monday, 23 February 2015

Re: [wanabidii] WAHITIMU MAFUNZO JKT KUMBUKENI MLIKULA KIAPO CHA UTII

Kupewa ukuu wa wilaya siku hizi siyo heshima ni sehemu ya kundi lenye mmomonyoko wa maadili.
Kama mtu aliyethubutu kumtukana waziri mkuu, akampiga wazirimkuu mwingine na bado akateuliwa kuwa mkuu wa wilaya basi hujue aliyemchagua amejua hiki ni cheo cha wasio na adabu wa maadili. Kwa hiyo na huyu mdogo wetu amejitambua kuwa hana adabu anaona kinamstahili cheo hicho ndiyo maana anafanya anayoyafanya.
--------------------------------------------
On Mon, 2/23/15, 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] WAHITIMU MAFUNZO JKT KUMBUKENI MLIKULA KIAPO CHA UTII
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, February 23, 2015, 3:45 PM

Marcus, hata akipata uongozi gani,
hautamsaidia kitu maana hana uzalendo,hajui nchi ilikotoka
wala inakotakiwa kwenda. Kutafuta cheo kwa kujidhalilisha na
kudhalilisha taaluma ni ubinafsi usio na mpaka Ni cheo gani
hicho kinachozidi utu? Kwani cheo ni nini kama siyo dhamana.
Yaani siku hizi ukitaka cheo unajichafua kiasi hiki? HAPANA
nchi yetu imechafuka!
Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Mon, 2/23/15, 'marcus kabwella' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Subject: Re: [wanabidii] WAHITIMU MAFUNZO JKT KUMBUKENI
MLIKULA KIAPO CHA UTII
To: "wanabidii@googlegroups
com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, February 23, 2015, 12:31 PM

Usimlaumu mama anatafuta ukuu wa wilaya kwa
kuwa viongozi wetu hupenda kusifiwa hata paspostahili
watapewa tu.

Sent
from Yahoo Mail on Android  From:"'ananilea
nkya' via Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date:Mon, Feb 23, 2015 at 15:23
Subject:Re: [wanabidii] WAHITIMU MAFUNZO
JKT KUMBUKENI MLIKULA KIAPO CHA UTII

  Mwnangu Happy, hapa ulipofika
unajidhalilisha,unadhalilisha waaalimu wako wa shule ya
msingi, sekondari na taaluma ya
  uandishi wa habari unaomtaka mwanahabari kuvaa miwani
ya
uchambuzi.

Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Mon, 2/23/15, 'Happiness Katabazi'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

  Subject: [wanabidii] WAHITIMU
MAFUNZO JKT KUMBUKENI MLIKULA KIAPO CHA UTII
  To: "WANABIDII" <wanabidii@googlegroups.com>
  Date: Monday, February 23, 2015, 6:15 AM
 
  WAHITIMU MAFUNZO JKT
KUMBUKENI
  MLIKULA KIAPO CHA UTII
 
  Na Happiness Katabazi
  FEBRUALI 15 Mwaka huu, wahitimu wa Jeshi la
Kujenga
  Taifa(JKT), kupitia Mwenyekiti wa
Umoja wao huo,George Mgoba
  aliutangazia
umma Kuwa ikifika Leo Februali 23,23 na 25

Mwaka huu, wahitimu wa Mafunzo ya JKT  watafanya
  maandamano ya usiku na
mchana   kushinikiza
  kuonana na Rais
Jakaya Kikwete ili awasikilize matatizo

yanayowakabili ikiwemo ukose tu wa ajira.


  Mgoba  ambaye vyombo Vya Habari Vya Juzi
na Jana
  vimeripoti habari iliyowanukuu watu
wake wa  karibu
  ambao walidai  Mgoba
Amelazwa Katika Hospitali ya Taifa
  ya
Muhimbili kwasababu alitekwa  na watu wasiyojulikana
  na kumjeruhi na kumasababishia maumivu makali
mwilini

  Mwake.
 
  Na Tayari Kamanda
wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,

Jana amenukuliwa na vyombo Vya Habari akisema amepata 
  taarifa za tukio Hilo na Ofisi yake inafanya
uchunguzi na
  uchunguzi ukikamilika atatoa
taarifa.
 
  Kwa Kuwa
kisheria Jeshi la Polisi ndiyo lenye jukumu la
  Kutolea taarifa matukio ya Uhalifu, hivyo sote
Hatuna budi
  kusubiri taarifa hizo za
uchunguzi zitakazotolewa na jeshi
  la Polisi
Kama ni kweli alitekwa na kufanywa unyamana wa na
  kwanini watu Hao walifikia Hatua hiyo  ya
Kutenda hivyo
  Kama inavyodaiwa.
 
  Pole sana Mgoba Kama kweli
umekutwa na mkasa huo.Pole sana
  ila naamini
Kama kweli umefanyiwa unyama huo wahusika

watabainika na watachukuliwa Hatua kwasababu
  Jeshi la Polisi
  ni Chombo makini na kina
uzoefu mkubwa wa kuchunguza matukio
  ya
kihalifu tena zaidi ya tukio Hilo watu wanalodai
  umetendewa na washitakiwa uwa wanakamatwa na
kufikishwa
  mahakamani.
 
  Tukiachana na hayo , Turejee Kwenye mada yetu
ya Msingi
  ambayo inawauliza hawa wahitimu
wa JKT Leo watafanya yale
  maandamano Yao
Kama walivyotuaidia kwa mbwembwe nyingi licha
  tayari mpiganisha vita wao (Mgoba) kaisha
jeruhiwa na Katibu
  wao amekamatwa Kabla 
ya 'vita 'kuanza?
 

Inaelezwa Kuwa Askari Wawapo vitani ,Askari mmoja akifa
au
  kujeruhiwa wale Askari waliokuwa salama
morali ya kupigana
  vita ndiyo inapanda na
wanazidi kupigana vita kwa  moyo
  na Nguvu
zao zote.
 

  Sasa Leo hii inakuwaje kwa Nyie wahitimu wa JKT
ambao
  mlijinasibu Kuwa mmepata Mafunzo ya kijeshi
mna rudi wote
  mstari wa nyuma Kabla ya
tarehe ya kuanza kupigana 
  'vita
'kuanza kwa kisingizio eti kiongozi wenu ametekwa na
  kuumizwa?
 

Ndiyo mañana Katika makala yangu iliyokuwa na kichwa cha
  Habari kisemacho: ' WAHITIMU MAFUNZO JKT
MNACHOKITAUTA
  MTAKIPATA SOON'.
 
  Ndani ya makala hiyo
nilieleza wazi Nyie  siyo
  Wanajeshi na
hamjapata Mafunzo ya wanayapata Askari wa JWTZ
  ndiyo mAana kwanza mipango yenu ni dhaifu,
hamna nidhamu ya
  kijeshi na mnadhalilisha
wakufunzi wenu waliowafunza JKT na
  uenda
mlijifunza kupigana na mishale.
 
  Baadhi ya watu waliojitambulisha ni wakufunzi
wa
  Mafunzo
  hayo baada ya kusoma makala hiyo
walinipigia simu na
  kumitolea vitisho na
matusi juu, wala sikutishika na wengine

baada ya kusikia Mgoba ametendewa unyama walinipigia na
  kunishukuru kwa kuwataadharisha na kwamba
kilichomkuta Mgoba
  limewaogopesha na
hawatashiriki tena maandamano hayo Kwani

wamebaini miongoni mwa wakufunzi wa JKT wameanza
kusalitiana
  hivyo hawataki ugomvi na dola
wala kuandamana kwanza
  wanabiashara zao
zinawaingizia kipato na kwamba miongoni mwa

wahitimu Hao wanaajenda za kutumiwa na baadhi ya vyama
Vya
  siasa kulea vurugu nchini
wamewabaini.
 
  Tangu
niliposikia Jemedali wao Mgoba Kuwa ametekwa
  nimejiuliza ,Jemedali gani anatekwa kirahisi 
hivyo
  tena na watu wanaodaiwa ni
wanawake?
 
  Nimebaki na
Mashaka Je taarifa za kutekwa kwake Je ni Sinema
  ya Kihindi ambayo Sinema  ya Kihindi ni
kawaida
  stelingi anakufa Badala ya
kusave.
 
  Mgoba alidai
wanamafunzo ya kijeshi na wameiva kimafunzo

inakuwaje alizidiwa akili na Hao watu wasiyojulikana
Kumteka
  kirahisi hivyo wakati yeye ni
Jemedali wa Askari wale zaidi
  ya Miaka 200
ambao walijinasibu Kuwa wanamafunzo ya

kijeshi?
 
  Yaani Jemedali
gani wa 'vita' anakubali  kuitikia wito
  wa kila mtu anayemuita na kwenda kuonana
nae?
 
  Kama Jemedari
'Mgoba' amekubali kuitikia wito huo ambao
  tumeelezwa Kuwa ni wa wanawake ni kweli basi
Hao watekaji
  wanawake ni kiboko na wakiamua
hata Leo hii kutumia mbinu
  hiyo hiyo
kuwaita baadhi ya wahitimu Hao ,basi

watawadhuru   wahitimu wote kwa njia hiyo ya
  kidharimu.
 

Mininachofahamu hivi sasa kutekwa wanatekwa watu wenye
  ulemavu wa ngozi Albino ambao viungo vya ni
dili kubwa na
  serikali na Jamii kwa ujumla
Inaangaika  kutokomeza
  mauji hayo.
 
  Wengine nao baada ya kusikia
taarifa Kuwa Mgoba katekwa
  wakasema
amejiteka Hakuna wakumteka na asitake 'kucompite'
  na albino na kwamba anataka kuaribu vichwa vya
habari vya
  magazeti na kwamba eti
Mwenyekiti wa Chama cha Malbino
  akimsikia
hata mwelewa kabisa kwasababu wanaotekwa ni Albino
  na taifa lipo vitani kulaani mauji  na
utekwaji wa
  Albino  na siyo watu wasiyo na
ulemavu wa
  Ngozi Kama
  Mgoba .
 
  Wengine wakasema Angekuwa ametekwa  na
kutupwa katika
  machimbo ya madini kama
Geita  wangesema
  wafanyabiashara wa madini
walikuwa wanataka kufanyia mwili
  wake mambo
ya kishirikina lakini Mgoba anadai katekwa na
  kutupwa msitu wa Mkoa wa Pwani ambako hakuna
machimbo ya
  madini kuna machimbo ya Kokoto
,wanapata mashaka na taarifa
  hizo.
 
  Wasiwasi  wangu kwa
wahitimu wa mafunzo ya JKT ambao
  mnajifanya
mnakiherehe na mpo juu juu kama ngoma za daku
  katika huo umoja wenu wa kujifanya mnaakili
zaidi kuliko
  wale askari wanaolifahamu
ndani nje majeshi yetu.
 

Jitambueni kuwa nyie bado mi watoto wadogo sana, subirini
  maelekezo kutoka kwa baba yenu
  (serikali) ,mkitaka
  kulazimisha kupewa
mnachokitaka mtaonekana ni mamluki.
 
  Askari mdogo yaani mwenye Cheo cha chini siku
zote anapokea
  maelekezo na amri kutoka kwa
afande wake anayemzidi cheo na
  anatakiwa
atekeleze maelezo hayo.
 

Hayo mambo ya kulazimisha na vitisho  mnayotaka kufanya
  siyo mazuri, Kwani Nyie bado ni  watoto
wadogo mnataka
  Kubeba Mzigo mzito ambao
hamuuwezi Kuubeba.
 

Kwanini watu wasianze kuamini mnatumiwa na mabwana Zenu
  kufanya hayo Mlivyokuwa mmepanga kuyafanya?
Siku 'mkifinywa'
  mtawataja hao
mabwana zenu wanaowatumia kufanya hayo

mliyokuwa mmepanga kuyafanya Leo.
 
  Mkae mkijua mkivuka mstari serikali
itawashughulikia na Hao
  mabwana
  Zenu  wanaowatumia siku mkianza kushughulikiwa
  wasianze Kulalamika Kuwa Jeshi la Polisi
limetumia Nguvu
  nyingi kuwadhibiti wahitimu
Mafunzo ya JKT.
 

Nawashauri achaneni na mawazo hayo ya Kudai kupatiwa kitu
  kwa mashinikizo mwisho wa siku mtakao kuja
kuaribikiwa ni
  Nyie binafsi siyo siyo
mabwana Zenu wanaowatuma kufanya hayo

mnayoyafanya.
 
  Mwenye
masikio na asikie na atakayeshupaza shingo na
  ashupaze ,ushauri wangu Ndio huo wahitimu
Mafunzo JKT rudini
  mtaani mkafanyie kazi 
ujuzi mlioupata mlipokuwa JKT na
  sio
kujiunga Katika umoja huo ambao nadiriki Kusema Malengo
  ya umoja huo yatazamwe upya na mamlaka husika
kwasababu
  Tayari kupitia tamko Lao Katika
vyombo Vya Habari
  limeonyesha umoja huo sio
  wa kuachwa HIvi hivi tu bila
  kutazwa kwa
karibu na vyombo Vya dola.
 
  Pole Mgoba kwa kuugua,Nina Imani waliokufanyia
uhuni huo
  Kama inavyoelezwa na Hao watu
wako wakaribu watakamatwa na
  Sababu ya wewe
kufanyiwa hivyo utajulikana.
 
  Waswahili wanamsemo wao usemao 'usiku wa
deni haukawii
  kukucha'.
  Jumatatu Ndio Leo Imefika wale wahitimu wa
Mafunzo ya JKT
  ambao mlinitolea lugha za
vitisho kuwa
  mtaniua,mtanibaka,mkatumia
njia ya kijinga kabisa  ya
  kunitongoza kwa
wingi Kwenye Mtandao,na kunisifia Mimi ni

mwanamke mrembo mnaitaji kuonana na mimi haraka ili
mnidhuru
  kirahisi bila kufahamu  na Mimi
ni 'Mkubwa wa akili'
  kuliko Nyie ,
nikawa nawacheka Ujinga.
 
  Na hadi Jana usiku mkajitamba Kuwa lazima
mtanidhuru na
  mtaandamana na kwamba Hakuna
cha  kuwazuia lazima Leo
  mtafanya
maandamano hamuogopi Polisi Kwani kwenu Nyie
  'Polisi ni Raia wakakamavu.
 
  Sasa usiku wa deni ndiyo
umeishakucha ingieni uwanjani
  tuwaone na
msitoe kisingizio cha Mwenyekiti wenu anaumwa
  kuumwa kwake yeye hakuzui mambo mengine ya
Jumuiya yenu
  yasimame  na msipoingia
mtaani Leo kufanya hayo
  maandamano yenu
haramu ya usiku na mchana 
  nitawafananisha
na 'mademu' mAana siku zote madem ndiyo
  wamekuwa na sifa ya kutoa tisho vikubwa lakini
wakiminywa au
  kutishwa kidogo wanafyata
Mkia.
 
  Nitoe rai kwa Mkuu
wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi,Jenerali

Davis
  Mwamunyange  atoe tamko la kufunga mjadala huu
  unaondeshwa na wahitimu wa JKT kwani ni wazi
sasa matendo
  yao yanadhihirisha yanataka
kucheza na ofisi ya Yake ya JWTZ
  nakutaka
kumwandikia rekodi mbaya ya kustaafu  kwako.
 
  Sasa ni wazi kupitia Kundi
Hilo la vijana waliohitimu JKT
  kuna siasa
chafu nyuma yake ambazo zinadaiwa kufanywa na
  Chama Kimoja cha siasa ambacho chama hicho
kimekuwa ni
  mahiri sana ya kuratibu
migomo,maandamano hapa nchini.
 
  JKT na JKU ni sehemu ya JWTZ  na kiongozi
wa JWTZ ni
  wewe Mwamunyange .Leo Wahitimu
wa JKT wamefanya
  waliyoyafanya na wameanika
nia yao ovyo ya kutaka kusaliti
  viapo vyao
na ukosefu sa adabu ws kuwaamlisha viongozi wao
  wafanye wanavyotaka wao badala Viongozi
  waaamlishe
  wanavyotaka wao,
wasipodhibitiwa hawa siajabu kesho

tutasikia nao wahitimu JKU nao wakaibuka kwa madai kama
haya
  na kwa njia haramu Kama hizi za
kutumia njia haramu za
  kuingiza siasa chafu
kwa kutumia Majina ya majeshi yetu.
 
  Jeshi Lina Sheria  na Mahakama zake 
(Court 
  Martial) .Askari anapokosea
kijeshi upelekwa Katika Mahakama
  hiyo na
kuadhibiwa kwa mujibu wa Sheria za kijeshi. Hivyo
  wahitimu Wa Mafunzo ya JKT msitake kuingiza
masuala ya
  kijeshi uraiani, waende
wanawasilishe Madai Yao ambayo wao
  wanaona
ni ya Msingi kule Jeshini tujue Moja.
 
  Uliona wapi mtoto anamtishia nyau baba yake?
Nadhani wenye
  mamlaka watachukua
hatua   Leo wamefanya
  vijana wa JKT
Kesho
  tunaweza kusikia wahitimu wa JKU
  ,Naomba 
hatua zikichukuliwe na hatua zikisha chukuliwa
  ni wazi wale wanaowatuma watajitokeza
kuwatetea.
 
  Wahitimu wa
Mafunzo JKT Kumbeni  mlikula kiapo na

Askari yoyote anayesaliti kiapo cha utii kwa serikali
yake
  adhabu yake ni moja tu na iko wazi ni
kifo.
 
  Uwenda Hilo
mmelisahau   ndiyo maana mmeamua
  kufanya
hayo Mlivyokuwa mmepanga kuyafanya Leo .Acheni Kwani
  ni wazi mtaumia Kwani Tanzania Inaongozwa 
kwa mujibu
  wa Sheria na ni nchi
yenye   Amani na
  Watanzania na vyombo
vyao Vya Ulinzi na Usalama hata siku
  Moja
havitakubali kuwaona  Nyie au Mtu yoyote anafanya
  vitendo Vya kuhatarisha  Usalama wa taifa
hili halafu

  wakawaacha salama lazima watawashughulikia
kikamilifu.
 
  Kumbukeni pia Msemo
usemao'Nazi haishindani na jiwe,lazima

nazi itapasuka itapasuka.
 
  Hivyo Nyie wahitimu wa mafunzo ya JKT ni Nazi
na serikali ni
  jiwe.Acheni kutumiwa vibaya
na Chama hicho cha siasa kwani
  mwisho wa
siku mtakao umia ni Nyie sio wao kwasababu Nyie
  ndiyo mnaingia mstari wa Mbele wao wanakuwa
wamejificha
  nyuma.
 
  Na kwa taarifa yote mnayoyafanya yanafahamika,
ila kwakuwa
  mnajifanya mmenificha Gizani
hamuonekani Kumbe mmenificha
  Kwenye mawingu
mnaonekana.
 
  Acheni wazimu
huo nendeni mkafanyekazi za kuwaingizia kipato
  na kujenga taifa achaneni na tabia ya kutumia
utambulisho wa
  Jeshi kutumiwa kufanya
  saisa chafu zinazo hatarisha Usalama
  wa
taifa hili.
 
  Mwisho
vitisho vyenu dhidi yangu si viogopi,nilishatishiwa
  sana na watu wenye mabavu zaidi yenu ila
kwakuwa nafanyakazi
  yangu kwa maslahi ya
taifa langu na Kutenda haki na
  kuwarudisha
kundi ni Nyie wahitimu wa Mafunzo ya JKT

mnaotaka kusaliti Viapo vyenu Vya Utii kwa serikali ya
  yetu,Mungu atanilinda na wala siwaogopi
niwaakikishie nipo
  imara na ni nafanya
mambo yako Kama kawaida.
 

Chanzo: Facebook: Happy Katabazi
  Blogg:
www.katabazihappy.blogspot.com
  0716
774494
  Februali 23 Mwaka 2015.
 
 
 
 
 
 
  Sent from my iPad
 
  --
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com


  Kujiondoa Tuma Email kwenda
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
  Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
  for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you agree
to this
  disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
  ---
  You received this message because you are
subscribed to the
  Google
  Groups "Wanabidii" group.
  To
unsubscribe from this group and stop receiving emails
  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  For more options, visit

https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata
Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole
  responsibility for any legal consequences of his or
her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
---
You
received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment